Barakallahu Fik Akh Stambuli Washeikh Abdillahi Nassir..Mola Akutilie Baraka Katika Umri wako Na Akupanulie Busara Yako na Elimu Yako Uzidi Kutufahamisha na kutuelimisha Uyajuwayo Nasisi tufaidi
Sheikh kuna hawa wakina mosis ni kabila gani? Wakina mosis wale ambao wako karibu na markiti ya wasomali madera kabla kitambo mtu akipanda matatu husema nishukishe kwa mosisi njia ya kuingia kuzee .. jee wawafahamu ... na ni kabila gani ??
@barghashbinsaid9414 Жыл бұрын
Bwana stambuli ongea huyo bantu unaye sema alikua mbele huku aitwaje manake swalihi si kabila na si Swahili ni sawahil walishindwa kusema sawahil wakasema swalihi lugha yenyewe ya kiswalihi maneno zaidi 3500 ni ya kiarabu mtu kama myemen wasema ulikua wafanya nae biashara hayo si maneno ya ukweli myemen alikua akiishi miaka ya zamani alikua akikimbia vita na ukame na alikua akijiita sawahiliun mbona munawatenga Hawa waarabu
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Kwa hakika, hayo usemayo wewe mimi naelewa kuwa ni maoni yako, nami nayahishimu. Hata hivyo, ninavyoelewa mimi ni kuwa watu wa Yemen wamekuwa wakifanya biashara na Wazee wetu (Wangozi, kabla kuitwa Waswahili) kwa muda mrefu. Na, ushahidi wa hili uko kwa winging. Inshaa'Allah, wakati ukifika wa kuyaeleza na kuyatolea ushahidi mambo haya nitayaeleza na kuthibitisha haya niyasemayo.
@walidamani353 Жыл бұрын
Shukran sana
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Ni wajib. Af'wan.
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Ni wajib. Af'wan.
@walidamani353 Жыл бұрын
Allah akuzidishie na moyo huo huo... I never knew nothing untill I heard kwa radio station ya saiti ya pwani, since then Babu umetuelimisha sanaa mimi pamoja na ndugu zangu na rafiki zangu.. Na bado kila siku twaelimika, Alhamdhulillah!! Tuko pamoja.