JERRY SILAA AIKOSOA MAHAKAMA BUNGENI KAMA MAKONDA Atangaza Vita/MATAPELI NI WENGI JAJI AKAMATWA

  Рет қаралды 53,915

 WANANCHI TV

WANANCHI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 156
@aldeamasuki6196
@aldeamasuki6196 4 ай бұрын
Makonda naJeri Mungu azidi kuwalinda nawakubali sana
@Dafetty
@Dafetty 4 ай бұрын
Amiin 🤲
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 4 ай бұрын
Jerry no body can challenge you for this big up son.
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 4 ай бұрын
Jery slaa oyeeeeee ww ni moto k. Mh Makonda 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥🤸🤸🤸
@emc.kiharakatv1948
@emc.kiharakatv1948 4 ай бұрын
Mungu akutunze waziri kazi yako nzuri,wananchi tunakuelewa
@maharagendondo
@maharagendondo 4 ай бұрын
WAZIRI, HAPO TUNAKUSHUKURU SANA WANYONGE,WEWE NA MAKONDA, MKO SAWA MAHAKAMA ZETU ZINANUKA RUSHWA ZOTE NCHINI ZIMA
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 4 ай бұрын
Itoshe kusema mama mh Rais wangu na kupenda mno zaid ya yote kuwaamini vijana Jerrg slaa na paul makonda big up sana. Sasa bada mmoja aliekuq kifungoni
@akidajulius1581
@akidajulius1581 4 ай бұрын
Mheshimiwa , Hizo kesi ninyingi sna, weka namba zako hewani, wengi wanakuitaji lkn hawajui jins ya kukufikia,
@MatoboGachori
@MatoboGachori 4 ай бұрын
Mhexhimia mbuge wetu wa ukonga wazir wetu wa aridh tetea wanyonge mungu atatulipia hapa duniani na juu mbingun
@onelovetz7935
@onelovetz7935 4 ай бұрын
Nakupenda sraa makonda ninyi mmefuzu masomo ya Nyerere na ya Magufuli kwa wenye hakili wanakuelewa vibaraka hawawezi kukuelewa
@bakaryngoneke5606
@bakaryngoneke5606 4 ай бұрын
Makonda aliwambia wakamshambulia sasa wamshambulie na waziri sasa tuona Ukweli unaposimama uongo unajetenga huo ndio ukweli anaepinga aendelee kupinga lakini ukweli utasimama milele yote
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in 4 ай бұрын
Tunataka viongoxi kama huyu,Hilo ndiyo jembe LA ccm ,piga kazi mkuu
@MariamWiliam-z8k
@MariamWiliam-z8k 4 ай бұрын
Iyo niroho yamungu IPO ndan yenu vijanawetu duu jaman Kuna watu waliletwa Dunian Kwa ajiri yawanyonge waooooooppooo mama samia oyeeeeereeerrrrrr
@MariamWiliam-z8k
@MariamWiliam-z8k 4 ай бұрын
Jaman Jerry slaa namakonda nyie ndiobanaaadam Sasa nawapenda vzr sana mungu awasimamie vijana ktk khaki mnayofanya .buruzen mataper hayo mama samia uko juu mama
@Petro.John.
@Petro.John. 4 ай бұрын
Mungu akulinde sana Jery.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 3 ай бұрын
Jembe jingine. Mtetezi wa wanyonge. Mtetezi wa wajane...mzalendo, Huku Arusha tunae Makonda na timu yake, T M U, nitaipambania haki ya watoto wangu, jasho langu na mume wangu, kama ni kufa mbona mume wangu alikufa? Nitakua nimemfuata mume wangu lkn nimekufa kishujaa,I 😭😭😭🙏🙏
@neemanziku5403
@neemanziku5403 4 ай бұрын
Mama Samia huyu Ni kiongoz na nusu tunataka viongoz Kama Hawa
@emanuelmwakikono3702
@emanuelmwakikono3702 4 ай бұрын
mbonaa unaelewekaga sanaa kiongozi
@MariamWiliam-z8k
@MariamWiliam-z8k 4 ай бұрын
Mama samia vijana uliowachagua ndio ccm damdam hawa na ndio wanakusafisha ubaya ulopewa huku mikoan vijijin ulikuwa unapewa lawama zabure mama mungu akurinde kwakukufungua masikio kuleta vijana wanaojitambua
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 4 ай бұрын
Hawa ndo vijana sasa wazalendo najua utakwamishwa na mafisadi Unhana na Makonda kuondoa dhuruma Muro Makonda Mama waunge mkono vijana hawa wasihafifishwé Kama UWT walivyoanza kuhafifisha Kazi kisa eti kuna mwanamke anabanwa na fedha hazionekani
@awadhkannah6587
@awadhkannah6587 4 ай бұрын
Kweli mahakama inatoa hati mpya bila kujali wakati hati original ipo, Tena bila kumshirikisha mjane na watoto wake, mahakama inahalalisha dhuluma kwa kupora Mali ya mjane na watoto wake, Kaka Jelly na Makonda lazima tuzisafishe mahakama kwa kudeal na matapeli wanaoichafua mahakama
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 4 ай бұрын
Jamaa niketokea kumpenda sana na kumfuatilia Kwa kina sana mungu yampennguvu yaendelee kumlinda kiukweli kwenye aridhi zuruma zimekua nyingi tena wenye pesa ndio huonekana wenye haki
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 4 ай бұрын
Mama warudi hawa watu watatu wakuongezee nguvu kwenye utawala wako ili wakusaidie kutatua kero za watanzania mh. Agrey mwanri. Sabaya lengai. Na jeri muro.
