sheikh mawaidha yako yamenielimisha sana jazakum khair
@latifahnassoro173 жыл бұрын
Hhhhhh Subhana'Allah nimechka mpk bas shukran habibi sheikh letu Allah akupe umri mrefu
@mwanahawafoum39076 жыл бұрын
Shukran sheikh Allah azidi kukupa uwezo utuelimishe
@jabilishekusa22026 жыл бұрын
shekhe yuko sahihi kutuelimisha na kwakweli MWANZO wa ushetani ni sisi wanaume wajua KABISA mke wa furan wewe wamfukuzia matokeo YAKE waacha familyako utaenda jibu nini mbele ya Allah wanaume wenzangu tujieshimuni kama wataka mke.mwingine Bora kuoa kuliko kuzini hata kama hajaolewa nizambi kubwa sana
@muniramohamed88876 жыл бұрын
Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin
@suleimanmohamed33975 жыл бұрын
mashaAllah - Allah ukeke, akupe afya na anguvu. kwahakika khutba zako ni za haki na ukweli, jazakaAllah
@brockbeckham70453 жыл бұрын
I guess im asking the wrong place but does any of you know of a method to get back into an Instagram account?? I was stupid lost my account password. I would love any tricks you can offer me.
Udi ukiwa kwa nylon hauskii mpaka utie kwa makaa 😂😂😂
@hfhffg78196 жыл бұрын
MashaAllah..hahaaa duuuh kinuka mtho
@ummusalim19915 ай бұрын
Hpo mkono gizani sasa😂
@jabilishekusa22026 жыл бұрын
Allah akuongoze
@mlawafamily81917 жыл бұрын
Mungu akuzidishie sheikh wetu
@nassormuha48326 жыл бұрын
nikwel Shekhe heshima unajiekea mwenyewe lakin wanaume munatabia mbaya yakutongoza tongoza ovyo tena mda mwengine MTU ukimkatalia atakufanyia kilahali alimradi awe na ww karib naroho za wanawake ninyepes sana masuala yakutongozwa
@shakiruabasi14686 жыл бұрын
Naylor Muha
@zuhuranahimana71976 жыл бұрын
Shukran ustaz
@zuhuranahimana71976 жыл бұрын
Ustaz wewe wakati mwengine unatuchesha saana
@abughatimsalim70476 жыл бұрын
In yukhuibuka fillah takbarillah min wa minka inshallah
@zuhuranahimana71976 жыл бұрын
Hhhhhhh Mme bwege uyo
@mohdyussah8255 жыл бұрын
Sote tunatia mkono kizani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@fhyubhhh28812 жыл бұрын
Jazzakallahu khair
@ramadhanihafidh77325 жыл бұрын
Mashallah Mashallah
@khamisaahsam89224 жыл бұрын
Shekhe nina swali je kama mume ana mwanamke nje alafu yule mwanamke anafanya shiriki ili kuvunja ndoa iyo apate kuolewa yeye inakuwaje hapo
@abullahkabaka87744 жыл бұрын
MASHA ALLAH ALEIK
@saidasaid58554 жыл бұрын
Sheikhe hapo umenena mwanamme hawez kukuvunjia heshima Kama mwanamke or mwanamme ana heshma
@jamilamunisi14806 жыл бұрын
mashallah nikweli kabisa
@munaseif97696 жыл бұрын
shukran shehe wasamehe wanaokuona wew unaongea uongo allah atakulipa inshaallah
@selemanishabani68434 жыл бұрын
Wewe
@umayraseeb33575 жыл бұрын
A.alykum sheikh, jee ikiwa mume ndo aishi na hawara ndani. mkewe wa halali hataki aende pale kwenye nyumba yke. na mume ampa vtisho mke km akimfata, nini afanye mke na hayuko tayar kuikosa ndoa yke
@fakhiayoub90625 жыл бұрын
Takbir
@FREENETNAME6 жыл бұрын
The love of Allah conquers all marriages alhamdulilahi. We are only humans after all...
@abdulrahimmurshid63803 жыл бұрын
Shukran
@salmakhamis81815 жыл бұрын
Swadaktaa
@khadijamohammedsheheasemak13347 жыл бұрын
Mashallah
@ARFIddy7 жыл бұрын
Shkrani jadhila
@saidykipalo91167 жыл бұрын
A.R.F. Iddy hivi wewe mtoto mbona bint Iddy jamani upo wapi lkn niambie baaasi jamani?
