Radd na Nasaha kwa Aliyekuwa Rafiki yetu Sheikh Hilal Kipozeo kwa Kuzua Visa vya UONGO

  Рет қаралды 73,013

Sheikh Salim Barahiyan

Sheikh Salim Barahiyan

Жыл бұрын

Radd na Nasaha kwa aliyekuwa Rafiki yetu Sheikh Hilal Kipozeo Allah Amuongoze kwa kuzua visa vya UONGO ili kuwachekesha wanaomsikiliza
Mzungumzaji:
Sheikh Salim Barahiyan

Пікірлер: 312
@saidkale6465
@saidkale6465 Жыл бұрын
Nimemfuatilia Mudiri toka miaka ya 98 Mungu amuhifadhi Barahiyan ni mmoja ktk watu alieleta haki ndani ya mji wa Tanga..Umemjibu kwa hekma raad zimeanza tokea miaka mingi iliyopita lazima alikuwa ajibiwe
@azizimuhibu7771
@azizimuhibu7771 4 ай бұрын
Naam, Sheikh Salim barayihan kamjibu vizuri sana Wala si kwa ubaya, allah awaongoze masheikh wetu.amiiyn
@salumsaid1433
@salumsaid1433 Жыл бұрын
بسم الله الرحمن الر حيم( واعتصمو بحبل الله جميعا ولا تفرقو ) وكونو عباد الله اخوانا
@joauchitlango3547
@joauchitlango3547 Жыл бұрын
Hilo ndilo la muhimu na barahiyani haja farikiana nae kaeleza muongozo na ukweli
@user-nr5vn8ou8d
@user-nr5vn8ou8d 3 ай бұрын
Mashekhe wacheni kudhalilishana mtandaoni hii sio mafundusho ya bwana mtume Muhammad!
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Sheikh Msamehe Kipoozeo, Kwa hakika ameteleza, umefanya mengi Tanzania ktk sekta mbalimbali kuanzia Elimu ya Dunia na Dini, na Allah atakulipa, nasaha yangu kwako Msamehe Sheikh Kipoozeo ,na Kipoozeo anatakikana akutafute Akuombe msamaha
@hamzayusuf1894
@hamzayusuf1894 Жыл бұрын
Wew barhiyan mezeya ka na uwahabi wako mawahabi hawana mungu afadhali wakiristo
@inamxmdsheekh1978
@inamxmdsheekh1978 Жыл бұрын
@@hamzayusuf1894 wahabi ni nini ?
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
@@hamzayusuf1894 lengo ni kusameheana na kuvumiliana, nawe Msamehe Sheikh Barayan kama amekosea
@sherallysherally1203
@sherallysherally1203 Жыл бұрын
صح
@omarabdallah372
@omarabdallah372 Жыл бұрын
Ma Shaa Allah Allah umeongea kwa hikma na upole wala hukumuongea Kwa ubaya Allah akupe hikma zaidi sheikh Salim....
@ibrahimcharlesswaleh
@ibrahimcharlesswaleh Жыл бұрын
Umma unaangamia. Tufundisheni Muongozo wa Kitabu na Sunna. Kipozeo yupo, ungemfuata faragha mkaelimishana ingekuwa bora zaidi kuliko kudhalilishana kwenye mitandao.
@sherallysherally1203
@sherallysherally1203 Жыл бұрын
Sheikh Salim AMFUATE SHEIKH WA "MIZIGO"?????? Sheikh wa Mizigo kisha Tangaza ALITAKA KUMPIGA NGUMI YA CHEMBE,( AMUUE) . Akahofia. Sasavunamtaka Sheikh Salim amfuate Kipozeo. Mbona Sh. "Mizigo " Hakumfuata kumnasihi wakati akiwa kwake Tanga.???? Badala yake, kafika Maulidini KUMFEDHEHESHA???? Sawa hiyo??? Ulitakiwa kumpa nasaha Sh. "Mizigo" Kabla hujampa nasaha Sh. Salim. من الدين كشف سترا عن كل كاذب وعن كل بدعي اتى بالعجاءب.
@abdulwahababdulkadir9965
@abdulwahababdulkadir9965 Жыл бұрын
Kwani kipozeo aliongelea wapi achenj mambo yenu maghurafy
@gharibmuhsin2450
@gharibmuhsin2450 Жыл бұрын
@@abdulwahababdulkadir9965 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 naona utovu wa akili unaendelea kusokota
@nasirabdullah6227
@nasirabdullah6227 Жыл бұрын
Kipozeo yeye kamsema faragha alisema hadharani ndio mana anamjibu hadharan
@issamasanjala7413
@issamasanjala7413 Жыл бұрын
Ukiharibu hadharani bado utarekebishwa hadharani
@mohamedothman5792
@mohamedothman5792 Жыл бұрын
Allah akujaalie wewe na waislamu wote tuwe ni wenye kufuata njia iliyonyooka
@abuibra
@abuibra Жыл бұрын
Tulizeni nyoyo zenu, mtafuteni njia yenye suluhu bora,msimpoteze kipozeo nafikiri kachoka anabobojokwa sana,mkutane mzungumze msirushiane maneno kwenye mitandao,italeta aibu msiwape fursa watu wa bid'a.tunawapenda mashekhe wetu chukueni hekma kuyasawazisha INSHA'ALLAH Mtakua pamoja.
