Fursa kubwa hii. Kuishi Moro kufanya kazi Dar. Hali ya Hewa Moro ni poa na hakuna foreni. Hongera TRC, #Jomba_T👍😎🇹🇿
@fidelfidel-jz4iw6 ай бұрын
Kitu muhimu sanaa lazima ziwepo basi za mkoani kutoka Dodoma ziendane na ratiba ya SGR itakuwa babukubwa serikali itaona mabadiliko ya maendeleo makubwa
@kwisa48996 ай бұрын
Umewahi kufanya Biashara yoyote ya kueleweka ?
@HASASON6 ай бұрын
Sasa upeleke basi kutoka dodoma hapo na umesikia tarehe 25 wanafika mpaka dodoma?
@kwisa48996 ай бұрын
Hizi sit bila cover st tutalaumiana
@KondeAbdallah4 ай бұрын
Kwa kweli nimeipende electric SGR ya Tanzania imeshinda hata yetu ya Kenya hongereni watanzania Kwa kuweka SGR ya umeme mume fanya Jambo katika East Africa yetu big up mama Samia suluhu Hassan Kwa kuendeleza Huu mradi wa SGR ulioanzishwa Na marehemu jonh pombe magufuli...
@ernestsinje97006 ай бұрын
Moro kuzuri mazingira mazuri
@babajay34456 ай бұрын
Bora turudi tukakae zetu Moro dar nyumba ni gharama sana
@DeogratiasMadaraka-b9v6 ай бұрын
Nashauri siti cover ziwe rangi ta bendera ya jamuhuri itapkuwa unyama sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@nguruwekikwete16356 ай бұрын
Mpumbavu wewe
@zobakazizi76376 ай бұрын
Mkuu wa mkoa morogoro hukujua kwamba kunahitajika barabara za kuingia station zinahitajika? Barabara ni mbovu!
@joshuachimwejo58926 ай бұрын
TRC tafadhali sana, nawaomba washaurini TARURA/TANROAD/MANISPAA YA MOROGORO waweke lami kipande cha barabara ya kutoka Station hadi barabara kuu ya Morogoro-Dodoma(Kihonda kwa Chambo). Kipande hicho kina vumbi kali sana. Mtu anatoka kwenye treni akiwa msafi, kufika kwa Chambo hatamaniki, huo sio ustaarabu tunaoutaka watanzania kwasasa.
@sporttz156 ай бұрын
kwamba mlikua hamjui kama kunatakiwa kuwe na barabara na hivo vingine
@akidamakida60926 ай бұрын
Just imagine.. I really dont understand!!
@HASASON6 ай бұрын
Hawa watu wanaweza ongea kitu ukashangaa kumbe hata heshima uliokua unawapa uliwapendelea
@charlesmwambinga43556 ай бұрын
Yaaa hakifiki hata 1B na huitaji hata stand hapo nyingine ni kuweka waiting bay na parking kubwa basi...min Buses za kuchukua watu kuwapeleka katikati ya Mji kila siku bajaji na pikipiki...mpaka lini ???😂😂😂
@babajay34456 ай бұрын
Safi sana
@edsonnelson44646 ай бұрын
Chondechonde nawaomba msije mkaibinaifisha yakaja yale ya waliowapa Wahindi hivi serikali zetu zikoje kila kitu kizuri ni uwekezaji. Muone aibu
@amirisaid63416 ай бұрын
Ben mwanantala yupo wapi siku hizi?
@Ambagaye6 ай бұрын
Swali zuri sana; hata mimi nam-miss Ben kwenye channel hii
@amirisaid63416 ай бұрын
@@Ambagaye 👍
@ShabaiSadick6 ай бұрын
Waziri mbarawa twambie vile vichwa viwili vya ujerumani viko wapi?
@musicschool_tz70146 ай бұрын
ILA VICHWA MCHONGOKO MUVIWEKEE MCHONGOKO WAKE PALE MBELE KUNA KITU HAKIPO
@castosemiono71556 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@magorymara55156 ай бұрын
Tunachowaomba tu ni kuwa wabunifu na wasafi usafi katika miundombinu yote kuanzia treni zenyewe majengo na kazalika
@MarryCharles-rc6ei6 ай бұрын
Soon tutasikia kapewa mwekezaji
@davidmalogo71006 ай бұрын
Magufuli aliona mbali sana chaajabu ninacho kiona kwenyetaalifa hizi magufuli hatajwi kabisa anatatwa Eva ,Yani watanganyika sio wajinga hata mfiche ya magu magu anaishi ndani ya mioyo ya watu ,Yani hata hamonaizi nimemwona kahojiwa hakutaja jina la mwazilishi ila kamtaja samia mbona mbona kama Kuna kitu kinafichwa kwa magufuli Yani nyie machawa ,,mungu atafanyatu miujiza nakuangamiza huyu utawala wa yezebeli
@NDEWARA6 ай бұрын
Pole 😅
@lifeonearth946 ай бұрын
Magu alikuwa na maono sana
@elinamilyatuu73376 ай бұрын
Ukishampa kiongozi kura anawajibika kukuletea maendeleo...kwahyo labda useme serikali ya awamu ya tano sio kumtaja fulani na uache ujinga
@eddechriss26646 ай бұрын
Tuliongea toka mapema kabisa kuwa mnajenga stations lakini hamjengi miundo mbinu ya feeder mkajifanya hamuoni, ona sasa