Brown mwambie ukweli uyo Nelly, mwanamke aliye kuvumilia mashing yako yote, saii waona umeanza kupata help, wamdharau, ukumbuke Sara alikupata ukiwa unapaya pesa, wakati zikiisha Sara ataenda tuu,
@SaraQueen-tm5dr18 күн бұрын
Koment yk ipo saw kwel🤔
@Nereahneree4 ай бұрын
Huyu ndiye vikii nime zoea dah na penda huyu Dada na kipindi chake apo kwa cinema ❤❤❤❤❤hongera victoria
@EsterSaidi4 ай бұрын
Mimi pia
@user-kx2kr8mp3e4 ай бұрын
Vizuri Sana Vicky usirudie matapishi ambayo ulishatapika hataingekua ni Mimi nisingerudiananae ten maanaalikudharau kweel hongera Vicky kwamsimamo wako tafuta mwingine nakupenda❤❤❤
@mtikamtika80134 ай бұрын
Nimekuwa wa ishilini na nne naombeni like hata kumi Tu jamani Wana dont plas ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-tw2ut4xi9b4 ай бұрын
❤❤ siku zote maisha ni,guaride nzuri sana
@GraceFunga-oz1ck4 ай бұрын
Waomba like mpo wap 😅😅😅😅😅😅
@furahakenga66194 ай бұрын
Nimewahi Leo naombeni like zinu mko wapi wakenya 🇰🇪❤️❤️
@ChausikuJoseph-bd9fx4 ай бұрын
Leo wa nne like zangu jaman
@user-dg8kc9lw9s4 ай бұрын
Wakenya tupo hapa jameni tupe likes zetu🎉🎉
@Rajiivoice4 ай бұрын
Leo mimi ndio wa kwanza nasubili like zangu ❤❤❤
@stevenolwombo95194 ай бұрын
Vicki ❤❤ Nawapenda sana ndugu zangu wa Tanzania nikiwa hapa kenya 🇰🇪🇰🇪
@RazikeRara4 ай бұрын
Congratulations Vic love you 🎉🎉🎉
@user-xr6xk9lb5c4 ай бұрын
Kazi nzuri. Kenya Watching, twapenda. 🎉🎉🎉
@user-zk1sc8fi5p4 ай бұрын
Were Nelly huko sana kiakili muone eti vimia mia🎉😂😂😂😂😂
@Salama-df2uu4 ай бұрын
Nelly umenifuraisha ety twende sasa😂😂
@alicelusinde6184 ай бұрын
Nauliza tu kwani kudate na rafiki wa ex wako nivibaya🙈🙈
@DeusdeditCharles4 ай бұрын
Amna
@thumuali44064 ай бұрын
😅😅sivibaya Bora ufanyie Zaid ya vnye likuwa akifnyiwa n rafiki yako
@user-pp2xh5cg1m4 ай бұрын
Eee brown kumbe wajua uko na roho mbaya enway pokea maua kutoka saudi Arabia 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-ji3et2yf5r4 ай бұрын
Ila tumewamiss shanaiza ,na kendi wak wap duuuh
@user-xr6xk9lb5c4 ай бұрын
Na Marua walimtupa hivo na uo urembo wote jameni
@ZAMUTV604 ай бұрын
Wooooooow kazi nzuri sana nimeipenda sanaaaa❤❤❤❤❤
@gitarindwiga27934 ай бұрын
,😂😂😂kunambi umemupa neli dawa nyokoo 😂😂😂
@rukiahassan70014 ай бұрын
Wala sio urongo tunakuelewa kunambi kwa mahasira hasira zako na nguvu
@RizikiZiki4 ай бұрын
Nelly amekua tatizo kaisha jipata cezeya weye wakiwa hawana penzi kama lote apate sasa ndoutajuwa unapendwa aula😅
@shamsiyasalim68664 ай бұрын
Wewe mama ulikuwa hupaswi kufanya ulivyofa ya kumuachamtoto kwa Baba ugekwenda kushitaki kwa kituo cha watoto unapata haki za mtoto
@user-ul9vk4op9u4 ай бұрын
Kelvin ikowapi yeye mbona simupati na ona Vicky na Brown ila sipate lavenence na Tina wako wapi.vicky ni mutalamu na wapenda
@mariamomary60034 ай бұрын
Hii imenigusa mimi 😭😭😭ndio maana sito penda tena 😭😭wanaume waongo
@Salimoamisse-cm5hk4 ай бұрын
Você
@jamilashabani85804 ай бұрын
Mapenzi yapewe heshima
@user-kf7kb7sn7o4 ай бұрын
Da viki mauwa yako ayo apo🎉🎉🎉
@user-cr6qo6du6s4 ай бұрын
Bahamedi mana yake nn nauliza jaman watu wa kometi
@ummukhawlah84334 ай бұрын
Ni wale wadada wanaouza pombe kwenye grosary
@user-qv8zq3fy7f4 ай бұрын
Poleni wanaume maana ni baba zetu bt wengi wao mafala km mafal wengine mnajisahau cnaaaaa
@user-yz2wu9lg6d4 ай бұрын
Nice 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@user-yb5pj3gj5w4 ай бұрын
Simpend brawn jaman anaubabe
@ruthgloriaobonyo4 ай бұрын
Much❤❤❤ for Vicky.
