Alhamdulila Ustadth Said una utaratibu na utulivu kwa kukuilimisha MASHAA ALLAH
@HassanOmary-n5u3 ай бұрын
maalim said nimwamba
@bafaaabuu Жыл бұрын
Baarakka allah shekh bachu allah akuhifadhi uzidi kubainisha haki mm nilikua mtu wa maulidi nimetoka kwani nimeona hawezi kutetea maulidi kwa hoja niwazee wa kukwepa2
@shilingi-Ahmadi Жыл бұрын
Hahahahahahah 😂😂😂😂mwenye haki ajikojolea
@blazeking2331 Жыл бұрын
@@shilingi-Ahmadipima ujuwe ukweli hii ni dunia ya utandawazi
@NafisaAhmed-g9k Жыл бұрын
@@shilingi-AhmadiAlokojowa ni babako
@AbdulkariimBeda Жыл бұрын
Kapige ngoma said acheni ushirikina
@MuhidiniNassor10 ай бұрын
Inauma lakini ndo dawa poleni miwahabi
@hassanmussa285911 ай бұрын
Bachu wazuzue mazuzu wenzako tuuh sio
@SALUMKHALFAN-z4fАй бұрын
SHEKH SAID اطال الله بقااك PIA ANAETAKA KUJUA WANAOMPINGA ALLAH NA MTUME SAW ANDIKA KTK UTUBE RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
Nakupend shekh umetutulizia. Mtu
@Maher-zp5fi7 ай бұрын
Huyu ni shekhe gani wa kupiga mananda na gitaa acheni upuzi banah hawako sawa hata siku moja
@mirajiramadhani8128Ай бұрын
Bachuu bado mdogo kielimu hana elimu ni vizur akasome.
@jumabinabeid5778 Жыл бұрын
Dah! Mashekh sijui wakipata nn katika haya maulid mpak wayalinde hivi ni kwel unafuata ya mashekh zako kuliko muongozo alioletewa mtume muhammad swalallah alayh wasalam hakikutoshi ukiengeza jambo katika dini ya kiislam jua ww unasema mtume muhammad swalallah alayh wasalam hajui ww muongezaji ndio wajua zaid ya yake
Huyo ustadh said ni msanii tu maana mwenye elimu hapigi twari la mziki
@Salimsaid-nk1qv9 ай бұрын
Sawasawa
@IbraFareed7 ай бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO Ustadh said akaamua atoe hadithi inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU, MUANDISHI, KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث
@HemedSerious2 ай бұрын
Ust. Saeeeeeeeeeeeed, yani nukta ya kwanza tu
@AbdilahJahaKhamis Жыл бұрын
Uyi sheh mchuz kwel..hamtomueza bachu man yy yup ktk haki nyiny mnaporoja tu

@BinSultan-t5gАй бұрын
Uyu alouliza swali si ndo yule jamaa anaepiga kinanda au nimemfananisha
@khamisdoka10711 ай бұрын
Ustadh Said looked so clueless in the whole debate, acted in a disingenuous manner and engaged in strawman argument. May Allah (SWT) bless Sheikh Bachu.
@IbraFareed7 ай бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO Ustadh said akaamua atoe hadithi inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU, MUANDISHI, KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث
@abouswaleh73757 ай бұрын
Where are you akhy
@maryamsulemani2024Ай бұрын
Mashaallah
@kumbukatv6506 Жыл бұрын
Wasoma barzanji wote hamuna huja ju ya maneno ya sheykh jafari,
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Ndio maana Bachu akajikojolea
@abouswaleh73757 ай бұрын
Watoe wapi sasa??
@ahmadSeif86011 ай бұрын
Mpumbavu tu huyu kijana wa bachu
@musakibwana4596 Жыл бұрын
Kiboko ya bachu. Mafidhuli, Jeury, Viburi, Kujitukuza na kujitia peponi wenzao motoni. Kimnya leo kikomo!!!!!
@Salimsaid-nk1qv9 ай бұрын
Mbona maswahaba hawakufanya hicho unachokitetea ?
