MAZINGE HATARI SANA AMKABIDHI YESU SWALI LA MWINJILISTI WA KISABATO HUKU WAUMINI WAO WAPAGAWA.

  Рет қаралды 555,163

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

3 жыл бұрын

Пікірлер: 446
@abelialsen5383
@abelialsen5383 3 жыл бұрын
Mazinge hata akitembea uchi kwa upande wa wenzetu utasikia Masha alla mashalaalla
@omyjaku8818
@omyjaku8818 3 жыл бұрын
Na uchi hatembei mazinge uchi wanatembea makafiri t
@sleymohamed3825
@sleymohamed3825 3 жыл бұрын
waislamu hawatembei uchi shekh
@amoschacha2885
@amoschacha2885 3 жыл бұрын
Acha wivu
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Wivu tu makafiri
@AliMohamed-ng5ps
@AliMohamed-ng5ps 4 ай бұрын
Uisilamu unakataza maovu inaamurisha mema kidume mazinge awezitembea uchi pole
@amurisabiti7037
@amurisabiti7037 3 жыл бұрын
Allahu akbaru rehma na Amani kwa wahadhiri wetu wa kiislam wote mwenyezi mungu awape mwisho mwema Insha'Allah
@jacksonbenson395
@jacksonbenson395 2 жыл бұрын
L
@abokrarshamsan7963
@abokrarshamsan7963 3 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wa watu jamen kipenz cha waja, mungu awalinde masheik bila nyie hatungeeza kuiendelez Dini y haki.
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 3 жыл бұрын
Mazinge Allah ampe umri mrefu anajua kutete haki bila kuweka ubadilifu wa neno.
@mussaally4005
@mussaally4005 3 жыл бұрын
11 þ
@mussaally4005
@mussaally4005 3 жыл бұрын
P
@cadhimberec1286
@cadhimberec1286 3 жыл бұрын
Mashallah tunazidi kujifunza Allah awalipe kher mashehe wetu
@omarsalim5389
@omarsalim5389 3 жыл бұрын
Mashallah wallahi nasi twazidi kujivunia uislamu wetu
@bidafumbuka855
@bidafumbuka855 3 жыл бұрын
Walimu wenu wameshindwa kujibu swali?
@abdirashidkusow9141
@abdirashidkusow9141 3 жыл бұрын
mashaAllah! Mungu abariki ma shiekh wetu... ... Sisi waislamu tunayo masimba(ma shiekh)
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 жыл бұрын
ماشاء الله تبارك الرحمن جزاك الله خيرا 🥰🥰🥰🇴🇲🇴🇲🇴🇲🌹👌
@zou7470
@zou7470 3 жыл бұрын
Mazinge allah akupe umri murefu uweze kuitetea dini ya allah 👏👏👏
@khadijabintmohammadbintmoh8026
@khadijabintmohammadbintmoh8026 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe umri ulomrefu sheikh mazinge
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 3 жыл бұрын
Amiin
@amourmtungo623
@amourmtungo623 3 жыл бұрын
🤔Haya majadiliano ya KIDINI kupitia waumini tafauti ni elimu nzuri sana na demokrasia halisi. Nafurahi kuona mijadala inaenda vizuri na kwa amani kabisa. Hongera waumini wote mliohudhuria.
