JE YESU NI MUNGU?

  Рет қаралды 54,123

GOSPEL CORNER

GOSPEL CORNER

2 ай бұрын

mdahalo uliofanyika tar 1 -2 Maada ikiwa inahusu YESU NI MUNGU?

Пікірлер: 263
@user-vv9wb9he2x
@user-vv9wb9he2x Ай бұрын
Mch.Ndanda hakika wewe ni Mwalimu wa neno la mungu na ubarikiwe sana
@zakariaandrew1314
@zakariaandrew1314 Ай бұрын
Yesu wangu. Yesu wa Nazareth. Ni Mungu Mkuu
@petromachanga5538
@petromachanga5538 27 күн бұрын
Hapohapo
@HappyAivan
@HappyAivan 16 күн бұрын
Ubalikiwe
@HappyAivan
@HappyAivan 16 күн бұрын
Amenii
@amaningalla9420
@amaningalla9420 Ай бұрын
Mwalimu Ndacha upo vizuri sana,japo hao ni sikio la kufa.
@user-kx4vr5ix4e
@user-kx4vr5ix4e Ай бұрын
Pole kwa wasioelewa maana ukweli ndio huo! Ndacha kaongea ukweli mtupu
@user-xu6ny5ko2n
@user-xu6ny5ko2n Ай бұрын
Salamu zangu za dhati kwa nabii wa Bwana Dhacha.
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 19 күн бұрын
Viceversa
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 16 күн бұрын
Yes
@DhaharaniJongo-gt2un
@DhaharaniJongo-gt2un 14 күн бұрын
Yohanna 8:45 Lakini sasa munatafuta kuniua mimi mtu niliyowaambia iliyo kweli nilioyasikia kutoka kwa mungu
@magrethherin7110
@magrethherin7110 Ай бұрын
Yesu ni mungu halisi na nuru halisi ni mungu mkuu alie hai
@mwaikoleernest3411
@mwaikoleernest3411 Ай бұрын
heri wewe uliyejariwa
@jacksonmunisi9143
@jacksonmunisi9143 Ай бұрын
Ndacha Mungu akubark,nakuombea Sana umujue YESU KRISTO vzr ili akuondoe kwenye kind la wagalatia
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq Ай бұрын
Ndacha wew ni hatari 🎉
@PaulinaMlelwa-pv9fw
@PaulinaMlelwa-pv9fw Ай бұрын
Amina sana Mungu awabaliki sana 🙏🙏
@jacksonmunisi9143
@jacksonmunisi9143 Ай бұрын
Luka 22:19 Akatwaa mkate,akashukuru,akaumega,,akawapa,akisema,(Huu ndio mwili Wangu unaotolewa kwaajili yenu,fanyeni hivi Kwa ukumbusho wangu
@BarakaMahenge-ry3lq
@BarakaMahenge-ry3lq 5 күн бұрын
Barikiwa sana mwalimu na mchungaji Ndacha
@YalireAriane-mv9ls
@YalireAriane-mv9ls 7 күн бұрын
Yesu ni Mungu kabisa tangu leo nakubali kuokoka nakuitika yesu awe kiongozi wamaisha yangu❤❤
@GodfreyMeshack-gy2yt
@GodfreyMeshack-gy2yt Ай бұрын
Amina mtumishi, ubarikiwe sana.
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 Ай бұрын
Ni bora tuseme Yesu ni Mungu na tukute si Mungu kuliko tuseme Yesu si Mungu na tukute ni Mungu!!!!
@PhilipobonifacSado
@PhilipobonifacSado 24 күн бұрын
Atali sana
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 13 күн бұрын
Yote Ni yaleyale. Useme ndiyo wakat sio. Na useme hapana wakat Ni ndiyo.
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 Ай бұрын
Tumuombee sana ndacha Mana anajenga ufalme wa mungu
@IshmaelSimon
@IshmaelSimon Ай бұрын
Very nice! Ipo hivi, ili uwe mtu au binadamu lazma uwe na mwili na roho, na hii ni kutokana na sheria za Mungu mwenyewe, so kimoja kikikosekana maana yake sio binadamu tena. Ni hivyo hivyo kwa Mungu, yeye alie Mungu yu katika Baba na pia yu na Mwana ndani yake, maana ni Neno lake na maana lilikuwepoa na Baba toka mwanzo na Roho wake maana yu ndani ya Mungu mwenyewe. Hivyo huyo Neno alikuwa mwili ili aje awaokoe wanadamu ili arithi na wanadamu pamoja nae.
