JEMEDARI SAID AWASHA MOTO KUHUSU AISHI MANULA/ SIMBA WANAMPOTEZEA MUDA

  Рет қаралды 7,108

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@Omarimakuka
@Omarimakuka 13 сағат бұрын
Timu ya Ushindi haibadiliki❤❤
@nyahingathadeo826
@nyahingathadeo826 15 сағат бұрын
Mpaka atwambie zile gor Tano alipewa sh ngap!?
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 11 сағат бұрын
👑 Eee. Ni HACHEZI siyo ACHEZI
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 12 сағат бұрын
Kwahiyo mnataka Golini wakae magoli Kipa wawili
@ibrahimuakwilombe
@ibrahimuakwilombe 16 сағат бұрын
Simba ina magolikipa wengi.bora manula;Ally Salim;Hussen Abbel'kwa sasa hawapati nafasi kwa vile kuna aliyebora zaidi PINPIN CAMARA
@bestman3651
@bestman3651 15 сағат бұрын
We have Pinpin, who needs Manula?😂
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 18 сағат бұрын
Huyu jamaa kigeugeuuu sanaaaaaa....😂😂😂😂😂 Katuchoma mechi ya prison ...
@bestman3651
@bestman3651 15 сағат бұрын
Akacheze Yanga. Utakula ulipopeleka mboga. 😅😅
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 16 сағат бұрын
Watu wapo kwenye Tasinia ya Habari muda mrefu lakini bado fikra zao ni zakizwazwa. Yaani Empty 🐌 🐌 🐌 🐌 🐌 ubongoni.!!! Eti Mambo yanasemwa mitaani....... 🙉 🙉 🙉 🙉 🙉 Kweli Bocco22🇹🇿 hajakosea
@molenicharles9107
@molenicharles9107 8 сағат бұрын
AENDELEE KULA ✉️✉️📩📩
@damasiliduke6649
@damasiliduke6649 16 сағат бұрын
Crown tafuteni mtaalam wa lugha ya kiswahili awafundishe kiswahili sanifu, mnaharibu lugha ya kiswahili
@Lameckmichael-h2m
@Lameckmichael-h2m 16 сағат бұрын
Radio zipo nyingi tafuta inayoongea kiswahili ukitakacho. Silazima usikilize crown
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 16 сағат бұрын
😂😂😂 Daah.
@bestman3651
@bestman3651 15 сағат бұрын
Achezi😅😅
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 15 сағат бұрын
Acheze Kwa kiwango kip mbele ya Camara
@relaxstarman
@relaxstarman 17 сағат бұрын
Wewe ushaona wapi timu bora inabadilisha makipa tim ni kipa na kwa kiwango kikubwa cha camara japo nae ni kipa mzuri lakn hata jemedar uwe ww kocha lazma atacheza spider man, acheni chuki, zisizo 7b nyie mmemuona tu manura ally salim nae sio kipa
@bestman3651
@bestman3651 15 сағат бұрын
Vingekuwa vya mtaani si angecheza? Akacheze dukani kwake😅😅
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 6 сағат бұрын
Manula Acheze Ili Iweje Kwani Kamala Anaumwa Au Aly salimu Hayupo Manula Kwa Simba Nikipa namba3 Kama Mnataka Acheze Bc Acheze Hata Singeli
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 12 сағат бұрын
Nyie wachambuz wa wapi?
@PriscaNoah
@PriscaNoah 13 сағат бұрын
Atumie kwanza malipo ya zile tano akimaliza atadaka
@franccoz94
@franccoz94 17 сағат бұрын
Zilee tanoo ndoo zilimuponzaaa,jemedar amsajili aende NAE jkt
@PoulP-v2i
@PoulP-v2i 13 сағат бұрын
Mchezesheni nyinyi mubwa wakubwa nyinyi mwenyewe haumii nyinyi matako yanawasha manura atamikuna
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 18 сағат бұрын
Jemedari mpeleke manura JKT kama hapati number Simba
@godfrey3926
@godfrey3926 8 сағат бұрын
Huyu mtu anayeitwa Jemedari anaongea pumba kama wengine wengi wasiojua mpira.. Unaongea upumbavu na hakuna kiongozi au shabiki wa kweli wa Simba atakusikiliza na huu upumbavu. Watu kama nyie ndio mnaaribu mipira yetu. Kwani wewe ni Fadlu? Don't question why Manula isn't playing as it's not your job. Well, Kwanini Kibwana Shomari kakaa benchi sana wakati ni namba mbili mzuri, ulimuuliza Coach wa Yanga Kwanini? Watanzania tusiwaingilie makocha wetu kazi zao.
@mkutamajuto1549
@mkutamajuto1549 16 сағат бұрын
Acheni upuuz atutaki migogoro ajitume ata pata namba,,,, mbona hamuuliz kuhusu duchu, kazi
@isaackaitira7654
@isaackaitira7654 16 сағат бұрын
Kama unaona hachezi umpelekee JKT nayo timu, Manula katuumiza sana tena tunaomba utuache kwani wewe umeona ni Manula tu achezi mbona Ally Salim hachezi mbona hausemi au mna njama zenu tena kwa simba, mm nafikiri unasema halipwi stahiki zake kama unaona acheze umpelekee JKT
@SadikiAmri
@SadikiAmri 14 сағат бұрын
Sio maneno kauza mechi mbili clear ya prison na yanga huyo jemedari anajua kila kitu
@HarunakiongoziMohamed
@HarunakiongoziMohamed 17 сағат бұрын
Si kuna pinpin
@hakimundabila7940
@hakimundabila7940 15 сағат бұрын
Alichomeshaga
@AlexAlphonce-m8b
@AlexAlphonce-m8b 12 сағат бұрын
Kamuulizeni manula mwenyewe mbona mnamwogopa na wakati nyie ni wachambuzi wa mpira au kazi yenu kuchonganisha wachezaji na viongozi wa kilabu
@Lameckmichael-h2m
@Lameckmichael-h2m 16 сағат бұрын
Amfuate Kakoranya huko mikoani hapa simba ata cc mashabiki hatumtaki. Wasart watim hawa aachwe awafuate wenginehuko
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 16 сағат бұрын
Watu wapo kwenye Tasinia ya Habari muda mrefu lakini bado fikra zao ni zakizwazwa. Yaani Empty 🐌 🐌 🐌 🐌 🐌 ubongoni.!!! Eti Mambo yanasemwa mitaani....... 🙉 🙉 🙉 🙉 🙉 Kweli Bocco22🇹🇿 hajakosea
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
MAKONDA AMLIPUA LISSU: "Lissu ni MBEA, HANA KABA!!!!!"
13:51
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 8 М.
GB 64 APAGAWA NA USHINDI WA SIMBA, AHOUA AMEZALIWA KUFUNGA
13:13
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 85 М.