Katika Mjadala huu Mwalimu Ndacha hakuja kucheza. Hakupenda upuzi katu. Mungu akulinde sana mwalimu.
@tungarazamtani40075 ай бұрын
pastor Ndacha Mungu akubariki sana
@AntonyManeno5 ай бұрын
Bwana YESU Asifiwe Milele Hata Milele❤❤❤ Amen❤
@dennycegulavi38105 ай бұрын
If the teaching of Brother Ndacha hasn't convicted the hearts of the Muslims present, woe unto them because there's no more further teaching to convince their hearts to repent their sins, turn to Jesus, and accept Him as the LORD, and Savior. May God continue to use your area of ministry as an instrument of praise and to use you as a vessel of honor. God bless you, brother Ndacha.
@OLUNGAJOSHMAH2 ай бұрын
Amen bro
@issakongolo28325 ай бұрын
Mchungaji Ndacha nakupenda tokea Congo DRC❤❤❤
@jeanninemunezero64696 ай бұрын
Mwisilamu ambaye arisikiya hoja hizi za ndacha na abaki kuwa Mwisilamu ako katika hasara
@YusuphLyanga-e8j6 ай бұрын
Hoja za ndacha hawawezi kuzijibu wanabaki kupoteza mda2
@franciscomtambakuluca28305 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@kinyuasamuel53265 ай бұрын
Dacha nimwalimu wa suree
@OmariShuli5 ай бұрын
Ndacha yuko muwazi zaidi kuthibitisha kuwa wakristo mna miungu wawili.Hiyo nimeilike.
@OLUNGAJOSHMAH2 ай бұрын
@@OmariShulikwa wazo lenyu msikitini maana nyie mna miungu wengi sana..mafano Q74:24
@hudsonkishah86776 ай бұрын
Congratulations pst Nadacha we are waiting for Dr Sule to be baptized bro Sule you are welcome to Christianity God loves you
@erickbyamungu9736 ай бұрын
Mungu akubariki pasta Ndasha nakufwatiriya sana Niko south Africa
@EliabuShima6 ай бұрын
Barikiwa sana
@johnmuriithi88325 ай бұрын
Yesu yuhai milele na milele
@tonkeijonathan53922 ай бұрын
Mwalimu ndacha unafundisha vizr mungu Akubariki Sana mtumishi wa mungu
@afre87383 ай бұрын
Mungu akubariki Mwalimu NDACHA
@navokisembo5 ай бұрын
Barikiwa mtumishi Ndacha na Paulo
@RITAChepngetich3 ай бұрын
Mungu akubariki ndacha , muislamu utafunsa but wanaelewa opposite hawatasikia hadi ile yesu atakaporudi mara ya pili
@IsaacklesaanLesaan5 ай бұрын
Mungu awabariki watumishi wake ❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@peaceirene81835 ай бұрын
Asiyeelewa maana haambiwi. Hawa ndungu zetu waislamu hawajui garama ya rohoni ndio manake wanafundisha Kwa jinsi ya mwili. BWANA YESU ASIFIWE Milele
@andersonwaweru84826 ай бұрын
Yesu alifufuka kutoka kwa wafu,lakini Muhammad na wewe sulle, mtamngoja yesu kristo, either mfufuliwe ufufuo wa kwanza au wa pili, sana sana wa pili finali jehanam.
@lizzykerubo8605 ай бұрын
Hapo kaka ukanimaliza ety sana sana finali jehanam sule na Muhammad 😅😅😅😅😅😅
@lizzykerubo8605 ай бұрын
Ety sana sana ufufuo wa pili hahaha, lakini hapo sasa ndipo penyewe
@saphinalutaha90775 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂muwe mnachekesha izo akil mnamanisha had mtume ibrahm naye atahukumiwa na yesu atakae hukum ni mungu pekee mtume Mohammed alikufa kwa sababu alimalza kaz zake masih hakumalza kaz yake ndomana atarud
@DeborahKarwitha6 ай бұрын
Amen mtumishi Mungu akubariki
@KakulungeMbwambo5 ай бұрын
Kama doctor sullen una wazoo la kwenda mbinguni pr ndacha ameletwa kwaajili ya ukombozi wako. Usifanye moyo wako kua mgumu na kuchanhia kupotosha wengine man utalipwa Mara Mia .
