JEMEDARI SAID AIKATAA JEZI YA YANGA/ AONGEA KWA UCHUNGU KUBADILISHWA RANGI YA JEZI

  Рет қаралды 32,510

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер: 250
@markkayuni9775
@markkayuni9775 10 күн бұрын
jemedari upo vizuri sana kaka 👍
@RajabKiondo
@RajabKiondo 10 күн бұрын
Tatizo la Jemedari anajifanya anajua kila kitu, kumbe kichwani hakuna kitu. Unashindwa kutofautisha Geography na History. Ama kweli bongo lala.
@RajabKiondo
@RajabKiondo 10 күн бұрын
Ni kweli kabisa bwana Rashid. Sisi tulioingi Yanga miaka 60 na 70. tunajua history ya Yanga sio Geographia kama anavyowadanganya Jemedari
@tanzanitetv
@tanzanitetv 12 күн бұрын
Sheria ngoi ni mwanamitindo miss Tanzania 🇹🇿 kwa jezi Yanga amefeli
@EliasCosmas-qp6gn
@EliasCosmas-qp6gn 12 күн бұрын
😂😂😂😂🔥
@JosephEmmanuel-eb7gj
@JosephEmmanuel-eb7gj 12 күн бұрын
Golden yellow na yellow ni vitu viwili tofauti kabisa
@HalisiaAfricaTravels
@HalisiaAfricaTravels 12 күн бұрын
What does yellow present in our TZ flag! What is Gold
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 12 күн бұрын
Ile ni ranga ya gold sio golden yellew
@stuartson90
@stuartson90 12 күн бұрын
@@hassanabdala7383 Yellow gold ni rangi ya Bendera ya taifa.. Soma vizuri boss
@SangaliPower
@SangaliPower 11 күн бұрын
​@@stuartson90HAKUNA YELLOW GOLD ILE NI GOLD TUU 😅😅
@stuartson90
@stuartson90 10 күн бұрын
@@SangaliPower ndio Golden Yellow boss
@SaadKoga
@SaadKoga 8 күн бұрын
Jezi hiyo siyo ya rangi ya njano hiyo ya ali kamwe na hersi yanga siyo gold yanga nkanoooo
@oswaldtemba2770
@oswaldtemba2770 12 күн бұрын
Fantastic jemedari ,no one like you
@SaadKoga
@SaadKoga 8 күн бұрын
Yanga njano ndio rangi yao sio gold kuweni wa kweli kama yanga wamebadili rangi ya njano
@emanuelanderson4483
@emanuelanderson4483 9 күн бұрын
Kwa hio jezi zooote za man u ni NYEKUNDU tu...kwa hio jezi zooote za liver pool ni NYEKUNDU tu..kwa hio jezi zooote za REAL MADRID ni nyeupe tu.. Mna uhakika hawana rangi ingine kwa ajili ya ajili zao
@YahayaHussein-m8j
@YahayaHussein-m8j 12 күн бұрын
Kazumari is fantastic
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 11 күн бұрын
WAULIZENI HAO WATU NI KINANANI MBONA HATUWAJUI 😂😂😂😂😂😂
@HarunakiongoziMohamed
@HarunakiongoziMohamed 12 күн бұрын
Hatuendeshwi na crown cc
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 11 күн бұрын
Malalamiko ni yako 😂😂😂😂😂 Kipara
@ExpertTechnica-i7j
@ExpertTechnica-i7j 12 күн бұрын
Kama hoja ni biashara, mbona anapotokea mdhamini mwenye logo nyekundu hua mnakataa, mfano NBC n huyo tajiri wenu GSM
@nungukomedaud7206
@nungukomedaud7206 12 күн бұрын
Acheni ushamba hiyo ni #FFDB58 Mustard Yellow
@SharifuLubuva
@SharifuLubuva 9 күн бұрын
Nyee muna jadili rangi yanga wamupiga mpesa nye mumeacchiwa ujinga eedeleeni hivyohivyo
@Jeremiamussa1986
@Jeremiamussa1986 12 күн бұрын
Hans tofautisha hoja hapo,hoja ni yanga kubadilisha rangi asili na kutoka njano na sio golden yellow,sio hoja ya mauzo
@mhlegusekambona2818