@saidmussa9587
@saidmussa9587 Жыл бұрын
Ndugu yangu iblahim Asante huyu shekhe anatafuta kiki mwanachuoni mwenyehikima hufuata mwenzie live live mumuni kwa muumin humdilik muumin kwa wanaonana hojakwa hoja
@saidmussa9587
@saidmussa9587 Жыл бұрын
Ukirusha madogo HIV tunakuona muimba taalabu TU hata kama una elm Kisha mnafk unajionnyesha wewe ni mwema sana mnatuhalibia din kwni wewe ukitoa mawaidha unadhan unatolea malobot watu wasicheke wanune TU wewe kama huna mawaidha Kaa na mkeo mliwaze utapata sawabu kuliko uje ulopoke TU
@salmafaraj6544
@salmafaraj6544 2 ай бұрын
Nikweli wallahi sheikh kipozeo kabadilika alkua anamawaidha mazuri sana lkn kwasasa mmmhh sijui kapatwa na nn Allah atuongoze sote yaarab
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Жыл бұрын
Kapinga khitma tu sababu katika usomaji wake ameona ndivyo sawa …ni sehemu ya hitlafu….namkubali shegh hilali mpaka aingie kaburini hayo mengine khitlafu tu..hata maswahaba walightilafiana…..shegh hilali anabusara nyingi sana na anafalsafa Nzuri sana yakuongea .allah atubarik
@ZuleikhaAbdallah
@ZuleikhaAbdallah Жыл бұрын
Huyu Salim anashindwa kuelewa Sheikh hilali shaweji amefanya hvo kwasabb waislamu wasilemae wakaacha ibada kwa kutarajia wataombewa
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Жыл бұрын
Allah amuongoze.Baarakallahu fiik
@miirajmohamed4504
@miirajmohamed4504 Жыл бұрын
Sema atuongoze unajibagua ww umkamirifu
@abuqusay8912
@abuqusay8912 Жыл бұрын
Sheikh wa Uislamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amfikishie rehema na amani
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Sahih
@jaffersuleiman5417
@jaffersuleiman5417 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa kipozeo amekuw comedian mara mizigo ya madem kweli anachekesha
@wankyosmarwa3574
@wankyosmarwa3574 3 ай бұрын
Kama huwajui masheikh basi acha kuongea vitu usivyojijua yaani ww unamuita Sheikh Hilall comedian kweli unamfikia Sheikh Hillal kwa elimu,swali je Mtume MUHAMMAD alikuwa hatanii watu enzi zake na watu walikuwa wancheka,kama hujui uliza sio kuongea vitu usivyozijua ,hawa ni masheikh wanajuana na wanatofauti zao usiingilie mambo usiyoyajua
@omarmkumba3547
@omarmkumba3547 Жыл бұрын
Dr mwakaaaa,big up
@eliasnavytanga
@eliasnavytanga Жыл бұрын
Shukran Sheikh Salim, nakupongeza kwa kutumia lugha ya upole na busara. Allah azidi kukulinda. Amiin
@albajuntv8946
@albajuntv8946 Жыл бұрын
Allah akuparik sheikh
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 Жыл бұрын
barahiyani usijiite shekh mkubwa Mimi nime kufahamu kwa sababu ya ujinga wako. ujinga ndo ulio kupatia umaarufu. na una takiwa kuwa na shukran kwa Muhammad bakari na huseni hashimu wamekufundisha sana kw mijadala pamoja na kichwa chako kuwa kigumu angalau uka punguza matusi tu
@maryamalli9090
@maryamalli9090 Жыл бұрын
Taratibu usimuite muislam mwenzio mjinga ni sheikh huyu
@jamalishoo3802
@jamalishoo3802 Жыл бұрын
Siku nilikuwa najiona mjinga kuliko watu wote lkn nilipokuja kumsikiliza huyu bana akifasir aya ya Qur an ndo nikagundua kumbe huyu mjinga kuliko mimi
@salehaliy7198
@salehaliy7198 Жыл бұрын
@@maryamalli9090 mjinga siyo tusi bali ni sifa ya mtu,mjinga ni mtu ambae hana elimu fulani au hana ujuzi wa jambo fulani,angeitwa mpumbavu hapo ndiyo ingekuwa tusi
@ibrahim_427
@ibrahim_427 Жыл бұрын
@@salehaliy7198 Assalamu aleykum Kwaiyo wamaanisha mpumbavu ndio tusi swali je Qur'an ndani yake Kuna matusi ?ebu nisaidie hapo kwanza swali ikiwa mpumbavu Ni tusi je ndani ya Qur'an Kuna matusi✍️
@ibrahimmwilo1586
@ibrahimmwilo1586 Жыл бұрын
Kajiita shekhe au tunamuita shekhe au wewe pia mtu wa hitma
@mussamtupa
@mussamtupa Жыл бұрын
KIPOZEO hana kundi hili jambo mm lili kua linanchanganya sana utamuona ktk shughuli za Maulidi anaenda na ujumbe anafikisha.
