Yesu wangu, najua sijakamilika Naomba uchunguze moyo wangu Niondolee mapungufu yangu Nifanye utakavyo Nataka upendezwe na Mimi Usiruhusu kifo changu Kabla sijapata kibali Cha mbinguni Hamu yangu ni kufurahi pamoja na wewe mbinguni Ameen🙏🙏🙏🙏
@jenifafrank6292 жыл бұрын
Amen
@leoodongo69010 ай бұрын
Who is still watching this wonderful song with me in 2024
@damianthomas2228Күн бұрын
2025
@JovithaLeo5 ай бұрын
Mungu anatukuzwa ndani yangu kila ninaposikiliza hii nyimbo naona kiu ya Mungu wangu aliye hai🙏 nakutafuta Bwana wangu
@josephwalkerz37974 жыл бұрын
Wapi likes za Ray ...kinanda chatii
@catherinemuthini69164 жыл бұрын
I like the way he enjoys the music
@vinnywams66904 жыл бұрын
Oooh! Ray Ufunguo! Kazi yake inapendeza kweli, and everything he outs his hands on flourishes.
@briankaruku18169 ай бұрын
Oohh iwish ningemjua yesu mapema mimechelewa llakini naweka full effort ya recovering
@DanielEmmanuel-or1zf23 күн бұрын
❤ njiani naja bwana wangu niko kasi❤❤❤❤❤❤
@davidinaMgandu Жыл бұрын
Hongereni sana sauti mulua mungu anapenda kupanza sauti kwa vinywa venu wenye ,Nakutama kama nchi kame isiyokuwa na maji hakika 🙏🙏🙏🙏🙏⛪⛪⛪⛪⛪
@vinnywams66904 жыл бұрын
Usanii wa daraja la juu sana! Siwezi lala kila siku kabla ya kubarikiwa na uimbaji huu.
@kassiankuche39614 жыл бұрын
Daaahh nimekumbuka kidamali sec hasa nilipoona sura ya Tito well done
@sylivianamutosi92648 ай бұрын
Mungu awabariki kwa kazi nzuri wimbo huu nayimbeda sana and najivunia kuwa mu catholic 🙏🙏🙏💃💃🇺🇬🇺🇬 04 05 2024 time 07:15am ni juumamosi be blessed amen 🙏🙏 and amen 🙏🙏
@pamphilimumwi18634 жыл бұрын
Tumwimbie Mungu wetu nyimbo za sifa na utukufu. Hakika wimbo murua sana, miondoko na mapigo yanatia fora. Mungu Mwenyezi aendelee kutukuzwa daima. Mbarikiwe kwa nyimbo nzuri ambayo naamini imegusa na kufariki nyoyo za watu wengi...
@GoodnessMjema3 ай бұрын
❤ hongera mtunzi, hongera waimbaji na wapiga vyombo 🎉
@yohanewinnie51916 жыл бұрын
Yaan huu wimbo jamani jamani unanipa tumaini la kuendelea mbele asante yesu kristo
@angelmwamlima3276 Жыл бұрын
Mungu awape baraka zake mmeimba kwa hisia Sana napenda niskilize kila wakati moyo unajawa amani Sana🙏🙏🙏
@luwonekaandrea15474 жыл бұрын
Mungu awabariki na kuwalinda hongereni kwa kaz nzur lini vol 2
@petrojoseph59706 жыл бұрын
hi kidamali nawasifu kwa ujumbe mzuri kwa Mungu wetu na Rajo pia wazuri ,safii sana wimbo huu unanitafakarisha sana nawapendeni kwa kazi nzuri,Mungu atukuzwe...
@deodatusmwaipopo72844 жыл бұрын
Hongeleni taifa la mungu, Kwan wimbohuu ukweli umeimbwa kwahisia .asanteni sana naming awabaliki ninth nyie amina
@olivacosmaskipingi15663 жыл бұрын
Nawapenda saaaaana Mungu azidi kuwabariki na kuwakirimia hitaji la mioyo yenu
@godysamwel11176 жыл бұрын
Watumishi wa MUNGU mbarikiwesana kaziyenu nimzuri inabariki
@poyopitalisi79995 жыл бұрын
Wimbo huu unanibariki sana, hongera mtunzi, wanakwaya na mpiga kinanda
@tuliarafael89344 жыл бұрын
Karibu
@angelmakotina21804 жыл бұрын
Nawakubaki wana iringa😍😍😍
@desminachavala81184 жыл бұрын
Wooow,nafurah sana kuwaona watu wa nyumbani wakilitukuza jina lá bwana,
@JanethFaidaАй бұрын
❤❤❤ unisamehe uovu wangu nikinge na vikwazo, hongera mtunzi wa wimbo huu pamoja na waimbaji
@agatokalisti85946 жыл бұрын
Asanteni sana wanakwaya wa Mt.Joseph Mfanyakazi Nzihi - Kidamali Iringa kwa wimbo huu mzuri uliobeba ujumbe mzuri na wenye kuburudisha, huwa narudia kutazama video, "kuimba ni kusali mara mbili". Mungu awabariki sana.
