TAHARUKI ARUSHA, MWILI WA ALIYEZIKWA NA KUFUFUKA WAFUKULIWA, JENEZA HALIJAHARIBIKA "NI YEYE"

  Рет қаралды 50,706

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 134
@FilbertHabashi-zn1qu
@FilbertHabashi-zn1qu 10 күн бұрын
Mzeee bana😂😂,, eti ukiniuliza kwa nni,, mmi sifatiliagi majeneza kwenye makaburi... amejibu vzur saaana
@StevenGiven
@StevenGiven 9 күн бұрын
😂😂
@ElimiliusNduhe
@ElimiliusNduhe 9 күн бұрын
Hongera sana Mzee, hakika wewe ni mtu mzma unatoka majibu yaliyoshiba.
@davidjoseph1143
@davidjoseph1143 5 күн бұрын
Hakufa alichukuliwa msukule but alifanikiwa kutoka kwenye kifungo hicho cha misukule.na ipo hivy inawezekan wanajua wachawi hya vzr
@Dipeson700
@Dipeson700 10 күн бұрын
Huu msiba nimeukumbuka,tena Millard alipost😌
@nasrasway7143
@nasrasway7143 9 күн бұрын
Ndio nakumbuka
@Dipeson700
@Dipeson700 9 күн бұрын
@@nasrasway7143 😌😌😌😌
@victorianchimbi8640
@victorianchimbi8640 9 күн бұрын
Ndiyo episode inaendelea
@agnesnicholaus84
@agnesnicholaus84 9 күн бұрын
Si kwamba amekosa habari anatpatia mrejesho wa taarfa ilivyokuwa baada ya kufukuliwa maana tliachwa njia panda
@3leggedbird222
@3leggedbird222 9 күн бұрын
Mi nilidhani hii issue imekwisha
@phinias.zacharia5657
@phinias.zacharia5657 10 күн бұрын
Imejiludia hiii tena 😅😅😮
@madetetv6576
@madetetv6576 10 күн бұрын
Hatari sana hio kwakweli
@pendosailo1989
@pendosailo1989 9 күн бұрын
DNA ndio inaweza toa majibu ya kweli... watakuwa walizika mtu mwingine.. mbona ni simple tu!!
@ibrahimalex4978
@ibrahimalex4978 7 күн бұрын
Wapime vinasaba
@MbwiloJane-jj6hy
@MbwiloJane-jj6hy 7 күн бұрын
Nataman baba yangu afufuke mana siamin kama amekfariki had leo
@LoisoloiTailek
@LoisoloiTailek 6 күн бұрын
Sorry my dear
@dicksonpangani1644
@dicksonpangani1644 10 күн бұрын
Mungu wa miujiza
@irenebeddah6524
@irenebeddah6524 7 күн бұрын
Dah.. kweli nimekuwa nayaona
@themanofGod127
@themanofGod127 9 күн бұрын
Mara ya kwanza mzee mmoja alihojiwa na kukiri Robert kweli anashamba ila hawatampa auze ata kama amefufuka😂😂 leo mzee wa pili ambaye pia ni Baba mdogo wa Robert anadai kuwa Robert hana shamba ata atua mbili ,Sasa mbn kama wazeee wa Boma la Robert mnazidisha sintofahamu???? Na kwa mda uo uliopita tangu Robert kuonekana tutapataje kudhibitisha kwamba kaburi alikufukuliwa na kufanyiwa mabadiliko ili kuzima swala la ushirikina la kutaka kumdhumu Robert shamba ???? Maana Robert anadai shamba na ndiyo chanzo cha yote na yeye kurud????
@Frosita
@Frosita 8 күн бұрын
Nimepata wasiwasi pia na.huyu mzee.manake alijibu jeneza lilivyokuwa wamezoea maana yake nini halafu akageuza kuwa yeye hafuatiliagi majeneza..
@HusseinAmiri-pp8dy
@HusseinAmiri-pp8dy 8 күн бұрын
Nami nina mashaka na maelezo yake ukilinganisha na tukio na uhalisia
@rogatimushi689
@rogatimushi689 7 күн бұрын
Aisee kumbe ulimsikia yule mzee alivyokuwa anaongea kwa panic siku ile akasema hata kama amefufuka hapa hakuna shamba analo dai mm nina wasiwasi hawa wazee ni wachawi na ndio waliomchezea alafu baadae ikashindikana
@Frosita
@Frosita 7 күн бұрын
@@rogatimushi689 Dunia inamengi tusali na kuomba tuu..na maiti iliyokutwa usishangae ni nyingine...ila.wangefukuwa ryt away ile siku tungeshuhudia maajabu
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 10 күн бұрын
Wamezika wamelewa hao,wamechanganya watu hao! Wamzike tena afufukee kulaleki,wanaleta habari za kiboko ya wachawi hapa!