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Ай бұрын
Mtumishi hakika wewe umenikuna moyo wangu mno maana unaipiga roho ya mpinga kristo kwa neno ,Asie mjua Yesu kristo yupo chini ya rana, Jina lake Mungu ni Yesu kristo,
@user-fu6fx8if6w
@user-fu6fx8if6w Ай бұрын
Yesu Kristo ni Mungu wakati amekaa katika kiti cha enzi,ni mwokozi wa ulimwengu alipokuwa katika mwili na akafa msalabani,anakuwa roho mtakatifu aliporudi akiwa katika roho,wote ni mungu moja,jinsi mwanadamu alivyo na mwili,roho na nafsi,flesh,soul and spirit.
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 13 күн бұрын
@@user-fu6fx8if6w alkalis kiti cha enzi ? Au alikaa upande wa kuume wa Mungu 🤣🤣🤣
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f Ай бұрын
Ndana waisilamu Awana elimu Ya kiroho.utapanda shida BURE.awaezi kukuelewa waache waende janamu.mungu Huwa ana asala
@byamasumakali2139
@byamasumakali2139 Ай бұрын
Ubarikiwe sana mwalimu Ndacha
@PierreHeriIlungu-ks1mr
@PierreHeriIlungu-ks1mr 11 күн бұрын
Yani mwalimu Upo vizuri Sana kweli MUNGU akubariki Sana 🙏🙏
@user-km8qt2dy8s
@user-km8qt2dy8s 29 күн бұрын
I really agree with pastor ndacha. When you read bible in the book of John, the bible says that in the beginning was the word, (jesus), and the word was with God, and the word was God.
@mgejamasanja3427
@mgejamasanja3427 6 күн бұрын
Ubarikiwe
@tonkeijonathan5392
@tonkeijonathan5392 2 күн бұрын
Mwalimu ndacha unafundisha watu maandiko vzr mungu akubariki sana
@IngianaelMshana
@IngianaelMshana Ай бұрын
Hakika mtumishi uko vizuri barikiwa na Bwana
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Ай бұрын
Tena kama hukumu kubwa.mwanadamu.atahukumiwa.kukataa kuwa yesu sio.Mungu nabii isaya anasema jina.lake.imanueli Mungu pamoja.na wanadamu yesu kwa wanadamu ni Mungu .tusimkosee Mungu wanadamu tusome sana vitabu
@NoelMwita
@NoelMwita Ай бұрын
YESU NI MUNGU
@MichealNdahiza
@MichealNdahiza 11 күн бұрын
Asante sanaaaa mushungaji❤❤❤🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@Genie-h9x
@Genie-h9x 13 күн бұрын
Yesu ni Mungu hakika❤❤❤
@PetroAbel-ws9nv
@PetroAbel-ws9nv 17 күн бұрын
Nakupendaga bule mwalim ishi sana uponye wengi.
@alexdaniel7985
@alexdaniel7985 25 күн бұрын
Amen Yesu ni njia ya uzima na kweli.
@hosianaeliud243
@hosianaeliud243 Ай бұрын
Uko sawa mtumishi ata mmi nimefunguka leo kama Yesu ni mwana wa Mungu yye ataitwa Nani na uyu mwana akuagi hadi leo na kwann hilo jina limanguvu linaweza kubadilisha kila kitu....kwa maan hiyo YESU ni MUNGU
@SAMG.a.k.aMAFWERE-eq4tq
@SAMG.a.k.aMAFWERE-eq4tq 24 күн бұрын
Hosiana your right my frnd
@heavens9451
@heavens9451 22 күн бұрын
This Tv Channel I recommend it 100%.. It's take high quality Videos.. and very Clean Voice.... Naomba muwe mna Tuma mada live... Congratulations 👏👏👏👏👏👏
@MossesMeleji
@MossesMeleji 24 күн бұрын
Kweli waisilamu msipo batizwa kwa jina la YESU mtapotea kabsa
@denismugisha2
@denismugisha2 Ай бұрын
Tangu Yesu alisema mimi niko alikuwa amejitambulisha yeye ni MUNGU Rudi kwa Musa alipomuuliza MUNGU wakiniuliza huyo aliyekutuma ututoe misri ni nani? MUNGU akasema waambie mimi NIKO ambaye NIKO amenituma na alipowaambia hivo hawakubisha Na sasa Yesu mwenyewe anasema kabla ya Ibrahimu mimi NIKO Hapo mwenye akili na ajue
@user-un2td1no5f
@user-un2td1no5f Ай бұрын
Kabisa umenena vyema Yesu ni Mungu
@MalaikaKabekenga
@MalaikaKabekenga 16 күн бұрын
Ameeen. YESU ni mwana wa MUNGU hivyo ni MUNGU. Kama ilivyo mtoto wa mtu ni mtu na mtoto wa mbwa naye ni mbwa. Jesus is GOD
@StivenKabagambe-r8r
@StivenKabagambe-r8r 15 күн бұрын
Unasema kwali wasikie kweli hiyo il wawekwe huru kwa sababu wamepotea hawana uzima hawa Mungu akubariki
@benedictbuberwa3943
@benedictbuberwa3943 15 күн бұрын
Mwalimu Ndacha uko vizuri sana
@user-ib1yl3zp5v
@user-ib1yl3zp5v 8 күн бұрын
Shida ni kua kuna magugu yesu alitoa mfano katikà bibila mapasta wengi hawaja fahamu magugu hayo. Poleni sana
@alexmayemba8606
@alexmayemba8606 Ай бұрын
Yesu ni mungu hakika
@elijahotungu5510
@elijahotungu5510 28 күн бұрын
Amen mtumishi wa mungu
@user-qi3wl1bb3i
@user-qi3wl1bb3i 17 күн бұрын
Barikiwa mtumishi wa Bwana
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 13 күн бұрын
KWa hapa hapana maana anatupa maandish sio maana.
