JE UNAMJUA YESU? | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)

  Рет қаралды 36,081

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Жыл бұрын

Пікірлер: 80
@ednaagalla2595
@ednaagalla2595 9 ай бұрын
Nimepokea uponyaji sasa hivi (saa 10:33pm)baada ya kusikiliza somo hili, nilikuwa nna maumivu ya mgongo na mguu ila katikati ya maombi nikasikia kitu kimeachia nikaanza kujinyoosha wakati mchungaji anaendelea kuomba kuhakikisha na alipomaliza nikajinyoosha tena ili kuhakikisha ,sina maumivu kabisa. ninamtukuza Mungu na Baba yetu wa mbinguni kwa hili na mengine yajayo ninaamini nmeshayapokea kwa imani na hili ni uthibitisho.
@allround8056
@allround8056 9 ай бұрын
Amen!
@mtesigwakuboja1632
@mtesigwakuboja1632 7 ай бұрын
Amina
@roselineombati670
@roselineombati670 2 ай бұрын
Amen, hallelujah
@davidkilajaga8842
@davidkilajaga8842 Ай бұрын
Hallelujah
@user-gp5vc7cb7i
@user-gp5vc7cb7i Ай бұрын
Amen
@tracysally-im7fw
@tracysally-im7fw 11 ай бұрын
Napenda unavyo ubiri kwa nguvu na ujasiri,sichoki kukusikiliza,mungu akubariki zaidi milele
@annmjemah5655
@annmjemah5655 Жыл бұрын
Kwa kweli mchungaji hilo la kutokupokea miujiza ni la kweli. mimi ni mtu ambayenilikuwa sikubali na rafiki zangu ambao ni kama wadogo zangu mmoja anaitwa irene,mary na angel walinishawishi kila mmoja kwa wakati wake niwe nafika kusali j5 katika maombi. wakati wa kiipindi cha maombi sikuwa nafumba macho nikifikiri kama kuna kitu. ninashuhudia hili mwaka 2022 kuingia 23 kuna somo nililikuta youtube lilikuwa linaongelea kuhusu Mungu akufumbue macho mwaka 2023 nafikiri ilitolewa december 31 mwaka 2022 nililisikiliza lile hubiri nikaomba na mchungaji. na niliwambia Mungu tatizo langu likajibiwa nikiwa ninatazama. sitaki kuliongea alichonifanyia kwa kuwani mambo ya ofcn na ninaogopa kulisema kilichotokea kwa kuwa wengi wanatazama humu. Tunakushukuru kwa kutufungua macho na mawazo kwa Mungu wetu
@Shirimaneema
@Shirimaneema 11 ай бұрын
I love how you speak with strength and courage, I never get tired to listening you,may God bless you forever.
@raelsarange638
@raelsarange638 Жыл бұрын
Pastor I have changed my life and living style anytime I listen to ur teachings I pick a point thank you from the bottom of my heart be blessed abundantly in Jesus mighty name Amen 🙏
@emmymwasalwiba1912
@emmymwasalwiba1912 Жыл бұрын
Amen, even me God using pastor Mbaga to reform my life spiritual and physically. Pastor be blessed a lot, and live longer.
@dr.edwingeorge9837
@dr.edwingeorge9837 Жыл бұрын
Me too
@dorahmcharo3083
@dorahmcharo3083 Жыл бұрын
Amen.
@reginahmwanza7887
@reginahmwanza7887 Жыл бұрын
Same to me here ❤❤
@AnneMasila
@AnneMasila Күн бұрын
Asante sana Pastor ninambarikiwa kwa mahubiri yako
@catarinaalexandrenkhalamba6786
@catarinaalexandrenkhalamba6786 13 күн бұрын
Asante sana pastor Mbaga. Kweli wewe siyo mhubiri wa dhehebu moja, nafuatilia sana mahubiri na mafunzo yako huku Msumbiji ninakoishi kwa njia KZbin. Ningefuráhi sana japo kama ningepata Numba yako ya WhatsAppy. Mungu azidi kukuongezea kipaji, ujasiri na moyo wa upendo. Karibu kwetu.
@sylviesaidi5740
@sylviesaidi5740 Ай бұрын
Nipenda sn pastor mafundisho yako
@MortonKaunda
@MortonKaunda Ай бұрын
Ubalikiwe sana mchungaji Wetu Amen
@happinessmongare4311
@happinessmongare4311 11 ай бұрын
Naomba mungu kila madhabau ya giza uyaondoe kwa familia yangu kupitia maombi haya kwa jina la yesu amen
@user-gp5vc7cb7i
@user-gp5vc7cb7i Ай бұрын
Amen
@elienew3788
@elienew3788 2 ай бұрын
Sioshwi dhambi.zangu bila damu yake Yesu hapendezewi Mungu bila damu yake Yesu hakuna kabisa dawa Ya makosa yakututakasa ila damu yake Yesu Asante sana nimeguswa
@HamisHamis-bi7yk
@HamisHamis-bi7yk Жыл бұрын
Nayapenda madundisho yako mchungaji Mungu akubariki sana wewe pamoja na familia yako.
@user-fi9ef2rd8k
@user-fi9ef2rd8k 11 ай бұрын
Munguazidi kukutumia Sana pastor Mbaga
@KwihaAthanas
@KwihaAthanas Ай бұрын
Nabarikiwa sana
@osmanali3872
@osmanali3872 Жыл бұрын
Mungu akubariki pst nasukuru kwa kutuelimiza ,unatwambia ukweli ili tubadilike
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@danielcesaire1240
@danielcesaire1240 Ай бұрын
Ubarikiwe tna na tna
@NdackKengele
@NdackKengele Жыл бұрын
Bwana ainuliwe sana kupitia mtumishi wake ..... Umenibariki sana kiongoz
@danielcesaire1240
@danielcesaire1240 Ай бұрын
Nifuraha kubwa saaana kwetu ssisi tuliyo bahatika kusikia ma fundisho yako pastor
@bernakimario
@bernakimario Жыл бұрын
Mchungaji mungu akulinde sana nabarikiwa sana na masomo yako nayafuatiliya nabarikiwa sana
@danielcesaire1240
@danielcesaire1240 Ай бұрын
Nifanye niwe mwanafunzi pastor niko south Africa
@erickchaula5084
@erickchaula5084 Жыл бұрын
Mungu akuongezee siku za kuishi mchungaji mbaga maana wewe si mchungaji wa wasabato tu bali ni mchungaji wa madhehebu yote nayapenda sana mahubili yako hayana udhehebu ni yakuwapeleka watu mbinguni
@kadzocharosilver411
@kadzocharosilver411 26 күн бұрын
Mimi niko Saudi Arabia ni mkenya
@AjuayeEmanuely
@AjuayeEmanuely Жыл бұрын
Amina huwa nabalikiwa sana ninaposikia mahubiri yako mungu akubaliki
@davidkilajaga8842
@davidkilajaga8842 Ай бұрын
Na Mm nimo, Bwana Yesu aniguse
@MortonKaunda
@MortonKaunda Ай бұрын
Naomba namba ya whattssp ya mchungaji pastor David MMBAGA NAFAIDIKA SANA KUTOKA MUHUBIRI TV NIKO SOUTH AFRICA HASATENI
@SospeterLadslaus-zf7kh
@SospeterLadslaus-zf7kh Жыл бұрын
Asante Yesu kwakuhurumia kutupa huyu mtumishi
@andrewchioni9366
@andrewchioni9366 11 ай бұрын
Mungu akubariki kwa mafundisho ambayo Roho mtakatifu anakupatia ili unene nasi
@lebonbasimise6814
@lebonbasimise6814 8 ай бұрын
Pasta mungu akubariki sana miye Congo nime sambaza sana mahubiri yako na watu wana farijika sana
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 8 ай бұрын
Mungu akubariki saaana
@maombijofre2302
@maombijofre2302 11 ай бұрын
Ubarikiwe Sana
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 4 ай бұрын
Amen ubarikiwe san mtumishi kwa mafundisho
@adyday8788
@adyday8788 Жыл бұрын
Nazani ni wakati wa kumiliki TV Yako pr
@davidmisiwa4622
@davidmisiwa4622 Жыл бұрын
MUNGU wa mbinguni na atoe apendavyo
@dorcusamisi2926
@dorcusamisi2926 9 ай бұрын
Barikiwa sana YESU azindi kukubariki
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 6 ай бұрын
You are filled with the Holy Spirit. Thank God
@KASICHANANDARO-ud1eh
@KASICHANANDARO-ud1eh 11 ай бұрын
Nabarikiwa sana na mafundísho yako pastor
@user-ns1jw3rl3g
@user-ns1jw3rl3g Жыл бұрын
Yehova Akuongezeye ujuzi
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 28 күн бұрын
Amen
@estherkahindo2994
@estherkahindo2994 10 ай бұрын
Amina papa ubarikiwe zaidi
@HeppyPaul-tq3ry
@HeppyPaul-tq3ry 11 ай бұрын
Mungu azidi kukupa Maisha marefu Mtumishi wa Mungu
@user-ep9by3ui1v
@user-ep9by3ui1v 4 ай бұрын
Ameen🙏💖
@RubaR-nr5wz
@RubaR-nr5wz 8 ай бұрын
Mm huwa natoa zaka zangu lkn nikitoa ak mambo yangu ndio yanazidi kuwa mabaya sana lkn nikiacha kutoa huwa naona afueni ss hii nayo ni nn naomba pst mungu akusaidie na kunipa mm muelekeo nifanyeje
@onesmoelias2285
@onesmoelias2285 Жыл бұрын
Ameee ameee ameee mchungaj unakipind kimoja tu
@RubaR-nr5wz
@RubaR-nr5wz 8 ай бұрын
Kuna watu waliondokewa na mzazi mmoja je Hawa nao ni mayatima ama vipi na unaeza wasaidia nao
@funakoshtadash6163
@funakoshtadash6163 Жыл бұрын
Naam, ukweli ndio huo kwamba ikitokea mwandamu akamjua Mungu basi naye huyo atakuwa ni Mungu. Tunamjifunza huyu Mungu kila kukicha ila hana maana ya kumjua bali kuyajua mapenzi yake
@ednaaswile6631
@ednaaswile6631 Жыл бұрын
Amina na Amina mtumishi 🙏, Asante Mungu Kwa ajili ya chombo chako hiki ili tuendelee kukujua wew kupitia mteule wako huyu Barikiwa pastor
@BarnabasJonas-nv4ig
@BarnabasJonas-nv4ig Жыл бұрын
MUNGU atusidie sana AMEN
@Pst.enock9626
@Pst.enock9626 Жыл бұрын
Hi pastor good teachings
@lorainnelarryson3626
@lorainnelarryson3626 Жыл бұрын
Amina pastor.