@dicklenny1957
@dicklenny1957 9 күн бұрын
Hahahahahah
@AngelMazola
@AngelMazola 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 8 күн бұрын
😂😂😂😂 dadekkk 🤣🤣🤣🤣 nmecheka kiboya
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 7 күн бұрын
Sasa watu si waliangalia mara ya mwisho wakiaga na wakaona n yeye
@AfricaQueen
@AfricaQueen 10 күн бұрын
🤔🤔🤔✍🏽✍🏽Hii Tunawasiwasi hawa watueleze huyo ndugu yao alipata ajali ni kichwa kilipondeka? Kama ni ajali ni vigumu kumtambua kwa kweli kama ni mali mlicheza mchezo kununua maiti za watu 🤔mumzulumu Shamba ??? Kwa kweli tutajua ukweli wa haya yote mbona watu wa moshi mnaleta mambo ya kutisha jamani huko Kilimanjaro 🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️😭😭😭
@Kutaila99
@Kutaila99 10 күн бұрын
Sikiliza kwa makini wewe
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 10 күн бұрын
😂😂kwanza sio Moshi ni Arusha ​@@Kutaila99
@dizzonofficial2600
@dizzonofficial2600 10 күн бұрын
Nani kakuambia ni Kilimanjaro kuwa Makini ww😂😂
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 9 күн бұрын
Jifunze kusikiliza kwa makini
@AngelMazola
@AngelMazola 9 күн бұрын
​@dizzonofficial2600😂😂😂😂😂😂😂😂
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 9 күн бұрын
Innalillah wainnah lillah rajun daaaaa msiba mzito huu jamn daaaa Dunia hii inaenda kasi sana zaid ya sanaaa mzeeeee aelewi somo yupo yupo 😢
@remigiusrwechungula7047
@remigiusrwechungula7047 9 күн бұрын
Mzee anaonekana kuna ukweli kijana alifanyiwa mazingaombwe
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 8 күн бұрын
Maajabu kwakweli
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 8 күн бұрын
Kwan walivyofungua jeneza wakekuta kitu gan mbona hamsem
@asteriashios1852
@asteriashios1852 7 күн бұрын
Wamesema wamekuta mtu anafanana nae robert
@NeemaMtui-xb1wf
@NeemaMtui-xb1wf 9 күн бұрын
Wakt robert anazikwa huyu robert aliefufuka alikua wapi😆😆
@lucypatrick7830
@lucypatrick7830 9 күн бұрын
Kwani wakati msiba unatengwa mpaka mke sijui anahudhuria ye Robert alikuwa wapi mpaka msiba unaisha
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 7 күн бұрын
Alikuwa ngarenaro
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 10 күн бұрын
Allahu aalam
@mcgabby
@mcgabby 9 күн бұрын
Au walikua mapacha aulizwe vizuri mama yao😂😂
@noahchepe8036
@noahchepe8036 8 күн бұрын
😂😂Sasa mtangazaji unasema huyo ni kijana?
@zedekiahjulius6
@zedekiahjulius6 5 күн бұрын
Issue pombe nyingi
@directorabiero340
@directorabiero340 5 күн бұрын
Arusha mna epsode nyingi daaah😂😂😂😂
@loitengia4217
@loitengia4217 10 күн бұрын
Mwili ukae zaidi ya miezi minne bado haujaharibika duuh
@pendosailo1989
@pendosailo1989 9 күн бұрын
Ajabu... eti ndio yule yule
@3leggedbird222
@3leggedbird222 9 күн бұрын
Itakua mgomba
@husnathabiti4114
@husnathabiti4114 9 күн бұрын
Mwezi
@HusseinAmiri-pp8dy
@HusseinAmiri-pp8dy 8 күн бұрын
Hata nami nmestaajabu
@VionaMuthoni289
@VionaMuthoni289 4 күн бұрын
Wakenya tunajua kuwa watanzania hawakufangi😂😂😂mnazika baadae wanarudi,yaani utazika jirani leo kesho umpate kwako kukuomba chumvi😂😂😂
@Glorydavid248
@Glorydavid248 10 күн бұрын
Sasa hii ni miujiza ya mungu au miujiza ya shetan
@nasrasway7143
@nasrasway7143 9 күн бұрын
Mzee kanichekesha eti afukuagi makabur so ajui
@janethjonas1700
@janethjonas1700 5 күн бұрын
Huyu mzee kuna kitu anajua muangalieni vizuri
@JayUnique-r6c
@JayUnique-r6c 9 күн бұрын
Kwahyo kumbe akufufuka ila wamezik mtu ambaye siye
@JosefuNgasi
@JosefuNgasi 9 күн бұрын
Haya ni maajabu je! Alifia wapi na dactari alidhibitisha?