@mhlegusekambona2818 8 күн бұрын
Wamekopi na kupest jezi ya Azam FC
@ferdnandfundi
@ferdnandfundi 12 күн бұрын
Jemedar said ... unaweza kujua mauzo ya jezi kwa wingi 2 wa fans walionunua... mtaani fans wengi wamevaa jezi zipi... ndio unaweza kujua kit gani imetoka sana
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 11 күн бұрын
Huyo msimsahau ni mwehu kaingia Stu kanywa gongo😂😂😂😂 kaingia studio
@JIMBO_MEDIA
@JIMBO_MEDIA 12 күн бұрын
Tanzania 🇹🇿
@ElyrehemaMartin
@ElyrehemaMartin 12 күн бұрын
Pia reserch yako haionyeshi findings baadala yake unafanye presentation ya data pasipokuwa na data zenyewe
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 11 күн бұрын
Katika watu mliokosea kuwaajiri kwenye hii redio ni huyu Jemedari. Wameiharibu redio ya E FM sasaivi wamehamia huku😅😅😅😅
@yusufufikiri5005
@yusufufikiri5005 11 күн бұрын
Shida mtu akiongea ukweli mnamchukia
@seydouside4081
@seydouside4081 11 күн бұрын
Uhalisia ndio nini kwani hata simba ..ndio uhalisia.wake.kuna simba mwekundu duniani..jemedari Hana jipya..angeshughulikia tu mambo ya diamond na zuchu..huenda ataweza
@yusufufikiri5005
@yusufufikiri5005 10 күн бұрын
@seydouside4081 haya basi nenda kamfukuze kazi kama unamlipa wewe. Walomuajiri wanaona anawafaa
@MaryBlass-d3d
@MaryBlass-d3d 12 күн бұрын
Blue bahari ya simba ni jezi ya ziada rangi zao asilia ni red na white hiyo ya tatu ata kama ikiwa zambarau.
@abduldihomba1632
@abduldihomba1632 12 күн бұрын
Wanaoumia zaid ni makolo 😂😂
@tanzanitetv
@tanzanitetv 12 күн бұрын
Kwa Mara ya kwanza nakuunga mkono Jemedari Saidi,huyo mtangazaji anayesema njano haiuzi ni muongo,njano inauza na haina shida yyte,ubunifu aende kwa wanamitindo lakn kutuletea majezi yasiyo ya Yanga injinia anatukosea sana bhana,
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 12 күн бұрын
Jemedari hajui maaana ya rangi, utoto unawasumbua wachambuzi wote.
@bbanyikwa
@bbanyikwa 12 күн бұрын
Mimi ni yanga lakini kiukweli rangi asili ya yanga ni njano na kijani sasa sijui uongozi umeamia nini kiukweli maana rangi halisia zinapotezwa bila sababu😢😢😢
@lemburis-kivuyo
@lemburis-kivuyo 9 күн бұрын
Brand huwa inabadilika baada ya muda fulani. mPia ajue kuwa kuna away kit na hizi huwa ina rangi tofauti kabisa na rangi ya klabu
@ElyrehemaMartin
@ElyrehemaMartin 12 күн бұрын
Golden yellow ni yellow inayopatikana kwenye dhahabu na dhahabu siyo rangi ya njano. Njano ni rangi nyingine na Golden yellow ni rangi nyingine
@givenwilfred1239
@givenwilfred1239 9 күн бұрын
Kama jezzy ya Rangi flani haiuziki zinauzika nyingine ili kutotoka kwenye hualisia ni kubaki kwenye ile asili ila wapunguze production kwa rangi isio uzika na kuongeza zinazo uzika
@hussehussein1081
@hussehussein1081 12 күн бұрын
YANGA BANA,LEO MNAKUJA NA HOJA YA BIASHARA, MBONA MLIKATAA KUVAA NYEKUNDU YA MDHAMINI VODA COM WAKATI ULE, MBONA RANGI NYEKUNDU YA MDHAMINI WA SASA NBC HAMUITAKI?KWA MADAI NYEKUNDU SIO RANGI YENU,LEO GOLDI NI RANGI YENU?