@johnmtumishi8554
@johnmtumishi8554 3 ай бұрын
1:28 ni kweli kabisa kabisa una akili sana hongera sana Mh:Slaa nakupenda sana Ndani yako kuna Mungu Mtakatifu. Mungu akusaidie akulinde akutunze akubariki akukumbuke ktk Jina la Yesu Kristo Bwana amina
@AyubuMmari
@AyubuMmari 4 ай бұрын
Mungu akuongee maisha marefu
@henrychacha5592
@henrychacha5592 3 ай бұрын
Hebu vuta picha hii Makonda- Rais Jerry Slaa- Waziri Mkuu Ally Happy -Waziri wa mambo ya ndani HAKIKA WATANYOOKA
@deogratiusdominick8882
@deogratiusdominick8882 4 ай бұрын
Mama kwa makonda safi,, jeri slaa safi, mrudishe sabaya,, wape viongoz majukum na wayasimamie
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo 4 ай бұрын
Ni kweli bro Hawa ndio watu wapenda haki. Wengine ni upigaji mtupu
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 4 ай бұрын
Kwa sasa wanaongoza kwa kung'aa ni Mama Samia, Jerry Slaa na Makonda 2025 tupo
@YohanaRichard-e6p
@YohanaRichard-e6p 3 ай бұрын
Ndugu Jerry silaa , mungu akubariki sana KAZI yako ni njema
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 4 ай бұрын
1 Jeri Slaa 2 Makonda 3AllyHappy Yn hawa watu watatu hata wakikesha mm ucngizi cpati Nondo zinashuka balaa lkn wengine woiii nasinzia 😂😂
@robertzamani5612
@robertzamani5612 4 ай бұрын
Umemsahau Hamphurey Polepole
@OmbeniShoo-kg8dr
@OmbeniShoo-kg8dr 4 ай бұрын
Wanaopora Nchi ni akina nani chungu ni kimoja uchaguzi huo mnajiosha Sasa Ili kuwarubuni maskini muendelee kupiga udalali Nchi masaini, Kia na kwingine mnafunika
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Ni wachache tunajua hizi ni kampeni zao CCM 🚮 wananchi wanarudunika bila kuelewa wanapakwa mafuta Kwa mgongo wa chupa, hii iliandaliwa muda , na huu kwao ni uchochoro wa kupata kura kiulaini, Ile ya nape alisema watafuga golli hata kwa mkono
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 4 ай бұрын
Sasa wananchi wakiona hiv wanaiamini CCM lkn chanzo Cha maovu yote ni haohao kutoka Chama tawala ndio wanyanganyi
@samwelgabriel2175
@samwelgabriel2175 4 ай бұрын
Aliwahi kusema mwanaccm moja kuwa maharaja za Tanzania unapiga simu tu,hukumu inatolewakwa kwa metalware ya mtu
@joancenjosias1296
@joancenjosias1296 4 ай бұрын
Na kukubali sana kiongozi
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 4 ай бұрын
Tunahitaji nchi ipate viongozi kama Hawa vyeo vyote tutaelewana rais Samia changua vijana Wenye uwezo mkubwa wa kuleta maendeleo ktk nchi hii hatutaki bwebwe kwa viongozi tunataka kazi indeleeeee
@RukiJambek
@RukiJambek 4 ай бұрын
Mh jerry salaa tunaomba utasaidie nasie issue vya vuwanja kigamboni. Utapeli umezidi sanaaa Nakukmba mh.
