No video

WAZIRI SILAA ANGILIA KATI MGOGORO WA WANANCHI NA MWEKEZAJI KURASINI | WADAI ENEO KUUZWA KINYEMELA.

  Рет қаралды 4,650

RAI TV

RAI TV

Күн бұрын

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa muda mrefu kati ya wananchi wapatao 246 na muwekezaji anayejulikana kama Tanzania Road Haulage katika eneo la kurasini wilayani Temeke jijini Dar Es Salaam ambapo wananchi wanadai kutolipwa malipo stahiki kulingana na uthamini wa maeneo yao mwaka 2008.
Aidha Waziri Silaa baada kupitia nyaraka hizo na kuwasikiliza amewataka wananchi hao kuanzia jumatatu wafike ofisi za ardhi mkoa wa Dar Es Salaam kuhakiki malipo yake ili waweze kuona uhalali wa kile kilicholipwa na kama serkali iweze kuona inawasiadiaje wananchi wake.

Пікірлер: 4
@salmarajabu4712
@salmarajabu4712 Ай бұрын
nimemsikia sarara analiaz juu ya mzee nyamika wakinga niwabaya saana
@salmarajabu4712
@salmarajabu4712 Ай бұрын
Wazirri kinana mtiifu ulie chaguliwa na mungu msaidie yule dada Sara ooa ile nyumba kariakoo mungu atakujengea nyumba peponi
@salmarajabu4712
@salmarajabu4712 Ай бұрын
kazuka mwingine arafati daa mungu awa samehe Malini mtihani
@salmarajabu4712
@salmarajabu4712 Ай бұрын
msaidie mpaka mwisho ili apumzike na hiyo kero ya nyamwika😊
EXCLUSIVE: WAZIRI SILAA ANG'AKA "WATU WAMELIA SANA Kwenye ARDHI"
33:46
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 86 МЛН
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 10 М.
Mũrimũ wa meciria thutha wa kũgĩa mwana; #Kĩmũrĩ
1:41:42