JE, UNAJUA UNAWEZA KUWAPANDISHA DARAJAWAZAZI WAKO WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI? - MUHADHARA

  Рет қаралды 35,950

Kishki Online TV

Kishki Online TV

2 жыл бұрын

JE, UNAJUA UNAWEZA KUWAPANDISHA DARAJAWAZAZI WAKO WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI? - MUHADHARA
MASJID QIBLATAIN ( KARIAKOO - DAR ES SALAAM, TANZANIA)
MUBASHARA KUANZIA SAA 12:45 JIONI_IN SHA ALLAH
NA_MHADHIRI WA KIMATAIFA SHEIKH NURDEEN KISHK
KZbin: / @kishkionlinetv
Facebook: / sheikhnurdinkishki
Twitter: / sheikh_kishk
Instagram: / sheikh_nurdeen_kishk

Пікірлер: 135
@rahmaally5128
@rahmaally5128 2 жыл бұрын
Allah awawek wazazi wetu awajaz afya na siha njema nasi allah atuzidishie zaid kua wototo wema kwa, amiin amiin amiin
@sakinat2527
@sakinat2527 2 жыл бұрын
Allahumma Amiin yaa Rabb
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 2 жыл бұрын
Allahummah Amiin ya Rabbil Allamin habibty #rahmaally hujambo
@rahmaally5128
@rahmaally5128 2 жыл бұрын
@@user-ws9ek8dj5n alhamdulillah hope nawe u r doing ok
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 2 жыл бұрын
@@rahmaally5128 Alhamdulillah i thank ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA am doing fine too my dear
@rahmaally5128
@rahmaally5128 2 жыл бұрын
@@user-ws9ek8dj5n masha Allah gud 2 hear
@najmasailan1071
@najmasailan1071 2 жыл бұрын
Alhamdullilah Allah akujaalie kheir ya Dunia na Akheira ww na wazazi wako na wangu na wa ummaty Mohammad swallallwahu a3lyhy wassallam.Amin
@rahmaally5128
@rahmaally5128 2 жыл бұрын
Amiin amiin amiin
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 2 жыл бұрын
Aamin yaarab
@aminakaruwa206
@aminakaruwa206 2 жыл бұрын
Amyn Yaa Rabby🤲
@latifachepa4435
@latifachepa4435 2 жыл бұрын
Subhanallah. Yarabi Wahurumie wazazi wetu kama walivotuhurumia tukiwa watoto wadogo
@ramadhaniamour4834
@ramadhaniamour4834 2 жыл бұрын
Amin
@rusirusi771
@rusirusi771 2 жыл бұрын
@@ramadhaniamour4834 ameen thumma ameen
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 2 жыл бұрын
Allahumma aamin yarrab
@mariamathumanndugu5039
@mariamathumanndugu5039 2 жыл бұрын
Aamin
@halimahussein3635
@halimahussein3635 2 жыл бұрын
Sheikh Allah akupambe kwa swiha njema ajalie pepo ndio makazi yako na waumin wote
@sakinat2527
@sakinat2527 2 жыл бұрын
Amiin Amiin Amiin
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 2 жыл бұрын
Allahumma Ameen 🤲
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 2 жыл бұрын
Shukraan na sifa zote zimuendee Muumba mbingu,ardhi na vote vilivomo ndani yake ALLAH SUBHANAHU wa TA'ALA
@khalfansuleiman6206
@khalfansuleiman6206 2 жыл бұрын
MAASHAALLAAH ,SHEIKH WETU ALLAAH AKUPE UMRI MREEFU WENYE MANUFAA KTK DUNIA NA AKHERA YAKO NA ALLAAH ATUJAALIE MWISHO MWEMA
@sakinat2527
@sakinat2527 2 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@yahyandalama2741
@yahyandalama2741 2 жыл бұрын
Maashaallah sheikh wetu kishk
@jasminhassan6971
@jasminhassan6971 2 жыл бұрын
Allah Humma Aamiin
@najmasailan1071
@najmasailan1071 2 жыл бұрын
