TANZANIA yetu na maendeleo ❤❤❤ amani na pendo ❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Hillary_Daudi_Mrema22 күн бұрын
Tuwe wangwana tu, Pongezi kwa Mheshimiwa Rais Dokta Samia. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee 🇹🇿🇹🇿
@TrinaRoman34522 күн бұрын
Afu kuna mjinga mmoja huko anasema tuandamane 😂😂😂 kweli wale wenzetu njaa ile tusiharibu nchi yetu
@user-nb6yh2bn9y22 күн бұрын
Amina 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥰
@disanatv448522 күн бұрын
Kumbe umeona sisi Na Tanzania yetu, Amani TU NA MUNGU WETU.😂😂😂
@TrinaRoman34522 күн бұрын
@@disanatv4485 Eeh buana ... hakuna taifa ambalo watu wasilipe kodi. tuko huku nje kuna makodi nusu ya mshahara unao upokea ni kulipa bills tofauti tofauti na bado tunakomaa 😅😅
@exaverysimon106422 күн бұрын
WENYEWE wananikeraga sana😢😢😢😢
@zomasamweli22 күн бұрын
kweli kabisa tulinde amani ya anchi🇹🇿yetu
@NassoroSipemba22 күн бұрын
Mh akifanya vzr basi huongwana ni kumpongeza sio kutafuta mabaya na kufanya fimbo ya kumchapia, kwa mara ya kwanza wa tz wanashuhudia muonekano mpya wa soko la kariakoo tokea Enzi kupata uhuru chini ya uongozi wa baba wa taifa.
@zomasamweli22 күн бұрын
Sasa kama hilo soko hadi hapo lilipofikia imetumika bilioni 28 tu,, Afu ndo mwijaku anasema nyumba yake imekula bilioni 1.1 kumbe mwijaku muongo sana anataka sifa kwenye hamna😂😂😂😂
@Dipeson70021 күн бұрын
Hapana, serikali Huwa inatumia pesa nyingi sana KUJENGA, yani unaweza Jenga msingi Kwa mifuko 20 ya cement ila serikali inatumia mifuko 60 mpka 100 Kwa msingi, utofauti ni huo
@jumashedafa22 күн бұрын
Mashaallah...Allah ni mwema mno kwetu
@joasitz955922 күн бұрын
Tumpe mauwa yake Rais wetu, Samia. Kazi nzuri sana
@hijaabdalah923522 күн бұрын
🥇mama maua yakwako izi ndizo habar watanzania tulizoea sikia
@user-vn9yi3dj4q21 күн бұрын
Namkubali mama samiah suluhu Hassan, muonyeshe Raisi wetu tapeli Ruto awache uwongo na uwizi namna yakuongoza nchi
@Kim19onlinetv22 күн бұрын
Kikubwa tuitunze AMANI ya 🇹🇿
@UhaiLegeza22 күн бұрын
Love it
@abdallahkambangwa721522 күн бұрын
Mama mm nakuunga mkono sana kwa maendeleo unayotuletea, Tunakushuru sana
@kekiplus1andonly21 күн бұрын
Ewala hapo safi Sama.. hilo ndo soko sasa,na benki zipo..tanzania yetu inawakawaka sasa,international levels
@zainabumartin952022 күн бұрын
Mashaallah tabarak
@MRKp-zk7xs22 күн бұрын
Kumbe mama haja lala🤝
@vanessastafford642620 күн бұрын
Serikali inajitahidi Sana kujenga miundombinu Bora, 👏👏👏👏👏 Tatizo ni uchafu, na matengenezo. Sasa ona hilo soko linavyong'aa ngoja wakianza kulitumia litakavyokuwa.
@barackmoses700322 күн бұрын
Mama samia tano tena🎉🎉
@omarybakunda255422 күн бұрын
Asante sana rais Samia
@HashimMbamba22 күн бұрын
Tanzania ni yamaendeleo
@abuusaalimalmasasiyyu942121 күн бұрын
Love it... tzzz we are proud of you mama Samia
@busnaoman998122 күн бұрын
Amazing 😍😍😍
@ikulunimahalipatakatifu764222 күн бұрын
KIMYA KIMYAAA TUNASONGA NA MAMA..