@haydarhamad6532
@haydarhamad6532 3 жыл бұрын
Natamani siku moja kufanyike kongamano huku Zanzibar na Mazinge pia awepo Mana huku pia wapo tena wakaidi mno
@saadanswaleh2213
@saadanswaleh2213 3 жыл бұрын
Mazinge kiboko mashllah Allah barik
@RatifaHamisi-um1vq
@RatifaHamisi-um1vq 2 ай бұрын
Mashaallah mwenyezimungu awajalie kheri ❤💞💞💞💞💞💞
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Mashaallah 💓💓💓💓 mazing mungu akuzidishie umri
@rahimaan6481
@rahimaan6481 3 жыл бұрын
Allah atuwekee mazinge bado tunakuhitaji
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 3 жыл бұрын
Aamin yaarab
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 2 жыл бұрын
Mashaa Allah
@SalumBabu-su9fm
@SalumBabu-su9fm Жыл бұрын
Mashallah ALLAH awape afya njema na umri mrefu mashehe wetu muendelee kutufundisha zaid
@khalfanmudibo3356
@khalfanmudibo3356 3 жыл бұрын
In Shaa Allah Allah akupe hapa nakesho malipo Adhwim
@rajabushaibu8239
@rajabushaibu8239 2 жыл бұрын
Safi sana waislam kwa helimu bora
@omanbarka2053
@omanbarka2053 3 жыл бұрын
Mashaallah mazinge Allah akupe umri mrefu
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 11 ай бұрын
Maasha.Allha shehe mazinge Allha akulinde uzid kuelimisha wasio kuwa waislam
@mathiaspmashibe5696
@mathiaspmashibe5696 3 жыл бұрын
Usipompokea Yesu Kama bwana na mwokozi wa maisha yako unajilisha upepo
@gracenoah9239
@gracenoah9239 3 жыл бұрын
Jaman me ni muislam nlie slim najiuliza nlikuwa nachelewa WAP kuijua din hii ya haki Mazinge nampenda buree M/Mungu amlipe kheri
@denismgalah9219
@denismgalah9219 3 жыл бұрын
Umesilimu bila kujifunza
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
@@denismgalah9219 kuna mambo sio hata ya kujifunz ni kutumia akili yko vizur tu hususan ukristo
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Hongera sana Dada uislamu ni raha sna
@makenakendi9014
@makenakendi9014 3 жыл бұрын
Mashallah ALLAH BARIIK always my brother
@andrewtupa3835
@andrewtupa3835 3 жыл бұрын
Waislamu wafate sheria ya dini yao na wakiristo wafate sheria ya dini yao, hakuna haja ya kuongelea dini mbili kwa wakati mmoja, mnahalibu Imani
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 3 жыл бұрын
Tunajua kwa nn wamekunyima mda wanakuogopa Allah akuongoze she Mazinge uzidi kutuletea wageni kwenye uislam
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 3 жыл бұрын
Umeonaeeh
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Ye mwenye nae badili kwnda moja kwa moja aleta mambo ya salamu
@moza6560
@moza6560 3 жыл бұрын
Mazinge Allah amuweke masha allah
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 3 жыл бұрын
Jazaakumullahu khaira 🙏
@stormediaproductions2170
@stormediaproductions2170 3 жыл бұрын
Mimi namuamini mungu mkuu, mungu wa ibrahimu, isaka na yakobo...
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Mungu wa Ibrahim,isaka, yakobo na yesu
@mohamedomar6944
@mohamedomar6944 3 жыл бұрын
Jinalake Allah(s.w)
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Eloi eloi (Allah Allah) why u leave me alone.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@maherzain615 hapo na yesu mir sina mbavu. Mwenzio anaona yesu ndiyo mungu mwenyewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 Hahahaha
@mansooronlinetv535
@mansooronlinetv535 3 жыл бұрын
Allhamdulilah waislam tunapendeza saana
@kateloelcastromsapere1040
@kateloelcastromsapere1040 3 жыл бұрын
tutazidi kupendeza kabisa
@fatumazuberi4755
@fatumazuberi4755 3 жыл бұрын
Muhadhiri wetu mazinge mungu atakulinda navijana wako wote wahadhiri
@pascasmathew424
@pascasmathew424 3 жыл бұрын
Dini ni nni? Mbona hata shetani ana dini . Ishi kitakatifu ukizingatia Sheria za Mungu. sio dini itakayokupeleka mbinguni bali ni utakatifu.