Leo nimefurahi kujuwa jitihada yng juu ya duaa na swadaka zngu Kwa Marehemu wazazi wngu zinawafikia na Allah awapandishe Darja juu zaidi wakae na Amani na waniombee nami msamaha na wawe radhi juu yng kwani nami nataka msamaha wao mbele ya Allah. Jazakallahu Khair Amin
@abuialmarjibi979
@abuialmarjibi979 Жыл бұрын
Amin yaarab
@aminaramadhani6969
@aminaramadhani6969 2 жыл бұрын
Shukuran sana sheikh jazzaka Allah heli Allah akulipekilaheli in shaallah
@radhiaoman9828
@radhiaoman9828 2 жыл бұрын
Subhannallah Allah tujaalie tuwe wenye kuwathamini wazazi wetu na kuwatendea wema
@aminakaruwa206
@aminakaruwa206 2 жыл бұрын
Amyn Yaa Rabby 🤲
@mariamathumanndugu5039
@mariamathumanndugu5039 2 жыл бұрын
Aamin
@fat-hiyaali4723
@fat-hiyaali4723 2 жыл бұрын
subra ngumu lkn ina malipo ya rabbi tujaalie tuwe miongoni mwa wenye kufanya subra amiin
@fatumahamis9206
@fatumahamis9206 2 жыл бұрын
Alah akuzidishie umri akuhifadhi hapa duniani na kesho akhera tuwe pamojja na Wazazi wetu aamin
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 2 жыл бұрын
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh maasha ALLAH tabaraka ALLAH sheikh #nurdeenkishk MWENYEZI MUNGU akuhifadh akupe nguvu na ujasiri wa kuilingania Dini ya Haki kiukweli tunafaidika Ummah mzima atuongoze katika swiratal mustakeem na atujaalie mwisho mwema sote
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 2 жыл бұрын
Allahumma Amiiin Amiiin Amiiin
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 2 жыл бұрын
@@zainabmaulidi9846 amiin ya Rabbil Allamin habibty
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 2 жыл бұрын
@@user-ws9ek8dj5n Amiiin
@sakinat2527
@sakinat2527 2 жыл бұрын
Amiin Amiin Amiin
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 2 жыл бұрын
@@sakinat2527 amiin ya Rabbil Allamin habibty last born vipi hali yako
@mariamjuma3049
@mariamjuma3049 2 жыл бұрын
Shukran sheihk kwa kutukumbusha na hili wengine tulikuwa hatujui maana yake Allah akujalie umri mref ili uzid kutukumbusha amiin
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py 4 ай бұрын
Mash Allah tabarak Allah feeq, Jazzak Allah kheri shekhe.
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 10 ай бұрын
Allah akuifadh sheikh wetu
@a.856
@a.856 2 жыл бұрын
Amin amin amin
@zainabrashid385
@zainabrashid385 2 жыл бұрын
Allah atujalie tuwe wenye kiwaombea dua wazazi wetu na kiwatolea sadaka inshallah
@aminaramadhani6969
@aminaramadhani6969 2 жыл бұрын
Subhanaallah Allah atuongonze kwahaya in shaallah
@fat-hiyaali4723
@fat-hiyaali4723 2 жыл бұрын
kuondokewa kugumu ya rabbi tujaalie subra juu ya hili hadi shk unaniliza wallah ya rabbi wafanyie wepesi wazazi wote waliotangulia mbele ya haki amiin amiin
@moisefifi
@moisefifi 7 ай бұрын
Allahumma Amiiiyn 😢😢
@moasitymemo9894
@moasitymemo9894 5 ай бұрын
Allahuma Amiin yaraabilghalamin
@mwanakombohamisi8025
@mwanakombohamisi8025 Жыл бұрын
Ahsante sheikh wetu kwa kukutumbusha Allah akulipe kila la kheri na akupe umri mrefu tuzidi kuelimika
@mwanamkuuali7212
@mwanamkuuali7212 Жыл бұрын
Ma sha Allah Tabaraqa Allah. Shukran ustadh.