@juliuszakayo6771
@juliuszakayo6771 4 ай бұрын
Acha uhuni mbona serikali inapokonya ardhi ? Hamjikemei Ila mnaqaonea wananchi acheni ujinga
@aminaosman3315
@aminaosman3315 4 ай бұрын
,wakuu mkoa wilaya meya mkurugenzi wote wanajua wamefumbia macho lakini fungal kazi ya zulma mahaka
@JohnKibebah-px8ci
@JohnKibebah-px8ci 3 ай бұрын
Mheshimiwa jerry tembelea mgogoro wa kebweye na keryoba vilivyopo tarime kwa ajili ya kutoa haki
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Asiwepo mtu kuwa inje ya sheria, zaidi ya hapo wote tuko sawa mbele ya sheria.
@nahadimakasi8679
@nahadimakasi8679 3 ай бұрын
mh Mimi kwakwelikaka ninashida nikuone nikupeshidazangu mwenyewe nishachokasasa
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 3 ай бұрын
Makonda vs Jslaa hawa wote ni wazee wa kazi, Mama Samia hawa vijana wape nguvu zaidi kuna watu umewapa vyeo visivyo staili
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Hongera sana Slaa kwa sababu hata hao wanasheria wamekuwa wakitaka. Hiyo sasa mahakama wanacheleswa kweli kweli.
@IsayaShokaulaya
@IsayaShokaulaya 4 ай бұрын
Kweli jeli sikuelewagi kumbe mama samimia alikuwa sahihi kukuteuwa.
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 4 ай бұрын
Hongera sana kwa kutenda haki maana maandiko yasema haki huinua taifa
@lameckrange-ol6uz
@lameckrange-ol6uz 4 ай бұрын
Nyie ndo viongozi ambao Watanzania tunaohitaji Ila sasa mko wachache Sana ee Mwenyezi Mungu walinde viongozi hawa wenye uchungu na Wananchi wao
@veronicamokiwa4315
@veronicamokiwa4315 4 ай бұрын
La msingi kuwaombea Mungu awape malaika wa ulinzi
@DenaDuu
@DenaDuu 4 ай бұрын
Bro Hongera sana keep it up wallah mungu anakuona
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Sisi wanainchi tunanyanyaswa sana. Kwa sababu hatupati haki zetu sana wanakunyanyaswa.
@emanuelmwakikono3702
@emanuelmwakikono3702 4 ай бұрын
mungu akuwee sana uwepo
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in 4 ай бұрын
Tunataka viongoxi kama huyu,Hilo ndiyo jembe LA ccm ,piga kazi mkuu
@maureenmgeni
@maureenmgeni 4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akupe ulinzi imara
@SabinaKassera-cq9lb
@SabinaKassera-cq9lb 3 ай бұрын
Jerry na makonda roh mt amewaleta kusaidia wanyonge❤
@anethmtei2912
@anethmtei2912 4 ай бұрын
Kweli mahakama haitendi haki ni rushwa tu.
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 4 ай бұрын
Mawakili wachawi wengi siyo waminifu kasa suluhu ni kataba
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 4 ай бұрын
Silah Jerry for president ❤
@Dorka12-n7b
@Dorka12-n7b 3 ай бұрын
Waziri siraa pongezi wewe ni mtetezi wa wanyonge na makonda
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 3 ай бұрын
Jeri uko vizuri sana wazili nakuombea sana uinuliwe
@IddiAbdi
@IddiAbdi 4 ай бұрын
Nahiki cha soko la nyuki mwakijua muje ulize wananchi
@harunirashid
@harunirashid 4 ай бұрын
Your so smart asee
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 4 ай бұрын
Haki Iko wapi jameni sabasaba hotel ya Arusha kutoka mwaka 2000 mpaka Leo mwaka 2024 hatujalipwa madai yetu wabunge tusaidie
@kamikazineema1957
@kamikazineema1957 4 ай бұрын
Uko sahihi kaka yangu
@aminaosman3315
@aminaosman3315 3 ай бұрын
,mahakama haisimami haki wasinge wapa mirathi ya marehem janjira walikuwa wakiwadhulumu yatima na mjane na watoto wake waziri WA Sheria na katiba yuko wapi wañyonge wanazul7miwa sana
@evodyMwalyego
@evodyMwalyego 4 ай бұрын
Kiukweli Makonda tumuombee Sana ni mkombozi ,ameletwa kuwakomboa Wana wa Israel tumuombee tumuombeee sanaaaaa
@ThomasiMichael
@ThomasiMichael 4 ай бұрын
Mama tuletee sabaya asaidane namakonda
@mohammedryusuph3446
@mohammedryusuph3446 4 ай бұрын