@Daestoto4 ай бұрын
Hawa wanao omba likes ndo ma actres ama vipi sijaelewa mnieleweshe
@RomyRommy4 ай бұрын
We ila brauni ni hatali Kwa hii movie umetisha
@user-jx4rx6jy6y4 ай бұрын
Yani konambi ungekua mwanamke mbona wangekoma sio kwakichambo hichoo😂😂😂
@Marlenapilikitsao-gk9je2 ай бұрын
Mwanamke csura ni tabia nelly.kumbuka akufaaye kwa thiki ndiye rafiki
@user-dr4nj8sb8o4 ай бұрын
Ohoo good
@user-nn3mo1kg4q4 ай бұрын
Kunambi chukua 5🤚nipeni like zangu na mm
@ruthgloriaobonyo4 ай бұрын
Hongera Kunambi ila umenikera kwenye "Kesho Yangu"
@levinaernest4364Ай бұрын
😁😁😁
@kokenye90034 ай бұрын
Keep it up wapendwa mko poa sana ❤❤
@user-rn3su5tr9p4 ай бұрын
Ila beown wewe 😂😂😂😂
@Kinyua-ye8kk4 ай бұрын
Neli Sio vizur kbsa unavyofanya nautakuja juta Na hiyo Sara wako atakuacha
@user-vx8ys5gf9r4 ай бұрын
Dada Ake kazi zuri sana Victoria mwigani
@user-bl4mr9fx6c4 ай бұрын
Nakupeda Bure brown ❤❤
@user-zb4dy3rv3s3 ай бұрын
Ndyo maan nchukia kumpigia pigia mwanaume sm hovyo hujui Yuko kwenye magendo gni
@Wini-zx4im3 ай бұрын
Nakukubali sana viki 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@VanillaVictor3 ай бұрын
Yaan uyo nelly taila ata sjapenda
@Dicky5764 ай бұрын
Kunamb Weweeeh Daah sema umezingu kwenye kesho yanguu ma broda sikufichi 😂
@user-xo7ns7bc8c4 ай бұрын
Hongera Vicky mwache aende zake hivi ndivyo wanaume wengi walivyo utampenda umthamini na atakulipa ubaya tu ila akienda kugonga mwamba anahitaj kurudi tena kwako
@jamilashabani85804 ай бұрын
Inauma Palee unapo kuwa unamtu half anakupotezea wakt tu hawasemi Ukwel
@-mwanasato4 ай бұрын
Nakupenda Vic
@DeusdeditCharles4 ай бұрын
Aya
@realchegent16524 ай бұрын
Vicky always never disappoint me ❤❤🎉
@Rebecca-bm6dw4 ай бұрын
Nice
@frankbenedictor4 ай бұрын
2:44
@Dicky5764 ай бұрын
Congrats Nelly blood 💪🏻💪🏻
@user-ic7felix4 ай бұрын
Hapo kunabi ameumia sana😂😂😂
@user-yz2wu9lg6d4 ай бұрын
❤❤❤❤
@RamadhanKengo3 ай бұрын
Siku zote ukae ukijua wanaume niwenye siri
@shamsiyasalim68664 ай бұрын
Ugekweda ofice ya watoto kudai matumizi ya mtoto kuliko hicho uichofanya kumuachamtoto kwa babake ni kosa kubwa sana
@AaIi-qw3ec4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@jamilashabani85804 ай бұрын
😂😂😂😂 unahangaika na viswaswad vya Mjini
@user-qq6mv6vh3e2 ай бұрын
Vicky wa ukweli uyo
@SameripatriciopauloPatri-pv5kg2 ай бұрын
Love you Vic mozambique
@joycemuenimutua45064 ай бұрын