@a.856
@a.856 2 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@ashaomar6345
@ashaomar6345 2 жыл бұрын
MashaAllah Allah akuhifadhi sikuzote akupe darja ya Pepo ya juu na atupe na Sisi
@halimahussein3635
@halimahussein3635 2 жыл бұрын
Yaa Rabbi tujaalie tuwe wenyekuwatendea wema wazazi wetu Aamiin
@latifaali5874
@latifaali5874 2 жыл бұрын
Aaamyn
@gooleserviceyoutubescandar3450
@gooleserviceyoutubescandar3450 Жыл бұрын
M/Mungu atujaaliye tuwe kati ya mashahidi waja wema amin.
@salmatanzania2754
@salmatanzania2754 2 жыл бұрын
Alhamdulilah, shukran. Allah akupe kila la kheri duniani na kesho akhella
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 2 жыл бұрын
MASHA ALLAH
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 2 жыл бұрын
Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh habibty gulby umeamkaje leo
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 2 жыл бұрын
@@user-ws9ek8dj5n waalaykum msalam waramatullah wabarakatu Alhamdhulilah sijui nawe
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 2 жыл бұрын
@@rehemasalim4590 Alhamdulillah kwangu kwema pia ya ukty
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 2 жыл бұрын
@@user-ws9ek8dj5n Waalykum salaam Warhamatulah wabarakatuh Alhamdulilah Hof kwak mazedzed wang
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 2 жыл бұрын
@@zainabmaulidi9846 Alhamdulillah nashukuru mi mzima habibty wangu
@rahmanassur7648
@rahmanassur7648 2 жыл бұрын
Mashaallah tabarakallah skeikh Kishki
@Zamdayusuph-qb3lk
@Zamdayusuph-qb3lk 21 күн бұрын
Ewe mwenyezimung tujaaliye tuwemiongoni mwa wenyekuwaombea duwa wazaziwetu na kuwafanyia kila jema mpakakufakwao sis pamoja na vizazi vyetu vijavyo
@zainabrashid385
@zainabrashid385 2 жыл бұрын
Yaarabi wajalie wazazi wangu wawe miongoni mwa waja wa pepon amiiina
@nuriatihdjasumin1548
@nuriatihdjasumin1548 2 жыл бұрын
Asalam alaykum waramatulah wabarakatuh shukurani 🙏 ♥️ mungu awalipe mema mashaallah 🙏 ♥️ Allah akibaru mungu atujaliye mwisho mwema 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@shinayzashiraaz4588
@shinayzashiraaz4588 2 жыл бұрын
Jazakumullah kheir, Allah akuzidishie elmu uzidi kutuelimisha🤲
@hamilhashir4452
@hamilhashir4452 2 жыл бұрын
Masha Allah jazaka Allahu lkhair unamawaiza mazuri sn natamani darsa lako nilete watoto wng ila nipo mbali sn
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 2 жыл бұрын
MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH habibty #khadijaali
@fatmaabdilahi1007
@fatmaabdilahi1007 2 жыл бұрын
Rabighfirly waliwali dayni warhamhumakamarabayani swaghira 😭😭
@gooleserviceyoutubescandar3450
@gooleserviceyoutubescandar3450 Жыл бұрын
M/Mungu atujaaliye tuwe miongoni mwao amin.