@filibetifilibeti5344 ай бұрын
Kweli ww mtumishi wa shetani DR SULLE
@rajinkalisia17306 ай бұрын
Mungu akubariki sana mwalimu Ndacha
@ustadhfarouq77296 ай бұрын
Hakuna mungu anaeza bariki mtu anayesema wako mungu watatu,hiyo nikufuru kubwa mno.
@samutykuntathebantu84026 ай бұрын
@@ustadhfarouq7729jini shindwee pepo chafu ya allah
@japhetndoro65336 ай бұрын
Mungu wa tatu????
@japhetndoro65336 ай бұрын
Nani anasema ivo
@AnithaMuvurwaneza6 ай бұрын
Tu nakukubali mtumishi Roho Wa Mungu Iwe ju yako Hekima tele itokayo ju mbinguni🎉🎉🎉🎉
@KOMBOMWAGUYA6 ай бұрын
Mungu akubariki mwalimu Ndacha Kwa kuwaelimisha hao waislam
@Sharrif4566 ай бұрын
Hakuna kitu tume elewa nyi ndo mliopotea vitu za common sence hamuelewi
@threebrothers..6 ай бұрын
@@Sharrif456Utamkumbuka ndacha siku ya kiama,,usipokubali yesu uachane na maiti ya muhamadi utalia na kusaga meno
@nomar37086 ай бұрын
@@threebrothers.. Yesu ni kiumbe cha mungu. Hana uwezo wowote. Abudu mungu aliyekuumba
@YesuniBwana-sv5zd6 ай бұрын
ndacha muheshimiwa wa mungu mungu wambinguni akupe yote.
@Mtumisi6 ай бұрын
Amen mtumishi
@NzyimanaAloys3 ай бұрын
Mimi nipo mozambique nawasimiliza hapo ndaca unasema kwri.
@kennethprodigy3 ай бұрын
SAFI ZOINST COGMERS MWALIMU FRANICIS NDACHA
@SantosShunni6 ай бұрын
Deus te abençoe pastor Ndacha, Amem
@douglasabuya16374 ай бұрын
Ndacha ulipewa kioawa cha bibilia kweli na Quoran,mungu akulinde
@aminiahmad-i9q4 ай бұрын
Waisilamu hawakubali sifa za udhaifu namapungufu kwa mungu na kufa kuteswa ni udhaifu haistahiki kwa mungu hayo ni kwa viumbe kufa na mateso.wakiristo amkeni. M ùmfahamu mungu wa kweli si yesu kama munavyojua.amkeni tafakari hayo
@FrankAloyce-ic6rq6 ай бұрын
Yan mm siimuelew sure anachokisema kabsa
@abelmoturi523 ай бұрын
Toa verses Yeso akufa Dr sulle
@OLUNGAJOSHMAH6 ай бұрын
Kazi kubwa kweli Barikiweni watumishi...