@AsendeNyota
@AsendeNyota 3 күн бұрын
Meno yalibaki kweny jenezi
@nasrasway7143
@nasrasway7143 9 күн бұрын
Hatari sana
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 9 күн бұрын
Wenda tofauti watu wawili wawili
@chrixyaugust7127
@chrixyaugust7127 10 күн бұрын
Robert mwamba sana😂
@TonyMasterog
@TonyMasterog 9 күн бұрын
Maasai wanafanana sana Hao 😅😅😅😅😅
@MrossoBarth
@MrossoBarth 7 күн бұрын
Mngemleta tu
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 8 күн бұрын
Miezi minne jeneza iharibike??
@irenebeddah6524
@irenebeddah6524 7 күн бұрын
Tutayaona Mengi dunia hii
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 9 күн бұрын
Waxhaga na wa Arusha kwa tamaanya ardhi ni shida. Mbona mbona mapori mengi tuu
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 9 күн бұрын
Huyu mzee anaulizwa swali alafu anazunguka kutoa mazungumzo mengi duh
@jimonmwakalebela9470
@jimonmwakalebela9470 10 күн бұрын
Kijana kwako huyo
@CAPTAINGONLINETV-f2s
@CAPTAINGONLINETV-f2s 10 күн бұрын
Kwahiyo mwili ilivyotoka mochwari haikupelekwa nyumbani,? Na ndugu hawajamkagua ndugu Yao?
@francizzykasowizzy7991
@francizzykasowizzy7991 10 күн бұрын
Atukuzwe MUNGU
@StellaPendaeli
@StellaPendaeli 10 күн бұрын
Mze amenifurahusha na majibu 😂
@SaimonEmmanuel-h9t
@SaimonEmmanuel-h9t 10 күн бұрын
Mbn km munailudia tn habari hio 😊😊😊
@happynessswai3922
@happynessswai3922 9 күн бұрын
Kipind kile hawakufukua ndyo wmeleta mrejesho baada ya kufukua
@FatumaMombo
@FatumaMombo 10 күн бұрын
Mungu mkubwa
@zuberito.worldwide
@zuberito.worldwide 10 күн бұрын
😢
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 9 күн бұрын
Mpimeni damu kujua ndiyo au siyo wenu
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 9 күн бұрын
Hiyo arumeru kiboko kwa matukio.
@asteriashios1852
@asteriashios1852 7 күн бұрын
Sasa huyo robert alizikwa kwenye shamba la nani na km siyo kwao kwanini mumzike sehemu ambayo siyo kwa baba yake ? Inaonekana robert alizikwa kwenye shamba lao yaani la baba yakemtakuwa mmemdhulumu shamba nyie
@EvangelistJsolomonMkwata
@EvangelistJsolomonMkwata 9 күн бұрын
Wezi tu mmesha cheza na akiri za Robert
@melomusictz1079
@melomusictz1079 9 күн бұрын
Huyu mzee anaongea kama mchungaji hananja kwa mbaliiiiiii
@watsbemaofficial
@watsbemaofficial 7 күн бұрын
Pasua kichwa kwakweli😂😂😂
@rosemkeleja7768
@rosemkeleja7768 6 күн бұрын
Walimzika siyo yeye,
@hassanalikombozanzibar1192
@hassanalikombozanzibar1192 9 күн бұрын
Uchawi upo uyo alichukuliwa msukule nyinyi mkapewa gogo mkazike 😂😂😂😂 mlizika gogo jamani
@asteriashios1852
@asteriashios1852 7 күн бұрын
Sasa km ni msukule mbona kaonekana na kaburi pia Lina mtu anafanana
@Fofo-z6t
@Fofo-z6t 5 күн бұрын
Kuna mambo yanaogopesha
@JulvanJulius
@JulvanJulius 9 күн бұрын
Mtangazaji awamu hii umezingua sana, yaani maswali ya msingi hujauliza, Huo mwili uliofukuliwa ulirudishwa tena kwenye hilo kaburi au ulipelekwa wap ? Umerudia kuuliza maswali uliyouliza kwenye Interview ya mwanzo
@EmilianMasheyo
@EmilianMasheyo 9 күн бұрын
Utakuwa hujasikia vzur mbona amesema kuwa mwili waliondoka nao Polisi
@UrassaGodliving-dm3lp
@UrassaGodliving-dm3lp 7 күн бұрын
Wewe tu ndugu hujawa makini polisi walienda kuuzika pasipojulikana hapo wamezika mgomba
@aronmilinga7303
@aronmilinga7303 9 күн бұрын
Hyo anajua kitu, mbon hashtuki jmn . Kwl amezoea geneza kutooza miez 3. Anauzoefu na nn apo?