@user-gv6sm9uw2d
@user-gv6sm9uw2d 2 жыл бұрын
shukrani sheikh Allah akupe mwisho mwema na waslam wote amin Ya Rabbi
@Matari-Matari
@Matari-Matari 2 жыл бұрын
Jazaakallaahulkhayra
@tatunjenje5365
@tatunjenje5365 2 жыл бұрын
Amiin
@somoelipunjaje1033
@somoelipunjaje1033 2 жыл бұрын
Haaaaaa!! Alhamdulillah kwa ukumbusho Allah akuifadhi Nimepata elimu kubwa sana
@saudambinga3832
@saudambinga3832 2 жыл бұрын
🇴🇲🇴🇲 shekhe Allah akujaalie umri mrefu afya njema furaha itawale maisha Yako pamoja na wazee wangu Insha Allah, mada nzr shukran sana
@seonbleaser5639
@seonbleaser5639 Жыл бұрын
Yaa rabbi hatujalie tuwafanyiewema wazazi
@johntay8813
@johntay8813 2 жыл бұрын
Mawaidha mazuri tutazidi kuwaombeya kilasiku Shukran kwakuzidi kutuelimisha mengi mema Allahumma Amiiin
@aisharazak3511
@aisharazak3511 2 жыл бұрын
YaaAllah tuongoze katika njia njema
@najmasailan1071
@najmasailan1071 2 жыл бұрын
Wa'leykum salam warahmatullah wabarakatuh Alhamdullilah. Barakallahu fik
@manishhassan05
@manishhassan05 2 жыл бұрын
Salaam 🙏 Mashaallah Tabarak Allah 🤲 Shehe wetu kipenzi chetu💖 more ❣❣from 🇰🇪🇰🇪 Barak Allahu Fiiq🤲
@aishasaid4560
@aishasaid4560 2 жыл бұрын
Allah Akbryy
@muhammedshaban5163
@muhammedshaban5163 Жыл бұрын
Mashaallah
@mwanamkuurashid7782
@mwanamkuurashid7782 2 жыл бұрын
Alhamdulilah wallah shekhe wazaziwangu walishatangulia mbele ya haki lakini kabla yahili darasa lako nilikua nikihiomba hii dua wallah nilijiwandotoni mama yangu anafuraha ukunikiwa nimelaza kichwa changu kwenye mapaja yake ukuakinishikashika.
@muftyahmed4458
@muftyahmed4458 2 жыл бұрын
Allah Akulipe kwa ilm nakutuelimisha
@afric01
@afric01 2 жыл бұрын
Aslm alkm ww..... Shukran Sheikh. Allah akupe mema duniani na akhera. Jazakallah kheir 🙏
@ummuhkhalfan5542
@ummuhkhalfan5542 2 жыл бұрын
Masha'Allah sheikh wetu nataman ningekuwa nasubcribe mara nyingi nyingi tuu
@hamidaayubu2631
@hamidaayubu2631 2 жыл бұрын
Jazakalahu kheir
@nkangomartini2096
@nkangomartini2096 Жыл бұрын
Safi San shekhe
@zainabrashid385
@zainabrashid385 2 жыл бұрын
Subhannallah tuongoze sisi kizazi chetu yaraab
@rahmaalfan1776
@rahmaalfan1776 2 жыл бұрын
Shukran sheikh wetu barraka allahu feek yaarabi akupe umri twawillah uzidi kutuelimisha mawaidha100%100
@nasibuabdul3486
@nasibuabdul3486 2 жыл бұрын
ALLAH Awajalie khry wazazi wetu
@kenyanewsmedia7772
@kenyanewsmedia7772 2 жыл бұрын
Jazakalahu kheir 🙏
@fatmaabdilahi1007
@fatmaabdilahi1007 2 жыл бұрын
Subhanallah Allah atuhifadhi yarabi,shukran sana sheikh wetu.
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 2 жыл бұрын
Allahumma Swali Alaa Habibi Muhammad Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
JazakAllah, Allah atujaalie wenye kuwakumbuka wazazi wetu
@nasibuabdul3486
@nasibuabdul3486 2 жыл бұрын
ALLAH Akujalie khry na afya njema uendelee kutowa dawaa
@mifungaanyesi3547
@mifungaanyesi3547 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@johntay8813
@johntay8813 2 жыл бұрын
Nauliza shekhe wangu sasa umefiliwa na ndugu akujaliwa kupata mtoto nyie ndugu ao ana mtoto ila aswali na swala ndio dua nyie ndugu ndio kila swala mnamkubuka ndugu yenu kila swala Allah atampandisha darajaa
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 2 жыл бұрын
Rehma na Amani za MWENYEZI MUNGU zimshukie Mtume wetu kipenzi Mohammad Swalallahu Alleyhi Wasallam Ahli zake na Maswahaba zake wote
@pharuqokochi8059
@pharuqokochi8059 2 жыл бұрын
assalam alaikum. mawaidha muzuri, mashaallah, na omba namba nayo weza kuwasiliana nanyi kuna maswali ningependa kuliza kwa njia ya simu.