@abelmwakipesile9868
@abelmwakipesile9868 15 күн бұрын
Yesu ni Mungu mwenye nguvu,mshauri wa ajabu,baba wa milele mfalme wa amani isaya 1:6
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 13 күн бұрын
Tunataka kujua maana sio andiko
@bakarikimaiyo8634
@bakarikimaiyo8634 9 күн бұрын
Na mama yake ni nani
@gracengahygracengahy2063
@gracengahygracengahy2063 15 күн бұрын
😂😂😂😂Yesu ni Mungu mkuu 🙌🙌🙏👋🔥🙏🙏
@BenMutinda-qk7cm
@BenMutinda-qk7cm 24 күн бұрын
Yesu ni mungu bila shaka
@IsmailmhD-ep4qw
@IsmailmhD-ep4qw 14 күн бұрын
Usome ndio ujue acha ujinga ya kumfuata shetwani ndacha
@pastoremmanuel6988
@pastoremmanuel6988 12 күн бұрын
KWA NINI YESU [NENO] AITWE MWANA WA MUNGU ANGALI NA YEYE NI MUNGU. Bwana YESU asifiwe! Karibu tujifunze pamoja ujumbe huu ambao watu wengi wamechanganyikiwa hata wapo (BAADHI YA WATUMISHI) wamepoteza dira na mwelekeo kufikia kupotosha KANISA LA MUNGU kwa kusema YESU SI MUNGU WALA SI MWANA WA MUNGU. Na zamani walikiri hivyo, ila sasa wamepotea; hii inaonyesha hizi ni siku za mwisho. 1. KWANZA YESU NI NANI, NA KABLA HAJAITWA YESU ALIITWA NANI NA ALIKUWA WAPI? Kabla ya ULIMWENGU kuumbwa na hakukuwepo chochote MUNGU ndiye alikuwepo. Na Musa ndiye aliyepewa "UFUNUO NA MUNGU AU KUFUNULIWA NA MUNGU" kumjua Yeye, maana huwezi kumjua MUNGU mpaka amekufunulia yeye. "UFUNUO" wa Mungu una mipaka. Kile ambacho Mungu ufunua kwetu ni kweli, lakini hajafunua kila kitu. "Kwa maana tunafahamu kwa sehemu; na tunafanya unabii kwa sehemu; 1Wakorintho 13:9. Kitabu cha MWANZO kimeandikwa na Musa. Na aliandika kupita UFUNUO kutoka kwa Mungu maana wakati Mungu anaumba mbingu na Nchi Musa hakuwepo. Kama Musa hakuwepo na katuandikia haya basi hapo tunakiri kwamba "MUNGU UFUNUA SIRI ZAKE KWA WATU WAKE" "Siri ya Bwana iko kwao wamchao, Naye atawajulisha agano lake. Zaburi 25:14 Hivyo Basi waandishi wote walioandika BIBLIA waliandika wakiongozwa na Roho Mtakatifu. "Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu. 2Petro 1:21 Kwahiyo MAANDIKO AU NENO LA MUNGU NI UNABII ULILETWA KWETU KUPITIA WATU ALIOWACHAGUA MUNGU NA KUWAONGOZA KUANDIKA AU KUSEMA KWA MSAADA WA ROHO MTAKATIFU. HAPO MWANZO KABLA YA KUWEPO KUWEPO CHOCHOTE. "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Yohana 1:1, 3. Huu ni "UFUNUO" wa Yohana mwanfunzi wa Yesu aliopewa na Roho Mtakatifu. Musa naye alipewa UFUNUO akaadika haya, "Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Mwanzo 1:1 Kwa mantiki hiyo, unaposoma KITABU CHA MWANZO ujue unasoma "MAFUNUO YA MUNGU" ambayo aliyaachilia kwa Musa ili ayaanadike na watu tumjue Mungu. Sasa tunaanzia hapa. "MUNGU AKASEMA" "Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetuNa tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. Mwanzo 1:26 Hapo ujue Mungu ameshamaliza UUMBAJI, Sasa angalia anavyoachilia UFUNUO kwa Musa kumuonyesha kwamba hakuwa peke yake, bali alikuwa na ZAIDI YA WANAYE FANANA NAYE. twende Pole pole utaelewa. MUNGU AKASEMA, "Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu" Angalia hilo neno "KWA MFANO WETU NA SURA YETU" SWALI..... MUNGU ALIKUWA NA NANI AMBAYE ANATAKA WAMUUMBE MTU ANAYEFANANA NA WAO? Ebu na wewe jiulize, Si mimi nimesema huo ni "UFUNUO WA MUNGU KWA MUSA" na Musa akaandika ili sisi tujue. MUNGU ALIKUWA NA NANI? Mwingine anaweza kusema alikiwa na malaika, Je, Mungu anafanana na malaika aliowaumba? Jibu ni HAPANA. "Na kwa habari za malaika asema, Afanyaye malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa miali ya moto. Waebrania 1:7. Referring to the angels He says, [God] Who makes His angels winds and His ministering servants flames of fire; [Ps.104:4.] Hebrews 1:7. JE HAO WANAOFANANA NA MUNGU NI NANI MPAKA WANAPANGA KUSHUKA? "Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao. Mwanzo 11:7 Hii ni habari ya kuhusu watu walipoamua kukaa sehemu moja bila kutawanyika na kuamua kujenga mnara wa Babeli ndipo kikao kikakalika tena mbingu. Wakasema "NA TUSHUKE TUKAWACHAFULIE USEMI" kama alikuwa mmoja kwanini asiseme "NISHUKE NIKWACHAFULIE LUGHA" Musa bado anapewa UFUNUO WA KUMJUA MUNGU. Kwahiyo tuelewe kwamba Mungu hakuwa peke yake. Tunataka tuwajue hao alikuwa nao ni nani na nani? Si ndo maana yake. (Maaana ukipinga bila neno ujue wewe ni mpotoshaji, na unatumiwa na adui maana Neno la Mungu liko wazi kabisa linajitosheleza) Sasa twendelee!! BAADA YA DHAMBI KUINGIA ULIMWENGUNI. Mungu alikuwa anatafuta suluhisho la kumuokoa mwanadamu kwa kumuondoa katika MAUTI iliyoingia kwake kuputia ADAMU NA HAWA. "Kwa hiyo, kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti; na hivyo mauti ikawafikia watu wote kwa sababu wote wamefanya dhambi; Warumi 5:12. NINI KILITUMIKA KUONDOA DHAMBI? Walitumia damu za wanyama, lakini damu hizo HAZIKUFUTA WALA KUONDOA DHAMBI zilipotolewa bado dhambi zilionekana kwa Mungu.. "Kisha kuhani atatwaa katika damu ya hiyo sadaka ya dhambi kwa kidole chake, na kuitia katika pembe za madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, nayo damu yake ataimwaga hapo chini ya madhabahu ya kuteketeza. Walawi 4:25. "Kwa maana, ikiwa damu ya mbuzi na mafahali na majivu ya ndama ya ng'ombe waliyonyunyiziwa wenye uchafu hutakasa hata kuusafisha mwili; Waebrania 9:13 "Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambi kila mwaka. Waebrania 10:3. KAMA KULIKUWA NA KUMBUKUMBU YA DHAMBI BASI DAMU HIYO HIKUFAA, MUNGU AKATUFUTA NJIA MPYA. Je katika njia hiyo Mpya ya kutaka kumkomboa MWANDAMU Mungu alipanga nini? ALIPANGA KUJA YEYE MWENYEWE. Sasa yeye mwenyewe anakujaje KUMKOMBOA MWANADAMU? Nijurudishe tulipotoka, "TUMFANYE MTU KWA SURA YETU" Hao ambao walizungumza katika kikao hicho ambao WANAFANANA. (Kumbuka jambo hili "MUNGU HAFANANI NA KITU CHOCHOTE" Kwahiyo Aliposema kwa mfano wetu, KAMA ANA NURU, basi na alionao pia wana NURU, kama ni "ROHO" basi na alionao ni "ROHO" kumbuka huu ni "UFUNUO" Musa aliuandika kutokankwa Mungu. Hivyo kumbuka katika AGANO LA KALE MUNGU HAKUJIFUNUA ZAIDI, KAJA KATIKA AGANO JIPYA. Sasa MUNGU anakujaje duniani kumkomboa Mwanadamu? Mungu anaanza kuachilia UNABII "UFUNUO" kwa watu wake anasema, ANAMPA UFUNUO YEREMIA. "Kwa maana, ikiwa damu ya mbuzi na mafahali na majivu ya ndama ya ng'ombe waliyonyunyiziwa wenye uchafu hutakasa hata kuusafisha mwili; Waebrania 9:13 Agano hili linahusu "DAMU" ambayo siyo ya wanyama, wala siyo kama yule aipelekaye patakatifu pa patakatifu