Nakuuliza na hawa wanga ni waislamu utadeal nao vipi. Niendelee kusalimiana au
@Fumokale8 ай бұрын
Ustadh Allah akujaalie IKHLASW ktk uyafanyayo yote ya khairi lkn kizungu kimezidi si hao ni waswahili tena wazee kunaaaani kizungu hicho ambacho ht hukijui...gapu gapu sema nafasi wataelewa vizuri 11:17
@IzudinAlwyDin8 ай бұрын
Asante kwa maoni yako mola akubarikie shukran sana
@AgastianAbraham-i4c8 ай бұрын
Shekhe wetu izudin tunafaidika vizuri na masomo yako kutoka Tanzania barakallahu fiyka...
@hamisisaid-zz2ye8 ай бұрын
Masha Allah jazakallah kheir❤❤
@coolvoices66088 ай бұрын
Huyu ndugu ni kama hakuenda high school ndio aogopa sheikh aongee kizungu. Hy point ya kizungu haina mashiko. Mombasa ni Metropolitan ndani Ya Kenya na si Tanzania na hao wote hapo huwa wakizungumza wachanganya kizungu na kiswahili (code mixing/code switching) hapo kuna vijana na watoto pia usiangalie wazee. Sheikh upo sawa lugha yako kuichanganya na hata ukiamua kizungu kitupu bado wataelewa wote.
@Fumokale8 ай бұрын
@@coolvoices6608 ww km umesoma sawa...mm naongelea kuwa si lazima aseme kizungu km hajui na pia anao waongelesha ni wazee ambao ajua km hawajasoma na watu wa mtaani...ww nenda higher school mpaka usike mbinguni