Mungu simama na mtumishi wako gwajima asizulike maana ibirisi anachunguria simama yesu Amina
@ramadhannyangu72673 жыл бұрын
Mweshimiwa gwajima uko vyema mno mungu akupe afya njema ili uzid kutuelimisha zaid na zaid me mi kama mi binafix gwajima.nimekuelew kiundan zaid mungu akubafik na endelea 2 kusema ukwel mwasho mwisho mweshiwa.🙏🙏🙏🙏
@mlasinyongolo32563 жыл бұрын
Mungu akupe nini Askofu Gwajima. Akulinde na akupe maisha marefu Baba Mchungaji . Mungu akutawale zaidi .
@stellandossy81073 жыл бұрын
Asante baba mungu azidi. Kukupalilia naroho mtakatifu azidi zaidi na zaidi kukufunulia,
@frankkaiza36583 жыл бұрын
Gajma oyeeeeeeeeeeh una uchungu cn na 🇹🇿♥️♥️♥️wengine wangekua kama ww kesho tungepata katiba mpya we kichwa gajma uko vzr kuliko mungu ana kulinda na kukusmamia kazi yko gajiiiiiiiiiimaaaaaaaaaaaaaa noooooomaaaaaaaa oooooyeeeeeeeeeeeeeeeee love your spech gog bes u gajma⛪👏👏👏👏👏
@joycemacha82653 жыл бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu na akupe maisha marefu askofu Gwajima.
@frankyjohn96293 жыл бұрын
Gwajima anaonekana kama anamuda mlefu katka bunge la tanzania big up sana
@bonijames39733 жыл бұрын
Good good good
@aishadaud44533 жыл бұрын
Ongea baba
@somoeomari5623 жыл бұрын
Nakupenda gwajima Kama nilvyompenda marehemu magu. Ukiongea wewe na msukuma, nafarijika Sana.
@gracerosi61793 жыл бұрын
Kweli kabisa hawa watu wanatuelimisha ngozi nyeupe hawa sio watumaliza nia yao wabaki wenyewe
@amosthomas26093 жыл бұрын
Wengine wanna misimamo ya kuigiza
@husnamanase39433 жыл бұрын
Asante askofu kwaufau wako mzuli nakufamu matatizo Yaafya zawatanzania ila unapigwa mbuzi gitaa hawajifahamu ata umejitaidi kuwafahanisha ila wameweka mbele misaada kuliko ubinadamu watanzania askofu mungu akulinde popote ulipo wameshingwa kuleta chanjo zakasa ukimwi je wanatuletea chanjo zakolona sijui wanawaza nini
@atupakisyemoses80632 жыл бұрын
Binafsi ninamtukuza Mungu kwa ajili yako,yaani uwepo wako bungeni ni kwa wakati sahihi mno,MUNGU wetu aliyesimamisha mbingu na Dunia kwa neno tu azidi kukutumia kwa ajili ya watanzania wengi,🙌🙌🙌I salute u
@mamumi4293 жыл бұрын
You are so intelligent gwajima we need more people like you inorder to save lives of Tanzania's. May God bless you Amen
@davidchoma95453 жыл бұрын
Wajulishe baba ili wapate uponyaji.Tumkumbuke yona kwenda linawi kuwaambia watubu namungu ataiponya dunia amen, god bless you.
@chidasedalupaa79773 жыл бұрын
Mwenye masikio na asikie!! hakika nimekuelewa vyema.
@sabinashabani11653 жыл бұрын
Gwajima nakupogeza sana unahakiri kubwa sana na yakutaka kusaidia nch yetu mungu akubariki sana
@euverusjohn5393 жыл бұрын
Daa mungu wangu wa izraeli nakupend sana nataman nisikutende dhmbi mpak nakufa naomb niweze coz najua wewe ni muweza wa yote nMpenda sana gwajima n.a. mungu umlinde sanasana shujaa mwingine tena gwajima tupo nyuma yako amen
@lettyleo30763 жыл бұрын
ur my inspire Gwajima lazma niingie katika siasa kupigania haki za wengi
@lameckbinigo28973 жыл бұрын
Nimehamini Mungu uwa anamakusudi wewe ndiye mkweli mwenye uwezo wa kupinga chanjo ya mpinga kiristo asante gwajima
@seerinte83863 жыл бұрын
Asante sana mungu akujalie hekima kwa busara unazotumia bila kujali hawa wanaotaka kutumaliza mungu akuzidishie ulinzi tupambanie mungu mbele shetani ashindweee
@musaluguve35893 жыл бұрын
Nakubali sana Gwajima.umeongea point sana.Mungu Akubariki sana. Mungu yupo juu yako.
@kdpretoria7803 жыл бұрын
Akili za Ngwajima zinafanya kazi kuliko viongozi wote wa Tanzania.
@despnawilliam28893 жыл бұрын
Kweli kabisa,we ndo ungekuwa rais
@revocatusmussa32193 жыл бұрын
Akili za ngwajima nizr
@jameskiduko15613 жыл бұрын
Gwajima upo vzr bwana
@irenepaul84483 жыл бұрын
afhali mway
@irenepaul84483 жыл бұрын
ww uko vizur
@edsonbalige37023 жыл бұрын
Safi Sana kiongonzi umeongea kwa hekima na busara mpaka ata mtu yoyote amekuelewa sanaa God bless you Asante Sana, umefumbua vichwa vya watu
@magrethpius85663 жыл бұрын
Asante sana baba Mungu wa mbinguni akubariki sana
@ggcrank62643 жыл бұрын
Huyu Archbishop bishop namkubali sana anajua vitu sana I appreciate the GODs service Reverend.
@kimewakamoviesproducts6093 жыл бұрын
Hiv hao viongozi wengine wanawaza nn wameinamisha vichwa tu hongera gwajima mungu akuwezeshe
@eliezamwasongwe68693 жыл бұрын
Thanks gwajima tuliihi kwakmtegemea Mungu tukaishinda corona now wanataka tuishi kizungu kumaliza kizaz cha mwafrika
@aotv77863 жыл бұрын
Aisee Gwajima nimekubali nimekubali, Mungu azidi kukuongoza na kukubariki pamoja na viongozi wetu wote
@ghanimaali7263 жыл бұрын
Big up salute mheshimiwa ngwajima umewaacha hoi walio na mtazamo wa papo kwa papo nakuaminia zidi kutukomboa
@rosemongi52733 жыл бұрын
Aminaaa mbunge wetu Ngwajim kwa ufafanuz nzuri kubusu chanjo ya coronavirus, Mama Samia upoooo kaz kwako.
@abellutonja45893 жыл бұрын
Kubusu chanjo
@mdoman22233 жыл бұрын
@@abellutonja4589 😂😂😂😂
@hassansemwali84703 жыл бұрын
Ndomaana mzee magu kataka kampeni alikua akisema nileteeni gwajima bungeni aliona mbali aaaa mungu amlaze mahali pema peponi Mina naampunguzie azabu hayati rais wetu mpendwa dct jpm da tunakukumbuka sana sikwamabaya balikwamema
@zamilamohamed50883 жыл бұрын
Hongera sana ngwajim
@sandraakim30303 жыл бұрын
Baba mungu wa mbinguni pekee azidi kukuwezesha katika mambo zote ijapokuwa ivyo nguvu yangu Bwana Jesu Christ wana zareth yupo juu Yako kabisa
@celinamgundoi84203 жыл бұрын
Katika hii amekosekana JPM tu na angekuwepo hapa aise pasinge tosha , safi sana mch ngwajima mungu azidi kukupa maarifa zaidi
@eliaswegero2343 жыл бұрын
😁😁😁 yule mwamba hata dawa zisingefika Mungu amlaze mahali pema pepon kbx
@hassansemwali84703 жыл бұрын
Gwajima msukuma mungu yupamoja nanyi bigap sana nawakaubali balaa teteeni nchi kwajili yaleo nakesho
@nasrakomati73003 жыл бұрын
Gwajima Safi tutamkumbuka sanamagu
@nuhujames90103 жыл бұрын
Unajua mungu huwa awatupi watu wake asiwajulishe mambo mungu akutangulie Gwajima
@enidamgeni45533 жыл бұрын
Mungu akusimamie, baba akulinde apigane na kila atae kua kinyume na mapenz ya Mungu kwako Gwajima
@korgeregina72003 жыл бұрын
Unaakili sana wewe mungu akulinde na hii sauti yako iingie kwa kila sikio la mtanzania amen
@pascarmwatosya68153 жыл бұрын
Akili kubwa Sana Mungu atunusuruuu
@dmtv64483 жыл бұрын
Nileteeeni Gwajima🔥🔥🔥
@saidisaid49643 жыл бұрын
Kweli magufuri aliona kitu juu yake, mungu amjalie kheri 🙏 nileteeni Gwajina kauri ya hayati magu mungu ampe mwanga wa milele
@ninayeekson13673 жыл бұрын
Asante mweshimiwa tunakumbuka mbali maana tunatazama leo mbele hatujui Kuna nn Bora tangawizi ziendelee kuzalishwa kuliko chanjo hiyo
@myunaniniahmad64633 жыл бұрын
Tangawizi na ndimu my. Na miti shamba kwa ujumla. Mungu ataleta neema yake.