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 12 күн бұрын
Tatizo baadhi yenu hamjui RANGI YA NJANO IMEGAWANYIKA SEHEMU NGAPI
@RajabKiondo
@RajabKiondo 10 күн бұрын
Sio geographia ni historia hapo umejichanganya
@ismailismailmwaluseke2111
@ismailismailmwaluseke2111 12 күн бұрын
Ila hans yeye kitu cha yanga lazma asifie
@shyneafya2468
@shyneafya2468 12 күн бұрын
Kweli kabisa na hata mm najua simba ina rangi tatu nyeupe nyekundu na nyeusi but kuhusu yanga nawashangaa sana
@akrammessah7359
@akrammessah7359 12 күн бұрын
Jemedar upo sahihi hiyo siyo rang ya yanga viongoz wanazinguwa rang za yanga Zina jurikana.
@RajabKiondo
@RajabKiondo 10 күн бұрын
Hiyo ya kijani ni Rangi ya Asili ya kijani. Na kijani inatokana na mimea na mmea huwa unabadilika unakijani nyingi kulingana na mazingira na hali ya hewa. Pia mkumbuke Jani la mgomba Bado ni kijani. hivyo Bado mbunifu Yuko sahihi.
@tanzanitetv
@tanzanitetv 12 күн бұрын
Mwishowe watatuletea wasenge huko Yanga
@RajabKiondo
@RajabKiondo 10 күн бұрын
Tatizo lako Jemedari kwakuwa huipendi Yanga kila kitu unapinga, Hata wakati mwingine unapinga ata bila kutumia akili. Inaonyesha hata darasani ulikuwa bongo lala unashindwa kutofautisha Geography na History?
@SharifuLubuva
@SharifuLubuva 9 күн бұрын
Maana ya ubunifu nini
@RajabKiondo
@RajabKiondo 10 күн бұрын
Mtambue Yellow ya Yanga inswakilisha Utajiri wa madini ambayo Asili yake ni Njano ya dhahabu. Mbunifu Yuko sahihi kanisa.
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 12 күн бұрын
Jemedal yupo sahihi kbsa
@alvinkulasare148
@alvinkulasare148 12 күн бұрын
Siku mkiletwe Green mgomba mtasema sio identit ya Yanga wakti nimchanganyiko wa Green ya Yellow pia. Chunguzeni jambo hata kuliza kwanza mpate uwelewa kabla ya kuanza kuropoka kwenye Jamiii.
@ajiaally3269
@ajiaally3269 12 күн бұрын
Uyu choko kama njano ktk bendera ya taifa njano inaptesent madini ss madini ya dhahabu yanaitwaje
@SangaliPower
@SangaliPower 11 күн бұрын
😅😅😅 ILE SI NJANO NI GOLD ACHENI UMAVI MAVI KICHWANI HUMO 😂😂😂 NA NENDENI MKAWEKE KWENYE BENDERA YA TAIFA 😅😅😅
@eddyrich.3312
@eddyrich.3312 8 күн бұрын
Jemedari hata ukilalamika imashakula kwako sie Yanga tunasonga mbele. Acha unafiki
@jmtz9890
@jmtz9890 10 күн бұрын
Jemedari ni kama kenge maji wengine tuu!!!! Sisi wananchi hata tukivaa hata blue.