Mama angu anazulumiwa eneo lakee mbezi
@mohammedryusuph3446
@mohammedryusuph3446 4 ай бұрын
Naombeni namba ya waziri jery slaaa
@SalumChema
@SalumChema 4 ай бұрын
Wazir.njooo.Tanga.korogwe.Tunaambiwa.wavamizi.katika .vijiji.vyetu.toka.mwaka.1975.navijijivinahati.vikovijiji.1.mgobe,msambiazi.lewa.kwambaazi,kalekwa godsheni.na.hukowatuwanarudisha.kadi.za.ccm.fanyahalaka.usaidie.hili.janga.kubwasana.inawezekana.hujui.kinachoendelea.na.Rais.aingilie.kati.watuhatunapakwenda vijiji vyote vinahati na karibu heka 2000.naa.nenda.waziri.japokukupata.live nivigumu lifanyie .kazi
@dominic4727
@dominic4727 4 ай бұрын
Huyu. Waziri na. Mkubari
@msemakweli243
@msemakweli243 4 ай бұрын
Tanzania tungekuwa na katiba mzuri viongozi wapo lakn kutokana na ubovu wake uwezi kufahamu yupi kiongozi na yupi kapi mimi niwaombe watanzania tusipambane kuitoa CCM madarakani bali tupambane kupata katiba mpya viongozi wazuri wapo hila hawana uhuru wa kufanya kazi mfano kama huyo siraa ni bora japo kwenye mkabata wa bandari aliboronga
@ReganRingo
@ReganRingo 3 ай бұрын
Mungu akulinde
@dickisoniryoba3989
@dickisoniryoba3989 4 ай бұрын
Kweli inchi hiii wanaoiqngusha ...ni watendaji wa serekali...umaskin wa tz unasababishwa na wa tz wa chache walio pewa kusmamia lasilimali za wa tz ..
@mohammedabdullah5895
@mohammedabdullah5895 2 ай бұрын
Piga kazi❤
@piusjuma7384
@piusjuma7384 4 ай бұрын
Utatofautina vipi hukumu wakati wwe hauna mamlaka ya kisheria ...na tabia ya kuwaita watu tapeli ni udhalilishaji.wew vita kama nani haujui Sheria yoyote kila siku anatack Mahakama wakati madudu yote yanafanywa na ofs za ardhi
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
Tatizo watanzania Nmezoea kuibiwa😂. Na mmeshaaminishwa kuwa Hii nchi mtu mkubwa mwenye Hela haguswi Wala hasemwi Kwa lolote. Hiyo ndio umezaa uchawa na kujipendekeza. Mimi viwanja vyangu mpk Leo nasumbuliwa na natapeli, mahakama inahongwa kesi haishi na Kila kitu Kiko wazi maeneo ni yangu na nyaraka ninazo. Hujui kinachoendelea wewe tulia
@utambevilla2054
@utambevilla2054 4 ай бұрын
Pole sana mweshimiwa tunajua unamaumivu makal sana mana tayar mweshimiwa amesha kugusa kwenye maeneo yako ya upigaji. Ndio mana povu linakutoka kama lote. Clip moja unacomment zaid ya mala nne daa aisee we noma
@aminaosman3315
@aminaosman3315 4 ай бұрын
,waziri WA Sheria na katiba mbona hafuati mahama zetu zinasaidia kuzulumiwa wañyonge wasiokuwa pesa ,,Leo hospita li ya shifaa inateketea vifaa vya mamilini vina haribika wizara ya inajua kila kitu lakini kwa ,mnyonge Hana haki Allah karim08 eo
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 4 ай бұрын
KWELI KABISA Majaji ni matapeli na mawakili na ARUSHA MTUMISHI WA MUNGU Jerry MUNGU Akutunze Sanaaaaaa
@ShabaniMukose
@ShabaniMukose 4 ай бұрын
Hayo ndio yanayo fanyika mahakamani na ndio mahakama inapeleka nchi ni mahali pabaya sana Hasa kesi za kinamama za kudai Taraka. Kama Familia haiwezi kujenga utu, umoja, upend, huruma, ndio hata nchi haitakua salama
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 4 ай бұрын
Huyo wakili sio yule aliemkosoa makonda wakati akiwa mwenezi kweli? Yaani na kusema kabisa kwenye kadamnasi eti makonda anafanya kaz za mahakama, wakati wao wanapindishapindisha
@JamaliAlly-zy1ff
@JamaliAlly-zy1ff 4 ай бұрын
Uyasemayo utazania nikwl vile kumbe hayatok moyon duuh sawaa ubarkiwe kama kwel umemaanisha
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 4 ай бұрын
Huyu ni mmoja kati ya wanne ninao wakubari Kama viongozi bola na siyo bola viongozi🙏🙏🙏🙏💯
@ShabaniMukose
@ShabaniMukose 4 ай бұрын
Mahakama imefuta baraza la wazee wa baraza huru wawe Huru kufanya mipango ya rushuwa!