@ramadhanijohoiddi2899
@ramadhanijohoiddi2899 Жыл бұрын
MASHEIKH MITIHANI WA NASIHI DAJAL UNAWATAFUNA KIDOGO KIDOGO BILA KUJUA WENYEWE
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 Жыл бұрын
Omeongea point SANA
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Kumchekesha mwenzio ni sadaka wacha fitina kwani nani kamwambia ili uwe shekh unune tu muda wote utishiye watu tunaambiwa tuishi kama tutakaa milele na tuishi kama tutaondoka sasa hivi maana Kati na kati
@matendondambwe9527
@matendondambwe9527 Жыл бұрын
Mbona kamsifu vibaya zaidi uyo shekh ayubu kweli alisema yeye yupo sidiratul muntaa anapata kila taarifa Ina maaana alikua anajifananisha na allah ,duh subhana llah
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 Жыл бұрын
Wewe usikurupuke sikiliza vizuri maneno acha ujinga amesema shekhe alimwambia ni kama sidratul muntaha neno kama haimaanishi ni hakika yake
@idrissamustafabukenya6110
@idrissamustafabukenya6110 Жыл бұрын
Ma Sheikh wetu musichukiyane.
@ophaid
@ophaid Жыл бұрын
Hajaonyesha chuki, bali ametoa nasaha nzuri na kumuita nduguye.
@abuumkota5505
@abuumkota5505 Жыл бұрын
Subhaana llàah,, innaa lillaah wainna ilayhir raajiun kwann mashekh mnatuchanganya haya mambo sio yakubishana mitandaoni kaeni faragha muekane sawa,, inaamaana shekh kipozeo alitunga ? Na kwa nn atunge hivi amuogopi mungu?
@jumakibe5032
@jumakibe5032 Жыл бұрын
Kipozeo hanaga mba mba mba... Huwa anakupa ukweli mchana kweupeee. Alafu anasema "hiyo ndio hakki, stahamili tu japo inauma". Hakuteti pembeni. Ila yote kwa yote tuachane na ushabiki kwnye dini ya Allah. Hivi mmesahau ile aya Allah anasema " Shikamaneni nyote ktk kamba moja na wala msifarikiane"??? Kuhusu kuchekesha, kuna namna nyingi za kufikisha fasihi kwa hadhira. Kama unaona watakuelewa na kuzingatia kwa njia ya kuchekesha, basi unafanya coz ujumbe wa Allah ufike. Wengine ukiwa serious sn kwenye daawa yako hawakuelewi. Tumche Allah bana. Mnatuchanganya sisi maamuma huku, msitugawe nyinyi masheikh. 🙁🙁🙁
@issamasanjala7413
@issamasanjala7413 Жыл бұрын
Iyo aya isitumike vibaya ikawa sababu kuchanganya haki na batili makusudio ya aya ni watu kushikamana na haki hata kama utakua peke yako ikiwa upo kwenye haki basi wewe utakua umeifanyia kazi iyo aya na kipozeo kazi yake kuchekesha kweli na ndio maana utamkuta na wasanii kama akina mondi na hana anacho waaambia zaidi ya kuwachekesha
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Pole pia kwa kukwazika
@gudimbwana8088
@gudimbwana8088 Жыл бұрын
Hakikia huu ni msiba mkubwa katika Dini takatifu MASHEKH KUJIBIZANA KATIKA MITANDAO ACHENI. TUMIENI VYOMBO VYA KIDINI KUWEKANA SAWA NA KUFIKISHA DAAWA DINI SI BIASHARA KUTAFUTA WATEJA. NIMEUMIA SANA ACHENI.