@joshuaokiri55976 жыл бұрын
I am not a Catholic but huu wimbo umenifurahisha sana
@mariachale60893 жыл бұрын
Kazi ni nzuri, mnastahili pongezi ni mwanzo mzuri. Keep it up, hongera kwa Mtunzi
@marckmark27382 жыл бұрын
Njiani naja niko kasi 😘😘😘
@paulmsape163 Жыл бұрын
Nimefarijika sn kwa wimbo huu, Mungu awabariki sn
@georgeosoro10184 ай бұрын
God bless me and my family this morning of 21/09/2024. Bless us abadantly
@frolencinahenry24074 жыл бұрын
Nafsi yangu yakuonea kiu We Mungu😘😘😘
@octaviuskisinda90906 жыл бұрын
St. Joseph, 'MUNGU abariki kazi ya mikono yenu'. Wimbo mzuri wenye kuinjilisha, kutafakarisha na kugusa roho ya yeyote anayeutafuta umilele. Hakika kazi yote hii kwa ajili ya ufalme wa mbingu si bure. Sifa na utukufu tunamrudishia yeye anayetuneemesha yote haya.
@velejilyonatalis17875 жыл бұрын
Mmetisha sana vanyalukolo hongereni sana nyimbo inaturudisha kwenye njia mimi niko kasi nakuja
@christinaoumah90234 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na wimbo huu hakika atukuzwe Mungu mkuu siku zote daima,🥰🥰🙏
@inessboniface62936 жыл бұрын
Nimebarikiwa na wimbo huu, mpiga kinanda Mungu alinde kipaji chako
@vinnywams66904 жыл бұрын
Mimi hapa naendelea kubarikiwa tu! Fungulieni nyingine zitiririke!
@redemtamutinda21526 жыл бұрын
I cant get enough of this song...how wonderful this song is, " Nafsi yangu yakuonea kiu mungu wangu na mwili wangu wakuonea shauku mungu wangu............."
@bongoclaudio78775 жыл бұрын
Hongereni sana ndugu zangu kwa kazi nzuri lakini pia hongera sana Mr Ray rufunguro kwa kazi nzuri
@vestinaneema50086 жыл бұрын
Niko kasi kukutafuta Mungu wangu. kila siku lazima ni usikilize huu wimbo
@avonymaya8326 жыл бұрын
HABARI NIMEUPENDA SANA WIMBO HU, NI KAZI NZURI SANA YA UINJILISHAJI NAOMBA ALBUM YAKE YOTE
@damasmapuga96936 жыл бұрын
Hongereni wana Nzihi kwa kazi nzuri, melody nzuri na ujumbe pia. Ushauri wangu, mchanganya picha hajatenda haki kwa walio wengi kwani anawaonesha watu wale wale tuu. ikuwa kama ni kwaya ya mtu binafsi na wengine mmekodiwa ili muimbe. Kwa RC huwa tunaimba wote na tunamiliki kwaya wore. Pia mandhari ni nzuri ila hamjazitendea haki. Mf kwenye jiwe mngeweza kujaa wote mkacheza vizuri. Pia Kama ni Kidamali mngeweka radha ya kihehe kwenye kucheza, mf. kiduo na njuga staili mngetisha. NASHAURI, MKIREKODI ALBUM NYINGINE INGIZENI NA HUU BUT UTENDEENI HAKI KWENYE PICHA NA KUCHEZA. Napataje kanda hii nipo Moshi.
@carolinegichuki7022 жыл бұрын
Such a blessing...love from Nyeri KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@maribasimon8016 жыл бұрын
Kazi nzuri, Mwenyezi Mungu awajaze wingi wa Baraka zake
@mercyokumu14134 жыл бұрын
i cant get enough of this song...... my heart is blessed and is at peace whenever i listen to this song.... the keyboardist wow ..... be blessed the whole team
@allanmsemwa50654 жыл бұрын
Swahili Tanzanian Catholic Songs are so Amaizing
@berthakarungi61875 жыл бұрын
sichoki kuangalia wimbo huu. jaman mbarikiwe
@tuliarafael89344 жыл бұрын
Hunifikii mm 😘😘😘
@temuemanuel46713 жыл бұрын
Wimbo mtamu na mazingira mazuri sana
@yudakitengesondanu8084 жыл бұрын
naipenda sana hii Cd sasa nitaipataje niko Arusha
@geofreymaranga56996 жыл бұрын
Asante Kwa kazi yenyu mufti kabisa,naomba niweze kupata nota za wimbo huu.
