Рет қаралды 1,349
Ugonjwa wa jongo, maarufu kama Gout. Japo maelezo juu yake ni finyu barani Afrika, wengi wameathiriwa. Maumivu makali katika maungio, au hata uvimbe ni baadhi ya dalili zake. Lakini mojawapo ya sababu kuu ni uraibu wa kula nyama na vileo. Mwandihsi wetu Hamet Diagne amefika nchini Niger ambapo wataalamu wa afya wanahofia ugonjwa huu umekithiri kupita kiasi, na ametuandalia taarifa hii.
#bbcswahili #afya #africa