Listening in 2025, God's faithfulness is so amazing ❤
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Asante sana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@massawefamilly73464 жыл бұрын
Aiseee hii kwaya inanikosha sana mko vizyri Mungu awabariki na kuwatia nguvu katika utume.Tumsifu Yesu Kristo
@consolatandinda8887 Жыл бұрын
Kwa hakika 🎶kitambo kidogo nilimuomba nikimsihi Bwana ashuke kwangu anitazame agange shida zangu🎶 it's a testimony i prayed to be where i am today and im very grateful my God answered prayers 🙌
@Mary-jj2nr6 ай бұрын
Nitumie Whatsapp naomba
@NzukiDominic4 жыл бұрын
Tumaini Swai ni mmojawapo wa wachezakinanda bora zaidi katika eneo nzima la Afrika Mashariki na Kati. Tungo nzuri sana
@gelasitarimo86604 жыл бұрын
It so latest song Congratulations parokia ya kijenge mpo vizuri
@newmanh4 жыл бұрын
How can I like this song 1million Times!!!
@emanuelkailas97014 жыл бұрын
Barikiwa nyote watumishi wa mungu. Rajo production choir inanifariji nafsi na hata kwa familia yangu
@angeljoseph30985 жыл бұрын
Wimbo mzr sana namani niinqie humo nami niimbe pamoja nanyie unanibariki sana honqereni sana mmeimba vzr sana mbaikiwe
@ndibalema14 жыл бұрын
Amen
@kipkosgeidominic60933 жыл бұрын
Wimbo mzuri mno..."Ewe Mungu wangu nakushukuru kwa moyo"
@MacqleenKimaro-l3mАй бұрын
Blessed namkubuk sana baba yang Kila nikisikiliza wimbo huu unanibarik sana
@hildajebet22034 жыл бұрын
Na tazama sasa nakuja,eeh mungu wangu kwa unyenyekevu,nikushukuru niseme Ahsante....this song blesses me,it inspires me It reminds me of my blessings no matter how small I thank God Eeeh mwenyezi mungu ,nakushukuru kwa moyo .Ahsante
@maliinathan48314 жыл бұрын
Huwa nausikiliza kila asubuhi,kusema asante tu.
@peterqorrocscqorro93415 жыл бұрын
Hongereni sana wanakwaya kutoka Kijenge Jimbo kuu Katoliki Arusha Tanzania
@livinusjacob47295 жыл бұрын
mungu awabariki sana kwa ujumbe mzr mmeukonga moyo wangu jaman nafarijika nisikiapo wimbo huu nakushuku kwa moyo
@georgelugalinda45265 жыл бұрын
Nawapongeza wanakwaya wote mnaohubiri kwa nyimbo nzuri mbarikiwe sana,amina.
@maliinathan48314 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa ujumbe wenu mkuu,shukrani
@severinemushi71755 жыл бұрын
Nabarikiwa sana nikiskiliza wimbo huu. Jaman mbarikiwe sana mzidi kumtumikia mungu kwauimbji wenu
@vckybayyo66714 жыл бұрын
Wow nawaona wa nyumbn Mungu azid kuwabarik
@christinamaghembe99785 жыл бұрын
Ninakushukuru Jemedari wa mbingu hongeren sana huu wimbo huwa unanibari sana. Amejibu maombi yangu.
@samkirwa35724 жыл бұрын
"Kitambo kidogo nilimuomba nikimsihi Bwana (Mungu), ashuke kwangu anitazame", wimbo nzuri
@abinanyanchama95614 жыл бұрын
Who's listening this yr 1st day of March, wimbo mtamu kweli.... nausikiza kila hata sisikii kulala❤❤❤❤
@ndibalema14 жыл бұрын
Thaaaaanks
@nyesigabuberwa76794 жыл бұрын
Asante jemedari wa mbingu unayenitegemeza
@cleophasomondi54755 жыл бұрын
From Kenya with Love... Wimbo mzuri sana wa shukrani... Kila wakati ninaposikia wimbo huu I just find myself praying and giving thanks.