alivyo mwenye dhambi. Hii "DAMU" inatakiwa isiyo na UCHAFU WOWOTE. na anaye ipeleka asiwe mchafu pia. Sasa wale WANAOFANANA WALIO PAMOJA anatoka mmoja wapo ili aje ULIMWENGUNI. Kikao kikaklika ili sasa kutafuta "MWILI" aingie humo ili awe MWANADAMU aje kukabiliana na dhambi kupitia MWILI WAKE. Wakamuona MARIAMU ambaye hajawahi kukutana na mwanaume yeyote. Hapo ndipo mpango unaanza wa kuja kwa "HUYO ALIYEKUWA NA MUNGU KABLA YA ULIMWENGU KUWEPO AMBAYE ANA ASILI MOJA NA MUNGU" Unapozungmza ASILI maana yake chanzo chake ni kimoja, alikuwepo, yupo na atakuwepo. MFANO. Mwanadamu (mtu) ili akamilike lazima awe na ROHO, NAFSI NA MWILI. vinapoungana hivi vitatu ndipo anapatikana MTU. Kwahiyo kama alivyo MTU ni mmoja ana ROHO,NAFSI, NA MWILI ndivyo na MUNGU alivyo. TANGAZO LINATOLEWA. "Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu. Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu. Luka 1:30-31 TUKUMBUKE UFUNUO WA NABII ISAYA ALIOPEWA NA MUNGU KUUSEMA KUHUSU MTOTO ANAYEZALIWA. "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. Isaya 9:6. SASA TUANGALIE SIFA ZA HUYU MTOTO. 1.UWEZA WA KIFALME UTAKUWA MABEGANI MWAKE. 2.MSHAURI WA AJABU. 3.MUNGU MWENYE NGUVU. 4.BABA WA MILELE. Sasa Nabii isaya ANAFUNULIWA juu ya huyu mtoto jinsi alivyo. Ukiona sifa zote hizote ni sifa za MUNGU. Hapo ndipo tunarudi kule tuloktoka "KWA MFANO WETU NA SURA YETU" Kwahiyo huyo mtoto ana ASILI ya MFALME, MSHAURI, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE. Na asili hizo ndizo anazo Mungu. MUNGU huyu ana majina mengi na amejifunua kwa watu na kujitambulisha kwa majina yake. (Ukiyataka nionbe inbox nakutumia) YESU alipozaliwa na kupewa jina hilo "YESU" lenye maana yab"YEHOVA ANAOKOA" alikuwa anaitwa "NENO" NENO ANAVAA MWILI WA MWANADAMU. "Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli. Yohana 1:14 Kwahiyo jina la YESU ni jina la MUNGU maana ndiye anaitwa JEHOVA. "amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao. Waebrania 1:4 Angalia hilo neno "JINA ALILOLIRITHI" Kwa mantaki hiye NENO aliyekuwepo tangu mwanzo anapewa jina la YESU maana yake JEHOVA ANAOKOA. KWA NINI ANAITWA MWANA WA MUNGU Kwa sababu "Amezaliwa" alijushusha kama hana UTUKUFU WOWOTE akakubari kuwa kama mwanadamu, lakini wakati huo yeye ni NENO aliyekuwako pamoja na Mungu mwenye U-UNGU mmoja na Mungu. WALIOISHI NA YESU NA KUMSIKIA NA KUTEMBEA NAYE (WANAFUNZI) YESU ALIKUWA AKIJIFUNUA POLEPOLE. Yesu hakutaka kuwaambia kwa uwazi kwamba yeye ni "MUNGU" ambaye ni ASILI moja na MUNGU aliyejifunua kwa MUSA, ELIYA, ELISHA, IBRAHIMU, DANIELI, EZEKIELI, NK. Yesu alipokuwa akiwaambia MUNGU ni "BABA YANGU" maana yake alikuwa amejinyenyekeza sana kama mwanadamu kuonyesha utiifu. Mtume Paulo alipewa "UFUNUO" na kuandika. "ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; Wafilipi 2:6. Maana ya hili neno "naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho" Maana yake, KWA NAMNA YA ALIVYOKUWA KAMA MWANADAMU, NA AKAISHI DUNIANI NA KUUVAA MWILI HAKUTAKA KUNG'ANG'ANIA ASILI YAKE YA UUNGU KUWA NAYO DUNIANI ILI KUFANANA NA MUNGU ALIVYO HUKO MBINGUNI NA YEYE AWE HIVYO DUNIANI" NITAENDELE.. Endelea kufuatalia mpaka mwisho. Ubarkiwe.