@maryamalli9090
@maryamalli9090 Жыл бұрын
Yaani wewe acha tu mitandao imekuwa chombo Cha majibizano msiba huu
@mohamedothman5792
@mohamedothman5792 Жыл бұрын
Mitandao ni njia mojawapo ya kuwasilisha ujumbe. Ukweli usemwe ili mbivu na mbichi zijulikane. Lengo sio wao ni sisi wafuasi tunaojifunza kutoka kwao wanazuoni.
@maryamalli9090
@maryamalli9090 Жыл бұрын
@@mohamedothman5792 lengo sio sisi lengo ni wao wanaojibizana huwezi kupata elimu sahihi kwa wanazuoni Kama hawa tafuta mwalimu darasani tusome
@maryamalli9090
@maryamalli9090 Жыл бұрын
@@mohamedothman5792 na sio mitandao. Mitandao hutumika kuongeza taaluma tu na sio kutafutia elimu
@mohamedothman5792
@mohamedothman5792 Жыл бұрын
@@maryamalli9090 ukichafuliwa mtandaoni inabidi ujisafishe hukohuko mitandaoni ili wanaokuheshimu wajue udhaifu uko wapi. Akikaa kimya mana yake kilichosemwa kuhusu yy ni kweli.
@bakariyusufujuma
@bakariyusufujuma Жыл бұрын
Shekhe msamehe watu kama hao ni wanaafiki na wanaangalia zaidi maslahi ya dunia ndio mana hawana msimamo nadhani kipindi hicho alikuwa akipata faida kutoka kwenu ndio mana alikuwa akikataa hitma sasa faida hizo hazipo anatafuta sifa kwa wanaomfaidisha insha allah tumuombee dua
@gharibmuhsin2450
@gharibmuhsin2450 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@karimdaud3993
@karimdaud3993 Жыл бұрын
Kaajua ukweli ndio kafuata hapo zamani alipotea kama wasio nyua mkino wakati wa dua Bihisnil hatima yaa ALLLAH
@salehmdumbwa6181
@salehmdumbwa6181 Жыл бұрын
Mnaongea maneno mbaya sana kuhusu waislam wenzenu
@jumaswalehe5085
@jumaswalehe5085 Жыл бұрын
Kiukwel huy shekh kipozeo tunamshangaa sana yani mawaidha yake yako nje kabisa na uislam sijui elimu yake alisomea wapi na alisomeshwa na nani kwasababu anafanya mambo ya ajabu sna lakin kwa bahati nzuri cc waislam wa Zama iz tunajitambua tunajua nani ni shekh na nani ni mbabaifu.wasia wangu kipozeo anahijika kupewa nasaha juu ya vichekesho vyake tkt dini ya allah
@sherallysherally1203
@sherallysherally1203 Жыл бұрын
Mtu wa" MIZIGO"
@yussufsalim
@yussufsalim Жыл бұрын
Kwa kweli uislamu haupedezi au haukufundisha kusengenyana au kuabishana hadharini .muislamu mwenzio ukihisi amekwenda kimakosa ni vizuri kuitana pembeni kwanza mkawekana sawa na kuelimishana hasa kwenu nyie mashekh kuliko kutoleana aibu zenu ni sawa na kuvunjiana heshima zenu kama nyie ni maaalim wakubwa ni sawa na kuwafundisha maovu waumini wenu kwa kuadhirishana nyie wenyewe mnaojiita mashekh
@KassimKassim-wv8db
@KassimKassim-wv8db 3 ай бұрын
Napata huzuni sana nikiona masheikh tunaowaamini kutumia media kujibu vitu ambavyo si kuendesha dini yetu mbele.
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Жыл бұрын
Kipozeo sio mjinga tu bali ni mpumbavu kwenye dini
@kadizosea6250
@kadizosea6250 Жыл бұрын
Ww msenge nyamaza
@matendondambwe9527
@matendondambwe9527 Жыл бұрын
Tutambue ipo siku itafika tutajuta wachangiaji na watoa mada allah atuongoze
@salummsei4725
@salummsei4725 Жыл бұрын
Aaamin
@suleymanmrutu9498
@suleymanmrutu9498 Ай бұрын
Kipozei nimemuelewasana yeyealikuwa anaongea hukuanaweka utani kwahiyo sheikh salim barayihan wala usichukie kwani Kipozeo nimtu wautanisana
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Жыл бұрын
Unayemkosoa Kipozeo mtandaoni unafanya kosa kama yeye, Nawashauri mtafute jukwaa la mazungumzo kusahihishana maana njia hii mnayotumia inaudhi na sio njia sahihi ya kuondoa munkari
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Жыл бұрын
,za kiislam ikiongozwa Ansari NI,za zulma kitapeli wanufaika wao haiwasaidi waislam zaidi kuwazulumu
@mbonimanakisenya4178
@mbonimanakisenya4178 Жыл бұрын
Jalibuni kusoma hata shule za kawaida jamani maana mnayobishana hamfai kuwa maarufu kiasi hicho mm nazani nyinyi ni waigizaji huko kwenye dini mnavamia tu muogopeni mungu
@mohdmohd2550
@mohdmohd2550 Жыл бұрын
Masheikh cku hiz hua mnaboa som tymz, kazi yenu kusengenyana tuuu hamjui kua mnapata dhambi au .......
