No video

JEE MTOTO WA ZINAA ATAINGIA PEPONI

  Рет қаралды 28,601

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

Күн бұрын

Пікірлер: 48
@rasheedwashee9112
@rasheedwashee9112 3 ай бұрын
Shukran sheikh japo mtiani mkubwa sana 😢
@notoriussavage3538
@notoriussavage3538 3 жыл бұрын
Shukran ustadh....mungu akuwekee na mawaidha yako....👐
@meymahally8674
@meymahally8674 3 жыл бұрын
😂😂😅ati wanaharam kwa kufanana😂😅😂 Izzudin wanifurahisha japo ya kusikitisha
@salmagungurugwa6854
@salmagungurugwa6854 3 жыл бұрын
Subhannallah huu ndo ubaya wa zinaa huu
@khadijaabdul5029
@khadijaabdul5029 2 ай бұрын
Allh akbar
@MA-ht7po
@MA-ht7po 3 жыл бұрын
Shukran sheikh
@husseinmwalim6406
@husseinmwalim6406 3 жыл бұрын
Mashallah shekh Wang izudin🤲🤲allhau mustaan
@laleinemirjangi1930
@laleinemirjangi1930 3 жыл бұрын
Mawaidha Io ni kali sana
@mwachidzopoposalimpopo8890
@mwachidzopoposalimpopo8890 3 жыл бұрын
Shukran sherk wangu
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 3 жыл бұрын
Swadakta shekh mwanaharamu true kufanana
@abullahkabaka8774
@abullahkabaka8774 3 жыл бұрын
MASHA ALLAH ALEIK
@bestoftiktok4436
@bestoftiktok4436 3 жыл бұрын
Shukran ushaadh
@sponsalfathedj8177
@sponsalfathedj8177 3 жыл бұрын
Mtiani kweli kwa hili sheikh
@muniramohammed2328
@muniramohammed2328 3 жыл бұрын
Shukran
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 3 жыл бұрын
Mmmm hapo pa mtoto n pakali
@diamondkenya1763
@diamondkenya1763 3 жыл бұрын
MashaAllah be blessed ustadh......... ntapata aje contact ya huu shiekh?
@sakinamohamed6557
@sakinamohamed6557 Жыл бұрын
Nina swali Jamani sinidamu moja atamuowa vp
@athmanmbwanakumalla3833
@athmanmbwanakumalla3833 3 жыл бұрын
mashaAllah
@petromachanga5538
@petromachanga5538 3 жыл бұрын
Haya mafundisho hahaaaa
@issanduwayo8090
@issanduwayo8090 Жыл бұрын
Alhamdulillah
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Akaaaaa jmn
@abumoyo1066
@abumoyo1066 3 жыл бұрын
Aslm alykum kweli ustadh hapo kisheria wafaa kumuowa lkn kuna wakati watu kama hao wakiowana mungu huleta mitihani mizito hiyo nayo huwa ni kwa nn?
@mrjagenmuuz5704
@mrjagenmuuz5704 3 жыл бұрын
Ndıo mana ıkakatazwa zınaa kwa sababu nıuchafu nando huleta madhara kama hayo
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Mwanaharamu ni nani
@seifsharif2212
@seifsharif2212 3 жыл бұрын
Asant shekh
@jumamohamed628
@jumamohamed628 3 жыл бұрын
Mbavu zangu Ustaadh kkkkkkkk
@monassapamedi6583
@monassapamedi6583 3 жыл бұрын
Sheikh naomba kujua hukmu ya mtoto haramu kutumia jina la babake ambae ni waharamu baba wa nje ya ndoa
@dr.naseemahbarayan4449
@dr.naseemahbarayan4449 3 жыл бұрын
Asalam aleikhum warahmatullahi wabarakatuh.tafadhali sheikh tujibu hili swali.
@africa7479
@africa7479 3 жыл бұрын
Mim sio huyo shk lkin haifai kutumia jina la huyo baba ,wala kurithi chochote kutoka kwake na wala yeye kurithi kutoka kwako.... Unachukua unasaba upande wa mama
@hatibiabdi9601
@hatibiabdi9601 3 жыл бұрын
@@africa7479 Shukran
@abubakarmohammed1924
@abubakarmohammed1924 3 жыл бұрын
Hii yaonyesha uovu wa tendo la zinaa!
@babyayshermohamed554
@babyayshermohamed554 3 жыл бұрын
Asalam Alekum shehe je kea Mfano mwananume amekukuta na mimba Tangu ikiwa ndogo ina miezi 4 halafu akakuoa na akalea mimba mpka mtoto Akazaliwa na akamlea mtoto mpaka saba je Huyo baba anafaaa kumuoa huyo mtoto na Je yule baba anaanafasi can kwa yule Mtoto
@musaalimwenje8515
@musaalimwenje8515 Жыл бұрын
Huyo anahesabiwa ni mwanawe na anaruhusiwa kumuozesha wakati utakapofika.
@babchudu
@babchudu Жыл бұрын
sikiliza vizur mawaidha, hauruhusiwi kwa sababu umemuoa mama yake tyari
@michimsuya
@michimsuya Жыл бұрын
Ndoa inatakiwa kufunga na watu wanapi
@amarali9737
@amarali9737 2 жыл бұрын
Sasa yule mwanaharamu kwenye birth certificate ataandikwa jina gani na hana baba
@rehemaali7405
@rehemaali7405 3 жыл бұрын
Masha Allah.
@bintyasminyasin546
@bintyasminyasin546 3 жыл бұрын
Hili nalo neno jaman mtihani hii video naitaka sijui naipataje jmn
@hood_creative_photographyh7476
@hood_creative_photographyh7476 3 жыл бұрын
WhatsApp nkutumie Inshallah 0769990487
@adilmohamed1784
@adilmohamed1784 3 жыл бұрын
Kwani umezaa nje ya ndoa
@salmaabdulkadir2766
@salmaabdulkadir2766 3 жыл бұрын
@@hood_creative_photographyh7476 ntumie hii video watsapp
@ikhlassathman8782
@ikhlassathman8782 3 жыл бұрын
Tumefahamu
@user-br9lp8dy2e
@user-br9lp8dy2e 3 жыл бұрын
Mmmh kwahiyo kama umeandika jina la huyo babake itakuaje
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
Msio elewa uwa mko na shida, mada iko wazi kabisa lakini mpaka uulize
@babchudu
@babchudu Жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 kwenye dini, mtu akiuliza jambo kama umeelewa mueleweshe, si sema kudhihaki mana hatufanani uelewa
@shadyaahmed6731
@shadyaahmed6731 3 жыл бұрын
Mtoto wako atamwoa vipi na wamenyonya ziwa moja hana baba lakini ana mama au
@seifabduliwahid4153
@seifabduliwahid4153 3 жыл бұрын
As unapinga sheria za Mungu
@arifmrashid5450
@arifmrashid5450 3 жыл бұрын
Zingatia point Dada samahani lkn kilichozungumzwa c mtoto aliezaliwa na mamaake mtoto alimzungumza aliemzaa na mwanamke mwengine tofauti na mama yake.
MANENO MATAMU NI HAYA
56:34
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 23 М.
Je, mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa aweza pewa jina la babake?
6:53
ILM TV KENYA
Рет қаралды 2,9 М.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 45 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 28 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 10 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 9 МЛН
VIPI UTAZIDISHA IMANI YAKO
1:15:58
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 43 М.
WANAWAKE KUTOKA NA MAPAMBO
17:30
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 47 М.
NDOA YA MUISLAMU NA KAFIRI
12:23
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 26 М.
UCHUMBA NA NDOA KATIKA UISLAMU
1:00:19
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 35 М.
HATARI YA SHEMEJI
16:43
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 42 М.
FATWA | Nini hukmu ya mwenye kufanya PUNYETO?
16:16
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
Рет қаралды 10 М.
ISHI HIVI UTAFANIKIWA || SHEIKH IZUDIN ALWY AHMED
32:08
امة واحدة ONE UMMAH
Рет қаралды 36 М.
IJUE HUKUMU YA MTOTO WA ZINAA |SHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA
15:40
Wajawema Online TV
Рет қаралды 647
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 45 МЛН