Tanzaniya shukuru Mungu muumba ariwatembereya kupitiya Gwajima ilimufikiye pâle aliwapangiya kufika Gwajima ni zawadi kutoka mbinguni Kwa Wa tanzaniya. Anaye penda tanzaniya atapenda Gwajima Ubarikiwe na Ulindwe Kwa sifa na Eshima ya Mungu Mû Umba
@ashamwandu65723 жыл бұрын
Hakuna siku imepita Mimi bila kumrehemu magufuli wangu ❤️,kwakweli simanzi Sana imenijaa moyoni kwangu,lala salama Baba angu buliyani Mungu akupokee akusamehe kwa yote akurehemu akupe Nuru ya uso wake,ufurahi juu mbinguni siku moja nikutane na wewe nitakuvisha taji la Ushindi Nakupenda daima
@mosesbryson57573 жыл бұрын
Asha unanitoa machozi 😭😭
@faumamakwaia50953 жыл бұрын
Wewe ndugu yangu hata Mimi namuombea fatuma makwaia
@faumamakwaia50953 жыл бұрын
Mesege yako imenitoa machozi
@pilijohn14783 жыл бұрын
Mungu amrehemu huko aliko sms yako ninzur sana mung akubarik tuzid kumuombea magufuli wet
@ashamwandu65723 жыл бұрын
@@pilijohn1478 Amina Inshallah, duwa ni sehemu yetu kuwaombea waliotangulia,hukunasisi tukitengeneza matayarisho ya kuwa siku moja tutawakuta huko,wakati wowote màuti yanakukuta binadamu
@annamtapila57613 жыл бұрын
Hata sijui ni lini machoji yetu yatakoma kukulilia rais wetu kipenzi JPM. Ulitamani kuiona Tanzania inayong'aa kimaendeleo na kutufanya tutembee kifua mbele mbele ya uso wa dunia tukiyatarajia mema mengi mbeleni kupitia wewe. RIP our hero.😭😭😭😭
@sulleshdaudi78243 жыл бұрын
Gwajima Gwajima Mungu akulinde Sana Mungu akupiganie niwew pekeake ambae hujamsaliti Rais wetu, Raisi wangu mpendwa Raisi John pombe magufuri Naamin alipo magu anajivunia wew hayo makofi hapo mengi niyawanafiki tuuu leo tunawaona Waz Waz masiki wa fikra
@dominickndomba44743 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Magufuli wetu nashindwa kuendelea kuangalia kwa kweli roho yangu inaumia sana .Huko ulipo Magufuli wetu nchi imepoteza muelekeo kabisa
@angelsylvester47953 жыл бұрын
Duh Asikofu Gwajima Mungu akutunze tunakuombee sana maana wewe ndio umebaki na msimamo wa magufuli sio viongozi wetu wanafiki walio kuwa wanapiga makofi leo wanakuzomea na kudhihaki mambo uliyo yafanya ila tunawasubiri wabunge 2025Jpm bodo unaishi kwenye nafsi zetu wazalendo wa kweli baba mie nalia kila siku hakuna siku inayopita kinywa changu kisitamke mema yako uliyo yatenda katika taifa letu pia nakuombea mwanga wa milele ukuangazie daima nilikupenda na nitaendelea kukupenda hata kama haupo baba yangu😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏💔💔💔💔💔💔💔💔💔
@sifajacky77793 жыл бұрын
Subhanah Allah 💞Allah Akbarr 💞 napenda sana Gwajima 😍 he is a second Magufuli in Africa 🌍. his speech and conference that he have ,shows how much he loves motherland you are the future hero Inshaalllah 🤲🏻❤💞❤👑🔥💥
@ahmedsultan85613 жыл бұрын
Inamaanisha unapenda dhulma au sio?yaan watu waliodhulumu na kuua na kuteka ww ndio wapenzi wako? subhanallah
@hilalmohd89413 жыл бұрын
genius man viva gwajima
@twaliathandrea66103 жыл бұрын
@@ahmedsultan8561 una uhakika au unajisemea tu hivi nikwann mnapendakufata mikumbo. Hao waliouwWa walirud au walikupigia cm ukijakujua siyo Jpm aliehusika
@marthamaguge82043 жыл бұрын
Pambana baba namkumbuka Sana magufuli mpaka machz yanapita tunaumia Sana kwa vinavyoendelea mungu kakupa ujasili wa kutuelimisha gwajima wetu tuko nawe
@halimakihongosi9243 жыл бұрын
Nampenda Gwaji boy jamaniii, ana confidence yani yupo smart aiseeeee😙
@peterselestine99603 жыл бұрын
Umeona ee
@jacobstephanonaziadi47243 жыл бұрын
Mzalendo wa kweli hujawahi kuwa mnafiki gwajima long life mjombaa
@endrewmponda67173 жыл бұрын
Nina mkukmbuka sana Rais wangu John Joseph Pombe Magufuli kwa mazuri yake yote Mungu akuketishe kwenye kiti cha enzi mbinguni.
@ericyuxuf96393 жыл бұрын
Jamani bila unafiki JPM alipendwa Sana na watanzania
@makongoronyerere25953 жыл бұрын
Jpm nilikuw xipend ila baadae nikaanza kumuelew naku mkubali kifo chake kimeniuma xna
@hawamabira14993 жыл бұрын
VIVA 🙌🏼 JPM
@ahmedsultan85613 жыл бұрын
Hakua anapendwa,ndio maana hata uchaguzi aliharibu 7bu alijua km hapendwi Ila anaogopewa,alikua anajua100% kua kwa tume huru hawez kushinda uchaguzi
@hawamabira14993 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Tumezungumzia Wa Tanzania co Wapemba upo?
@ahmedsultan85613 жыл бұрын
@@hawamabira1499 yaan ungesema watanganyika, yaan inaonesha hukwenda shule kbsa,hujui tofauti ya Tanzania na Tanganyika.
@g-luwetv13773 жыл бұрын
Gwajima akiwa raisi najua mimi yakua anaweza akawa ni mtu aliyeletwa na Mungu akawe next president.
@sureboyofficial64733 жыл бұрын
Gwajima
@divaimafuru13342 жыл бұрын
watanzani mnayumba sana Gwajima tena😥
@margarethsolomon98232 жыл бұрын
@@divaimafuru1334 Taja wa kwako. Sisi tunamwona Gwajima na Majaliwa kasimu
@michaelbwoma27603 жыл бұрын
"Tufani imekoma katika nchi sasa ni majira mapya" haya maneno Askofu Gwajima yananifikirisha kila siku
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Sijui kama tutapata Raisi kama Magufuli tena nchini Tanzania.R.I.P JPM 🙏🏽 🇹🇿
@wadeelegbogun30153 жыл бұрын
JPM TUTAENDELEA KUMKUMBUKA DAIMA 😭😭😭😭😭😭
@balyvelentine48773 жыл бұрын
Pumzika kwa amani JPM daimaa tutakukumbuka😭😭😭
@simonitolya80293 жыл бұрын
Yeah,I real miss my beloved president He has been a blueprint of this Nation since day one,may God rest your soul 4rever😭😭
@edwinalexander11703 жыл бұрын
Wote wamekuja kuwa wanafki wamemgeuka magufuli na kuchukua chanjo, Askofu Gwajima peke yake ndo amesimama na misingi ya magufuli juu ya chanjo.
@evelynebwire76843 жыл бұрын
Na polepole pia hazitaki CHANJO
@vitalresspeter72953 жыл бұрын
@@evelynebwire7684 pia na mimi sizitaki
@Anonymousy4513 жыл бұрын
Acha wehu UHAI wako ni mali yako sio ya mwanasiasa yoyote yule chukua tahadhari
Honestly Tanzania has a future, if Gwajima is alive, Magufuli will always be remembered
@sureboyofficial64733 жыл бұрын
Sure
@SuperEcholima Жыл бұрын
Hivi mnajua Gwajima ni Msaka Tonge?
@jeffkonki82793 жыл бұрын
Kama yupo hai eehe mungu walioidhurumu nafsi ya huyu mzee mpenda haki tunaomba utende jambo
@c.bproduction25763 жыл бұрын
2025....I SEEE PRESIDENT GWAJIMA....CCM MSIMSAHAU HUYU NIJEMBE.
@mzeewavibedr.40323 жыл бұрын
Hakika Gwajima Ana kila sababu ya kuipigania hii nchi anayomengi sana ya kusema.
@RopaiOnlineTv3 жыл бұрын
Wewe tupo wote daima tutakueshimu sikuzote magufuli wetu
@eliassospeter3 жыл бұрын
KUZIGEUZA FALME ZA DUNIA KUWA ZA MWANAKONDOO "" NILIWAHI KUSEMA GWAJIMA ATAKUWA RAIS BEFORE HAJAWA HATA MBUNGE" LEO MBUNGE KESHO NAMUONA NI RAIS WA NCHI HII WEKA TUNZA MANENO HAYA✅✅
@vitalresspeter72953 жыл бұрын
naungana na wew siku zote Aman
@mariamdaudi23153 жыл бұрын
Amen naiwe hivyo
@maikomwaryobawaryoba38043 жыл бұрын
Tunaomba sana iwe hvo
@classicwaisala66773 жыл бұрын
🤝
@samtajiri6933 жыл бұрын
Nitafurahi sana akiwa Raisi namkubali na nina mpenda toka moyoni huyu jamaa
@luckygmdegela84773 жыл бұрын
Daah ,, Rais wangu yaani sito kuona tena aisee ,, kweli hujafa hujaumbika , lala salama Dr john pombe magufuli, yote ni ya Mungu tunamshukuru kwa kila jambo.
@jacklindickson34233 жыл бұрын
Nampenda sana magufuli mungu amlaze mahali pema pepon amina
@lazarombuze97763 жыл бұрын
NATAMANI KATIKA UZAO WANGU ATOKEE MTU KAMA JPM
@nellhaule3033 жыл бұрын
Hatamimi namwombamungu
@fatmaally72523 жыл бұрын
Mungu atubariki sana tunao tamani ni wengi
@angelamarlow5103 жыл бұрын
Aminaa!! Mm ninataman kumuita kwenye uzao wangu huyu Jemedari wa Africa Dr maguful maana nimekuwa nikimuota mara kwa mara na mbaka Leo nina uzuni mwingi moyon mwangu
@latifamohamed51723 жыл бұрын
Nimempenda hapo alipoangua kicheko, ila nimejisikia uchungu pia mpaka nikaangua 😭😭😭😭😭😭😭
@beaststar45273 жыл бұрын
Sijui Kama mahali alipotoka mh magufuli kuna mwingine Kama yye nitamuomba Mungu Sana huo udongo uliotumika kumfinyanga basi kwa ajili yetu watanzania basi apakumbuke na atuumbie magufuli mwingine tumekumis saaana mh rais JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI pumzika kwa amani mzee
@nemambelwa1423 жыл бұрын
Jamani nacheka huku nalia Gwajima ananichekesha huku nikikumbuka hivi sasa hatunae tena Mpendwa wetu Magufuli naumia Sana ila namuomba Mungu aje ampe Uraisi Gwajima ndo matumaini yetu kwa sasa yy asiyekua mnafiki baada ya Magu kututoka
@silvamsophe43923 жыл бұрын
Naumia sana ninampo mkumbuka baba yetu magufuli kipenzi cha watanzania alituacha tu hivyo bila kutimiza ndoto za watanzania kweli ilituuma sana mungu tusaidie gwajima awe raisi wetu yeye ndie anauwezo wa kututetea
@ninayeekson13673 жыл бұрын
Tunakukumbuka baba gwajima big up
@mdmahammad3278 Жыл бұрын
Mungu alilaze roho yako mahalipema peponi
@albertinamichael61233 жыл бұрын
Mabeberu wa ndani na nje ya nchi wasingempenda JPM.
@brightnessmtigandi67553 жыл бұрын
Kwanza alikuwa hana shida ya kupendwa alijali Nchi inanyoka,mm bado Rais wangu ni Mungu na Magufuli
@salomenathan77053 жыл бұрын
Gwajima umetishaa..miss you My president
@furahasanga25343 жыл бұрын
Dunia imejaa wanafiki tu Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanania Amen.
@lameckmwamgiga17073 жыл бұрын
Nakosa maneno mazuri ya kusema. Mungu akurehemu JPM
@josephkatondo65483 жыл бұрын
Binafic nampend xana gwajima 2025 akija nadhan anafaa sana yn JPM Lala xalama raic wetu
@fidelslick20863 жыл бұрын
Mungu amueke pahali pema peponi Marehemu Magufuli...Yaani ata ukimuona anatabasam roho inauma
@itiamekimbui7223 жыл бұрын
Musa wa Africa aliondoka lakini tunamshukuru mungu Joshua yuko na sisi(baba askofu. Ngwajima) 🇰🇪
@mzeewavibedr.40323 жыл бұрын
😷😷😷😷😷😷😷😷😷imeniliza jamaniii😷😷😷😷😷😷JPM Wangu😳😳😳😳😳Gwajima Wangu😥😥😥😥Tusimame BABA .
@rahmaramadhan97733 жыл бұрын
MAGUFULI WETU JAMANIII😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭MUNGU AKUPUMZISHE SALAMA HUKO ULIKO BABAETU TUNAKUMISS SANA JAMANI😭😭😭😭😭😭😭😭
@ancyfridaprosper86333 жыл бұрын
Rest in power JPM.we will always miss you!
@jumaabdalla37983 жыл бұрын
Tangu afariki hayati jpm tanzania imepoteza dira
@estermpagama96642 жыл бұрын
Magufuli Mungu akulinde akuhifadhi tutakukumbuka tulikupenda ila Mungu alikupenda sana
@farajampembeule65183 жыл бұрын
Yani mzee magufuri sikumuelewa mala yakwanza lakini alikua kuhani na mfalme kweli kweli mungu usiache kutupa mtu kama huyu tena
@BarakaMaziАй бұрын
Hakika watanzania hatusahau makubwa yaliyofaywa na raisi wetu JOHN POMBE MAGUFULI, siku zote alimtanguliza Mungu mbele na inchi yake kwanza hakika hii ni lulu ya tanzania 🇹🇿 hata kama hayupo lakini sauti yake inasikika bado kwa watanzania ❤
@margarethsolomon98232 жыл бұрын
Ila Askofu Gwajima hakika mara zote umeishi katika kusema ukweli na kweli utakuweka huru. Ni kweli mabeberu hawakumpenda na hawakumkawiza. Huwa nalia na kusema Mungu ni kwa nini uliyaruhusu haya yatokee? Unisamehe Mungu wangu, sikusahihishi ila ni maumivu hunifikirisha hapo. 😭😭😭😭
@ziongate54643 жыл бұрын
Hakika udongo umekula kiongozi yote ni kazi ya Mungu haina Makosa . Honestly Tanzania has lost a future without Magufuli and All africans still loving now and forever, Magufulication is alive, Magufuli will always be remembered as a heros of Africa
@pitargamba92083 жыл бұрын
Yani jamaa huyu akiongea najikia fahari kuzaliwa Tanzania
@misheckmwambogoro58783 жыл бұрын
Gwajima baba nakupenda sans nakuombea kwa mungu wewe soon msaliti umeyabeba maona
@timboxlee9193 жыл бұрын
Nchi umeacha hela nyingi sana, wenzako wanajirusha Sana,
@@eliyajeremia1447 mtu amepitisha bajeti juzi, na imeanza kutekelezwa kuanzia mwezi wa 7 leo ni mwezi na wiki kadhaa unataka kuona miradi mikubwa ndani ya muda mfupi wakagi magufuli aliyafanya ndani ya miaka mi 5 na miezi kadhaa tusubiri mwakani tumuulize sio sasa tunamuonea
@joshuanyonyi33132 жыл бұрын
Mnafiki karibu na Doctor Mwinyi Hapo alikuwa...na lake Magufuli R.I.P Bora Makamu wako ungelimchagua Abas Mwinyi....
@masakatalentuganda90403 жыл бұрын
We miss you much african son....Magufuli Pombe
@yusuphkayoka54523 жыл бұрын
Gwajima anajijua kuwa ni Jabari, anaacha uambikizo Kwa wabunge wengine wajione ni majabari na wafanye kama majabari, anaposema "muheshimiwa raisi wabunge wako ni majabari lengo ni kuwaumba wawe kama Yeye".