@يونيسيونيس6 ай бұрын
Na ngoja sule apite kwa hoja Niko makini Sana ata mimi ni slimu.kwaza hiyo maadiko ya Quran woi na asibadirishe maadiko, hiyo maadiko imekauka
@abelmoturi523 ай бұрын
Enda kwa mada na toa verse juu ya yale you are talking Dr sule
Duh kumbe ndo maana YESU alisema BABA uwasamehe maana hawajui wasemayo
@jofreyevansantony27706 ай бұрын
Amém mwalimu
@rashidmohamed19495 ай бұрын
Asalam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Tumwombe Allah Amwongoze Dr Sule.. Azidi kumpa elimu. Yeye Dr na team yake kwa uchache wao ndio kiboko ya wapotoshaji wa mambo ya haki
@BilaliFisto5 ай бұрын
Bb yangu ubarikiwe sana muchungaji
@EliabuShima6 ай бұрын
Sure kumbe huna elimu ya dini kabsa hoja za nfacha huwez pita ndani
@MarthaMasha-e6q6 ай бұрын
Atapitaje ndani nazikona bomu🤣🤣atalipuka ndio maana anazihepa
@EliabuShima6 ай бұрын
@@MarthaMasha-e6q ahahah
@MaryannWainaina-ud1de4 ай бұрын
Makuhani makubwa hawakuwa na roho mtakatifu wa kunjua kuwa yesu alikuwa mwana wa mungu ndio maana walimsaliti yesu bibilia ndio jia ya uzima
@NicholasMidalimu-w8l6 ай бұрын
Leo nayo mitambo imekuwa sawa kazi nzuri
@sophiaesmarcharo97755 ай бұрын
❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@DrjosephKingo6 ай бұрын
Wewe Sule unalemewa na hoja nenda kwenye maandiko wacha kutoa ufafanuzi wa akili zaki kila mtu ana akili. Sema Yesu hakufa kwenye maandiko ya bibilia wacha longolongo
@zachariamichael88716 ай бұрын
Wapendwa katika BWANA tuchangie injili iende mbele ndacha hana biashara yoyote yakumuingizia kipato cha kukidhi mahitaji yake tumchangie mwalimu katika namba yake kama ni wakirsto wa kweli
@jeanninemunezero64696 ай бұрын
Sule hawezi kuka peke yake anaogopa kwa kuwa mbogo ndiye anamusadiya jamani kwa nini anakuja na bodyguard anaogopa nini?? Heeee
@Thruthministry5 ай бұрын
Aminaa mjoli
@franciscomtambakuluca28304 ай бұрын
Ni Kweli
@CharlesMisungwi-f8t5 ай бұрын
Huyo mwalimu Ndachani zaidi yawenyeakili anajaakotekote kama hewa yaokisijeni.
@vicmosessande5 ай бұрын
Waislamu Hawasomi Bali Ni Kelele Tu Na Kusema Takbir
@issakongolo28325 ай бұрын
Yesu ni Mungu ❤
@SaidSaigor6 ай бұрын
Takbiir Islam will win
@GilesKhamis6 ай бұрын
Islamu hoi kabisa
@KimoniMbinda5 ай бұрын
Nonsense abdul
@KimoniMbinda5 ай бұрын
Joo kwa yesu achana na ubishi wa kimwili bro.jesus is God.
@thomasnizigiyimana51225 ай бұрын
Hojaa zimekushi sule kujibu Kubali kuokoka
@halidimgonza59456 ай бұрын
Dr. sulley is next level, huyo ndacha atawadanganya sn MAKAFIRI wenzake na kwenda wote motoni
@ramadhanmahongole92936 ай бұрын
We nguruwe huna akili yani unaamini sule yupo sahihi wakati anapotosha mamuma wenzie kama nyinyi majafiri wa kiarabu wajinga wajinga
@halidimgonza59456 ай бұрын
@@ramadhanmahongole9293 nguruwe si ninyi makafiri mnaokula, mtakuja ona mtapopatwa na umauti moto unawasubir msipoitambua haki mapema
@ramadhanmahongole92936 ай бұрын
@@halidimgonza5945 acha ulevi we nguruwe... haki iko ndani ya ukiristo tu na mtume wa wakiristo ndio yesu ambae atakuja kuhukumu ulimwengu siku ya khiama nyie mhammad wenu yupo kablini naye atahukumiwa na yesu pia siku ya khiama acheni mamuma jitambueni nyie makafiri
@ramadhanmahongole92936 ай бұрын
@@halidimgonza5945 bora sisi tunakula nguruwe wazi hatujifichi kuliko nyie makafiri mnakula kwakujificha
@zachariamichael88716 ай бұрын
sasa kati ya sule na Quran nani muongo mana Quran inakubali YESU alikufa sasa ww unamkubali kishabiki tu ila ukweli umesikia.