@shabaninuhu3616
@shabaninuhu3616 3 жыл бұрын
Duh
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 3 жыл бұрын
Hizo sheria za Mungu utazijuaje bila dini
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 3 жыл бұрын
Innahillahih wainnalillah rajhun
@jamalathman6219
@jamalathman6219 2 жыл бұрын
Mashallah jazakallah kheir
@samweliolengaya9942
@samweliolengaya9942 3 жыл бұрын
Mmekosa kazi za kufanya hamjaitwa kwa ajili ya hiyo kazi mmeitwa kuwahubiria watu wamjue Mungu acheni kujichanganya na kuwachanganya kondoo wenu
@yusuphmashallah3732
@yusuphmashallah3732 3 жыл бұрын
We kondoo kwelii
@onesmoelias8509
@onesmoelias8509 3 жыл бұрын
Kabisa ss kondoo wanatuchanganya
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Sas nyie ndo kondoo mliopotea na nd tunatk tukurudishen hapa
@zubedakazumba9405
@zubedakazumba9405 3 жыл бұрын
Mashaallh mje na mwanzA mtoe elim
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 3 жыл бұрын
Jamani Waislamu hawapigi makofi. Makofi wanapiga waisio waislamu. Unapolipokea jambo la kukufurahisha usipige makofi. Sema Takbir.
@omarymnola1011
@omarymnola1011 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah Naomba mzirushe mada kamilii jamn
@agathageorge7664
@agathageorge7664 3 жыл бұрын
Naomba mawasiliano ya mazinge jmn tafadhali
@samwelemanuel4994
@samwelemanuel4994 3 жыл бұрын
waislamu mnajidanganya yesu ndiyo njia ya kweli na uzima mwanzo na mwisho ole Wako msioamini mtatupwa jehanamu maana Zina kuja siku mwana waadam atakapo kuja kila goti litapigwa
@aliidrisahmad5797
@aliidrisahmad5797 3 жыл бұрын
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh
@hamissimba5970
@hamissimba5970 Жыл бұрын
Waleikum ssalam warakhamatullah wabarakatu
@yahyakuchi7501
@yahyakuchi7501 3 жыл бұрын
mazinge kwa dunia yaleo ww huna mfano unajuwa unajuwa kutangaza dini ya allah kwa kikamilifu
@kikongajoel5172
@kikongajoel5172 3 жыл бұрын
Yesu ni muokozi wa dunia ukiamua kumfata yesu nafsi yako utaiona
@fatumaabdallah1064
@fatumaabdallah1064 3 жыл бұрын
Mmmmmh pole sana
@kikongajoel5172
@kikongajoel5172 3 жыл бұрын
@@fatumaabdallah1064 hakika maneno yangu utakuja kuya kumbuka Sana yes u ni muokozi wa ulimwengu
@abdallahmzava1798
@abdallahmzava1798 3 жыл бұрын
Allah akupe umri mlefu wenye mafanikio
@faustienealexi2268
@faustienealexi2268 3 жыл бұрын
Mi najua hao sio hawo mapasta waliomba uo muhazara ila najua ni sehemu ya kupunguza nja ni dili ta watu hoa ju hakuna mwanadamu anayeweza kutangaza dini ya Mungu Mungu anajitangaza mwenyewe haitaji musaadada wa mwanadamu anajizihilisha mwenyewe tu hao wanasema kama wanafanya kazi yake aliwatuma lini waache kujipendekeza na uo upuuzi uko East africa tu acha izo bwana hakuna asiyemujuwa Mungu
@martinchansamwinyi2508
@martinchansamwinyi2508 2 жыл бұрын
Maa Shaa Allah! 🌹🌹🌹🌹
@bakariluhala7332
@bakariluhala7332 3 жыл бұрын
Allah akbar Mungu awazidishie yaliyo ya kher
@mrishokalamba
@mrishokalamba 3 жыл бұрын
Allah awape umri mrefu masheikh zetu 😂👌
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 жыл бұрын
Amin
@severinemabirika2249
@severinemabirika2249 3 жыл бұрын
Sioni afya ya mjadala huu ktk kuitafuta pepo ....kwa nn kila mmoja wetu asibaki na imani yake ?