@ndibalema14 жыл бұрын
Thanks Cleophas, be blessed
@conradngatunga96574 жыл бұрын
nakushukuru kwa moyo asanteeeeee ni wimbo unaotubariki saana
@mwalimubassu6 жыл бұрын
Ee Mungu Nakushukuru kwa Moyo. ... Bwana Awabariki na Kuwalinda Wapendwa. Endeleeni kumwimbia kwa Moyo JEMEDARI WETU.
@tobiasokothotieno61884 жыл бұрын
Mungu Ana jibu Maombi yangu kila siku
@lucychogo70735 жыл бұрын
Hata malaika na Mungu mbinguni wakisikiliza huu wimbo wanatabasamu
@ndibalema14 жыл бұрын
Hahaha
@elizabethjoseph94823 жыл бұрын
Ninakushukuru jemedari wa Mbingu Bwana Mungu wa majeshi
@johnjames5675 жыл бұрын
hakika ni neema kubwa Sana kuupata wimbo huu mbarikiwe sana
@ndibalema14 жыл бұрын
Ubarikiwe pia
@josephsimba46554 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana. Mbarikiwe wanakwaya
@mariethamollel35643 жыл бұрын
Ewe Mungu wangu nakushukuru kwa Moyo, Ahsateee🎶❣️
@petermbinga31285 жыл бұрын
kweli bwana amenisikia na amenihinua amejibu maombi yangu
@edwardkioko44554 жыл бұрын
Wimbo mzuuuri sana na mtaaamu sana jamani. Hongereni sana wote. Kwako ewe Tumaini Swai big up yourself sana kwa ustadi wako kaka.
@lilianalara80072 жыл бұрын
Ee mwenyeI nakushukuru kwa baraka zako,na uhai wa maisha naomba nilinde nafsi yangu Amina
@aminaibrahim84662 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana nimeupenda hongereni sana edelen kutumia karama zenu na mungu awabariki sana
@kekejoe41015 жыл бұрын
Asante mtunzi,waimbaji na wote waliofanikisha kutolewa kwa wimbo huu.Mungu awabariki
@leahmwombeki36716 жыл бұрын
asanten sana wimbo huu naupenda saana Mara ya kwanza niliusikia kanisan nikawautafta kwa juhudi hatimay nimeupata nafarijika sana na kubarikiwa mbarikiwe saana wapendwa
@ndibalema14 жыл бұрын
Kasinge owaishe
@lilianalara80072 жыл бұрын
Amen,❤ nimebarikiwa listening from Abu Dhabi
@juditholoo35354 жыл бұрын
Ujumbe mzito kweli mungu aendelee kuwabariki
@evelynemlokela77825 жыл бұрын
Ee we Mungu nakushukuru kwa moyo Asanteee, asanteni wanakwaya kwa wimb mzuri
@ndibalema14 жыл бұрын
Asante
@lilianalara80072 жыл бұрын
Listening from ,Dubai mmbarikiwe sana,siwezi bila nguvu zako bwana,mungu🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙏🏼🙏🏼🙏🏼🧎🏾♀🧎🏾♀🧎🏾♀🧎🏾♀🧎🏾♀
@beatrisikimario82333 жыл бұрын
Nakushukuru kwa moyo ewe Mungu wangu, Ni mengi umenitendea, mbarikiwe waimbaji😘😘😘
@Mwalimutito4 жыл бұрын
What a nice song, Ewe Mungu wangu nakushukuru kwa moyo wangu wote, Asante
@johnsadiki26575 жыл бұрын
What a wonderful song, so sweet voices!!!!! Those people are singing like angels. I will never stop listening to this piece 'Jemedari Wa Mbingu'
@jeanherbertnkorokombe56655 жыл бұрын
You know?me I ask every morning and night to God not to die before I reach where this choir sings,I want to see them
@ndibalema14 жыл бұрын
Thanks guys. You are welcome
@davidkg26303 жыл бұрын
NAKUSHUKURU KWA MOYO.NICE SONG
@bujunebusanya39664 жыл бұрын
Asante kwa utunzi na uimbaji mzuri. Mbarikiwe
@mwisukuuwewakaleli62196 жыл бұрын
Wimbo Wa mwaka...2019 I.e......I like its calmness...... and tha context
@ndibalema14 жыл бұрын
Thanks
@bujingwaramadhan59415 жыл бұрын
ukweli ni kazi nzuri mnoo. kristo tumaini letu hakika.
