JE, NI IPI TOFAUTI BAINA YA SALAFI NA ANSWARI SUNNAH?

  Рет қаралды 2,047

atharusalafitz

atharusalafitz

Күн бұрын

Sheikh Abuu Mussa kiza

Пікірлер: 19
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Ай бұрын
,tofauti yao answari suna wanapenda Mali Sana hawajali Kula haki za mayatima.
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 11 ай бұрын
Hii ni khatari na nifitna, unayo ifanya Shekhe, na kwa hili hatuta muunga mkono Shekhe yeyote wa kisalafi atakae leta fitna hii. Na aliekua nimkweli basi atahadhari kuzungumza kuhusu answaarussunnah bila ya hoja na dalili za wazi, na tunasema kitabu cha Allaah kipo na Sunnah za Bwana Mtume Muhammad Swallallaahu Alayhi Wasallama zilizokua sahihi zipo, na Qauli za Maulamaa walio nyooka zipo. Leteni hoja za wazi ili tuone usawa wa munayo yadai na ......... Baaraka Allaahu fiikum
@MohdIsmail-ud1gl
@MohdIsmail-ud1gl Ай бұрын
NYINYI NI WAPOTOSHAJI NA NI WAFITINISHAJI WA UMMA WA KIISLAM MNAJIFANYA MWAFUATA SUNNA KUMBE NI WALINGANIAJI WA MOTONI WAHUNI WAKUBWA
@mdimistudio6041
@mdimistudio6041 11 ай бұрын
Yaaani😅
@imperfektservantt-e8b
@imperfektservantt-e8b Ай бұрын
Mara nyingi huwa nasema lau kama tungelijua neno Salafi maana yake haswaa basi ingebaki vita baina ya salafi na watu wa bidaa ila kutokana na kutojua salafi maana yake ni ipi ama kuijua maana kisha kutoikubali maana hiyo na kuja na maana zetu wenyewe tutegemee hizi rudud zenye maneno ya kudhalilishana ndani kutoisha. Huruma kubwa kwetu sisi tunaotafuta haki kila uchao fulani hafai fulani mtu wa bidaa hujui umshike nani, hao tunaowaona ni wasomi ndio wanaougawa uislamu alioamrisha Allah سبحنه و تعال uwe kitu kimoja, Duat wamekuwa na team ukiwa team fulani hata ukiona haki team hii hukubali, ndio salafi walivyokuwa hivi??
@drmahwa8166
@drmahwa8166 2 ай бұрын
Mbona masalafina ninapenda fitna?
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 11 ай бұрын
Nyinyi simasalafi ila nikikundi cha mahizib wakisalafi
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 11 ай бұрын
Shekhe da'wah yako inatupa wasiwasi, hebu kaa utafakari vizuri, nikweli haya ulio yasema? Hebu tupatie mifano ya Maulamaa wa Answaarussunnah na walinganiaji pia wa answaarussunnah, tuone ni mahala gani ambapo wao wapo nyinyi hamupo hapo. Khalafu hebu tuambieni ni akina nani Maulamaa wa answaarussunnah wenye kutegemewa na watu hurejea kwao ktk da'wah yao na mambo yao.
@HamadJuma-es8pw
@HamadJuma-es8pw 11 ай бұрын
Maahiyya salafyya..? Yaonekana huku kwetu pemba watu wingi jawajaelewa hilo swala,wanadhani kua maanswari ndo hao hao masalafi. Twawaomba kwa siku hizi ambazo mpo pemba muwafahamishe watu kuhusu hilo swali. Baaraka allahu fiikum.
@MkindiRama-lp6hy
@MkindiRama-lp6hy 11 ай бұрын
Uisilam hauwatosh mpaka mjiite salaf
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 4 ай бұрын
Swali hilo amewahi kuulizwa shekhe Abdulaziz bin baazi kuhusu answari sunna kasikilize vzr fatuwa zake mtandaoni,kuna watu huwabughuzi answari sunna shekhe alikanusha laa wanafata mwendo wa mtume, wanalingania sunna,wanapiga vita bidaa na watu wa bidaa na hukataza shirki na kueneza tawhid wao wanafata mwendo wa salafi wema walotangulia nikatika ahlsuna wali jamaa kwahiyo wala hamtusumbi kitu na hiko chama chenu kilichojikusanya sehemu moja mkajiita masalafi wakati matendo na mambo yenu usalafi uko mbali na nyie
@AthumanAthuman-b6q
@AthumanAthuman-b6q Ай бұрын
Kwani wewe mzungumzaji ninani?
@mohamedally121
@mohamedally121 Ай бұрын
Hii ni fitna kubwa unaileta, alafu wewe si msomi wewe
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 11 ай бұрын
Naam Kikundi cha mahizib wanaofuata na suuna hizbun salafi
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 11 ай бұрын
Hizibun salafi
@abuukauthar525
@abuukauthar525 11 ай бұрын
ujadida bwana
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 11 ай бұрын
Naam Akhy hawa siwatu wasunna ila wamekuja kuivuruga sunnah
@allyjaffar7072
@allyjaffar7072 19 күн бұрын
​@@abbaspaziaog2188Poleni na Allaah awarehemu
NINI MAANA YA SALAFI NA JE NI KUNDI FLANI?/DUKTUR ISLAM
27:26
Fauz Production
Рет қаралды 4,8 М.
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН
Tofauti ya Masalafi na Answar Sunna wa Tanzania @rifqtz
27:19
Tofauti Ya Masalafi Na Answaar Sunna
5:30
Abuu Dharry
Рет қаралды 1,2 М.
#LIVE: Mnakasha Salafi na Tabligh || masaa matatu ya HOJA za moto
2:51:04
CHANZO CHA UGOMVI WA QASSIM MAFUTA NA SHEIKH SALIM BARAHIYANI
25:36
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 2,3 М.