@Confused3DModel-wg1jy
@Confused3DModel-wg1jy 13 күн бұрын
Yesu ni mungu bila kubigwa
@KasyokaKimanzi-pf2wp
@KasyokaKimanzi-pf2wp 11 күн бұрын
Wewe mwalimu kama sio roho wa mungu amekujiabia hao waslamu ni wanafiki sana lakini ashukuriwe mungu amekupa hekima ya kuwakomesha yesu ni mungu real si wakubahatishsa mhukumu wa ulimwengu
@mwamangashauri7645
@mwamangashauri7645 8 күн бұрын
Yesu ni Mungu na naamini hivyo na hakuna atakaye nigeuza kuamini hili
@user-ib1yl3zp5v
@user-ib1yl3zp5v 8 күн бұрын
Mara katika mada nyengine unasema yesu ni mwana wa mungu dacha uweleweke vipi wadanganya wakiristo
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 19 күн бұрын
Nataka jibu, ilikuwaje yesu kama ni mungu ajalibiwe na shetani na kuahidiwa ulimwengu na vilivyomo wkt vyote vimeumbwa na mungu
@o-zonegrafix5780
@o-zonegrafix5780 9 күн бұрын
Na jibu lake alilotoa unalijua
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 9 күн бұрын
Hana jibu huyo bendera fuata upepo
@user-bw6pt1yo5s
@user-bw6pt1yo5s Ай бұрын
Mwalimu vizuri sana
@Fedrick-jb8xb
@Fedrick-jb8xb Ай бұрын
Ndacha mungu akubariki
@clewis520
@clewis520 17 күн бұрын
Yeshua siye Yesu.
@johnwabulasa2085
@johnwabulasa2085 Ай бұрын
Siyo jambo la kubishia,Yesu ni Mungu
@user-wr7io8lh6j
@user-wr7io8lh6j 25 күн бұрын
Eti wanatuita sisi makafiri......mm huwa nacheka sana 😂😂😂😂😂
@magrethherin7110
@magrethherin7110 Ай бұрын
Yesu ni mungu
@nahashonmaritim4638
@nahashonmaritim4638 19 күн бұрын
Na uongeze isaia 7:14..9:6 na Yesu ni Mungu
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 13 күн бұрын
Mwana wa Mungu ndo Mungu? Mtumishi tupe maana
@peteraswani9865
@peteraswani9865 23 күн бұрын
Teacher. ndacha well well sir.
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 Ай бұрын
Wakristo hacheni ushabiki Yesu siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine
@petergoyandi5699
@petergoyandi5699 Ай бұрын
Rudi shule kwanza umjue yesu mana naona. Unamjua yesu kipengele tu ila humjui
@marygoretysenga1119
@marygoretysenga1119 25 күн бұрын
Jameni una maskio na macho na huoni wala husikii .hata kusoma huwezi.yesu ni mungu...atakuwa mungu nyakati zote.....ukubali wala usikubali haijalishi.
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 23 күн бұрын
Pole YESU ni MUNGU,,
@daniellourencojaime
@daniellourencojaime 23 күн бұрын
Watu wanaongueia KATIKA rhoo sio ubinadamu âmbayo wewe unajua
@lukazakayaMlaiza-e5k
@lukazakayaMlaiza-e5k 3 күн бұрын
huyu ndacha anatupigania sis wakiristo napenda
@user-rn2fs5jg6n
@user-rn2fs5jg6n 27 күн бұрын
Wakristo mtumie akili, Yesu sio Mungu, hamna Mwenyezimungu mmoja na wa kweli anayezaliwa na mwanadamu.
@shammhagama2527
@shammhagama2527 Ай бұрын
Yesu ni Mungu wa kweli
@user-be8mu6fm3t
@user-be8mu6fm3t Ай бұрын
Yesu ni mwana wa Muñgu
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 Ай бұрын
😂 ... Jitahidini Mumalize Tofauti zenu .. Mnatuvuruga, YESU ni Mungu au Ni Mwana wa Mungu..!??