@ediminabalongo2656 Жыл бұрын
Na tazama Sasa nakuja kwako jamani huu wimbo naupenda sana hongereni Kwa uimbaji mzuri
@isaacpaul55793 жыл бұрын
i cant stop listening to this song. Mungu awajalie ili na hongera kwa mtunzi na waimbaji pia....
@evaristmassawe6925 Жыл бұрын
Wimbo wangu Bora wa shukrani kwa Mungu.Hongera kwa waimbaji na mtunzi.
@lydiahsimiyu34252 жыл бұрын
Nice song waaau adi najiskia nko mbinguni
@cleophasomondi54755 жыл бұрын
Ata kwa unyonge wangu, ninakushukuru jemedari wa mbingu
@ABAKURIRAMURI1204 жыл бұрын
Bonne cbanson mercie
@francissilayo.34575 жыл бұрын
Big up kwa organists Fulgence Swai n Henry Kimario matunda ya Uru Seminary
@tasiananicholaus94235 жыл бұрын
francis silayo.
@michaelsikazwe45775 жыл бұрын
hongeren kwa kazi nzuri wanakwaya na wote mliofanikisha kazi hii, pia mtunzi amenibariki kwa tungo nzuri.
@ndibalema14 жыл бұрын
Asante sana kaka
@alesiakayoka12035 жыл бұрын
Ahimidiwe Bwana milele yote, Asanteni kwa wimbo mzuri wapendwa
@ndibalema14 жыл бұрын
Amen
@lilianalara80072 жыл бұрын
Ntakushukuru kwa moyo wangu wote,asante
@shijalugiko40535 жыл бұрын
Wimbo umenikatisha usingizi. Ukanifanya nitafakari kwa kina makuu aliyonikirimia Mungu wangu. Asante Rajo kwakutupatia clip ya hawa wanakwaya
@janethpolle64795 жыл бұрын
Tcha, huu wimbo umenifanya Nitaman siku zingkua znarudishwa nyuma tuuweke kweny albam yetu bagamoyo
@onesmuskimori32356 жыл бұрын
Hongereni sana wimbo ulio na mguso na mvuto kuusikiliza asante
@mariasixmund79645 жыл бұрын
"Amenisikia ameinua amejibu maombi yangu"🙏🙏🙏🙏what a nc song mbarikiwe sana
@mugarurasosthenes79124 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana, mmeimba kwa hisia kubwa na mmewasilisha ujumbe murua. Mungu awabariki.
@newmanh5 жыл бұрын
Nakushukuru Kwa moyo Ee Mungu! Thank you God.
@kaguotz33065 жыл бұрын
Nikiwa mwimbaji Wa Kwaya ya mt agustino mafinga iringa sauti ya NNE nimeupenda sana huu wimbo
@acemarx62713 жыл бұрын
Nashukuru kwa yote yesu,mbarikiwe sana
@adelinamutagwa344110 ай бұрын
Huu wimbo Huwa unanibariki sana.Utadhani mlijua maisha yangu yalivyo.
@winnieotieno86905 жыл бұрын
Í have to play this every morning n night before bed.siwezi chochote Mimi bila nguvu zako
@erasmoasena11644 жыл бұрын
Yesu
@emiliana52182 жыл бұрын
Maishani mwangu nakushukuru kwa moyo asnteee
@mmasyonegeorgis5722 Жыл бұрын
Mungu Apate Sifa Milele.
@marynessmelchiory34333 жыл бұрын
Watching for approximately a thousandth time and it's 2021... Baraka zake Mungu wa mbinguni ziambatane na kila mmoja aliyeshiriki kuandaa kazi hii pamoja nasi tuliohubiriwa kwa wimbo huu. Ni mzuri mno.