@jeshimungiki57933 жыл бұрын
Wanafiki wanashangilia kweli wakati wameshatusaliti
@secilianyandindi52583 жыл бұрын
Wanafki weng hapo
@amosjuma45363 жыл бұрын
Kabisa
@sureboyofficial64733 жыл бұрын
Me nawalaani mpk MAGUFULI atapokuja tena
@abdulkilala98453 жыл бұрын
Ngwajima ww ndo kimbilio letu Jamn daaaaaah
@zacharianicodemas1843 жыл бұрын
Watanzania kama TUNATAKA 2025 Gwajima achukue nchi aunde chama Cha Wazalendo hapa nchini ukweli CCM haitaona ndani fala CCM wa saivi ww CCM ilikuwa ya JPM tu 😭😭😭😭😭😭
@fintanmkesha10773 жыл бұрын
Tnampa kura zote
@eliassamson6173 жыл бұрын
Pamoja sana. Mungu no mwema.
@ashamwandu65723 жыл бұрын
Niko tayari KBS
@jacobstephanonaziadi47243 жыл бұрын
Daa kama mko live tabaasamu la JPM linaumiza sanaa Mungu mwema akurehemu akupumzishe salama Baba etu
@matayomabiba78223 жыл бұрын
Ni kweli mbwa tulibweka akatutupia mawe Ila hakufika safari, poleni sana msitutupie mawe Gwajima wewe ni NABII
@khadijaabdallamasoud76903 жыл бұрын
Magufuli alikuwa akihutubia Dunia nzima wanafatilia hutuba yake😭😭 leo imebaki story tu
@joharijohn70053 жыл бұрын
KWASABABU hakuna chamaana kinachoongelewa
@nintunzeloic99903 жыл бұрын
Can only cry..how long are we going to submit to western slavery over us and through ourselves??RIP magufuli
@Peace-x6s27 күн бұрын
Who is here in December 15,2024 RIP- JPM😢😢🙏🙏🙏🙏🙏
@deogratiuskweka84883 жыл бұрын
😢😢 tuliombee taifa tu!
@zariadunia63283 жыл бұрын
Askofu Gwajima ni hataree tunakupenda sana
@samwelipima37953 жыл бұрын
Jpm umetangulia tangulia kwa amani njia yetu sote nyuma yako twaja ulikuwa mzalendo wa kweli uliwapenda watanzania kwa dhati pumzika kwa amani
@joharijohn70053 жыл бұрын
Daah yani bungeni kwa mara yakwanza unaongea point kuliko wamiaka mingi
@robsondalink62063 жыл бұрын
Nimekuja kuwasikiliza walomsaliti MAGU na leo wanataja GWAJIMA AKAMATWE🙄
@jossymawila38753 жыл бұрын
NASHINDWA KUJIZUIYA NISEMENINI KUH. JPM
@francismigongwa41463 жыл бұрын
RIP MH JPM MWENDO UMEUMALIZA IMANI UMEILINDA NAAMINI HUKO ULIKO UNAONA WANAFIKI WAKO LIVE
@annadotto24293 жыл бұрын
😭😭😭😭lala salama baba daima nitakukumbuka sana
@nangukidasu80403 жыл бұрын
Kweli mabeberu hawakumpenda.
@gasparlubaga58663 жыл бұрын
Gwajima is a King
@danielmpole95083 жыл бұрын
Chapa kazi Pastor
@missmrs8293 жыл бұрын
Nammiss sana Magufuli 😭😭😭
@shirimaoliva76953 жыл бұрын
Munguu saidiaa Tanzanian
@nicksonjackson91703 жыл бұрын
Daa mzee wawatu jaman mungu anawaona
@benjaminjoseph17473 жыл бұрын
Kwakweli Mungu anawaona. Machozi yetu na sala hazitowaacha. Pumzika pema JPM
@rithersospeterkati2303 Жыл бұрын
Amen Amen wote.