@IbraFareed7 ай бұрын
Wanazuoni wamesema mtu asiekuwa na elimu husema maneno haya
@Salimsaid-nk1qv9 ай бұрын
kakimbia kakuona ww huna elimu na huelewi maana unataka ushahidi gani wakati hicho kitabu chake ww ushakisoma na kina maneno ya uongo, barzanji mwenyewe kashathibisha kwenye kitabu,au ulitaka mpaka hadithi ya mtume?hebu tumia akili yako ushahidi kashautoa sheikh barzanji ktk kitabu
@IbraFareed7 ай бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO Ustadh said akaamua atoe hadithi inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU, MUANDISHI, KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث
@jamalabdillahi35757 ай бұрын
Huyu jamaa ni mtupuu...Bachuu Yuko juu
@MuhidiniNassor6 ай бұрын
@@jamalabdillahi3575juu ya bati
@KassimSaary11 ай бұрын
Tia akilii usitupake rangi saidi tumejua niwapi wafuatao ile ALLAH KASEMA, MTUMEKASEMA, na jopo lenu la kuna ubaya ganiii, hakina neno fanya tu, my friend tumepata ufahamu mkubwa, tumejua barzanji and story zake
@ABUUSHURAIM5 ай бұрын
Mwanazuoni au jitu la bidaa
@obirosalim8 ай бұрын
Nyinyi watanzania Dini ya kiislam mumeifanya Simba na yanga Allah awaongoze 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mohamednoti14018 ай бұрын
Yan wanakera sana
@islamswaleh51857 ай бұрын
DJ
@habibmohd8008 Жыл бұрын
Hapana swali apo
@IbraFareed7 ай бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO Ustadh said akaamua atoe hadithi inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU, MUANDISHI, KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث
@asifznz Жыл бұрын
Hajakimbia bachoo kakimbia huyo mpiga kinanda hoja hatamoja hajajibu masaa 2 ,bachoo kauliza kwenye barzanji kunauongo kibao ,sasa thibitisheni hakuna ,hawamkujibu badala yake huyo said kasema wewe unasema barzanji mwongo bachoo kasema ndani ya kitabu cha BARZANJI KUNA UWONGO KIBAO NA KWELI KUNA UWONGO KIBAOOOOOOOOOII😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@naimasheikh3055 Жыл бұрын
Sasa kitabu kitakuwa uongo na aloandika asiwe mrongo. Kasome kijana. Bachu ameshindwa kujibu suali. Angekuwa amejibu tu sijui akaona jawabu kutoka kwa said zitakuwa vp. Lkn ana kibri sana hata bila kujua kuwa kusema sijui simakosa kielimu bali ni kunufaika na kuongeza ilimu kwa kupata maelezo mapya au kuongeza kwa unayo jua. Yeye ndio amekosesha watu fursa ya kupata ilimu. Maana agesema tu sijui. Imma angeweza kumshika said kwa maneno yake au angeshikwa yeye
@mkude Жыл бұрын
@@naimasheikh3055Bachu yupo sahihi amethibitisha uongo ndani ya kitabu Cha barzanji Said anataka ajibuwe ulamaa gani anasema mtu muongo.bachu amesema hakuna ulamaa anaemjadili mtu bali wanajadili kilichoandikwa.hapa ni usanii tu wa kukwepana hakuna lolote.
@mrishopoyo26 Жыл бұрын
Swali gani hilo huo ni upumbavu
@mrishopoyo26 Жыл бұрын
Nimekupenda mtazamo wa bachu kaonyesha usomi wa hali ya juu. Sio huyo Said anajaribu kubana swali pasipo kuwa na mantiki na utaratibu wa mjadala
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Waislamu tunamacho na tumeona aliokimbia, usishereheshe uwongo, hakuna majaaz Leo ni KIPONDO tuu.
@KassimSaary11 ай бұрын
I wish bachu 2 kam Tena atoe matapeli wa kuvaa kanzu na kofia pamoja na matwari na pepo wanayo mfukoni
@mohamedswalehe44428 ай бұрын
Huyu nimwamba bwana kijana mdogo Ustdh سعيد
@MusaYusuphu-y2l Жыл бұрын
Kutumia hadithi munkar katika historia ya mtu mtukufu Kama mtume haifai,,labda kwa masufi Kama nyinyi
@musakibwana4596 Жыл бұрын
mumepea nafasi mutoe hadhiti iunge hojan yenu ZII, hamuna lugha za msubua Bachu katiwa shule leo. Ajifunze hsima, eti kumi bora, hata balagha hana masikini
@IbraFareed7 ай бұрын
@@musakibwana4596 MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO Ustadh said akaamua atoe hadithi inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU, MUANDISHI, KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث
@willysospeter92706 ай бұрын
Mada ni Uongo ktk Barzanji sio Wanazuoni wanasemaje kuhusu maneno ya uongo. Kumbe Makhulafi mko wengi.