@charleslugemalila11685 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri. Bravo RAJO
@anitalwankomezi294613 күн бұрын
Nmebarikiwa sana😍
@jafethpeter57064 жыл бұрын
Kwaya hii imenibariki sana
@paulinemakhaso10098 ай бұрын
This has been a song that reminds me alot....🎉🎉I remember when I first heard it like yesterday
@tedyjoseph51784 жыл бұрын
Hongereni kwa ujumbe mzr lakini munacheza sana mumekuwa kama walokole
@denismaunda31024 жыл бұрын
Ewe mungu wangu nakushukuru kwa moyo
@kailimusyoki11 ай бұрын
This song never Gets old, I really Love it.
@majigelucas94795 жыл бұрын
Wimbo mzuri kweli na umenifanya niwe na siku nzuli
@florahjaphety89584 жыл бұрын
Wimbo mzri mungu azidi kuwatia nguvu na kuendeleza kipaji mlichopewa na mwenyez mung🙏🙏🙏
@peterkiumbe37214 жыл бұрын
Kazi nzur sana
@estermasona10455 жыл бұрын
aisee kuwa ndan ya yesu ni raha hakuna mfano
@thobiasafredy6636 жыл бұрын
Mbalikiwe katika bwana!!!
@vsbrichiee4376 жыл бұрын
Wimbo wangu wa mwaka 2018 nlikuwa nausubiria kwa shauku kubwa mnoo
@deogratiusmkamba85734 жыл бұрын
Nakushukuru MUNGU wangu kwa MOYO
@joelmapunda23874 жыл бұрын
I really blessed abt dat songs much my lovely friend,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
@edsonmlyuka10962 жыл бұрын
Kazi nzuri wapendwa
@AnsbertNgurumo5 жыл бұрын
Nakushukuru kwa moyo. Asante! Mwakora!
@joanjoan10804 жыл бұрын
Nimekuelewa Ansbert MWAKORA
@ndibalema14 жыл бұрын
Kasinge owaishe. Ntukumiss muno
@thomasnyamari4014 жыл бұрын
Hata ingawa mwili u mnyonge nitainuka nimshukuru Mola maana ndiye mtumishi wangu maishani.Hongera.
@florianfinda74455 жыл бұрын
Very good job wanakwaya wenzangu. Namshukuru MUNGU kwa namna ya pekee kwaajili yenu maana naoana huu wimbo umetungwa kwaajili yangu. Nimepita ktk kipindi kigumu sana ila MUNGU mwenye nguvu akaniokoa na sasa utukufu wake unaonekana, Kutoka ndani ya moyo wangu NINAMSHUKURU kwa moyo. Mbarikiwe sana ndugu zangu
@rajopro5 жыл бұрын
Uzidi kubarikiwa ndugu.
@jacobmpalanzi51485 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri, Mungu awabariki zaidi!
@rozeeroz25155 жыл бұрын
Balikiw watumishi kazi nzuli San
@felixkeriga7446 жыл бұрын
hongereni sana wana Joseph . mmeiutendea haki wimbo na mtaalamu Swai
@enockngailla18675 жыл бұрын
More than excellent kwa kweli bonge la song
@shijalugiko40535 жыл бұрын
Nakushukuru kwa moyo asante
@restipaul42864 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki
@mariethamkulo19833 жыл бұрын
Napenda pale anapoanzisha mwl
@edsonmlyuka20052 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa utume
@mustafa3ify5 жыл бұрын
Just love the music, from pakistan
@meteorologicaliringa36465 жыл бұрын
Yah its real great!
@ndibalema14 жыл бұрын
Thanks Muhammad
@victoronyiego36766 жыл бұрын
Wimbo unaoiburudisha nafsi.. Barikiwa mno Jalali Jalia awajalie neema kedekede mzidi kumtumikia siku zote.
@emmymarion13106 жыл бұрын
nimebarikiwa... Kazi nzuri
@meccymutwiri66185 жыл бұрын
if i come to the church this choir belongs it will be hard to come back to kenya.... waaa this song may God bless you all for this beautiful voices. a great gift you got
@ndibalema14 жыл бұрын
Thanks Meccy
@kiwalirusavings47374 жыл бұрын
Its simple Tz choirs have passion in singing, hawa wetu Mungu atuonekanie
@ndibalema14 жыл бұрын
@@kiwalirusavings4737 call me after Corona pandemic nikuje niwatengeneze