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 3 жыл бұрын
Ww una Imani gn bila ya kumfundishwa na mashekh wp utafamu
@kibatofinest8840
@kibatofinest8840 3 жыл бұрын
Mamy mdogo hasa kwa kubishana kutasaidia nini
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 жыл бұрын
الله اكبر الله اكبر الله اكبر
@eliabuedward8755
@eliabuedward8755 3 жыл бұрын
Naimani madhumuni ya kuanzisha midaharo si dhana ya kuondoa uovu duniani au kueneza habari za uzima,upendo,amani n.k.Embu tujikite kuutangaza wokovu wa kweli watu wamjue Mungu wa kweli. Dini haitampeleka mtu mbinguni
@shakilanyani1840
@shakilanyani1840 3 жыл бұрын
Allah Akbar,,,
@AshaMohamed-cy3oh
@AshaMohamed-cy3oh 4 ай бұрын
Mazinge upo sahihi Sana wafundishe makafiri hao
@kelvincray2345
@kelvincray2345 3 жыл бұрын
Angaikeni kumtafuta MUNGU na kumjuwa wala sio kubishana na kujifanya mnamjuwa saana MUNGU
@aminasalum5864
@aminasalum5864 3 жыл бұрын
Mashallah.
@rahimwaziri1087
@rahimwaziri1087 3 жыл бұрын
Masha Allah
@mustaphahemedy9447
@mustaphahemedy9447 3 жыл бұрын
Allah akbr
@mashallahroook7637
@mashallahroook7637 3 жыл бұрын
MashaAllah
@livefans5914
@livefans5914 3 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 жыл бұрын
Ukifuatilia muhadhara ya Kenya ,halafu ulinganishe n Tanzania,Tanzania hamna kitu,kabisA,tunajitahidi, Kwa wahaziri WA tz ni watu wa mtaani ,makao makuu Yao sijui yako wapi,,,na jee michango itachangishwa mpaka siku ya kiama,au vip,natafuta mtu anieleweshe
@africayetutv339
@africayetutv339 3 жыл бұрын
Mazinge unajifanya unajua sana hamna lolote
@fatumaabdallah1064
@fatumaabdallah1064 3 жыл бұрын
Ww ndoo ujui chochote kwenye dini mbona amjampa mdaa wake mume gongaa kegere
@officialyohanamalisa1873
@officialyohanamalisa1873 3 жыл бұрын
Ninyi jadilianeni tu, ila mtambue Quruani inanena kwa Habari ya Kristo Yesu, kuwa mkombozi wa Ulimwengu, na Hakuna aendaye peponi pasipo kumkiri yeye. Naye amesema. Wajainuladhina tabauka, faukaladhina kafaru. Ole wenu
@salmasaid6639
@salmasaid6639 3 жыл бұрын
Yo nitafute
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 3 жыл бұрын
Mazinge mashaallah uko vizuri
@labanjoseph9307
@labanjoseph9307 3 жыл бұрын
Mizinge mbona sababu nyingi ona sasa kilicho kukuta....hata swali haujajibu. Haujawatendea haki hauja tutendea haki
@imash04tv20
@imash04tv20 3 жыл бұрын
ww moga sana kuna mtu anamuweza huyo hapo tatizo hujasoma ungesoma ungejua kama suali si la elimu nq halina maana ya yy aliouliza
@hanashhanash535
@hanashhanash535 3 жыл бұрын
Allah ampee umri n afya
@user-ei3iy5fu1i
@user-ei3iy5fu1i 4 ай бұрын
Yesu arikuwa mupangani wanyubani kwa mama yake muzazizi munahangahikabure
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 3 жыл бұрын
Allah Akbar
@rinompemba5926
@rinompemba5926 3 жыл бұрын
Mazinge utabaki kuwa mazinge tuu . In sha Allah . Allah zaidi kukuongoza vyema
@abdulyshaib2176
@abdulyshaib2176 3 жыл бұрын
Mashallah
@AliMohamed-ng5ps
@AliMohamed-ng5ps 4 ай бұрын
Mashaallah
@kitwanauhakika59
@kitwanauhakika59 3 жыл бұрын
الله اکبر الله اکبر الله اکبر
@issmuking3987
@issmuking3987 3 жыл бұрын
Sh mazinge nooma
@dimosoalfani21
@dimosoalfani21 3 жыл бұрын
Mbona ikowazi kuwa wiisilam ndiyo dini yakweli nayamwezi mungu
@kelvinmakala5338
@kelvinmakala5338 3 жыл бұрын
Hata Jina la Mungu unaandika kwa heruf ndogo, mnafuata upepo tu
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
@@kelvinmakala5338 😂😂 pumbuani huyu
@fatumamwantumu4081
@fatumamwantumu4081 3 жыл бұрын
Mashalla Allah
@emmanuelwiva7103
@emmanuelwiva7103 2 жыл бұрын
habari ya kiroho haimo ndani yenu enyi umma uliyopotoshwa,,,,,,,,,,,,,, kristo yesu ni adui yenu, mnampinga YESU dini yenu ni ya mpinga kristo JABARI.