@SALUMKHALFAN-z4fАй бұрын
ANDIKA RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA? UONE WANAOMPINGA ALLAH NA MTUME SAW
@MbwanaRunza20 күн бұрын
Bacho hata nahau hakasoma
@NyanyaMbuli6 ай бұрын
BACHU MAKOJO KAONA MBALI KUKIMBIA MDAHALO MAANA ANGEJINYEA
@mohammedmasudi-dz6hb6 ай бұрын
UNATOA USHAHIDI WA UWONGO UKISIMAMISHWA NA ALLAH UTOE USHAHIDI MBELE YA MOLA WAKO JE UNALO LAKUMJIBU MOLA WAKO?
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@KombHaji-dr5pd5 ай бұрын
bachu nimbumbumbu
@bafaaabuu Жыл бұрын
Bachu anashindwa na wajinga2 kama hawa ambao hawana elimu ndio maana wenye elimu walitoka wakawaacha wajiga na ujinga wao kashidwa kutetea bas hata moja
@IbraFareed7 ай бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO Ustadh said akaamua atoe hadithi inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU, MUANDISHI, KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث
@barakasimon2075Ай бұрын
Awa watu wametengenezwa maksud na mazayuni hili kuleta mafundisho mapya kwa waislam
@hassanmussa285911 ай бұрын
Ita mjadala mwengine bachu ugaragizwe tena
@MuhidiniNassor10 ай бұрын
Hajaumwa harejei teeeeeeena
@ABUUSHURAIM5 ай бұрын
Jitu la bidaa auna uanachuon wowote
@sabdiduwil8436 Жыл бұрын
Wewe twarika swali kwako mtume kaandika kitabu gani?
@IbraFareed7 ай бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO Ustadh said akaamua atoe hadithi inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU, MUANDISHI, KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث
@abdurahimabdulkadir3926 Жыл бұрын
Elimu gani umewaangusha watu wa mtwari waambie wanafunzi ukwely juu ya maneno ya barzanji
@shilingi-Ahmadi Жыл бұрын
Njoo tukusomeshe
@abdurahimabdulkadir3926 Жыл бұрын
@@shilingi-Ahmadi sawa nisomeshe maulidi ilianza lini?
Hapo hajakimbia Ila wewe ulikuwa ynapoteza muda kwa kunga,,'ngania swali ambalo sisi wasikilizaji hatukupata faida yoyote kuwa barazanji cio ushirikina Wala uwongo,Ila barazanji ndani yake mna ushirikina na uwongo'kama sivyo wew thibitisha kwamba hakuna ushirikina Wala uwongo,yeye amesha thibitisha kwa hoja na tumemuelewa amesema kweli,wewe Bado hujathibitisha
@sadaali3207 Жыл бұрын
Kisha wanajiona ni washindi. Imagine mimi nilikuwa ni mtu wa maulidi, but sasa maelezo ya bhachu nimeyaelewa. Nilikuwa na expect ataeleza na sisi tuelewe.
@MuhidiniNassor10 ай бұрын
@@sadaali3207wapo waislamu husema wameuona ukweli upo kwa yesu na huritadi wewe huna maajabu
@kitosio4 ай бұрын
Kiongozi yaani unajisifu kwa Bidaa ambayo kiongozi mkuu na Best na aliyechanguliwa na ALLAH na waliobashiriwa Pepo pia hawakuufanya Uvundo. Kwa Ujinga mkubwa unajisifia na Uovu tena bila kuogopa Laana ya ALLAH. Umepindukia Mipaka ktk kanuni ya Uislam kujisifia kwa Dhambi. Kama hamufahamu Nani mlitakiwa kumfuata ktk maisha yenu yote Kwanza waulizeni wanaojuwa.
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
Yeye angejibu tu sijui
@mohdkhamis257 Жыл бұрын
Kisha anafanya mjadala aende akapige ngoma ndio mambo yake hayo
@NyanyaMbuli6 ай бұрын
SWALI MOJA TU BACHU KAJIKOJOLEA LAPILI SIJUI INGEKUWAJE😂
@mohammedmasudi-dz6hb6 ай бұрын
UNATOA USHAHIDI WA UWONGO UKISIMAMISHWA NA ALLAH UTOE USHAHIDI JE UNALO LAKUMJIBU MOLA WAKO?
