Рет қаралды 71
Darsa letu la leo litawazungumzia wazazi wa Imam na khalifa wa mwisho wa Mtume Muhammad (saww), nae si mwingine bali ni Imam Al Mahdi alaihi salam.
Je, nini umuhimu wa wazazi wake katika katika malezi na makuzi ya Imam Mahdi?
Na nini wajibu wetu wa kiroho kwa Imamu huyu?
Jiunge nasi katika Darsa hili muhimu sana.
Bilal Education.
11/09//2024
--------------------
Wakati wa Darsa La leo:
Afrika ya Mashariki
Saa mbili usiku
Afrika ya kati
Saa moja usiku
Uingereza
Saa kumi na mbili jioni.