@sidodeni34683 жыл бұрын
dah mungu azidi kumlinda huko aliko ipo siku tutaonana
@selemanally6502 жыл бұрын
Ssa n mtabli au askofu maana mungu ndio anaejua ya kesho c binadam
@edwardmakonge33713 жыл бұрын
pumzika kwa amani raisi wetu magufuri.
@leilathomas49503 жыл бұрын
Naumia sana
@amanichazy40473 жыл бұрын
Serikali ya magufuli iliyosimama sio sasahv kelele na mabishno
@mohamedmwinyi2133 жыл бұрын
JPM Tuta kumiss sanaa
@phrases_lyrics3 жыл бұрын
Kama mmegundua Magufuli amekaa kwa unyenyekevu sana utafikiri si Rais hakuwa mtu wa majivuno yule baba RIP MY DADDY
@jamesshao5383 жыл бұрын
Kama sija comment nitakuwa mnafki Kama zuzu ndungai,Magu was The Best president ever
@emanuelandedela27713 жыл бұрын
Mungu makusudi yako hatuyajui. Lakini bado tunalia hata sasa
@fatmaally72523 жыл бұрын
Ingekuwa mungu unaweza kumuomba na kuturejeshea mtu bc wengi tungeomba urudi ila ndo haiwezekani pumzika kwa amani baba magufuri
@andjelanikandolo60463 жыл бұрын
Baba yangu umefanya kazi nyingi Africa lala salama
@brightnessmtigandi67553 жыл бұрын
Tanzania nzima kabaki Gwajima peke ake mwenye mdimamo hata Magufuli anamjua
@saidhamis21613 жыл бұрын
Gwajima jabali la kawe
@zariadunia63283 жыл бұрын
Nampenda sana Gwajima
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Now day's Gwajima is not same as he used to be.
@rahimmarions57123 жыл бұрын
Wanafiki wengi sana.. Hapo wanapiga makofi tu na kina visokwinyo wanaungua tu rohoni,leo hii wametusaliti
@nsiaelieza95683 жыл бұрын
Mnapiga makofi ya uoga, mbona sasa baada ya Magu kufariki mmebadilika?
@christinajackson60143 жыл бұрын
Wanafiki wanashangilia
@mzeewavibedr.40323 жыл бұрын
Kaka Walio kuwa wakipiga makofi Leo hii ndo wanao mpigwa Gwajima😥😥😥😥😥
@eliyajeremia14473 жыл бұрын
Hawa niwanafiki hata huyo mwanamuke angalie hao wano mupigia makofi nakumutetea awaangalie inchi hii imeja wanafiki wengi sana
@brightnessmtigandi67553 жыл бұрын
Umeona walivo wanafiki hawana akili
@SM-fu1yv3 жыл бұрын
Tuta mkumbuka shujaa wa Tanzania na African kwa ujumla
@selemanmoses13103 жыл бұрын
Dah Magufuli kama utani...😭😭😭
@selemanimaulidi60593 жыл бұрын
Leo hamuezi kuangalia hata hizi kumbukumbu mpaka munamuazibu gwajima bila kosa mungu atawalipa kisha atamsimamia gwajima na watanzania kwa pamoja mungu atulinde na janga lililopo.
@ommymvlas2852 жыл бұрын
hiki kilikua chuma kilishangiliwa kwa nguvu zote r.i.p magu😭😭😭
@gloryenock94733 жыл бұрын
Tufani imekoma katika nchi sasa ni majira mapya ulifunuliwa baba
@francendele20233 жыл бұрын
Kipaji
@directorhanstv7073 жыл бұрын
Gwajima gombea urais takupa kul yangu
@neemakapasi77513 жыл бұрын
Hakika nakumisi J P M pumzika kwa amani baba ila tanzania imepotea haina muelekeo sijui hata tunakwenda wapi mabeberu wamerudi kama wote eemungu tuhurumie watanzania
@marthamahangula93273 жыл бұрын
Baba Magufuli wote wale wamekusaliti.kasoro Baba Gwajima tuu yupo upande wako
@frankkikambako92813 жыл бұрын
Na Polepole pia
@yusuphjonathan29703 жыл бұрын
Skuiyo walikuwa wanashangiria kumbe wengi walikuwa wamehifadhi chuki moyon