@nkombejonathan2858
@nkombejonathan2858 15 күн бұрын
Kama Yesu angekuwa Mungu ni nani mwanadamu angekuwa mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu? 1 Tim 2:5
@SamsongimongeMairi-ih1jr
@SamsongimongeMairi-ih1jr Ай бұрын
Amen 🙏
@Babavicktoria
@Babavicktoria 22 күн бұрын
Yesu mwenyewe anasema yeye ni mwana wa Mungu
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 10 күн бұрын
Yesuni mtume
@nancyisoyi8164
@nancyisoyi8164 Ай бұрын
YESU NI MUNGU🙏🏾 YESU NI BWANA🙏🏾
@mwaikoleernest3411
@mwaikoleernest3411 Ай бұрын
Yesu ni Mungu milele
@yohanakereri5999
@yohanakereri5999 14 күн бұрын
Mzee wa upako naye achukue somo humu
@user-bh7nb2kn5o
@user-bh7nb2kn5o Ай бұрын
Hivyo yesuu si . Munguu
@user-un9ie3hh6y
@user-un9ie3hh6y Ай бұрын
Mchungaji Hao WaPo katika Giza yesu Kristo Ni mungu wakweli
@user-dy4pw8ts9p
@user-dy4pw8ts9p 14 күн бұрын
Msimamo wa ndacha ni kuwa yesu ni Mungu kwa asili yake kwakuwa mwana wa mwanadam ni mwanadam na mwana wa Mungu ni Mungu kwa asili , kwahiyo yesu kristo ni mwana wa Mungu
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 9 күн бұрын
@@user-dy4pw8ts9p kama mama wa yesu ni binadamu basi hata.yeye ni binadamu tu. Very simple
@user-ib1yl3zp5v
@user-ib1yl3zp5v 8 күн бұрын
Aiiiiii quran waifasiri vibaya sana ndacha anekufasiria anakudanganya
@Suleiman-p5d
@Suleiman-p5d 28 күн бұрын
YESU SIO MUNGU YOHANA 17:3 NA 8:40 YOHANA
@PhilipobonifacSado
@PhilipobonifacSado 24 күн бұрын
Yesu atukuzwe
@MossesMeleji
@MossesMeleji 24 күн бұрын
Sule anahitaji kufundishwa viziri maana atakuja kubatizwa pamoja na waisilamu wote
@user-yl9fb8uw3k
@user-yl9fb8uw3k 29 күн бұрын
Jamani Yesu kristo ni mwana wa Mungu aliye hai hata petro alipata ufunuo huo pale alipo uliza kwamba watu hubeba mimi ni Nan
@julioclememtejumbe2719
@julioclememtejumbe2719 Ай бұрын
Jesus Cristo é verdadeiro Deus
@ErickSaidi-ib7mz
@ErickSaidi-ib7mz Ай бұрын
Yesu anasifa la mungu baba yake
@nkombejonathan2858
@nkombejonathan2858 15 күн бұрын
Yesu siyo Mungu , kwa kuwa kuzaliwa kwake kulitabiriwa hivi: Malaika Gabrieli alitumwa na Mungu. Malaika alimwambia Mariamu kuwa Atalanta mimba kwa uweza wa Mungu, na Jina la mtoto atamwita Yesu , naye atakuwa ni Mwana wa aliye juu! Luka 1:26-27,30-32 Kama Yesu ni Mungu ni dhahiri kuwa huyo Yesu wenu ambaye ni Mungu hakuzaliwa na Mariamu ! Kama Yesu ni Mungu basi malaika Gabrieli ni mwongo na alimdanganya Mariamu?
@BarakaMahenge-ry3lq
@BarakaMahenge-ry3lq 5 күн бұрын
Waelimishe, ndugu zetu sio waelewa, Siri ya Quroan ilinukuliwa toma kwenye Biblia Takatifu
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc Ай бұрын
Ndiyo maana sisi wasomi na watafiti wa Maandiko Tunasema Yesu ni Mungu %100 ni Mwanadamu,,Sababu za kuwa Mungu ni Katika Roho ni baba wa Milele, na Katika mwili ni mwanadamu,Ndo Kule kuchukuliana na sisi Ebrania415
@user-fi4qy9se4r
@user-fi4qy9se4r Ай бұрын
Ndacha kapimwe akili
@user-ib1yl3zp5v
@user-ib1yl3zp5v 8 күн бұрын
Bibilia inasema mungu nimmoja na pale yesu anasema mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha wamekua mungu wanganui mbona ua changanya wakiristo yesu yeye amesema katika bibila ametumwa je kama yeye ni mungu ametumwa na nani? Na maandiko yanayo sema yesyu ni mungu ni watu wamesema, yesu hajakubali hata andiko moja kua yeye ni mungu
@abdikarim324
@abdikarim324 28 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 weee kupotea kabisa
@PhilipobonifacSado
@PhilipobonifacSado 24 күн бұрын
Toa kofia hio aujui kit
@user-ho7ci2fq1c
@user-ho7ci2fq1c Ай бұрын
Very nice
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m Ай бұрын
Wasabato pia wanashabihiana na waisram maana mambo mengi ya agano la kale wanayatukuza pasina kumtukuza mwenyez mungu
@ellymakongo656
@ellymakongo656 29 күн бұрын
Hivi unaejua hivyo huyo anaefundisha hapo ni tunda la wasabato?
@nemsonmsongole2892
@nemsonmsongole2892 Ай бұрын
Yesu ni Mungu asilimia 100 na mkristo yeyote asiye amini anamwabudu Yesu kama nani? Yesu ni Mungu.