@shalomabraham31706 ай бұрын
Amen
@KoomeNzima-e2v6 ай бұрын
Ameni
@clauselphasmandelawatrue73586 ай бұрын
Sule usibadilishe mada, mada si ya vitabu ... ni kufa kwa Yesu
@EliabuShima6 ай бұрын
We mwache tu alukejuu aanguke chini dozi imemuingia
@simonsimpiri57485 ай бұрын
Sifa Kwa Kristo milele na milele
@mainasarah6 ай бұрын
Hapo sawa Ndacha kabisa
@DesderiusHaule5 ай бұрын
Dr sulle hoi bin taaban kwa pastor ndacha
@HellenaMky6 ай бұрын
Waislamu. Leo mnakaxi kwelikweli
@JamesMoses-jd1yq5 ай бұрын
Ndacha please drop your m mpesa number tukussaport maanake unafanya kazi safii ya mungu.
@BIBLIANURUYADUNIA5 ай бұрын
+254705602959 Francis ndacha gatiba
@JamesMoses-jd1yq5 ай бұрын
@@BIBLIANURUYADUNIAthanks mtumishi wa mungu l will send you something very soon
@apollorutamucero69714 ай бұрын
Na tumekuteremushiya kitabo n Wawungu wengi!
@fauwilliam67806 ай бұрын
Kama mtu hawezi kumuelewa mwalimu ndacha hawezi kuelewa biblia kamwe,yupo na kipaji cha kufundisha tena kwa ushahidi wa maandiko
@hezronsaid21686 ай бұрын
Mtiani sna waislamu kuelewa bibilia,lakini kumbuka kama iko watalia na kusaga meno.
@nomar37086 ай бұрын
Mwangalieni Yusus estes ambae mzungu huyu aliyekewa pastor mkubwa anayeijua biblia amesilimu huku analia. Huyo ndacha anababaisha babaisha na muongo anawapoteza huyu
@ShekindiaSalum5 ай бұрын
Ndacha ni yesu mtupu. Wafundishe hao waislam wanao sali na majini misikitini.
@fredmariita89306 ай бұрын
Mwalimu ndacha MUNGU ukupee hekima siku sote
@nomar37086 ай бұрын
Mungu atamwingiza motoni huyu anakupotezeni mnaabudu kiumbe badala ya kuabudu muumbaji
@japhetndoro65336 ай бұрын
Waislamu msiwe washabiki tu sikizeni hoja
@GilesKhamis6 ай бұрын
Ndacha ni mtumishi wa Mungu,na wewe sule ujuwe kuna uzima wa milele wa wacha Mungu,jifunze umche Mungu,shingo ngumu itavunjika
@mosesjillo17296 ай бұрын
😂😂😂😂😂huyu Ni Dr ama ni mtu amerokotwa mtaani 😅😅nmemsikiza dakika ishirini sijaona akitoa andiko yesu hakufa msalabani....anaemsifia huyu walai kapotea
@CharlsShukia-ju1wv5 ай бұрын
Mpumbavu hata ukimtwanga kwenye kinu upumbavu wake hautamtoka.Wana masikio lakini hawasikii,wana macho lakini hawaoni,ni wa kuwahurumia na kuwaombea tu
@Blessedboi80196 ай бұрын
Sule batizwa, nitakupa gari lingine
@TAFSIRIZANDOTO41065 ай бұрын
yani elimu ya dk.shule ni ndogo mno alafu hanyooki katika mada
@MarthaMasha-e6q6 ай бұрын
😂😂Yani mwalimu ndacha amenichekesha, eti hawagusi hizo korani ni kama zina bomu
@JojoSrena6 ай бұрын
Hata namm nimecheka😂😂
@MarthaMasha-e6q6 ай бұрын
@@JojoSrena ni kweli kabisa,. Si ashike hizo korani avunje hoja Jamani 🤣🤣
@MarthaMasha-e6q6 ай бұрын
@@JojoSrena walipigiliwa msumari ya nchi tisa wakanyamazishwa kimyaaaa . ndio maana
@KanajaManyasi5 ай бұрын
Hakika mambo yote yapo wazi MUNGU ni mwema ukristo raha
@jeanpaulkwizera32165 ай бұрын
Uyo mutumishi wa Shetani Sure atacukuwa wengi mutoni
@kazungukasukari6 ай бұрын
Story mingi sule sema yesu alikufa ama hakufa ?