@shariffsagaf2305
@shariffsagaf2305 4 ай бұрын
Sijui niseme nini waziri sina la kukupa zaidi ya kukuombea mungu akupe kila zuri wewe na familia yako.
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 4 ай бұрын
Tuiweke katiba mpya,angalia sasa rais anateua Wakili tapeli kuwa jaji,tuiweke utaratibu mzuri wa kuwapata viongozi
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 4 ай бұрын
Mungu akutunze
@abdulbonomali6548
@abdulbonomali6548 4 ай бұрын
Huyu waziri pamoja na makonda pamoja na charamila waongezewe ulinzi
@frankraphael7546
@frankraphael7546 4 ай бұрын
Mh nafurai sana kuona aki ikitendeka kwawananch ila kina chatanda wanataka kuwavunja nguvu
@iddiabdallah7352
@iddiabdallah7352 4 ай бұрын
Sasa yule jaji alisema mambo ya mahakama hakuna matatizo wapo vizuri na mahakimu wao wakati ni watu wa hovyo kabisa hawana moja wala mbili wanatoa hukumu za hovyo wananunuliwa mahakimu
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 4 ай бұрын
Sauti na kauli kama hizi zinatoka kwa wenye mioyo na mikono safi tu
@Boyhoodking
@Boyhoodking 4 ай бұрын
Mwamba huyu hapa sasa, anaakuuujaaaaaaaa.... ( In Rufufu Mkandara's Voice)
@sakibumakoke9197
@sakibumakoke9197 4 ай бұрын
Naomba Mheshimiwa Allah pekee akulinde maana waasi wa Ardhi ni wengi Mno.
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 4 ай бұрын
Taarifa mbona inatofautiana na ile ya Mabula waziri aliepita kwenye mgogoro huo huo
@FrankElias-u9i
@FrankElias-u9i 4 ай бұрын
Kuna makonda alafu kuna ichi chuma❤❤❤❤
@AshaJuma-s7l
@AshaJuma-s7l 4 ай бұрын
Mungu akutangulie katika yote Mheshimiwa Jery Silaa.
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 4 ай бұрын
Kwahiyo Makonda anazidi kuvuna point 3 kila siku?
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 4 ай бұрын
Jerry njoo Pc ROAD endelea hadi mnarani road kuna msikiti umejengwa mpya tu katikati ya barabara.Maji ya mvua yanaelekezwa kwenye makazi. Tusaidie huku serikali haina msaada
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 4 ай бұрын
Huo Msikiti NI wa Mwenyezi Mungu hiyo barabara ndo ihame.
@AshaJuma-s7l
@AshaJuma-s7l 4 ай бұрын
Mama turejeshee, Waziri Gwajima Wizara ya Afya.
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 4 ай бұрын
Kuna watu wanatengenezwa kukudhoofisha
@JoshuaMsaka-f5e
@JoshuaMsaka-f5e 4 ай бұрын
Kuwa Jaji sio Mungu. Wote tusimamiwe na sheria
@matatamatatatours3237
@matatamatatatours3237 4 ай бұрын
Vijana hawa wa ccm Wanafanya kazi Akini WanKwamiishwa na .Fisadi
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 ай бұрын
Huko mahakamani ndio kwenye mabalaa yoote ya dhulma za wananchi.
@piusjuma7384
@piusjuma7384 4 ай бұрын
Wewe si muamizi wa migogoro ya ardhi hacha siasa katika Sheri..jifunze kwa mdkonda ana uelewa juu ya utawala kuliko wew...kama mtu hsjaridhika na hukumu anatakiwa akate rufani
@UrassaPaschal
@UrassaPaschal 4 ай бұрын
Wewe ni bwege nini unaongea
@HajiKassimu-ww5oz
@HajiKassimu-ww5oz 4 ай бұрын
Pata picha makonda raisi waziri mkuu slaa
@IsayaShokaulaya
@IsayaShokaulaya 4 ай бұрын
Wewe wazili mkuu wa makonda baada ya mama samia 2030
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
Diana Belitskay
Рет қаралды 3,9 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 20 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Msukuma acharuka Bungeni #Efatha #kiboko ya wachawi
8:02
MWANA WA MFALME TZ🎵
Рет қаралды 38 М.
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
Diana Belitskay
Рет қаралды 3,9 МЛН