JE! Ni kweli Nimefukuza Waasisi wa Taasisi ya Ansaar? | Radd No. 3 | Sheikh Barahiyan

  Рет қаралды 2,413

Sheikh Salim Barahiyan

Sheikh Salim Barahiyan

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@halimahonello-rt4np
@halimahonello-rt4np Жыл бұрын
Allah akulipe kheri shekh wangu na akuepushe na shari za mahasidi walio miongoni mwa majini na watu Nakumbuka shekh ulinifundisha tawheed mwaka 1999 pale ummu salama, na huyo shekh bafadhil alikua naibulmudiir, pia alikua mwalimu wetu wa usuuli da'awa na firaq tadruusu ddin
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 3 ай бұрын
Allah atakulipa shekhe wetu, umepambana xana tz kueneza sunna na hawa madhalimu mafuta na wenziwe allah anawaona na wasipo tubia allah ndo shahidi na dhulma na kejeli wanazokufanyia allah atawajibu, wanacheza na allah hawa kila nukta mtu ataulizwa na wakuombe razi kabla hujafa arafu warudi kwa allah lakini kwakuwa wana kibri allah atawanyosha, mafuta alikuwa mpiga maulid tamta hajui sunna shekhe leo umemtoa tongo anakupiga mawe kwa maslahi za kidunia tuu, mstahimili allah yalimkuta hata mtume aya
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 7 ай бұрын
hii ndio natija ya kutukana masheikh na waislam wa madhhebu nyengine leo Allah kawarudishia yale matusi yenu wenyewe kwa wenyewe mnavuana nguo hadharani!
@therealyrm6674
@therealyrm6674 Жыл бұрын
Mpk sasa Mudiru na Wafuas wake dawa imewaingia # Alhamdulillah
@saidabdurahman9631
@saidabdurahman9631 Жыл бұрын
Shekh Allah akulipe kher kwa hii bayaan napenda sana kuona unatuweka waz maana hiz tuhuma zimezid sasa
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 Жыл бұрын
Hivi sheikh unamaadui kiasi hichi
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Ай бұрын
,Hina elimu elimu unayofundisha lambda uwafundishe elimu yako ya zulma ndio fani yako wewe Kula haki za yatima na wajane
@abdulyusuph3226
@abdulyusuph3226 Жыл бұрын
Umetusomesha maahad furuku umetuzaidia kwa hall na Mali na huyo kifaranga abdi akiwemo mlipaji ni Allah
@al-hidayahonlinetv3447
@al-hidayahonlinetv3447 Жыл бұрын
👧
@abdulbarytv8531
@abdulbarytv8531 Жыл бұрын
Aya bhn
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
tuwe wakweli jamani majadida kiama chao kishafika barahiyani ni jembe la mtu mmoja na hamtaweza nyie majadida kupambana nae huyu mzee
@abuuaminah5655
@abuuaminah5655 Жыл бұрын
Majadida Kengo Lao Ni fitna. Urongo Ni Ngao Na silaha Yao kubwa.
@abuurayyaan4306
@abuurayyaan4306 Жыл бұрын
Milioni 200 ulipeleka wap ???
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 3 ай бұрын
Una ushahidi utakwenda kuulizwa ww faata mikumbo tuu,utakufa pekke ako na utafuufuliwa peke ako itaqi llah alh atamlipa huyu shekhe dhulma mnazomfanyiia we fata mkumbo hutoenda kaburini na mafuta.
@salumnuhu9066
@salumnuhu9066 Жыл бұрын
Haaahahah Babu bwana unajikaza hatar nanusu
@SheikhSalimBarahiyan
@SheikhSalimBarahiyan Жыл бұрын
Ujumbe umekufukia Al Hamdulillah .
@m-baroukjuma7164
@m-baroukjuma7164 Жыл бұрын
Si keshaweka wazi juu ya hzo shtuma au nawe ndo wale wale?! Acheni chuki znu hzo mwisho wasiku ztakugharimuni hzo
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 3 ай бұрын
Ninyi majadida wafata mikumbo
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
hichi kijibuz cha tanga kimbwana abdi kinacheza ngoma wala hakiijuw mwanzo wake wala mwisho wake kinaropokwa tu wala hakina elmu kichwani qur_an yenyewe hakijuw
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 Жыл бұрын
Hivi sheikh unamaadui kiasi hichi
@SheikhSalimBarahiyan
@SheikhSalimBarahiyan Жыл бұрын
Hii ndi Dalili ya Mwenye kushikamana na Haki , Kuna Mitume waliokufa bila Mpenzi hata Mmoja .
@ahmedmwakabulufu315
@ahmedmwakabulufu315 Жыл бұрын
@@SheikhSalimBarahiyan naona na wewe leo umeficha sura mashaallah
@alifbe4395
@alifbe4395 Жыл бұрын
Assalamu aleikum sheikh... Vipi taasisi yako ina matawi dar es salaam?
@Smart_jarm
@Smart_jarm 10 ай бұрын
Wanaopaswa KUFICHA sura ni wanawake sheikh
Hiki kitabu Hakijibiki | Radd No 1 | Sheikh Salim Barahiyan
13:50
Sheikh Salim Barahiyan
Рет қаралды 2 М.
KUSIMAMA MAAMUMA KABLA YA IQAMA KWA AJILI YA KUSWALI
6:28
MASJID AISHA MCHINA MWISHO
Рет қаралды 10 М.
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН
Hukmu ya KUJILIPUA katika Uislamu | Sheikh Salim Barahiyan
16:09
Sheikh Salim Barahiyan
Рет қаралды 948
swali moja tu lamzuzua bachu na kukimbia maskini
2:40
MUFTI SHABAN. A. MUSA Mombasa Kenya
Рет қаралды 22 М.
Sujudi & Tashahhud
34:03
Irshadat Islamiyya
Рет қаралды 17
When This Happens, Be Prepared For The Major Signs Of Qiyamah
1:20:26
One Islam Productions
Рет қаралды 31 М.
CHANZO CHA UGOMVI WA QASSIM MAFUTA NA SHEIKH SALIM BARAHIYANI
25:36
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 2,3 М.
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН