Makala kama hizi binafsi yangu nimetamani sana kuyajua mambo kama haya ndo maana nikachagua somo la historia sekondari ila Cha kushangaza walieleza tofauti na nilivyotarajia ila Mzee wangu Mimi sikujui yaani sijakuona ila nifwatiliavyo makala zako ni kwamba , unajibu maswali yangu ya siku nyingi nilojiuliza nisipate wa kunijuza. Yaani unafunua funika funika nyingi zilokusudiwa kimakusudi, Mimi ni mkristo ila uniruhusu ninene hivi.. Allah hamdhulilahih. nashukuru Mungu kwa kukupa Ari hiyo nafsini mwako ili ifae wengi, wenye masikio wasikie....
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Na mimi (binafsi) nashukuru sana kupata mtu mwenye kutumia sana akili yake aliyojaaliwa na Mwenyezi Mngu kwenye kutath'mini mambo muhimu sana ambayo, kama ulivyosema hapo awali, kuwa yamefichwafichwa kusudi ili watu wazozane kutokana na kutoelewa ukweli wa mambo yenyewe yalivyo! Mwenyezi Mngu akujaaliye ufahamu mwema na wenye manufaa kwako (binafsi) na kwa jamii nzima ya wanadamu kwa jumla. Ahsanta sana.
@alfredolaba9532 Жыл бұрын
Thanks for this incisive introduction. You ought to be a visiting professor of Kenyan Coastal history in our universities. Please continue with the good work. May Allah bless you.
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Kwa hakika, mimi sina ilimu ya kualikwa kwenye Vyuo vikuu vya humu nchini mwetu! AlhamduliLlah, nchi jirani (Tanzania) hualikwa ili kuzumzia mambo tafauti ya historia na malimwengu kwa jumla.
@Khalid-mf3iu Жыл бұрын
Alfredo ni jambo la kusikitisha hapa kenya kuna ukweli flani ambao STA akiuweleza hua hawaupendi.
@hamso.instructor1508 Жыл бұрын
Napenda Sana makala yako Sheh,nangoja mbari za kigiriama nielimike zaidi
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Inshaa'Allah, tutafika kueleza kuhusu kila kabila na mbari zao. Shukran.
@salimofficial1263 Жыл бұрын
Wallahi nime penda maktaba yako Bwana Stambuli. Nime nufaika sana kupitia kufuatilia vipindi vyako. Nime jengeka katika self awareness
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Nami nafurahi sana kusikia unayoyasema. Na nakuombea uzidi kuwa na moyo huo huo. Ahsanta sana.
@jamalsheikh9610 Жыл бұрын
Thanks alot 🙏🙏🙏 from mld jamal sheikh
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Maa shaa Allah! JazaakumuLlahu khayran.
@AliMohamed-bp5ji8 ай бұрын
Bwa, stambuli, tafadhali unielimishemimi, je huyumtangana, ni mwenyeji wawapi.
@zlion-beeast8 ай бұрын
Hivi Bwana,,naomba ueleze kuhusu punjabi
@NassorBinSalum2 ай бұрын
Sheikh namba zako tunakuomba
@abdallahmasare3116 Жыл бұрын
Tupo
@msellemkassim2515 Жыл бұрын
Assalam aleykuim ni kabila ngani ya oman naomba ufafanuzi please.
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Wa'alaykum salaam. Kabila za Oman ni nyingi. Tafadhali, endelea kufuatilia makala haya, na inshaa'Allah, utazielewa tu. Shukran.
@victorkenga83098 күн бұрын
Waswahili ni nani. Hili ni sawli zuri lakini naomba maelezo zaidi.Kwanza Waswahili hawatambuliki kama kabila hapa Kenya. Pili kwenye makala zako umeeleza kwamba jina asili la waswahili ni Wangozi walioishi pwani (Mombasa) hata kabla wa Arabu na wa Mijikenda kujika hapa na kwamba wa Swahili si kizazi cha Mijikenda na wa Arabu. Kile naomba utufafanulie sisi tunaofatilia maelezo yako kwa sababu ya kutaka kufahamu. Hawa wenzetu wakazi wa Kibokoni Mombasa, Shela kule Malindi na hata Takaungu kule Kilifi, hawa asili yao iko vipi, sisi tusojua huwaita wa Swahili na ni wazi ni damu ya kuchanganya mwafrika na mwarabu. Ilikuaje hapa ama hawa tuwaiteje
@jamals63143 күн бұрын
Waswahili are recognised as a tribe in both kenya and Tanzania. They just have sub-groups among them. Like Wabajuni,Wamvita etc
@jamals63143 күн бұрын
Its quite and simple to see, most people that identify as Swahili are mixed blooded and live around the coastal regions/islands only. They are all muslim, all speak it as a first language and all share the same culture. They are the reason why kenya and tanzania have a language today🤷🏾♂️
@ahmedbaamironlinetv4753 Жыл бұрын
HAKIKA SISI WASWAHILI WENYE KISWAHILI CHETU HUSUSAN ZANZIBAR TUNA FANYIWA OVYO SANA WALLAH ALLAH ATUJAALIE AFYA NJEMA
@ahmedbaamironlinetv4753 Жыл бұрын
HATA HUKU KWETU ZANZIBAR WANAROPOKWA SANA WA TANGANYIKA MPAKA WAKASEMA HATUNA MAKABILA BASI WAELEWE SISI NI WASWAHILI
@Khalid-mf3iu Жыл бұрын
@@ahmedbaamironlinetv4753am from Mombasa....bro kitu ntakunasihi nyinyi kma wazanzibar ni muzidi kueleza historia yenu muwafunze vijana wenu pia....hao watanganyika wanafanya hvo kusudi ili musijijue historia yenu ndo wapate kuwapanda vichwa na kuwadhulumu.