@user-ib1yl3zp5v
@user-ib1yl3zp5v 8 күн бұрын
Hilo ni giza totoro ndacha unahitaji milika mwizi ndio uone
@JoyceMonewa
@JoyceMonewa Ай бұрын
Yesu ni mungu mkuu tito 2-13
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 Ай бұрын
Dada @JoyceMonewa ... Hivyo, Mungu Mkuu aliuwawa ..!??? 🤔
@alphoncenyalali2455
@alphoncenyalali2455 28 күн бұрын
ISAYA 9.6..YESU NI MUNGU MWENYE NGUVU
@MbavuMasha
@MbavuMasha Ай бұрын
Yesu ni mugu
@emanuelswai3966
@emanuelswai3966 Ай бұрын
Mzee wa upako , chukua hiyo itakusaidia kuwa Yesu ni Mungu
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 Ай бұрын
Mzee wa mtako ni poromota tu🤣🤣
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 Ай бұрын
Kuwafundisha haitosh wawaombee wawatoe mapepo ya kislamu
@pastormalitiushuhuda9965
@pastormalitiushuhuda9965 12 күн бұрын
HAKIKA MTUMISHI WA MUNGU MUNGU AKULINDE SANA, NA AKUBARIKI SANA.
@diananaswa4842
@diananaswa4842 Ай бұрын
Yesu ni MUNGU
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 18 күн бұрын
Sitak hata kujibzana nao waislam mm maana lengo lao ni kupnga sasa yann nijbzane nao
@nkombejonathan2858
@nkombejonathan2858 15 күн бұрын
Mungu ni mmoja hana nafsi tatu ana nafsi moja kwa kuwa ni mmoja tu. Mitume wote waliamini na kufundisha kuwa Mungu ni Baba wa Yesu Kristo. Mathayo 16:13-17 Yesu alimwambia Petro kuwa nini lake ulikuwa ufunuo wa Mungu kwake! Yohana alipoandika 1:1-1 Hapo mwanzo, ni mwanzo upi? Marko 1:1 Marko anaandika pia Mwanzo, Mwanzo upi ni mwanzo wa Injili ya Yesu Kristo! Wasiofahamu maandiko hufikiri ni mwanzo wa uumbaji lakini ni Mwanzo wa Injili. Yesu alipofufuka alimwambia Mariamu Magdalena aende awaambie wanafunzi wake kuwa anakwenda kwa Mungu ambaye ni Mungu wao na anakwenda kwa Baba ambaye ni Baba yao. Yohana 20:15-17 Yohana anaanza kwa kuandika hapo mwanzo 1:1 Hatimaye anahitimisha kazi yake ya uandishi akimtaja Yesu kuwa ndiye Kristo Mwana wa Mungu na ukiamini utapata uzima kwa Jina lake 20:30-31 Kama hauamini kuwa Yesu ndiye Kristo Mwana wa Mungu hauna uzima!
@manirakizaally
@manirakizaally Ай бұрын
Sijui akili inakuwa imeruka au!Ati nini?
@user-mw3kn6zg1f
@user-mw3kn6zg1f 24 күн бұрын
ingelikuwaheri ma sura n'a misitari ziwenahandikwa kwasababu salasini n'a tisini zinatuchanganya
JE YESU ALIKUFA???
1:38:58
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 18 М.
UTACHEKA NDACHA /  YESU WA KENYA /  WAISLAMU
1:11:18
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 1,7 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 178 МЛН
TENGENEZA URAFIKI NA WATU WENYE AKILI WATAKUJA KUKUSAIDIA BAADAE "PASTOR MGOGO
50:27
MWL.NDACHA & MWL. DANEL MWANKEMWA MUNGU MMOJA WA BIBLIA NI NANI?
29:46
Nguvu ya Msalaba na Damu ya Yesu | Apostle.Gregory Elijah
18:12
Apostle.Gregory Elijah TV
Рет қаралды 85
JE UNAMJUA YESU? | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
1:16:32
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 36 М.
YESU ALIKUFA MCH FRANCIS NDACHA.
22:31
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 7 М.
NDACHA : JE MAJINI NI WA UKRISTO AU UISLAMU? #MDAHALO
23:43
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 9 М.
Quran inasema Yesu ni Mungu - Sifa Saba za Yesu kutoka Quran. - 4
13:37
MUNGU MMOJA NI NANI KULINGANA NA BIBLIA
40:46
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 7 М.
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54
akimmmich
Рет қаралды 4,9 МЛН
Jaloliddin Ahmadaliyev - Erta indin (Official Music Video)
4:32
NevoMusic
Рет қаралды 1,4 МЛН
Kenjebek Nurdolday & Baller - sokpe#сокпе#сөкпе
3:10
Kenjebek Nurdolday
Рет қаралды 89 М.
Dj Jack SpaRRow - Akbar Ghalta Bahiati ( Slap Remix Arabic ) #TIKTOK
2:21
Dj Jack SpaRRow
Рет қаралды 1,3 МЛН
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 61 МЛН