@raziaidd2392
@raziaidd2392 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@ellon5239
@ellon5239 3 жыл бұрын
Mazinge akikutana na Mwalimu Ndacha ataaibika
@usajiliusajili6511
@usajiliusajili6511 3 жыл бұрын
Mazinge kama unauheshimu uislamu basi usikashfu UKRISTO maana unayemkashfu naye anakashfu UISLAMU, sasa sijui unajenga au unabomoa
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 3 жыл бұрын
Mashekh waongea na kujibu kupitia kwenye Quran wala sio kama nyinyi mnao okota vitabu vya story books
@kibatofinest8840
@kibatofinest8840 3 жыл бұрын
Una uhakika gani mamy mdogo kuwa wakristo wanaokota vistory book????Mamy ishi maisha ya kumpendeza Mungu kusema kuwa wakristo wanaokota vistory book ni kukashifu dini ya kikristo na ni kama unajiona righteous mbele ya wakristo
@mustafamasaibu9645
@mustafamasaibu9645 3 жыл бұрын
Uislaam ni dini ya haqqi.
@fridageorge2809
@fridageorge2809 3 жыл бұрын
Mi najiulizaga sana lkn huwa sipati jibu! Kwani haiwezekani kufanya kazi ya Mwenyezi Mungu ya kuwahubiria au na kuwaongoa watu pasipo kuingilia dini na kukashifu dini nyingine tena watu wanashangilia baada ya kuutafuta Uso wa Mwenyezi Mungu!!!?
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 3 жыл бұрын
Sasa MTU anahubirije bila kuambiwa Dini flani ni uongo ,Watu wanabudu moto masanamu na mizimu na Dini zingine za kutengenzwa ,kwaiyo ili uhubiri lazima useme ukweli
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 3 жыл бұрын
IPI Dini yaki IPI ya uongo
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 3 жыл бұрын
hapo wameitana na kualikana kirafiki kujadili neno la Mwenyezi Mungu . Tambua waisilamu hawakuvamia kanisani bali wamealikwa , na ingekua hawataki wasingewaalika
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 3 жыл бұрын
Kujadiliana na kuambina haki ni IPI IFATWE!!@Muhogo mchungu
@kibatofinest8840
@kibatofinest8840 3 жыл бұрын
Fakiih so tuseme dini ya kikristo ni ya uongo????
@kingarthur4634
@kingarthur4634 3 жыл бұрын
It's hard to imagine how the strapping the word of God in front of People like this ( This man he call himself Mazinge is a corn Artist ) his training to impose himself to the Muslim community that is right and Christian their wrong I think the coverment the should not allow this kind of habit to happen coz some people the will take in a wrong way n, someone will get hurt here... Trust me am telling u,
@gggg8946
@gggg8946 3 жыл бұрын
Mashaallaah mashaallaah
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 3 жыл бұрын
Mazinge kashindwa kujibu swali
@isharabella212
@isharabella212 3 жыл бұрын
Dini ya kweli isiyosanamu. Ni Mashahidi wa Yehova
@faustinemussa6842
@faustinemussa6842 3 жыл бұрын
Asallaam aleiko!! naombeni niwakumbushe Tusikae tukijifurahisha kusikia maneneno ambayo siku yatihama hautahukumiwa kwadini uliosali au ww ulikuwa mutu marufu sana wauvishani katika dini, Tukumbuke ile siku yatihama utahukumiwa kwamatendo yako ulioyatenda wakati wauhaiwako .
@mrgeorgeisdory5277
@mrgeorgeisdory5277 3 жыл бұрын
Mungu hawagitaji wanao leta mizozo kuhusu Dini Mungu anahitaji wanao fuata maadili yake wenye himani ya matendo mema..... Kingine nawasaidia tuuu Dini ni Himani Acheni hivi vitu vinaleta uhasama fundisheni watu kumcha Mungu
@allymtungunyu2425
@allymtungunyu2425 3 жыл бұрын
Mrgeorge ni kweli wafundishe watu kumcha mungu. Lakini tatizo hawamchi mungu ipasavyo anavyotaka mungu
@faustinemussa6842
@faustinemussa6842 3 жыл бұрын
kweli kabisa hao viongozi wanaoleta hiyo.mijadara hawatumii hakiri kwasababu ki2 dini nimani xx kunahajagani yakuleta ushindani wadini , Naunazani nani ambae anaushahidi kuwa dini anayoiamini ndio dini sahihi kwamaana watu wote tumekuta maandishi hatumjui kwasura mu2 alioyandika kunahaja gani yakuweka asilimia.zote. kikubwa kwamtazamo wangu naona huo niupumbavu ambao viongozi wamekosa kazi zakufanya nakuandaa mjadara wakijinga ambao hawajui utareta fitina..!!!
@allymtungunyu2425
@allymtungunyu2425 3 жыл бұрын
@@faustinemussa6842 umezingua inamaana wewe kumbe hujui km dini yako ya haki au sio ya haki?
@faustinemussa6842
@faustinemussa6842 3 жыл бұрын
@@allymtungunyu2425 Dini yahaki ipo moyoni mwako2 sio mrango unaoingilia kwenda kwenyeibada ndo uamini et ndio dini sahihi, hadi ujisahau nakuzarau imani yam2 mwingine anayoiamini. ila niwakumbushe2 kuwa huo ubishani wadini hautatupeleka popote zaidi yakutupotezea muda nakutuletea uhasama. Ahasante!
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 3 жыл бұрын
@@faustinemussa6842 Hivi wajuwa makafiri wa gp wame slimu kupitia hii miadhara??? Mwenyezi mungu ametuambia tukatazaneni maovu tuamrishianeni mema haya jee ukabaki nayo kwenye moyo wako ndio utakaa ufefwata maneno ya Allah???
@daud8785
@daud8785 3 жыл бұрын
Ni vizuri mkaweka debate mwanzo hadi mwisho .
@aminagia2938
@aminagia2938 2 жыл бұрын
Mashallaah
@feisalomar-hr3hq
@feisalomar-hr3hq 7 ай бұрын
Wakiristo hawana akili wameambiwa dini za masanamu wanafurahi wakati yule mzungu aloigiza flamu wametengenezea Sanam na picha ndie mungu wao
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 жыл бұрын
Waislamu mmeshindwa,,,, DINI ZILIZO TANGULIA🤣🤣🤣ZAMANI UISLAMU HAUKUWEPO
@mohamedimafuluka6414
@mohamedimafuluka6414 3 жыл бұрын
Alhamdulilah
@nicolashardy4785
@nicolashardy4785 Жыл бұрын
Mwalimu mazinge nakupenda Sana tena sana
@jumakhamis226
@jumakhamis226 3 жыл бұрын
Jazakamu ALLAH khaira mashekh wetu
@alfaqeera5498
@alfaqeera5498 3 жыл бұрын
amiin
@liwageboys4734
@liwageboys4734 3 жыл бұрын
Waubir allh awazidishie daima
@frankalphayo1294
@frankalphayo1294 3 жыл бұрын
Mwenyekiti ww ndo umemuangusha Mazinge walau hata angesema hakuelewa swali sasa limerudiwa,na Mazinge kazamisha jahazi
@yohanaleopoldleopold2572
@yohanaleopoldleopold2572 3 жыл бұрын
Acheni uchochez nyie
@allymtungunyu2425
@allymtungunyu2425 3 жыл бұрын
@@yohanaleopoldleopold2572 uchochozi gani ndugu wakati hao wamekubaliana wenyewe wakae wazungumze na wala hawagombani
@bensonlangat640
@bensonlangat640 3 жыл бұрын
Yesu leo kaonyesha waislamu mahala pa sala ni kanisani,
@nyatya199
@nyatya199 3 жыл бұрын
Bali tumewaonyesha kuwa uislamu ni dini rahisi saana ibada popote mda wakuwa ni pasafi
@bensonlangat640
@bensonlangat640 3 жыл бұрын
@@nyatya199 Okay Kanisani ni pa safi.na shukuru kwa hiyo.
