Hii ni historia karibu ndg philippe nyusi tunaahidi kuboresha mahusiano mema ya kijamii ,kiutamaduni, kiuchumi, kikabila na kidini pia ila tunaahidi kuacha ubaguzi wa kikanda, kikabila na ubaguzi wa aina zote VIVA AFRICA VIVA WORLD.
@PatrickMseke26 күн бұрын
Leo nimekuwa wa Kwanza.... Kama huna roho mbaya gonga like hapa🙌
@bonifacegasper950826 күн бұрын
Kazi ipo,
@FredrickKabura-gd7hg25 күн бұрын
Queen samia nq'araaaa rise queen samia " mimi ni rais mwenye"..😢 kakauli haka kalitutia shaka sanaa polepole/harakaharaka tutafikaa.#MUNGU KWANZA.