@KelliusPapa5 ай бұрын
Sihukumu Mimi katika upande mbili lakini ukweli ni huu yesu alikufa na akafufuka siku ya tatu na akapaa mbinguni doctor sulwe ambia waislamu wenzako ukweli,, maana damu Yao itakua juu Yako siku ya hukumu
@merydotto50466 ай бұрын
Sule ameshindwa hoja balikiwa mtumishi ndacha
@nomar37086 ай бұрын
Huyu ndacha aje kufanya mdahalo wake na Yusuf Estes, pastor mkubwa wa kizungu aliyebadili dini kuwa muislamu. Anaijua biblia nje ndani . huyo ndacha atajikojolea😂😂😂😂
@Thruthministry5 ай бұрын
Anaijua biblia lakini haelewi kuhusu biblia ,, maana ili uelewe biblia lazima uwe roho wa MUNGU ambaye ni roho wa kweli
@mwesi5276 ай бұрын
Mpinga kristo Hugo hapo sulle na akili za Muhammad na walaka bin nafar
@HellenaMky6 ай бұрын
Wewe acha polojo. Sisi tunaangaria maandishi. Na syo majina uisilamu cyo ndini
@SaidSaigor6 ай бұрын
Kenyans embraced Islam majority
@issackabdi70016 ай бұрын
Ndacha ana uchache wa elimu
@YusuphLyanga-e8j6 ай бұрын
Sule anatumia ufunuo 2:18 wakati ni kitabu cha unabii naye hat hajuii😂😂😂😂
@Makevo084 ай бұрын
Sulle leo kayatimbaaa....anabwabwaja tu ...waislamu ni kelele tu...hoja za ndacha hazijajibiwa
@apollorutamucero69714 ай бұрын
Sul ikaa hawytawezabiblia siyondaca
@breaking133276 ай бұрын
❤
@isayaogola87336 ай бұрын
Hakuna hasara kubwa duniani kama kuwa mwislamu
@JuliusMatiku-ux4ch5 ай бұрын
Hao ote lao moja wanatafuta hela, wameshapamgana.
@aminiahmad-i9q4 ай бұрын
Mbona yesu wanafunzi wake walivishwa sanda wenye mila hiyo ya sanda ni waislamu ama wakiristo ukweli uko wazi
@TAFSIRIZANDOTO41065 ай бұрын
huyo shule kiukweli ni muongo anajua anacho kifanya moyo wake kabisa
@Nolithajack126 ай бұрын
Kabisa tutowe ubishi ndacha ni mukweli abalikiwe
@Makevo084 ай бұрын
Without lies islamis over
@mulewakatana25186 ай бұрын
Mkristo damu
@EmmyRowland-ir5gh5 ай бұрын
😂usitumie bibilia basi 😅
@YusuphLyanga-e8j6 ай бұрын
Mbn sule amekuwa na maneno mengi
@nomar37086 ай бұрын
Huyu ndacha fujo tu hajui lolote hajibu maswali na anazusha zusha tu
@nomar37086 ай бұрын
Huyu ndacha anazidi kuwapoteza nyie mnaabudu binadamu ambaye dhaifu, anakula na anakunya. Wajinga kweli
@charlesisaboke16435 ай бұрын
The problem with our Muslim brothers is the lack of the holy spirit who should give them insight to the word of God, you can't read the Bible as a story book
@ramadhanmahongole92936 ай бұрын
Waislamu wana vichwa vigumu kama mawe hata wafundishwe vipi kuwa ukiristo ni dini ya kweli hawaelewi
@AmriAmri-hy6sg5 ай бұрын
Amakweli kafili yeyote Hana akili hapo dk sule bado 2 hamumuelewi inshaallah ninyi waumini hamna hatia kwani mlikua hamjui bas mtafakali hao wachungaji wako ktk masirahi wachunguzeni muache ushabiki