@nyatya199
@nyatya199 3 жыл бұрын
@@bensonlangat640 mpaka pakaswaliwa hapo ni pasaf pangekuwa na masanamu basi wasingeswali happy palikuwa safi kabisa hamna uchafu
@bensonlangat640
@bensonlangat640 3 жыл бұрын
@@nyatya199 hapo unakuja vizuri.naamini kama kungekua na Mwezi na nyota hawangeingia.ndio maana kawacha mahali penye nyota na Mwezi.kaitwa Kanisani.
@nyatya199
@nyatya199 3 жыл бұрын
@@bensonlangat640 inaonekana hujui maana ya sanamu
@OmarAli-go7dj
@OmarAli-go7dj 3 жыл бұрын
kweli wewe ni professor
@partnersah8802
@partnersah8802 2 жыл бұрын
Kuna vitu vingi vya kuubili watu tuache uovu na sio kugombania nani mwenye haki. Allah peke yake anajua kwann aliacha haya yatokee.
@SamLamek-wk5ft
@SamLamek-wk5ft Жыл бұрын
Nice
@lucaskasonde4558
@lucaskasonde4558 2 жыл бұрын
Mazinge karuka swali, sijamelewa kabixa
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 3 жыл бұрын
Kwanza hakuna aya inasema hivyo. Sijui kasoma tafsiri gani huyu, lakini 5:47 haisemi hivyo, wala 16:125 haisemi hivyo.
@oscarpatrick3820
@oscarpatrick3820 3 жыл бұрын
Hakuna ukristo kabla ya Yesu Kristo, ukristo ulianza baada ya Yesu Kristo
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Baada ya Kufa ndo ulipoanzishwa Ukristo
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 3 жыл бұрын
MashaaAllah MashaaAllah
@yasafasalimu6217
@yasafasalimu6217 3 жыл бұрын
Ma shall a mshallaa
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 жыл бұрын
Mazinge nakupenda
@jeanmuzaliwa4054
@jeanmuzaliwa4054 3 жыл бұрын
kwanza dawa lauyo mazinge yupo kenya anaitwa mwalimu francis ndacha.
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 жыл бұрын
Hhhhhhhhh mazinge tiba ya makafiri msomi huyo hamumuwez
@arthurnuhu8570
@arthurnuhu8570 3 жыл бұрын
@@jeanmuzaliwa4054 ngo ndacha hhhh uyo anajuwa tu kuweka birak 🤣🤣🤣🤣
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 3 жыл бұрын
@@arthurnuhu8570 Kiboko cha makafiri
@arthurnuhu8570
@arthurnuhu8570 3 жыл бұрын
@@mamymdogomamy3670 hhhh niatar kwel
@deusnzeran4752
@deusnzeran4752 3 жыл бұрын
Mbona vitu hivi vilinuwmazishwa kwsnini tena vimerudi hawa ndo wsnssabsbisha wenzao wanakaa gerezani Tanzania ni nchi ya Imani hatuki haya mama
@stormediaproductions2170
@stormediaproductions2170 3 жыл бұрын
Huyu shekhee ni mpumbavu ...maana anahusisha dini na lugha...halafu kitu kingine Imani ni suala kubwa sana kwani hakuna atayekiri kwamba mungu wake ni muongo...!!!
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Mpumbavu kama babako
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 3 жыл бұрын
Mpumbavu ni ww unae kula nguruwe na mavi kanisani
MAZINGE AMFUNDISHA BIBLIA NA KISWAHILI MCHUNGAJI KUHUSU BWANA YESU
13:09
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,7 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
MDAHALO: MAZINGE ALIVYOWANYAMAZISHA WACHUNGAJI KUTOKA KENYA
23:41
DEBATE. Prof. Mazinge azima mbwembwe za Mch. Ndacha kutoka Kenya.
28:25