@hamzayusuf1894
@hamzayusuf1894 Жыл бұрын
Kama amekuwa mtu wa suna sasa amekuwa mtu wa faradhai ni
@maryamalli9090
@maryamalli9090 Жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄wanasengenyana
@mohdmohd2550
@mohdmohd2550 Жыл бұрын
@@maryamalli9090 Ndio sas wew unaonaje kila mtu anamsema mwenzie
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 Жыл бұрын
Tena masengenyo yanayokera Ni dhambi Tena Ni dhambi maana Jambo la busara ilikua apigie simu au hata kumtafuta uso kwa macho angefanya Jambo la maana Sana Tena angelikua ametumia busara
@sudisalehe192
@sudisalehe192 Жыл бұрын
Comedian za kipozeo achana nae endelea kupambania sunna
@shabanmohamed7071
@shabanmohamed7071 Жыл бұрын
Kipozeo yupo sahihi ,wewe hakuna kitu ,imekuchoma ndio maana umejibu ,kichaa wewe
@inamxmdsheekh1978
@inamxmdsheekh1978 Жыл бұрын
Tafuta elmu uepukane na maradhi ya jahli
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Жыл бұрын
SubhanaLLAAH. Shabano ALLAAH akuongoze wewe na sisi. Kuwa na adabu na shekhe. Ameen
@mohamedothman5792
@mohamedothman5792 Жыл бұрын
Waislamu wapenda bidaa, Kipozeo sio shekhe ni comedian. Mtu anachochea zinaa eti anapenda 'Mizigo'
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Kipozeo siku hizi anaboronga sana,. Kipozeo ndio huyo huyo aliyemwambia Mzee Yusuf kuimba inafaa
@ZuleikhaAbdallah
@ZuleikhaAbdallah Жыл бұрын
Upo sahihi kabisa sheikh hilali shaweji ni level kubwa kabisa
@al-hidayahonlinetv3447
@al-hidayahonlinetv3447 Жыл бұрын
😭
@aminabdalla7824
@aminabdalla7824 Жыл бұрын
Asalm alykum warahmatulah wabarakatuh ndungu waislm mtu anapo potea hukerebishwa ....kwa hio mkamilifu wetu Ni Allah ☝️Kama sheik kipozeo Yuko Sana ila yeye n mwanadamu akipotea tunampa nasaha nzuri na c yy tu soteñi....watu wapeane misamaa... Aslm alykum 🤝
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze Жыл бұрын
Kipozeo shee wa Mizigo miss bantu😁 aache kula mirungi
@sogoramwinshekhe1464
@sogoramwinshekhe1464 Жыл бұрын
Hata wewe watu wanazijuwa aibu zako lakini wa naona aibu kuzisema
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze Жыл бұрын
@@sogoramwinshekhe1464 unapaswa kutenda unachohubiri, SI kama wale wasemao fata maneno yng usifate vitendo vyangu,"
@user-mi1wc1vo7k
@user-mi1wc1vo7k 7 ай бұрын
Shekhe kuwa na HEKMA !!!Kwann haukumfuata na kukaa chin nae,siyo. Uislamu huo.
@ibraheemqassim3018
@ibraheemqassim3018 Жыл бұрын
mashekhe muache unafik na nyiny mnauhaibisha uislam kuchambana katka mitandao ni ujinga mmekosa sifa za kuwa warith wa mitume
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 Жыл бұрын
Mashekhe mnatusikitisha sana baada ya kukhubiri dini mnatumia media kwa kushambuliana mnaenda wapi? nasi je tumsikilize nani sasa
@InspectorAmarSaxena
@InspectorAmarSaxena Жыл бұрын
Sio vizuri na haipendezi kumtukana muislam mwenzio, au kumuita kurafi au kafir.
@shaibhasan9233
@shaibhasan9233 Жыл бұрын
Wallah me sielew hahaha najionea taabu tu 🤣🤣
@nasirabdullah6227
@nasirabdullah6227 Жыл бұрын
Shekhe anaegombana na mwenzie huyo anamatatizo ajitathmini vizuri
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 Жыл бұрын
Muache kipoozeo sio daraja yako, huyo mtu mwengine umuingii kwakila kitu
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 7 ай бұрын
Munafiqunna ww
@thegreatmind9178
@thegreatmind9178 Жыл бұрын
Sheikh kipozeo ni comedian
@wenge4x423
@wenge4x423 Жыл бұрын
Kipozeo ni Sheikh mkubwa sana na mwenye upeo mkubwa wa elimu ya dini, Yote aliyoyasema ni kweli na sisi tunamuamini na tunafata mafundisho yake.