@SoudShuraim17 күн бұрын
Mulilichoma kwa makusudi eti watu wanasema,la mbagala,la machinga bs moto huo ni balaa
HONGERA SANA KWA KAZI NZURI.OMBI KWA MKUU WA MKOA MIMI NAITWA AGNES ALFONCE NI MMAMA MLEMAVU LAKINI NINAUTAALAM KIDOGO WA AFYA.NAOMBA NAFASI YA FREM NA MKOPO KIDOGO KUFUNGUA DUKA LA DAWA BARIDI.NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWA MAMA SAMIA
@shufwaaofficialtv130622 күн бұрын
Well
@kalingaasukile873022 күн бұрын
Kazi nzuri ya Samia hii
@catherinesekumbo834721 күн бұрын
Jamani tuzingatie sasa Usafi jengo hilo zuri ila tukishindwa kuwa wastara u tutaliharibu.
@rich-lr8tq19 күн бұрын
hili lilichomwa makususdi ili likarabatiwe maana tofauti na hivyo ingekuwa ngum sana
@swaiseif298921 күн бұрын
Wawe wasafi basi wafnya biashara....maana pamejengwa vizur Sana ila usafi muhim
@mathiasdaud784222 күн бұрын
Upatikanaji wa chumba sas
@zubeiramlanzi248015 күн бұрын
Utangoja milele
@emmanuelmogasa49819 күн бұрын
Kwa nini usimpe muda injinia aongee?
@maidimples823622 күн бұрын
Lini linafunguliwa
@maidimples823622 күн бұрын
Sasa mbona hamjalionesha lote
@barakamanga550222 күн бұрын
Lipo Zuri sana, tumepiga hatua kitaifa kwakweli
@mufaddalmoawalla852222 күн бұрын
Mwongooo sana wee mtangazaji.walikuwa hawalipi kodi ya aina yeyote,wacha kudanganya,na mpaka leo hii hawalipi hata sh.moja ya kodi za serikali,mwongoooo sanaa
@omarybakunda255422 күн бұрын
Wewe unalipa sh. Ngapi?
@mufaddalmoawalla852222 күн бұрын
@@omarybakunda2554 nalipa kodi zote za serekali ,labda nawewe mi mwizi wa kulipa kodi ndo maana imekuwasha
@salmanmagwe2224 күн бұрын
SHIDA YA WATANZANIA NI KUENDEKEZA UCHAFU NA UMACHINGA HOLELA,WASIMAMIZI WAWE WAKALI NA WOTE WANAOENDEKEZA UCHAFU,KWANI UKIUZA NYANYA NI KAZIMA UWE MCHAFU?MBONA NCHI NYINGINE WANAUZA MBOGA NA NYANYA KWENYE MAZINGIRA MASAFI?
@Sahlomon-jp4jr22 күн бұрын
Walinda legacy wana hasiraaaa!
@omante19422 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@meeksson358921 күн бұрын
Wekeni escalator acheni uswahili
@ModextaModexta-on7mi21 күн бұрын
,👌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@meflorlionel749720 күн бұрын
Hapo kwenye gorofa 8 umetupiga
@Sidrasidra63622 күн бұрын
Huko juu kuko wazi wale wenye kujirusha kwenye magorofa sitakuwa rahisi kwao😢
@eggysulle798822 күн бұрын
😂😂😂😂wamerahsishiwa
@letthedeadburythedead214822 күн бұрын
Acha wajirushe
@WakiliHaule22 күн бұрын
Mngewaambia tu wafanyabiashara kama mnataka kulirekebisha soko sio kwa kuwachomea moto bidhaa zao
@user-ji7sy2wi7b22 күн бұрын
Acha roho mbaya
@SoudShuraim17 күн бұрын
Kweli
@odenmasebo977722 күн бұрын
walichoma ili wajenge
@drgeofreykupaza770721 күн бұрын
Usafi sasa
@zainabumartin952022 күн бұрын
Lkn kodo zetu ndo zimejenga sio serikari
@user-ji7sy2wi7b22 күн бұрын
Acha kukaza fuvu, hujui kama serkali ikiwa mbaya unaweza ukalipa Kodi na serkali hiyo isijenge. Kwa hiyo shukuru serkali
@letthedeadburythedead214822 күн бұрын
Ulichangia shingapi wewe binafsi?
@richkaja331722 күн бұрын
Litakua soko la mabos tupu
@salumalriyamy22 күн бұрын
Lakini kwa idadi ya vizimba na namna kariakoo inavyoendeshwa na biashara, huoni watafaidika wauzaji?