@LilianWanjiku-vr5dj
@LilianWanjiku-vr5dj Ай бұрын
Pastor,,,ko Kuna yesu alaf Kuna mungu????
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 6 ай бұрын
Amen 🙏
@BarnabasJonas-nv4ig
@BarnabasJonas-nv4ig Жыл бұрын
AMINA
@dr.edwingeorge9837
@dr.edwingeorge9837 Жыл бұрын
Aminaa
@zakariachihota9417
@zakariachihota9417 Жыл бұрын
Ameen
@SadaVita-ug3gx
@SadaVita-ug3gx 10 ай бұрын
amen🙏🙏
@PhebiElias-rw9ns
@PhebiElias-rw9ns Жыл бұрын
Uniombee mchungaji niwe nanguv yaiman
@ChanceBariziraVital-cv5jx
@ChanceBariziraVital-cv5jx 5 ай бұрын
Pasta,nafatamafundi shoyako nakuyazingati mimi nimusabato lakini shida ukafundisha uoukweli ukukwetu mimbali kanisa ni upewitena,mutuombee RDC goma
@epiphaniachristian5450
@epiphaniachristian5450 4 ай бұрын
Wapendwa naombeni namba ya pastor
@lizziewangui6106
@lizziewangui6106 Жыл бұрын
asante pastor tunabarikiwa sana familia ya mitandao
@solombwilo
@solombwilo Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa kazi njema
@joliea2956
@joliea2956 Жыл бұрын
Asante
@JESUSISLO891
@JESUSISLO891 Жыл бұрын
Kweli mafundisho yako yananifaa Sana masomo yako yamenirekebisha kwa jina la Yesu vile neema ya Bwana isemavyo katika Tito 2:11
@kadzocharosilver411
@kadzocharosilver411 26 күн бұрын
Nimebarikiwa na uliza nitapataje number yako mtu wa mungu
@faustermtavangu8212
@faustermtavangu8212 Жыл бұрын
Amina Mungu akutunze ninabarikiwa sana
@sylviesaidi5740
@sylviesaidi5740 Ай бұрын
Nipenda sn pastor mafundisho yako
@SuzanaNyanda
@SuzanaNyanda 3 ай бұрын
Amen
@user-wh5gr3yw9s
@user-wh5gr3yw9s 10 ай бұрын
Amen
@toshalulinda1493
@toshalulinda1493 Жыл бұрын
Amen
MACHO YAKIFUNGULIWA | PR. DAVID MMBAGA  (OFFICIAL VIDEO)
1:03:11
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 15 М.
KWANINI UNAPITIA VITA KIASI HIKI? ( OFFICIAL VIDEO)
58:25
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 88 М.
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 28 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 84 МЛН
#SIRI HII INALETA TABASAMU KWA MUNGU| PR.DAVID MMBAGA|
1:47:38
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 21 М.
🔴LIVE:  DAY 3 || MAKAMBI MTAA WA NZEGA 2024 || PR. MARK MAREKANA
1:29:19
CHANGAMOTO ZA WANAUME DUNIANI - PASTOR JOSHUA NJUGUNA -  NA JE YESU  NI NANI KWAKO
50:39
ALUJO PRODUCTION (ALUJO254)
Рет қаралды 15 М.
UJASIRI WA MAOMBI | PR  DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
1:05:35
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 73 М.
USIPUUZE NDOTO HIZI MWAKA 2022. Na Mch. David Mbaga
1:40:01
SAVP TV
Рет қаралды 51 М.
Kusubiri Kwenye Kimya Cha Umaskini | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro
10:42
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 25 М.
Surah Al Kahf (Be Heaven) سورة الكهف
40:15
Omar Hisham Al Arabi
Рет қаралды 17 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 28 МЛН