Hii imekaa poa sana , inatangaza pia fahari ya Tanzania ❤
@kassimchuo529017 күн бұрын
All the best INSHAALLAH my lovely team YOUNG AFRICANS nikiwa QATAR
@user-hy3en6vk5f17 күн бұрын
Nawependa sana jeshi langu Mungu awalinde na awape afya njema🥂💚
@MzeewaYanga-hm8jq17 күн бұрын
🙏🙏🙏
@user-ox3ij7ki3t17 күн бұрын
Mungu awe pamoja nanyi wachezaji bench la ufund na viongozi wetu Amen🙏🙏🙏
@godfreysimoni427017 күн бұрын
Niwatakie maandalizi mema wapambanaji wetu💚💛💚💛🖤
@mwajayhaxxan550717 күн бұрын
Allah akawaongoze wapambanaji wetu,, ukawe msimu bora ndani kwa league ya ndani na kimataifa. Kila la kweli wananchi 💗💗
@anonziatamrema17 күн бұрын
Amina
@andersonbruno625517 күн бұрын
Kila la heri young Africans kwenye mandalizi na mazoezi kuelekea msimu ujao Hawepo ata mmoja kumia amen Daima mbele nyuma mwiko 🔥🔰🇹🇿💯
@lukwagopaul657217 күн бұрын
Am happy that pacome and Aziz ki are back
@julianasimon551817 күн бұрын
Mi nimependa yanga kuiongezea thamani nchi yetu, kutokutoka nje ya nchi, walianza kina diamond kutoenda kushut video nje, sasa kambi pia hapahapa, ahsante rais wa yanga Mungu akuweke💚💛💪
@HusseinJumahussein-lf1xk17 күн бұрын
Familia ya furaha💚💚💪💚💚💪🔥🔥🏆🏆
@AmaniOmari-ev2gu17 күн бұрын
Yanga bingwa teeeena❤❤❤❤❤❤❤ mpaka 2030
@catherineamiri985417 күн бұрын
OMG I LOVE THIS TEAM😊❤
@louidaniel994417 күн бұрын
Nmekumoyo asee❤
@hk_ballers17 күн бұрын
We all love this team 💚
@AhmadSahabu17 күн бұрын
Hadi nashindwa nifurah kwa njia gani big up sana
@EvaristJosiah17 күн бұрын
Chama ameanza kung'aa kweli yanga maisha mazuri
@DanieliMzirai17 күн бұрын
Mmh umenichekesha 😅😅😂
@user-ic8oj1fy7q17 күн бұрын
Keki kumi na saba si mchezo 😂😂😂😂😂
@AmanaAmos-hv3yz17 күн бұрын
Hahahaha ❤❤
@user-qn1ot2bx8b17 күн бұрын
Mamae kocha ashaanza kumpa madini chama
@IsaacNkonu17 күн бұрын
Hahaha wapinzan wajinyonge
@chieframadhani497617 күн бұрын
Baba karib.🎉kwa wanainchi utanenepa baba kunaraha zote
@HusseinJumahussein-lf1xk17 күн бұрын
Yanga sc bingwa🙏🙏🙏🙏🏆🏆🏆
@SadajumaJuma-tu2dx17 күн бұрын
Nice
@MohamedibakariBakari17 күн бұрын
Nimeuona ulafiki wa chama na msheli balaa
@SIKUDHANISHIRINITZ17 күн бұрын
Yani wachezaji wanang'ara adirahaa🎉 naipenda sana yanga yangu jamani❤❤
@brightontheogenes509317 күн бұрын
The Biggest team in AFRICAA Nyie hamuogopiiii....
@Purity-l2v17 күн бұрын
😂. Dah tunaogopa
@lucymsheshi587117 күн бұрын
Mambo ni fire pit 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-ql6hg7fy9p17 күн бұрын
Hakika Yanga Sc ni familia moja kubwa Duniani inayotuleta wote pamoja, umoja na upendo ziwe ndani ya timu yetu daima, kwa kila hatua Mungu awe pamoja na timu yetu.
@ShafiiHungo17 күн бұрын
Asante jeshi letu Mungu akupeni afia njema amini toka zenji
@binmohammed717117 күн бұрын
Ligue iyanze naona Makolo washaanza kunenepa
@zeddymourice424917 күн бұрын
😂😂😂😂😂kwahiyo haitakiwa hata kanyama kaziada kaongezeke?
@nehemiakiswaga181917 күн бұрын
😂😂😂😂😂😊
@user-zs4qz4wm2n17 күн бұрын
Umetutabilia mazuri ...ni mwendo wa kunenepa tu zamu yenu kukonda uto😅😅
@mamboshepea888817 күн бұрын
@@user-zs4qz4wm2n Yanga kuna raha jamani...hadi chama katakata😅😅
@yassinchuwa882417 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@user-kp7em6zt1g17 күн бұрын
Jamani kumbe Chama ni handsome hivi jamani na amsemi 💛💛💛💛💛💚💛💚💛💚💛💚 siku tatu tu kanawili
@OmaryzingZing-jd3xm17 күн бұрын
Nawatakia maandalizi mema Timu yangu ya Yanga tuchukue makombe yo tutakayo shiliki Biidhinila by Ronaldo Jr apa flom Bagamoyo❤
@PaulinaAndrea-tk4of17 күн бұрын
❤❤
@OmaryzingZing-jd3xm17 күн бұрын
P1 kazi kazi
@kisaveryraphael43217 күн бұрын
Alooh yanga likes apa✅
@Cuteeeee47717 күн бұрын
Tuliorudia kuangalia zaidi ya mara moja tujuane hapa 😂😂🔰💛💚
@MzeewaYanga-hm8jq17 күн бұрын
Kumbe 2ko weng😂😂😂
@MeryFrancey-fs4qm15 күн бұрын
Naipenda yanga na naitakia msimu mwema one day nataman niitumikie tim yangu from kigoma
@veronicapius347617 күн бұрын
Tulimiss haya mambo😊😊😊
@Purity-l2v17 күн бұрын
Umeona eee❤
@naliakafatuma987017 күн бұрын
MUNGU ni mwema hongera Sana nyote kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
Umeona hesamu wa maan kabisa makolo hawajui kutunza kabisa😂😂😂❤
@MauBonde17 күн бұрын
Wanangu yanga nimetoka kuangalia club bingwa ulaya kuna vitu vingi vya kujifunza ,nawaaminia daima mbele,watoto wa jangwani.muhimu mapambano yaendelee zaidi ya tulipoyaacha,team work ndio njia ya mafanikio ...love u yanga.
@pambaboniface119917 күн бұрын
Asha Ngedele wanakifa 10😅
@zaynabhabib77017 күн бұрын
Mungu ayongoso yanga msimu ujao iwebora ndani na nje hongera sana aziz k kuendelea kubak yanga