Рет қаралды 371
SIMU. Tv
Jeshi la polisi nchini limepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi bilioni mbilikwa ajili ya hospitali na vituo vya afya vinavyomilikiwa na jeshi hilo hapa nchini.