JE, WAJUA? HII HAPA RATIBA YA TRENI DAR - MOR KARIBU TUKUHUDUMIE

  Рет қаралды 14,207

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Ай бұрын

SAFARI DAR MORO ZIMEANZA KARIBU USAFIRI NASI

Пікірлер: 27
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po Ай бұрын
Kadada kavuri haka huduma mzuri big up tanzania yangu😂😂😂❤
@yogeshbangur
@yogeshbangur 17 күн бұрын
Can you make a video of different classes?
@tomsijohni
@tomsijohni Ай бұрын
Ongereni sana
@percivalmkanyia6494
@percivalmkanyia6494 Ай бұрын
Duh ulivyotaja viburudisho utadhani mnagawa bure. Kumbe mnazuia watu kuingia na maji huku mnaenda kuwauzia maji nusu lita kwa 1500. Rekebisheni hapo tu. Otherwise mko vizuri.
@aminashenduli5997
@aminashenduli5997 Ай бұрын
Tunakataje ticket jaman
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Ай бұрын
SAF SANA SAMIA mitano TENA ❤❤❤
@allymansur8155
@allymansur8155 Ай бұрын
Mnafanya booking on line, na kama ipo tupeni namba yenu
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 Ай бұрын
Kadada Kazuki duh
@husseinally6699
@husseinally6699 Ай бұрын
Hiyo safar ya saa 10 jioni Mnge isogeza iwe saa 11: 30 ama saa moja kamili Sasa saa 10 mapema hiyo jioni gani mtu bado hajamaliza mishemishe treni ishaondoka Ya jioni iwe na uhalisia wa jioni kweli
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 Ай бұрын
Ya mchongoko ikianza ndipo nami naanza kupanda Reli
@ommymp9058
@ommymp9058 Ай бұрын
Tren ya SGR tumieni bendera ya tz
@user-lz7sd1vd2e
@user-lz7sd1vd2e Ай бұрын
Online Mnakata tiketi na bei ni shs ngapi?
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 Ай бұрын
Sema kwa jina na sio kwa majina
@vinny.morales
@vinny.morales Ай бұрын
Haika tutaonana soon, naomba namba yako kabisa
@loner_wolf
@loner_wolf Ай бұрын
Hongereni lkn Dar - Tabora ndio mtaonekana mmefanya jambo kidgo... morogoro hapo miaka yote hiyo eboo
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 Ай бұрын
Mwanza kabisa Jombaa
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 Ай бұрын
😂😂😂😂 bongo land hatupoa hatuboi kwahiyo hapo hawajafanya kitu
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 Ай бұрын
@@ilakozasembumende1975 wamefanya kitu but lengo halijafikiwa
@worldtechlab
@worldtechlab Ай бұрын
I am a foreigner I can’t speak Swahili how can I understand what you are saying
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Ай бұрын
Ulijuaje kama anaongea Kiswahili? Kwa nn usidhani ni Kipogoro
@EllyjTengeneza
@EllyjTengeneza Ай бұрын
​@@hassanlikwenangu8471acha zako ww hii you tube inatumiwa na watu wengi na mataifa mbalimbali wengine wanaweza kuona matangazo ya kiswahili lakini hawaelewi kilichoongelewa
@worldtechlab
@worldtechlab Ай бұрын
@@hassanlikwenangu8471 what’s that rubbish ?
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct Ай бұрын
@@worldtechlab Hahaha ...nadhani umeelewa...
@alphaxad7755
@alphaxad7755 Ай бұрын
Bado haujasema...na utasema..yaan mpka useme
@henrynyanswi2132
@henrynyanswi2132 Ай бұрын
Ratiba yenu sio sahihi, huo muda wa kuondoka Dar ingekuwa ni Morogoro ili wafanya biashara wapeleke bidhaa zao na wengine kuchukua mizigo/ bidhaa Dar na jioni isubiri abiria wa kutoka mikoani na Morogoro
@hassshoban8206
@hassshoban8206 Ай бұрын
Ilikuwa hata Morogoro ianze wakati mmoja na ya Dar. 😊
@ngoshakulwa8348
@ngoshakulwa8348 Ай бұрын
Ni kweli morogoro pia ilitakiwa saa 10 jioni. Tatizo nadhani ni treni hiyo hiyo inatumiks hakuna kulala
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
NYOMI LA STESHENI YA SGR DODOMA NI HIVI 🔥🔥🔥🔥🔥
10:13
How Private Equity Drove America's Car Wash Obsession
7:04
Bloomberg Originals
Рет қаралды 190 М.
MAGUFULI:NILIPOTAKA KUJENGA TRENI YA UMEME INAWEZEKANA  HAWAKUNIAMINI''
7:39
Treni ya Umeme (SGR) yafanya safari yake ya kwanza na Abiria Dar - Moro
1:44
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН