Mama akistaafu upewe Kijiti uendeleze kazi.. Uko vizuri jamaa Mh waziri chapa kazi 👍
@joelyngomuo74416 ай бұрын
Ni kweli kabisa Kesi za Ardhi zinatakiwa kuundiwa mahakama yake maalum tofauti kabisa na mahakama za kawaida na ziundwe kwa mfumo ambao hauwezi kutumika kwa hizo janja janja za kisheria. Mabaraza mengi ni chanzo cha migogoro yamejaa watu wasiojua sheria hongera sana kaka Jerry .Mungu akulinde daima
@mohamedkitemwe35696 ай бұрын
Asante Sana Mh Jerry Silaa kwa kazi mzuri unayo fanya
@MisMona-oo6zk6 ай бұрын
Msg nzuri sana😊
@EliaMwaipopo-s6j6 ай бұрын
Balua azijibiwi katika ofisi Yako waziri kwa wakati shugulikia ilotatizo watuwengi wanalalamika sana
@JonasKatundu6 ай бұрын
Mh waziri MUNGU hame kufunulia hili mawaziri wengi wa ardhi wali feli kujua hili sababu hawakuwa wafutiliaji migogoro ya ardhi kuhipeleka mahakamani sio kutatua tatizo Bali kuhongeza matatizo maana wao Wana hangalia vie lelezo bila hata ya kufika site vielelezo vinagushiwa mashahidi wa kununuliwa. Humeshindwa kujieleza hata kama haki ni Yako hunakosa. Mahakama zipe kipa humbele mashahidi wanao zunguka eneo la mgogoro Kwa kwenda. Kuliko hushahidi wa makaratasi watu wanagushi. Hayo mahoni yangu
@patricialiveti35206 ай бұрын
Nimekuelewa.
@josephjohn21146 ай бұрын
Nashauri utengezwe mfumo unaosimamiwa na wizara ya ardhi wa maauziano ya ardhi rasmi na isiyo rasmi ili kuondoa double sales. Nadhan itaondoa kabisa hili tatizo.
@msebishimwinyi41216 ай бұрын
Mchapa kazi
@romastasenterprises44476 ай бұрын
Ardhi Temeke ni wasumbufu haijawahi kutokea. Ukifuatilia hatipale utajua hujui. Kwa ujumla watendaji wa Ardhi hasa mkoa wa Dar es salaam ni Miungu watu.
@awazioga18236 ай бұрын
Nikirudi bongo yule mzee wa kichaga lazima abomoe nyumba yake kwani amejenga kwe kiwanja chetu .
@hajimnubi45816 ай бұрын
Jerry nakuombea dua mama asikuondoe ardhi
@suhaadhamed70846 ай бұрын
Yote unayo ongea mbona hukutenda haki km ulivyo kula kiapo kwa mh Raic na Wana nchi kuwatendea haki Ila pale MTAA WA manyema no4 kariakoo kwenye nyumba ya wasia na waqfu kile ndio kiapo chako, watu kudhulumiwa naww hufanyi kitu, ss serikali na mwenye pesa nguvu anayo Nani, fanya kazi yko kwa uadilifu ili mama wa nchi ajivunie ww insh
@zainab82516 ай бұрын
Kwani wewe una mgogoro wa halisi jamani mbona mbona anafanya kazi nzuri