@samuelmwaipopo1302
@samuelmwaipopo1302 12 күн бұрын
Yaaani tusizungushane. Rangi za CCM ndio rangi za Yanga Kijani, njano na nyeusi. Nyeupe, blue sio rangi zao
@akrajackson854
@akrajackson854 12 күн бұрын
Point ya msingi! Inaitwa "JERSEY YA YANGA" na "WANAVAA YANGA"
@jacksonmatoti7461
@jacksonmatoti7461 11 күн бұрын
We fata mkumbo tu ipo siku mtavaa Nyekundu 😂😂
@stuartson90
@stuartson90 12 күн бұрын
Bendera ya taifa ni. Yellow Gold sio yellow fatilia utaelewa wengi walikuwa hawajui
@deuskusaga8156
@deuskusaga8156 12 күн бұрын
Hiyo bendera ya yellow gold itakua ni bendera ya nchi yako
@jumaiddy441
@jumaiddy441 12 күн бұрын
Yellow gold ndio rangi gani mbona mnatuchanganya
@piusdp7328
@piusdp7328 12 күн бұрын
Kikwapa yanga
@josephvenus3259
@josephvenus3259 11 күн бұрын
YANGA WAMEPOTEA KWENYE JEZI TOKA WAMKABIZI NGOI 🤣🤣🤣🤣 NI GEITA GOLD KWA SASA 😂😂😂😂
@RajabKiondo
@RajabKiondo 10 күн бұрын
Huo ni upuuzi na bongo lala ya Jemedari. Inaonyesha darasani alikuwa mkiaani.
@Dibrafernandezimavambo
@Dibrafernandezimavambo 11 күн бұрын
Jemedari unanifanya niendelee kuipenda crown ila hance boya tu
@mtakatifutv2101
@mtakatifutv2101 12 күн бұрын
Hans anajisikia vibaya mnapo iponda YANGA maan anakula kupitia nyuma mwiko
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 11 күн бұрын
Si kama Jemedari anavyo kula kupitia we mi KUNDU wa msimbazi aka makolo
@SudiMgonza
@SudiMgonza 12 күн бұрын
Huyu jamaa kilaza kweli yani kuzaliwa mmakonde shida sana toka lini simba akawa na jezi nyeusi
@RajabKiondo
@RajabKiondo 10 күн бұрын
Kaa kimya hiyo golden yellow amvayo ni madini ambayo ni rangi ya asili
@aishabakari8040
@aishabakari8040 12 күн бұрын
Watu gani wanao lalamika jamani sisi kama yanga tumeikubali na tumeinunua kwa moyo mmoja tulizeni vinyeleo huko 😂😂😂
@muharramyjongo1972
@muharramyjongo1972 11 күн бұрын
Kwani lini alikubali jambo la yanga huyooo
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 12 күн бұрын
We Jemedar kajinyonge umembwa kumkosoa Kila mazuri ya yanga
@MgazaMhina
@MgazaMhina 12 күн бұрын
Kwahiyo hujawahi kumsikia akisifia jambo lolote la simba
@SaidiIduri
@SaidiIduri 12 күн бұрын
Time ya taifa ya Ghana Ina jez nyeupe kwenye bendera Yako Kuna rangi nyeupe??
@RajabKiondo
@RajabKiondo 10 күн бұрын
Jemedar Simba Haina rangi nyeusi usidanganye watu
@felickbiyara5280
@felickbiyara5280 12 күн бұрын
Tatizo la hans ni kutetea ujinga . Unapokuwa mwandishi simamia welding na ukweli. Siyo kutetea makosa. Nawafuatilia sana ila mnafeli sana kwenye kazi zenu. Uchawa ni mwingi sana
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba 12 күн бұрын
Na bado , tutate geneza na nyekundu na nyeupe, kikubwa kuna nembo ya yanga, ndipo utakoma,
@ZabroniMahundi
@ZabroniMahundi 12 күн бұрын
Hapo hamn kitu elimu ndogo sana hapo hakuna rangi inayoitwa gold mrudi mkasome
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 11 күн бұрын
😂😂😂 YANGA inawapasua kichwa😂😂😂😂
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 10 күн бұрын
Malofa wamehama kwenye asili yao ndmn wanajadiliwa
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 10 күн бұрын
MUONEENI HURUMA JEMEDARI ANANYOA MASHARUBU UKIONA HIVYO UJUE KUWA NI MAMBASA TYPE
@allyabuu6080
@allyabuu6080 12 күн бұрын
Mbona mnao lalamiki ni mashabiki wa Simba??