@ramadhanimasalanga6310
@ramadhanimasalanga6310 Жыл бұрын
Unamfuata na hata Wasafi pia?
@thehunter5920
@thehunter5920 Жыл бұрын
@@ramadhanimasalanga6310 unasikiliza music sheikh?
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 Жыл бұрын
Kipozeo kama ameanza kwenda kwenye maulid basi kapotea
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 Жыл бұрын
Umepotea ww bila ya maulid uwalii utausikia t
@kadizosea6250
@kadizosea6250 Жыл бұрын
Angeenda disko ungesemaje?au unafata mkumbo choko ww
@abuuayman804
@abuuayman804 Жыл бұрын
Kama mnaipenda dini acheni maneno machafu Allah atatupa uongofu,,lkn kwenye matusi ndo mtaangamia kuweni na subra na tumuombe Allah atuonyeshe haqi iko wap
@trayoversion
@trayoversion Жыл бұрын
Hizi dini za kikoloni tulizoletewa zitaendelea kutugawa mpk tutakapo amua kurudi kwenye ukweli wa Asili yetu
@SheikhSalimBarahiyan
@SheikhSalimBarahiyan Жыл бұрын
Asili yenu ni Ipi ?
@trayoversion
@trayoversion Жыл бұрын
Asili yako wewe ni Babu yako mzaa Babu wa Ma babu zako ambae mwenye umri kama mtume Muhammed ila haumjui na hautaki kumjua na umeamua kumtakia kheri mtu mwingine kabisa na kumsahau huku ukikaririshwa mababu wa kikoloni ndio watakatifu kuliko Babu zako wewe Hakuna Mwarabu atakuja hata siku moja kuwatakia kheri Mababu zako ila wewe ndio umekua mstari wa mbele kuwatakia kheri Babu zao kwa kigezo cha pepo Leo hii kugawanywa huku imekua kama kituko kwenu mambo kama haya mnayofanya kwenye mitandao ni kama mnajitukana wenyewe mambo ya kukaa wawili kuyamaliza mnayaleta mitandaoni kila mtu akijiona ndio yupo karibu na Mungu kuliko mwenzie
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 Жыл бұрын
ina onekana kisa alicho toa kipoozeo. ni swahihi kabisa haja unda kwa mujibu wa maelezo ulio yatao. una sema misikiti ya kighurafi, uta achaje kumtusi shekh. hakuna ulicho fanya ila ni kutilia nguvu tu maneno ya kipoozeo. nibora unge nyamaza tu
@rizikilukali1558
@rizikilukali1558 Жыл бұрын
Kwakweli amejithibitisha na amethibitisha maneno ya shekh kipozeo
@rayasalum3044
@rayasalum3044 Жыл бұрын
Shekhe kipozee more life NAmpenda kwa ajili ya allah
@SalimSalim-ec9jo
@SalimSalim-ec9jo Жыл бұрын
Kipozea atoa daawa huku akiburudisha na sio kua yuwamdhihaki Allah hebu waislamu acheni chuki zakikafiri.. Pendaneni..
@fatmashariff2518
@fatmashariff2518 Жыл бұрын
Ingekua Bora kwako kabla hujajitokeza kwe mitandao umtafute muonane uzungumze nae .Sheikhe umeharibu kidogo. Lazima ukubali
@ibraa1157
@ibraa1157 Жыл бұрын
Saa ikiwa twapigana wenyewe kwa wenyewe itakuaje hebu mlaanini shaitwan mutuache watu wathwarika na nyinyi nanyi muMsifusifu Mtume kwa njia yenu
@Auf-uh3jq
@Auf-uh3jq Жыл бұрын
Hawa Mashekhe Wanafiq kazi kukosowana wamekua wasanii hawana kazi kukosowana
@mdoekibai3991
@mdoekibai3991 Жыл бұрын
Alikuwa bado hajasuma lkn badayakusoma ameelewa ndomana kakubali ila ww kweli ni waharam
@peteswalehe236
@peteswalehe236 Жыл бұрын
I think instead of putting these words into social media... Kindly talk to your offender and forgive each other. A better way than showing us this
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Ayo Mambo yapo malindi Kenya
@twix1404
@twix1404 Жыл бұрын
Sasa hapo umepanic nini wakati ungeweza kumwita pembeni ukamwambia, ndio uukwana kama kweli wewe ni sheikh au umechukua kwasasabu ametoka kwenye Answar maana uungwana kama kakosea hakuna mkamilifu na wewe umeonekana mjinga tu.
