Makonda mungu akuepushe na mikono ya watu wabaya❤❤❤❤
@charleselijah-vq3hq2 ай бұрын
Mkuu wa Mkoa mwenye wazo ya kutosha safi sana Mweheshimiwa Poul Makonda chapa kazi tu na Kazi iendelee. Ndugu Poul Makonda
@paulinef.millanzinana82792 ай бұрын
Mungu Baba wa Mbinguni azidi kukutunza P Makonda
@dagradaonlinetv2 ай бұрын
Very creative 👌
@YOHANAMADATI2 ай бұрын
Makonda mungu akulinde
@constanciapeter24972 ай бұрын
The Genius is back🎉🎉
@allykwaya2 ай бұрын
Very true
@edwardmakonge69512 ай бұрын
yes👏👏👏
@LizerCurtain2 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu kaka
@arafakhamis33362 ай бұрын
Hongera
@epifaniamilinga28482 ай бұрын
Hongera kwa maono.lengo lako lipate kibali.
@onesmothimos26352 ай бұрын
Mm naamini makonda Bado aja onekana Hadi Leo namkubali sana mwamba yule
@SaidiShahibu-e9b2 ай бұрын
Nakubali mwamba
@MustapherSamson-s6l2 ай бұрын
PENDA SANA MH MKUU WA MKOA, UBUNIFU WA HALI YA JUU.
@RashidTwaha-dm8zz2 ай бұрын
Mwenye akili ya panya hawezi kumuelewa huyu mwamba tunamuomba mungu atutunzie huyu mwamba kwaajili ya Tanzania iliojaa viongozi panya road wasiokuwa nahuruma nawananch wake tungekuwa na viongozi hata kumitu wanaofanana na makonda tungefika mbali licha ya kwamba alivyokuwa mkuu wa mkoa d.s.m walimchafua navingi lakini mpaka Leo hakuna alieweza kuvaa viatu vyake nivibaraka nivibakatu tunamuomba mungu atulindie makonda wetu mafisadi wanaomchukia wafe kabla yake aaaamiiina
@claratemba442 ай бұрын
Very good
@josephsisa81392 ай бұрын
Hongera sana makonda
@AllyHamisi-c7j2 ай бұрын
Aisee akili nyingi na yenye marriage kibao,Allah akuongoze,na akulinde
@yohanemwitumba37112 ай бұрын
Kiongoz safi ❤❤❤❤
@mohamedimuhinga90642 ай бұрын
Ameiyonganisha selikali na wafanya biyashara Kwa njia raisi sana kama kulikua na mtu anawasumbua wafanya biyashara hapo ndio mwisho wao
@AthumaniMdee-d2n2 ай бұрын
Makonda wewe utaipa nafas kubwa sana ccm kanda ya kasikazini kwamapambano hayo
@JoakimMarko2 ай бұрын
Mkuu wa mkoa na NUSU
@JacobmwakituJacobmwakitu2 ай бұрын
🫡🫡🫡🫡
@babarungurallyteam27542 ай бұрын
Mkuu ukweli wewe nikiumbe maalum mwenyezi MUNGU AKUPE UMRI MKUBWA 🇹🇿🏍️
@aishamtaula19592 ай бұрын
Asigombeeatauwawa tunampenda abaki hapo hapo mwakani aje pwani
@ReginaManyangu2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 pwani Tena??
@OptionsLimited-l4s2 ай бұрын
Kuchinja ng'ombe hata mnadani tunachinja kila jumamosi na watu wanajaa wala sio jambo jipya ni la kawaida
@elizabethmakaranga2182 ай бұрын
Uliyefananisha part ya heshima wakuwakutanisha wstu wa aina mbali mbali ili waweze kulisukuma guruduma la maendeleo na ufanisi mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kijamii ,marafiki ,ukafanane na jmosi ya mnadani ,kweli unahitaji kumuona dactari uliyeshughulika na afya za akili yamkini shida inaanza siyo vibay ukajipeleka mapema ,
@OptionsLimited-l4s2 ай бұрын
@@elizabethmakaranga218 Acha porojo huo ni ubabaishajibhakuna Ubunifu hapo
@elizabethmakaranga2182 ай бұрын
Pole kama ww hujaona siye tumeona kwa ni ubunifu mkubwa ,je ww kuwezaaa,hatujawahi kusikia ww umedhubutu kujaribu,acha wivu usiokuwa na maendeleo ,makonda mch ana vibaji kwa hiyo anaendelea kufanya kama mwenyezi mungu anavyomjalia kijana aliye kipenzi cha watu ,onyesha nawe karama uliyonayo ,achana na porojozako
@jeremiadaniel5232 ай бұрын
Daah akili yako fupi sana
@JamesMlingilwa2 ай бұрын
Makonda mi ki ukweli nakuelewa sana hata magufuri alikuamin na kukuambia huu mkoa wa dar ni wako ktk utendaji kuongoza jamii haihitaji elim mi nikuombe mwakan tunakuomba uchukue form ya kugombea urais nazan hapo utatushawishi wengi tukupigie kura
@jonathanmanyaga43572 ай бұрын
Rudi shule kwanza😂😂😂
@DiwaniMwafongo2 ай бұрын
Wenzenu Wala nyama Ng'ombe 200 kwa misifa, sisi maharage ni shida, vijana wetu hawana kazi, hatuna hata Panadol, watoto wakaa chini mashuleni, hatuna maji... CCM wanakula bata kwa Kodi zetu!! Amka nyie mbwa wenzangu.