Nelly leo umepatikana 😂😂😂 🇰🇪
@EsterSaidi4 ай бұрын
Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@bucumicargele96094 ай бұрын
Jamani shenaiza Yuko wapiii tuna mumisa sana
@user-vt4vd5rh8u4 ай бұрын
Muvi ya kudanga anaweza huyo! Na Tina wake
@user-zk1sc8fi5p4 ай бұрын
@@user-vt4vd5rh8ummh jamani 😂😂😂😂😂
@user-kf7kb7sn7o4 ай бұрын
Nelly me napenda sauti Yako
@user-bx9ow6xz2p3 ай бұрын
Don't nawapenda sana
@MagdalenaBajuta4 ай бұрын
Toka lin matapishi yakarudiwa.
@Kunambinbnactors4 ай бұрын
jamn mbona akuna ubaya apo kudatena ex wa rafiki
@user-lz8kb9ds8k4 ай бұрын
Da vicky umefanya vizuri sana ❤❤❤❤❤❤❤
@user-rz7kv9pn8m4 ай бұрын
🎉🎉🎉 congratulations donta tv
@user-zk1sc8fi5p4 ай бұрын
Mmh pengine ujaribu ukifanikiwa uniambie pia mm😂😂😂😂😂😂😂
@elizabethmahenzo72204 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉
@jamilashabani85804 ай бұрын
Kampakaa Shomboo
@MOZAHAMAD-xc5rd4 ай бұрын
Kelvin MBN cmuon🥺
@PhilisNabalayo984 ай бұрын
Nipeni likes zangu
@naomnyamoitaosiangochannel55524 ай бұрын
Hahaha 😂😂😂hiii ni kari
@mahirmahir24074 ай бұрын
m ila kunambi nyoko wee kha😂😂😂😂😂😂
@jamilashabani85804 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@FranceaAyo-st7lt2 ай бұрын
Sijaamin jinsi anavyomdanganya vick jaman wanaume nyiee khaa
@wambimwambizo3614Ай бұрын
@donta plus😂😂 brown igiza tu mganga
@user-zb4dy3rv3s3 ай бұрын
Viky hanaga machozi
@user-lz8kb9ds8k4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-pk5ew9nh1f4 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤❤
@shakilasharifa94 ай бұрын
Nelly burauwi 😂😂😂😂
@user-yi6xp4my6w4 ай бұрын
Victoria Asante 😂😂😂😂
@KhadijaShabani-i9jАй бұрын
Ila Braun 😂😂😂😂
@user-rq3yd8fx6r4 ай бұрын
Waomba like mmepotelea wp😂😂sura zenu nyie mmesha zoea naomba like naomba like munaomba kam chakula
@JosephNyahururu3 ай бұрын
Ciy tachi
@ChidofGod44794 ай бұрын
Sara kawachanganya
@user-rz6rd9et6i4 ай бұрын
Mimi nimekua wangapi? Nami naoba like zangu jamani
@PAULINENTINYARI-gi8se4 ай бұрын
😂😂😂😂🎉
@sophianyamvula70804 ай бұрын
❤❤😂😂😂
@Aminaatieno-gz8qk4 ай бұрын
😂😂😂amechovya
@PhilisNabalayo984 ай бұрын
😂😂😂😂😂❤❤
@user-bx9ow6xz2p3 ай бұрын
Nawapenda tonta kutoka oman
@NoelaKk4 ай бұрын
❤furahakenqa6619, 27 min aqo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Nereahneree4 ай бұрын
Huyu ndiye vikii nime zoea dah na penda huyu Dada na kipindi chake apo kwa cinema ❤❤❤❤❤hongera victoria