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Mm huyu kipozeo nilkua namkubali sana lakini tokea nimuone kwenda kufungua kipindi kwa daimond sikuwahi kumuelewa tena.
@fabssaleh7273
@fabssaleh7273 Жыл бұрын
ASSALAM ALAIKUM WA RAHMATULLAHI WA WABARAKAATUHU. Tupeni nasaha umma unaangamia. Tufunzeni masheikh, Hii haileti picha nzuri upande wa pili.
@allyyussufshuwari4508
@allyyussufshuwari4508 Жыл бұрын
Alichokisema ni kweli wala hakumdhalilisha mtu
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 Жыл бұрын
Kwakweli huu ni ujinga na upotovu kwetu sisi maamuma maana hatujui nani wakumuamini, watu mnao jiita masheikh mnasutana kwenye mitandao!!sasa kama mna tofauti zenu kwanini msiende BAKWATA?? mbona mnatuonesha usanii kwenye mitandao au ndio mnatafuta kick??
@matolasalimo6630
@matolasalimo6630 Жыл бұрын
Shee kipozeo sio comedian hata kidogo, ila nyinyi watu wa sunna muna wivu2 baada ya kumpongeza kipozeo mawaiza yake.
@salummsei4725
@salummsei4725 Жыл бұрын
Kwa kipozeo ataangamiya tu kwakuwa analeta masihala katika dini ya allah
@hasanisaidishabani3879
@hasanisaidishabani3879 Жыл бұрын
Muogopeni munguuu
@sogoramwinshekhe1464
@sogoramwinshekhe1464 Жыл бұрын
Acha kuzungumza vitu usivyokuwa na elimu navyo
@romkasmabdall351
@romkasmabdall351 9 ай бұрын
Huwezi kushindana na kipozeo ni mwamba na pia namkubali mnoo
@mylastwords4you
@mylastwords4you Жыл бұрын
Assalam aleykum chunguni coments kabla ya kuandika hakika malaika wanarekodi matendo yetu tuwaache viongozi wetu watufundishe tutafute umoja kwa wote. Namuomba Allah atuongoze ummah muhammad.
@ramadhanijohoiddi2899
@ramadhanijohoiddi2899 Жыл бұрын
Apo kinachotakiwa wamenasa na mitihani ya masihi DAJAL MITIHANI yake ni kuwagombanisha kati yao na allah
@alibilali9944
@alibilali9944 Жыл бұрын
Hapo hakuna mafundisho, bali kuna mzozo baina ya hawa wawili, ndio cheikh anatuletea na kukiuka mafundisho, mtu harekebishwi kupitia mitandao
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Mtu kuchekesha nitatizo kwenye Dini mbona watu wengine anasikiliza kupitia kuchekasha tatizo liko wapi
@mtumwasamaki6911
@mtumwasamaki6911 Жыл бұрын
Upumbavu mtu hapana busara na hekma ya elimu ya dini
@allykisuda4568
@allykisuda4568 Жыл бұрын
Mirathi ya mtume ilikua ni elimu tu, na wala sio mnachokifanya,
@SWABRASWALEH-nc2lf
@SWABRASWALEH-nc2lf 4 ай бұрын
Hio maana ya khurafi ni nini? Mpaka waislamu waitane majina kama hayo
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 Жыл бұрын
Msimamo wa Hilali Shaweji juu ya khitma upo wazi mpaka leo Kipozeo Hakubali khitma usimzulie
@salummsei4725
@salummsei4725 Жыл бұрын
Wewe utakiwa na tatizo la akili hujitambui mchangiaji
@shabanimungazija7272
@shabanimungazija7272 Жыл бұрын
Sheh nyinyi ni watu wakubwa kama sheh kateleza inapaswa.uonane nae maana hakuna alie kamili ila hata yeye kipozeo nayeye ajaribu kuchunga maneno hayo
@majondejohali5259
@majondejohali5259 Жыл бұрын
Wengine piteni musichangie pls
@mohamedmohamedy8311
@mohamedmohamedy8311 Жыл бұрын
acha maelezo mengi....ww ungekuwa mwema ungemfata mwnyw ungemwambia*** sio kutoa km matangazo
@ayyamirubba5226
@ayyamirubba5226 Жыл бұрын
Huyo nimchekeshaji anafahamika
@ahmedrageahmedrage9134
@ahmedrageahmedrage9134 Жыл бұрын
Yaniii nyinyi wazushiii
@abuqusay8912
@abuqusay8912 Жыл бұрын
Uzayuni wa Uwahabi
@tysonpambakali9260
@tysonpambakali9260 Жыл бұрын
Shehe kuja kusema haya umu sio sehemu yake lejea maneno ya mungu na mtume unakosoa sio shelia
@sherallysherally1203
@sherallysherally1203 Жыл бұрын
Utazama ^^^^ correction
@lugomemtamayaye9508
@lugomemtamayaye9508 Жыл бұрын
Kipozeo ni mnafiki,
@sogoramwinshekhe1464
@sogoramwinshekhe1464 Жыл бұрын
Acha kuhukumu watu wewe
@salimbaalwy9388
@salimbaalwy9388 Жыл бұрын
ALLAAH YAHDIYNAA
@masudimwinyi7301
@masudimwinyi7301 Жыл бұрын
Mnaacha kutufundisha dini yetu tuielewe mnabaki kutubabaisha tuu waislam acheni kutubabaisha beans mnaacha kuongea na kukemea mambo ambayo Allah anayakataza mnagombana gombamba ovyo tuu
@kitengeayoub2649
@kitengeayoub2649 Жыл бұрын
Badala ya kuanika mambo azalani ungemfuata Shekh wote ni wamoja masheikh mnazngua
@abdulazizmapendano4692
@abdulazizmapendano4692 Жыл бұрын
Acheni na ma sherhe nyinyii tafuteni elimu!!