@johntay8813
@johntay8813 2 жыл бұрын
Shukran Shekhe Qishiqi kutuelimisha
@najmasailan1071
@najmasailan1071 2 жыл бұрын
Amin Amin Amin yarabyy
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
Shukrani shelkh mashaAllah
@zaimapinduz762
@zaimapinduz762 2 жыл бұрын
Xhukrani allah atujalie kuwafanyia wazaziwetu wema
@LeonardMwamba-db9gy
@LeonardMwamba-db9gy Жыл бұрын
Swadata
@Zamdayusuph-qb3lk
@Zamdayusuph-qb3lk 21 күн бұрын
Ewe mwenyezimung tujaaliye tuwe miongoni mwa watu wachamung mbele ya wazazi wetu na vizazivyetu vijavyo
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 2 жыл бұрын
Jazaka llahu L kheir 💐
@babymuniral6840
@babymuniral6840 2 жыл бұрын
Aameen
@fadiahshamekhatib3701
@fadiahshamekhatib3701 2 ай бұрын
😢😢😢
@kinungarashidi3041
@kinungarashidi3041 2 жыл бұрын
Mashaallah tabalakallah
@zainabrashid385
@zainabrashid385 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@nedistanakukubalsanadadadi3653
@nedistanakukubalsanadadadi3653 2 жыл бұрын
🙏 inshallah
@ramadhaniamour4834
@ramadhaniamour4834 2 жыл бұрын
Rabiii ghufilrii wali waridahiyaa
@hawaheri5833
@hawaheri5833 2 жыл бұрын
Na je wakiwa hai
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 2 жыл бұрын
Allahumma aamin yarrab
@assfzainab912
@assfzainab912 Жыл бұрын
JE KAMA NIWAMOTONI UKIMFANYIA ISTIFAR NA DUA NAYO PIA WATAEPUSHWA NA MOTO.?
@rukiaali2815
@rukiaali2815 2 жыл бұрын
Dua na kuwatakia astakfiruallah c ni sawa au ni dua gani inayokusudiwa
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli
@barakamalipula9010
@barakamalipula9010 Жыл бұрын
Na kama unamuomba Mola awasamehe bibi & babu je? Watasamehewa?
@mifungaanyesi3547
@mifungaanyesi3547 2 жыл бұрын
Asalam Alaykum sheikh.Sasa wazazi wangu wamekufa ni wakristo mimi ni mwislam duwa ni kiwaombea duaa zitafika?
@bobjob856
@bobjob856 2 жыл бұрын
niko naswali cheih sijuwi ni ulize wapi
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Sbr sk ya ijumaa kipindi cha Fadhakir saa 2 na 30 usiku
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 2 жыл бұрын
Allah marehemu mama angu pamoja na jamii yote ya Islam yarrab
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Ameen
@fadiahshamekhatib3701
@fadiahshamekhatib3701 2 ай бұрын
Maa shaa Allah
JE? MCHAMUNGU ANAWEZA KUTEREZA NA KUFANYA MADHAMBI SHEIKH KISHK
1:14:09
Kishki Online TV
Рет қаралды 49 М.
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 6 СЕРИЯ
21:57
Inter Production
Рет қаралды 416 М.
AMANI YA NAFSI - SHEIKH HASSAN AHMED
37:51
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 27 М.
Madhara Ya Zinaa - Sheikh Jamaludin Osman
1:08:03
Malindi Youth Projects
Рет қаралды 64 М.
PATA FAIDA KATIKA KISA CHA SWAHABA ALIYEMUINGILIA MKEWE MCHANA WA RAMADHAN
56:45
UST MAZINGE AMPONGEZA SH OTHMAN MICHAEL NAAMUOMBEA HERI
28:37
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 56 М.
IJUE DHAMBI NZITO KABISA KULIKO HATA RIBA.SHEIKH KISHK
38:02
Kishki Online TV
Рет қаралды 246 М.
MAONGEZI BAINA YA MTUME NA MKUU WA MALAIKA JIBRIL. SHEIKH NURDEEN KISHK
49:40
Viungo hivi vitaumbuka siku ya kiama | Sheikh Nurdin Kishki
1:04:00
MAKIR ONLINE
Рет қаралды 35 М.