Mohamadi batuiti hakusema kabila la watu. alisema amekutana na watu wausi wanao kaaa kando kando ya bahari. majina yote hayo uliyo yataja niya kidigo mtwapa. chilindini, shimoni, mtumbatu, mtu-mbwatu, shirazi, washirazi mama zao niwadigo baba zao kutoka shirazi mji m'moja huko Iran. mviaa yaani mvita maana yake nivita kwa kidigo. nathani wewe ni mwalimu wa hestoria na twakupa ongera kwa kazi nzuri.
@MohamedSalim-q9n Жыл бұрын
Shukran Bother Stambuli, JazakAllahul kheir. Al muhimu ni wenyewe wanajijua na wako na athari zao nyingi sana mjini mombasa kama Misikiti, makaburi na ardhi zao nyingi ambazo walipokonywa. Kukataa kuwa hakuna mswahili ni kama kukataa kuwa hakuna mpalestina ni yahudi tu ndio aliyeko.
@rajabessa3675 Жыл бұрын
Nakuunga mkono mia fil mia
@TheTickingAges11 ай бұрын
Mafumbo hayo lakini kwa heshima zako kazi njuri unayo ifanya. Naomba Tafadhali ututafutie m'ngozi m'moja na mtu anaye ongea lugha hiyo ambayo ushaitamka napia mimi nimeshaelewa hayo matamko yana maana ghani. shukran.
@mohammedabdulshakur8162 Жыл бұрын
Maulana umepotea sana twakusubiri Kwa hamu..
@katore19829 ай бұрын
Waleikumsalam warahmtullah wabaraqthu katibu...pia vile vile maana ya salam takatifu hizi ni sawa na maneno aliyoyasema Nabii Issa rehema na amani zimshukie yeye alipokuwa anapaa mbinguni akiwaambia wanafunzi wake!
@alfredolaba9532 Жыл бұрын
Ahsante Sta!
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Ni wajib bro.
@JumaMusa-zv4bj Жыл бұрын
4:45
@kulachuma02 Жыл бұрын
Endelea kututoa kutu gwiji sheikh wetu
@safarizascnbird Жыл бұрын
Mwembe wa Waswahili. Embe aina la Sta.
@ahmedsharif24245 ай бұрын
Kuna watu India siddi, wasema twatoka East africa
@ahmedsharif24245 ай бұрын
Jee hawa siddi Ni kina nani? Jee sio jamaa zetu ?,
@TheTickingAges11 ай бұрын
Nikiongezea majina uliyo yataja sikabla bali nimakao kwamfano mtwapa, mvita chilindini au kilindini, hiyo nimitaa na sikabila kwamfano washirazi baba zao walitoka mji wa shirazi mji M'moja huko Iran na mama zao niwadigo. wa Iran ndio watu wakwanza kuingia Afrika mashariki na mkoa wa pwani kama sikosei. Moahamed batuti niwa juzi tu.
@RobertBitambaOfficial Жыл бұрын
Niko kigoma natamani kupata vitabu ulivyoandika nipate kusoma hasa kuhusu mashariki ya Kati.
@muxfilmproduct Жыл бұрын
Mbon maneno yote alongea kama maneno ya kipemba tu
@stambuliwash.abdillahinass8123 Жыл бұрын
Wa-Pemba pia ni Waswahili. Lahaja ndiyo ina tafauti kidogo tu.
@khamismaulid6839 Жыл бұрын
Tena waswahili originali na ndiko kiliko anzia kama sikosei
@muxfilmproduct Жыл бұрын
Kwel kabis kwasababu ata uongee kiswahili gani wanakuelew