@elizabethjoseph72925 жыл бұрын
Wimbo mzuri mnooo Mungu kwaya zote ziweze imba ktk roho na kweli
@gabrielmikindo37566 жыл бұрын
raga tupu 'utamadunisho' murua ambao haukupotosha maadili CATHOLlC. hongera sana na Mungu awabariki sana. AMEN
@neemataris32732 жыл бұрын
Huu wimbo ulinivusha sana kuna kipindi niliusikiliza kila siku mara nyingi sana, Mungu awabariki kwa kazi hii nzuri
@benadethaclement75964 жыл бұрын
Kwer mung nakutafta mapema
@luvisa24724 жыл бұрын
Hii record companyinayojiita Holy Trinity Studio waache kuweka introduction ya nyimbo yao katika kila nyimbo walizo record, yaani inaudhi unapo taka kusikiliza nyimbo lazima kwanza usikize introduction ya sauti yao kitu ambacho kinaboa. Tunajua mmerekodi hii nyimbo sasa hakuna sababu ya kutufanya tuwasikilize nyinyi kabla ya nyimbo. Roja na Tanganyika production hawaweki signature sound yao, unakwenda straight kwenye music. Makampuni makubwa ya kurekodi wahaweki introduction ya nyimbo kwenye musiki walio record Mnasound mpo patronize and hungry to be known and recognized
@catherinegerald16206 жыл бұрын
wow wimbo mzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hongereni sanaa
@nelsonalex28056 жыл бұрын
asante
@gasparyrutta52556 жыл бұрын
Mko vizuri, hongereni sana
@aglipinanaombaunirushueya29766 жыл бұрын
Hongeleni muko vizuli wanakwaya nataka cd zenu
@ErastoYangiАй бұрын
MUNGU azidi kuwapa neema hapa mlitumika na mmehubiri neno
@felicianholle30104 жыл бұрын
Mko vzr sana wapendwa kwa myimbo zenu na stail zimetulia
@consolatazachalia54426 жыл бұрын
Hongereni sana mt. Joseph wimbo mzuri kweli! Mubarikiwe sana waimbaji na mtunzi.
@florencenthenya63915 жыл бұрын
Nice one yu bless me so much am lm in saudi Arabia watching yr music yu look nice 😍😍
@shijalugiko40536 жыл бұрын
Tarumbeta ni ala mojawapo za kimziki ndugu zangu. Na ili mziki unoge vizuri inakubidi umix ala tofautitofauti. Ili mradi usitoke nje ya liturujia. Na pia ni kuendana na dunia pamoja na kizazi chake. Zamani kanisani ulikuwa ukiimba hakuna kucheza but now watu wanacheza na makasisi pia wakinogewa na mziki mtakatifu unakuta wanatamani hata kuruka. So mziki ni mzuri una maudhui sahihi mwisho unatafakarisha na alishoot kafanya vizuri kabisa.
@josephinnocent24316 жыл бұрын
Naisubiri Hii Kaz Kwa Hamu sana,Naamini Kuna Manguli wa Muziki wamo pia kama Bernard Mukasa, Musa C Mabogo, Dionizi Kipanya,Zackaria Gerald,Na Wengine Wengine,.Tupatieni Kaz Iyooooooo
@msaghamwakamba81822 жыл бұрын
Utunzi na Uimbaji Mzuri 😌 can't get enough of this song 🤗🤗🤭😚
@ditrammgimba27595 жыл бұрын
Naipataje DVD,, kuna ule wimbo ,,Wema wa Mungu,,, uwekeni mtandaoni nao,,, kuzipata dvd imekua kazi kweli kweli,,,,
@mrgooner623 жыл бұрын
Munaimba Kabisa! May God bless you
@AinethKadinde Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo congratulations sana kwa mtunzi
@silvermacho46545 жыл бұрын
Nakutamani Kama Nchi kame isiyo na maji
@magrethphillipo26265 жыл бұрын
Mwimbo mzur Sana sauti nzuri adi rahaaa
@redemptamweu62432 жыл бұрын
Well sang song, so melodious, May God bless the singers for spreading the gospel musically.