@irshadabuhafsi65856 ай бұрын
Ukishindiana na mjinga lazma akushinde ndio hii sasa. Huyu hana elimu na hajijui kama hana elimu Bachu hawezi kushindana na watu wasiokuwa na elimu
@HasnaaAli-rc8nw Жыл бұрын
Siku moja utakiri unakosea kuzua urongo Utakaa hapohapo maana elimu ulo nayo na ya vinanda tu huna jipya Wewe mbona hukujibu siku zote debe tupu haliachi kupiga kelele
@IbraFareed7 ай бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO Ustadh said akaamua atoe hadithi inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU, MUANDISHI, KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث
Mpumbavu ni yule lilomshinda suala Moja tu na kusema hajui hawezi
@Salimsaid-nk1qv9 ай бұрын
Ww huna akili VP unapewa ushekhe? VP unakataa kama barzanji si muongo wakati mambo aliyoyaandika kwenye kitabu si ya kweli ,mfano barzanji kwenye kitabu chake anasema wakati mimba ya mtume ilivyoingia wanyama waliongea mbona hii mtume mwenyewe hajatuambia ,kama barzanji si muongo hayo maneno kayatoa wapi?,na anasema wakati mtume anazaliwa alihudhuria mariam bint imran na Asya pia
@ABUUALLY-tv8rl9 ай бұрын
Acha kuandika porojoo Lete andiko linalodhibitisha uwongo wa barzanji ? Alafu kuongeaa Kwa wanyama la ajabu ni lipii kwahiyoo wewe unakataa kwamba wanyama hawaongei ? Na wakati qur Ani inasema kwamba wanyama wnaongea! Tatizo lenu nyinyi mawahabii kusoma hamutakii mumejaa ujingaa tuuu😂😂
@Salimsaid-nk1qv9 ай бұрын
@@ABUUALLY-tv8rl Tatizo yy barzanji katoa wapi kama wanyama waliongea ?wakati mtume mwenyewe wala mamake hawakusema,pia anasema wakati anazaliwa mtume mariam na asya mke wa firauni walihudhuria,je hapo VP au munakaririshwa,tuambie mtume alizaliwa mwaka gani?
@abouswaleh73757 ай бұрын
@@ABUUALLY-tv8rlHUJIELEWI WEWE MPAKA WAJINGA WANAELEWA WAKIAMBIWA WALETE MANENO YA MTUME WETU JUU YA YEYE KUJITHIBITISHIA KUWA MIMBA YAKE WANYAMA WALIONGEA....NAAAM MSILETE PROPAGANDA LETENI HADITHI
@OmarAlly-iz8ot10 ай бұрын
Wapumbavu na wajinga wakubwa, njooni tena mujaribu eti munataka mjadala na wasomi mtajinyea hadharani masufi wa ovyo nyie
@MohammedAlahdal-hs9vm2 ай бұрын
Njooo wewe ama yoyote unae mtaka twawataka wasomi wenu wacheni kujificha tefuteni mada yoyote wacheni kelele
@zumemooha65044 ай бұрын
IVI NYINYI WAISLAM BAADA YA KUONGELEA MAUAJI YA NDUGU ZETU HUKO GAZA MNQONGELEA POROJO
@kumbukatv6506 Жыл бұрын
Pia tizameni gisi munatupitisheya mda sheykh wenu Saidi... Oh mm nabaki tu pale pale tu na swali langu, elimu ya bacho ame wazidi 😂
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Saidi alikimbia hoja za sheikh Muhammad bachu kiujanja
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
6aliokimbia kaonekana, usitufanye vipofu kwa uwahabia wako na hali tunayo macho
@mohdkhamis257 Жыл бұрын
Mimi naona wote wanaofanya mjadala hawana elimu huyo bachu hajui jambo na huyo ustadh said na yeye bado maana mtu mwenye elimu hapigi twari la mziki wote majaahil
@ShurayfuHamis Жыл бұрын
Pole sana kwakutukana taka msamaha kwa Allah
@HassanAlly-k2p10 ай бұрын
Bacho kanyonye maana bado hujakua
@RayRey-ji1em Жыл бұрын
BACHO UMETUANGUSHA SANA KUMBE UMEBANWA HADI UMEKOJOA KWA KTI😢😢😢😢😢
@jumamahmoud9271 Жыл бұрын