@mayangeramadhani8497
@mayangeramadhani8497 Жыл бұрын
Ukweli huwa unachomachomaaa ....
@ibrahimcharlesswaleh
@ibrahimcharlesswaleh Жыл бұрын
Halafu wakati wa MTUME S.A.W haya makundi yalikuwepo? Wakati wa Ukhalifa haya makundi yalikuwepo? Wakati wa Maimamu wakubwa wanne haya makundi yalikuwepo? Tufumbuke macho waislamu. HIZI NI DALILI ZA KIAMA.
@ruu6592
@ruu6592 Жыл бұрын
Aibu
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Жыл бұрын
Shegh hilali kapinga maulidi ila hajapinga watu,,,,sababu hata wakristo tunakaa nao ila alichokipinga ni kipengele katika uislamu na alishasema yeye kazi yake nikufikisha ujumbe tu kuongoa ni kazi ya muumba
@neemafatu471
@neemafatu471 Жыл бұрын
TU.uogopeni Allah.
@mhomboedward7200
@mhomboedward7200 Жыл бұрын
Shehe ilikuwa haina haja ya kulalamika kwenye mitandao mnalumbana au kusutana waumin watanyanye Nini tumieni hekeima ktk utumishi wenu!!!
@omaryissa2562
@omaryissa2562 Жыл бұрын
Mbona yeye amemtaja kwenye halaiki ya watu
@ramadhanimasalanga6310
@ramadhanimasalanga6310 Жыл бұрын
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatu'hu Mnachofanya ninyi wenye ilmu ya Dini sio sahihi na Allah hapendi Ni kwamba kila mmoja wenu ameshindwa kum'face mwingine na kusema sheikh hapa umekosea? Si ndivyo Uislamu unataka hivyo? Sasa wa mwanzo anamsema mwinzie kwenye social media, na mwingine anamjibu mwingine kwa social Sasa huku si kuchambana huku ninyi masheikh? Mnatufundisha nn sasa?
@user-xf9or5cv1d
@user-xf9or5cv1d Жыл бұрын
Mashekh kaeni pekee enu mjadiliani sio hivi mnayo fanya mnachekwa dini ya pili muwe na akili
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Kama kakukosea msamehe na yeye akuombe radhi kwa kukukosea
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Жыл бұрын
,haki anaijua e 18:42
@adamwilliam8103
@adamwilliam8103 Жыл бұрын
Me nilidhabi haya mambo ya kujibizana yaliisha isha . Tupeni elimu waumini haya mambo ya kujibizana hayana tija
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Kipozeo njaa inamponza
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 Жыл бұрын
Sahihii
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 11 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 21 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 198 МЛН
HIZI NI ZAMA ZA MWISHO //SHEIKH KIPOZEO
18:11
arkas online tv
Рет қаралды 6 М.
FATWA | MJAMZITO AMEFARIKI, JE ANAZIKWA NA MTOTO WAKE? | SHK. MOHAMMED AL-BUSAIDY
7:41
Masjid Al-Tawba Makorora Tanga
Рет қаралды 11 М.
MISIMAMO YA MASHEIKH  DHIDI YA USHIA KUNAKO MANENO YA SHEIKH MZIWANDA
28:05
Je! Sheikh Kishki ni Salafy? | Sheikh Salim Barahiyan
7:56
IHSAAN TV
Рет қаралды 31 М.
MBUNGE KHATIB AICHANACHANA BAKWATA, AULIZA MASWALI MATATU MAZITO
11:07
Mwananchi Digital
Рет қаралды 167 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 11 МЛН