@edgarmadeje52986 жыл бұрын
Tunasubiri kwa Hamu kubwa Wema wa Mungu
@christinawinfried2466 жыл бұрын
Coming soon
@AnjelinaKusunga23 күн бұрын
Nyimbo nzuri sana nikiwa road inagoma jaman
@mercymacline6586 жыл бұрын
Hii wimbo nzuri Sana, hongeren Sana kwa kaz nzuri
@elishaedson50425 жыл бұрын
Mercy Macline. Dm
@Blessedhopefamily6 жыл бұрын
Pongezi zimfikie mtunzi wa wimbo huu. ametenda haki kwa kazi ya Bwana. lakini pia hongera Mwalimu wa kwaya hii hasa maandalizi ya kazi hii, sisi tuna la kujifunza. hongereni wanakwaya kiujumla kwa kuhubiri habari hii, Nikiwa Ambassodor wa Muziki nafurahishwa sana na kazi hizi. wekeni kazi sokoni mapema kabla wavamizi hawajaja.
@sakinaniwewegoodsongnicebr98044 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Mungu awabariki.
@agustinomgaya78735 жыл бұрын
Inapendeza saaaaaana wapendwa kaze budi ili iwe bora zaid katka kuifanya Nazi ya Mungu!!!!!
@eunicejoseph22626 жыл бұрын
Mko juu nimewapenda sana, wimbo unatafakarisha unanibariki kabisa
@sakinaniwewegoodsongnicebr98044 жыл бұрын
Hongereni sana kazi nzuri
@petermulwa71212 жыл бұрын
My ever prayerful song.... Nafika lini Mungu wangu niuone uso wako?
@fidiaoscar84404 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana kupitia wimbo wenu,hongeren kwa utume wenu
@MariaMfilinge2 ай бұрын
Nakupenda Sana huu wimbo nataka kudanlod
@edmondkalinde42514 жыл бұрын
Nyimbo nzuri kabosa
@adelinasanga67104 жыл бұрын
Hongereni sanaaa!
@avonymaya8326 жыл бұрын
NAOMBA ALBUM YOTE YA WIMBO, NAMBA YANGU NI 0672445120 AU WhatsApp 0625552002
@vestinaneema50086 жыл бұрын
Rajo production muwe mnatoa na mstari ambao mtunzi kasimamia itapendeza zaidi ni ushauri tu km mlivyofanya ktk wimbo wa Dispina Nitakushukuru Mungu awabariki sana
@francekalinga4395 жыл бұрын
Vestina Neema Saf San unampata despina
@mutigamcanthony17556 жыл бұрын
Oh God don't I just love the harmony introduced by Altos at 5.11. How many times have I rewound to that point? I cant even remember.
@deomunishi7754 жыл бұрын
Hongeren sana mungu awbariki
@AgnessMtitu2 ай бұрын
Najivunia kuwa mkristo tena mokatolic
@marianyalusi18304 жыл бұрын
Mungu awabariki sana na wimbo mzuri Niko kasi
@charlesmartine34675 жыл бұрын
Congole nyingi sana kwa waimbaji
@theresialfredybugalama58506 жыл бұрын
Nakuona Shem tem hii hadi unaachia kinanda duh mungu akuongezee uzidi hapo ulipo
@sheddyrobby58743 жыл бұрын
Niko kasiiiiiii ninapenda staili yenuuu
@juliuschacha12186 жыл бұрын
Kazi njema jamani natamani sana hata Mimi niimbe kama sijawahi imba tena.
@felicianholle30104 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa uinjilishaji huuu
@lukakivamba72452 жыл бұрын
Mhh tamu balaa
@rozeeroz25155 жыл бұрын
Balikiw san kazi nzuli San💟💟💟💟💟
@franciscakitundu41636 жыл бұрын
wimbo mzuri sana ....Sauti zote zimeimba vizuri pia mashairi mazuri
@merryngowi66073 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa kumtangaza Kristi Amina
@charlesjmartin19356 жыл бұрын
Hongerani sana
@sixbert9632 жыл бұрын
Mungu awabariki nimejiskia amanitele baada yakusikia wimbo mzuri kamahuu💯
@tuliarafael89344 жыл бұрын
Kwakweli mbarikiwe tu 🙏🙏🙏
@melapshivachi82095 жыл бұрын
I just can't get enough of this song The tall guy spices up the video... I love his moves
@mungholomakalanga89585 жыл бұрын
Hakuna rahisi ktk mafanikio
@robertshiwa64976 жыл бұрын
Hongereni sana wanakwaya, every thing is amazing on this song, kuanzia wimbo wenyewe, waimbaji, video instruments all are amazing, Mungu awatie nguvu msichoke tena
@faustinmadangi57334 жыл бұрын
Imenipa faraja Sana ,,hongereni Mungu awape kiu ya uinjilishaji daima