maneno yako yamehifaziwa utakuja kuyakuta utakapo kutana na mola wako
@AhmadMassoud-pp8qz Жыл бұрын
And you too
@MuhidiniNassor10 ай бұрын
@@jumamahmoud9271wewe yako unahifadhi mwenyewe
@ABUUALLY-tv8rl9 ай бұрын
@@jumamahmoud9271😂😂😂😂 mawahabii wanavituko nyinyi munotukana masheikh wa waislamu wenzenu mupoo sawa Wala hamutoulizwaa ? Akiambiwa bachu kakojoa mumekaairika 😂😂😂
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
Unakimbiaje. Kwenye mujadala. Aibu hii bachu
@blazeking2331 Жыл бұрын
Sasa ulikiwa wataka aendelee kukuaa na wajinga nae awe mjinga kukaa hapo ni kama kushindana na ng’ombe
kzbin.info/www/bejne/aZCzfH2EerV3fq8si=wB2UoRBlBIhRGuv9 Uovu wa mawahabi wathibitishwa
@sadambakari2579 Жыл бұрын
Kwa wenye ilimu bachu kajibiwa hoja zote kwaswali lake moja tu maanake barazanj ni sira zamtume pamoja na hadith, sasa kama keshajua hizi nihadith munkar ndio kaulizwa wanawachuoni waliotumia katka vitabu vyao hadith munkar niwaongo au vitabu vyao niurongo? Simple question hapo akatafuta mlango wakutoka mombasa
@MuslimYouthman8 ай бұрын
Pointi ni moja tu kama uislamu umekuja kwa mtume na maswahaba zake na hawakuwahi kufanya hayo ya maulidi hizi bla blaa zingine zinatoka wapi kwa hiyo unataka kusema wewe una elimu kuliko wema waliokutangulia ?Muislamu yeyote anayejielewa jibu analo
@omaryfiqh29068 ай бұрын
Pole
@mussaissa67966 ай бұрын
UMEKARIRISHWA TU KWANI AINA ZA MAPOKEZI KUTOKA KWA MTUME S.A.W ZIMEKUJA KWA NJIA NGAPI?,
@MuslimYouthman6 ай бұрын
@@mussaissa6796 lete hadithi moja tu kuwa mtume aliyafanya hayo kama unasema kweli
@HemedSeriousАй бұрын
Kielimu zaidi mwehu kumbuk ilo
@NasibuJuma-e6u8 ай бұрын
Wewe huna elimu umeshindwa kutetea maulid
@IbraFareed7 ай бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO Ustadh said akaamua atoe hadithi inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU, MUANDISHI, KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm5 ай бұрын
Acha upuuz wako Kila kukicha huna jipya mtandaoni Kila siku waja na mambo Yale Yale ya zamani tu Kila Leo ni mijadala ya kupambana na bachu inamaana huko kusoma kwako umemsoma bachu? Ifikie wakati ujifunz kufikisha ujumbe wa elimu sahih kwa jamii, watu wapate elimu na inafahamika kabisa waislam ni Wachache wenye kuijua dini Yao alaf unakuta waislam Wachache waliokula ugali na kushiba wapo kweny mabishano na kukosoana kwanin msianzishe hata madarassa online kama kwer mmesoma dini? Mpo na magroup mangapi ya Whatsapp ya kufundisha dini juu ya kile mlichokisoma? Kwann mnashindwa na Malaya wa mitandaoni Wana hadi magroup Yao yanazagaa tu mitandaoni wanatangaza uchafu wao nyiny mpo kweny malumbano tu ya kile msichikijua Hali ya kuwa mnajifanya mnajua kumbe hamna kitu
@masudbasra5668 ай бұрын
Huna chochote unachokijua zuga tuu elimu nikutowa ufafanuzi sio ubishani
@IbraFareed7 ай бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO Ustadh said akaamua atoe hadithi inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU, MUANDISHI, KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
Aibu hii bachu
@SalimSalim-z9n Жыл бұрын
Mjinga sana bachu Kai PATA pata
@AbdilahJahaKhamis Жыл бұрын
Mjinga ww na ao wenzio munacheza cheza et mwamsif mtume