@ARFIddy7 жыл бұрын
Saidy Kipalo ntafte Fb kwajina ARAFA iddy
@mohamedmariano56996 жыл бұрын
A.R.F. Iddy .mmh
@bimumaulid11716 жыл бұрын
haha shekhe nimekupata 😁
@nduwiwimanarichard8966 жыл бұрын
±25769610902nmbayangu iyo naomba yakwako
@zulekhamohammed76947 жыл бұрын
ahsante shekhe ila wanaume hawaewi ukimwambia Fulani anifatilia atakujibu huyo ni mtu wako Wa mda tuu itakua
@abdulqadirhajj66317 жыл бұрын
Zulekha Mohammed
@abshirmohamed48877 жыл бұрын
Zulekha Mohammed dah
@mohamedmariano56996 жыл бұрын
Zulekha Mohammed .Ukiona mke anakwambia ujue hajampenda huyo au nimtu wake wazamani ilawamegombana.
@firdaus74286 жыл бұрын
Huyo mwanamke hamtaki mumewe mana asingetoka nje ya ndoa lakini ikiwa mume amemsamehe mkewe basi hapo ni uamuzi wake
@jumamachano73295 жыл бұрын
Assalamu alaikum naombeni namba za wasap za uyu sh jamani
@fatumayusufu17064 жыл бұрын
Nami pia naziomba jamn
@zammaulidi75075 жыл бұрын
Na Sisi wanawake je unajuwa anahuyu na Yule je unaweza kuishi maisha hayo ya roho juu juu Tu au mwanamke ukisha ona mume anatabia za kuona hasa je unaweza kisema ndoa hii bas au haifai ukae tu kufa kubona?
@mtoromtoro33386 жыл бұрын
mtihan jaman
@aishaarusha8943 жыл бұрын
🤦♀️
@lipikabelwa57886 жыл бұрын
In shallaah
@umayraseeb33575 жыл бұрын
A.alykum w.wabarakar, sheikh naomba namba zko za whatsapp nina matatzo kwenye ndoa yng unisaidie lolote
@IzudinAlwyDin5 жыл бұрын
0722611120
@taabohosain38497 жыл бұрын
Mashaallah
@husenihasani82696 жыл бұрын
mashaallah
@amuunyussuof52407 жыл бұрын
😁😁😁😁
@shukurually20116 жыл бұрын
Naomba mnisaidie jina la huyu shehe ili nikatafute dvd zake kiukweli anazungumza mawaidha ya kutuelimisha nitumie jina lake inbox no +255713 442590 tupendane kwa ajili ya allah
@rebeccamakweta82405 жыл бұрын
Shukuru Ally umefanikiwa kupata na me unitajie
@nassormuha48326 жыл бұрын
ndowa ni mapenz Shekhe siokirahis kuachana kiivo wanaume mtosheke na uke msione hamna makosa kuwabebesha wanawake makosa yote kila mmoja atabeba mzigo wake
@husseinvitabaki67916 жыл бұрын
Hussein A ada M tunduma MashaAllah
@wardalward36937 жыл бұрын
WOTE NISAWA MWAN MUME NI SHETANI NA MWANAMKE NISHETANI POLE SHEKHE
@hashimrupia87276 жыл бұрын
Shehkee asalaam aleikum hivi hizi dua za kuwaombea marehemu cku ya eid kubwa yafaa! na kama yafaa ni cku ngapi baada kupita ckuu ya ckukuu!
@alaminalamoudy5 жыл бұрын
😂
@salimsaid72003 жыл бұрын
@@hashimrupia8727 Maduwa Ya Kuwarehemu Wazee Na Waislamu Wote walokufa Na Sisi Tulokuwa Hai Kuombeana Rehma Ni Wajib Ni Siku Zote Na Wakati Wowote Na Mahali Popote.
@Rashidmhedhery7 жыл бұрын
Hawa Mashaikh ni wakujibandika tu, Hawana elimu, wanapotesha watu
@salmagogo99677 жыл бұрын
R M shekhe ni wewe na babako2
@jahifamau68737 жыл бұрын
R M sasa hapa kuna upotofu gani.hebu tueleze wapi alipopotosha zaidi ya ukweli.