@victorianchimbi8640
@victorianchimbi8640 9 күн бұрын
Jeneza linaweza lisioze, je binadamu anaweza kukaa miezi mi3 hasioze?
@victorianchimbi8640
@victorianchimbi8640 9 күн бұрын
Mwili ulianza kuharibika police walijuaje anafanana mtu ameshaanza kuoza
@HusseinAmiri-pp8dy
@HusseinAmiri-pp8dy 8 күн бұрын
Fuct
@Pascaltz
@Pascaltz 9 күн бұрын
Tanzania sihami
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 6 күн бұрын
Kwanini hawakufukua ilo kaburi siku ile ile alipopatikana, daaah
@RobertLyimo-vj3up
@RobertLyimo-vj3up 9 күн бұрын
Wachukue DNA
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 10 күн бұрын
Ndugu mtangazaji hao walifananisha 😂
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 9 күн бұрын
Na nyie muelew mwili ukiwa kwenye udngo hauhribiki haraka kama vile ukiwa hewani kwa maana .
@FrankGasper-eq2ui
@FrankGasper-eq2ui 10 күн бұрын
Uyu mwandish wa Millard Ayo akikosa habar bhana anakuja kutuletea mahabar tuliyoyasahau
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 9 күн бұрын
Hiii yakufukua kabur sio mpya wew
@FredyRichard-q5n
@FredyRichard-q5n 9 күн бұрын
Mh
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 9 күн бұрын
Kwahiyo maiti mwezi umefika haija haribika.
@victorianchimbi8640
@victorianchimbi8640 9 күн бұрын
Hapo nimeshangaa na mm
@G-JMK69
@G-JMK69 10 күн бұрын
Mchakato wa yeye kufa hadi anawekwa mochwari ulikuwaje? Aliuguzwa akafa? Walisikia ameuawa? Alipata ajali wakamchukua bila kumtambua? Nani alimpeleka mochwari? Ni ndugu au haijulikani?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 10 күн бұрын
Sikiliza Jamani
@yasintajoseph7495
@yasintajoseph7495 9 күн бұрын
Anzia taarifa ya kwanza
@pendosailo1989
@pendosailo1989 9 күн бұрын
Hawa wamezika mtu mwingine...na may be hawamtaki huyo Robert ndio wanasisitiza aliekufa ni Robert. Yani science iko wazi leo TZ tunazungumza vitu vya kusadikika.
@G-JMK69
@G-JMK69 9 күн бұрын
@@pendosailo1989 inashangaza
@salimlubuva9860
@salimlubuva9860 5 күн бұрын
Itakuwa alikuw na pacha wake. Majibu ya DNA wafuatilie.
@kagembemgalula2092
@kagembemgalula2092 10 күн бұрын
Wameupiga mwingi
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 9 күн бұрын
Na ww unaropoka tu ni Moshi au Arusha
@hamidmussa838
@hamidmussa838 10 күн бұрын
Uwongo mtupu.
@annaayo5303
@annaayo5303 10 күн бұрын
Ni kwel kbsa uyu baba alifarki jmn
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 9 күн бұрын
Eleza wewe ukweli wako,,
@TonyMasterog
@TonyMasterog 9 күн бұрын
Mambo ya mwamposa😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-lr9mg8ij7d
@user-lr9mg8ij7d 9 күн бұрын
Ni uwongo
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 9 күн бұрын
Wee babu weee midlmo.yakobtuu inaonyesha wee muhongo
@eddechriss2664
@eddechriss2664 9 күн бұрын
UNITED STATE OF ARUSHA, USA
@3leggedbird222
@3leggedbird222 9 күн бұрын
Nilidhani ilishaisha
@user-xl5xi1uq9z
@user-xl5xi1uq9z 10 күн бұрын
Wamemzika mtu mwingine
@JayUnique-r6c
@JayUnique-r6c 9 күн бұрын
Kwahyo kumbe akufufuka ila wamezik mtu ambaye siye
@Glorydavid248
@Glorydavid248 10 күн бұрын
Sasa hii ni miujiza ya mungu au miujiza ya shetan
@Pascaltz
@Pascaltz 9 күн бұрын
Hqhahahq ya mungu hiyo
@JayUnique-r6c
@JayUnique-r6c 9 күн бұрын
Kwahyo kumbe akufufuka ila wamezik mtu âmbae siyeye
@JayUnique-r6c
@JayUnique-r6c 9 күн бұрын
Kwahyo kumbe akufufuka ila wamezik mtu ambaye siye
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 50 МЛН
Action News anchor Brian Taff's full interview with VP Kamala Harris
11:20
6abc Philadelphia
Рет қаралды 1,2 МЛН