@RadhiaYusuph-c2y
@RadhiaYusuph-c2y 12 күн бұрын
Uyuuu jamaaa uyanga umemzidiiii
@gabrielgwawu4026
@gabrielgwawu4026 12 күн бұрын
Ukisikia wafamyakazi hewa ndio hawa sasa yaani kweli mnapoteza muda kujadili mambo yasiyowahusu
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 10 күн бұрын
Muulizeni mzee wa MAMBASA JEMEDARI SIMBA MWAKA GANI? WAMETUMIA NYEUSI
@mjinjasagamambi7531
@mjinjasagamambi7531 12 күн бұрын
Kweli viongozi wamezidi kubadili rangi asilia ya jezi walioikuta. Hakuna kijani, hakuna yellow
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 12 күн бұрын
Yanga Jez Zao Za Asili Ni Njano Na Kijani Ukionaivo Wanatoka Kwenye Asili Zao Ujue Iyo Team Imeuzwa
@mckobatz5861
@mckobatz5861 12 күн бұрын
Watakunyuka wenyewe gongo wazi ni wakali😂😂😂
@RajabKiondo
@RajabKiondo 10 күн бұрын
Na hiyo ya Njano ya Yanga inswakilisha madini hivyo ni Rangi ya dhahabu ambayo ni Njano.
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 12 күн бұрын
Jemedali amenyoka sana
@anthonykisesa9675
@anthonykisesa9675 12 күн бұрын
Hii ni ww ndo una complain sisi yanga tumelalamika lini
@sadih5333
@sadih5333 12 күн бұрын
Hapo mwanzoni rangi nyeusi ilitumika kwa timu zetu zote , lakini kiuhalisia ilitumika kwa refarii
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 11 күн бұрын
Nyie mafala hapo bluu ya simba imetoka wapi
@JabariKapindya
@JabariKapindya 12 күн бұрын
Hiyo ndo kazi ya watu went akili finyu.wapi imeandikwa kuwa nyeusi Ni rangi ya Simba?
@RashidHamis-o6w
@RashidHamis-o6w 12 күн бұрын
Tatizo la hawa wachambuzi wetu ni vitoto vya miaka ya 2000, vimetoka kunyea kwenye pampas ndio vinakuja kuchambua mpira, mnawalaumu bule sio makosa Yao🥱🤭
@FarajiKhamis-s8e
@FarajiKhamis-s8e 11 күн бұрын
Huyo Hans ni chawa ni WA GSM sio mchambuzi atawaharibia radio nyenu
@princerwambo4119
@princerwambo4119 10 күн бұрын
akusifiwe wewe
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 12 күн бұрын
Jemedari anaongea ukweli kuhusu asili ya rangi za hizi timu zetu mbili. Shida iko kwa vitoto vya bahasha kama akina Hansi ,wao hupewa pesa Tu kutetea ujinga. Yanga tumeshahama kwenye uhalisia wa rangi zetu
@AthmanMtoro
@AthmanMtoro 11 күн бұрын
Jemedary is o% kitu kikitoka msubiri viongoz ndio wToe ufafanuzi ,huo mwaka jezi zikitumika wote Hao hwalikuwa kwenye suruali,
@SangaliPower
@SangaliPower 11 күн бұрын
UKO SAHIHI SANA NDUGU SHIDA HIVI VITOTO VYETU VYA 2000 VYAJIKUTA VIJUAJI SANA SANA 😅😅😅
@AttiphMakwajira
@AttiphMakwajira 9 күн бұрын
Huyo hansi hana akili, kwamaana hiyo kama yanga wakipata habari kwamba rangi nyekundu inauza sana watatoa jaz zenye rangi nyekundu ?
@wackofredo1222
@wackofredo1222 12 күн бұрын
Rangi ya yanga ni njano na sio gold kama wao wanasema nshu ni pesa kesho wataleta jezi ya kijivu mwisho team itakosa utambulisho wake hasa kwa kizazi kijacho
@BabaNuria
@BabaNuria 11 күн бұрын
Yani nyny kweri Muna chambuwa ki ushabiki ata amujuw kuwa jez za njan ndo zinatembey
@hashimsalum7025
@hashimsalum7025 12 күн бұрын
Ili Fala sana, sijuwi linataka nini!
@abdalahmjomba471
@abdalahmjomba471 12 күн бұрын
Hivi kumbe wachambuzi hamuijui yanga eee mbona hiyo rangi ishatumika zamani
@BoniphaceIramba
@BoniphaceIramba 12 күн бұрын
Kama Wana yanga wenyew tunaenjoy Uzi mkali hayo marangi rangi mtajua wenyew uko na sjui mnaumia kwa ajili ya nn?
@enockshombe6311
@enockshombe6311 12 күн бұрын
Wewe jemedar nahis Yanga walikunyang'anya make huwezi kuwasemea yanga njema kwani makolo bluu imetoka wapi ?
@crctmwamshotv719
@crctmwamshotv719 9 күн бұрын
Walimu wa uraia walipotosha watu wengi sana , bedera ya taifa haina rangi ya njano, ila ina rangi ya dhaabu , hata katiba ina sema dhaabu
@fareedkhalipher3590
@fareedkhalipher3590 11 күн бұрын
Hans we chizi kwel Kama unajuwa mpra na tamadun zake ata uko ulaya niambie lin club Kama Real Madrid, Fc Barcelona, Baryen Munich, man city, arsenal, man u, dotmund lin wamewah ku design wakatoka kwenye tamadun Yao ya rang zao kuu za club? Acha ushabk wa kishamba dogo
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 12 күн бұрын
Wew Jemedali Yanga sio timu ya kwanza kutoka kwenye identity yke achana na Yanga yetu unaumia nini
@kimalebanduka4229
@kimalebanduka4229 12 күн бұрын
Nani kasikia apo “simba wakati tunabadilisha ,,,logo yao”😅
@ferezaisaack9836
@ferezaisaack9836 12 күн бұрын
Unasumbuliwaga na nongwa sanaaa
@gervaslukaya
@gervaslukaya 11 күн бұрын
Hana hoja ata kama yeye ni mkubwa kuna ubishi mwingine hata vijana wanaona kwani njano zipo za aina ngapi? Asiwapangie watu kwenye nyumba zao
@DominicMakamba
@DominicMakamba 12 күн бұрын
Hakuna Aliyekwambia ni Njano ile ni GOLD je ulishaenda kwenye club na ukauliza why Gold usikalili wewe Jemedari jiongeze
@ShindaMalaria
@ShindaMalaria 12 күн бұрын
Jemedari, Simba haijawahi kupigania ukombozi
@ElyrehemaMartin
@ElyrehemaMartin 12 күн бұрын
Hans unalipwa Tshs ngapi na yanga maana inabidi ukawe msemaje wa yanga na pia neno merchandise unalitumia mahala ambapo siyo penyewe nashauri jitihadi kufuatilia elimu ya biashara au waone wanajua hizo
@IsayaJoseph-v3s
@IsayaJoseph-v3s 12 күн бұрын
Wapuuzi tu nyinyi mnajadili rangi badala mjadili kiwango cha timu mpo duniagani nyinyi viumbe
@GodfreyKarino
@GodfreyKarino 12 күн бұрын
Jezi ya gold ime wauuuuma saaana
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 12 күн бұрын
Wenyewe Ken gold wameshangaaa
@aishabakari8040
@aishabakari8040 12 күн бұрын
Sanaaa
Doa Nabi Yunus - Sewaktu Dalam Perut Ikan Paus (1000X ulang)
3:52:46
BAZLI CHANNEL
Рет қаралды 5 МЛН
Deadpool family by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 5 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 19 МЛН
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 25 МЛН
NDARO NA STEVE MWEUSI WALIVO KULA CHAKULA CHA MGENI UTACHEKA
15:51
P MAWENGE ALIVYOPITA KWENYE BEAT YA OLODUMARE YA JOEL LWAGA
1:52
GOSPEL AFRICA MEDIA
Рет қаралды 31 М.
Deadpool family by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 5 МЛН