@chrismwanakwetu36773 жыл бұрын
Gwajima ukikuwa wap miaka yote Mungu kweli kakutuma utukomboe Gwajima Oyooooooooh
@talentboy75683 жыл бұрын
Yes brother you are so intelligent as a Tanzanian's we need a bright people like you
@magrethjordankuru51773 жыл бұрын
Ukosawa baba
@emmyjohn47193 жыл бұрын
Ukigombea urais wallah kura yangu yakwanz
@jazilambaji27893 жыл бұрын
Mungu akulinde Gwaj boy usirudi nyuma ktk kuutetea umma wa watanzania nakukubali sana
@issamuhamed47363 жыл бұрын
Safi sana taifa letu tunaitaji watu kama nyie ambao mnalipenda taifa lenu na wangene safi sana mungu akupe maisha malefu.
@charlesryoba74023 жыл бұрын
Ukwel utabaki ukwel tu Na Mungu akubariki sana mtumishi umeenda bungeni kwa mda mwaafaka
@musakogan Жыл бұрын
Hapa ndo ulikuwa gwajima kweli
@binali38713 жыл бұрын
Allah kupe hidaya gwajima umeamuakusema unachokijuwa kwaajili ya uhai wa unaowajua na usiowajua hongera
@annabalenga44203 жыл бұрын
nimetetemeka sn. tutakukumbuka daima mh Magu. Gwajima upo sahihi
@catherinemtavangu1623 жыл бұрын
Mungu aendelee kututetea
@simonwambura2683 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana gwajima mungu akutazame
@robsonwisdom15223 жыл бұрын
Kumbe gwaji boi Ni kichwa hatar duu noma Sana Hawa ndo watu tunawataka kwenye hii inchi sio tunakubali kubali
@abdulmajidmageja65623 жыл бұрын
gwaji yani nakuelewaga sana ssa nashangaa kwann upo huku huku vpaji vinapotea wana angali tumbo tuu
@isackmwambelo55013 жыл бұрын
Ubarikiwe gwajima big up sana
@stargal27403 жыл бұрын
Gwajima uko sawa sana. Wacha wakuchukie lakini sema, sema tu. Hongera sana. Semeni msiogope mpaka kule Ulaya wajue Watanzania sio mazuzu tena wakuburutwa.
@agathaaroni77833 жыл бұрын
Wabunge wote wangekuwa km wewe TZ tusingefika hapa. Hongera gwajima Mungu aendelee kuwapa maarifa na hekima wewe na msukuma.
@frankkaiza36583 жыл бұрын
Safii gwajma na kukubari cn mzee komaaa cna mzarendo wa kwer sio kila k2 wazungu🇹🇿♥️♥️💪💪💪💪💪💪💪💪💪⛪👏
@sharmelasaif473 жыл бұрын
Wewe kiumbe hapo bungeni Mungu akulinde sana sana na tunakushukuru kwa kuwatetea wananchi wakoo maadui mahasidi wakae mbali nawe kila atakaekufikiria kukifanyia vibaya afe huko huko kabla hajafika kwako
@halimakihongosi9243 жыл бұрын
Nakukubali Gwaji boy 😆 yani unajiamini utadhni bunge lako pekeakoo.
@lilnizoea3703 жыл бұрын
Ehhhh safiii master wape ukweli ao mambanga
@yusuphnyahori25103 жыл бұрын
Daaaaa.... uko vizur, God blees you
@juliusmichael82213 жыл бұрын
Mbunge Gwajima ana hekima na busara. Barikiwa.
@yusuphmwangu85493 жыл бұрын
One of the best speech from Gwajima.
@antoniakatongo40243 жыл бұрын
MUNGU amekupeleka huko Kwa kusudi maalumu endelea kumuomba
@patrickkalengela71253 жыл бұрын
Asante Bishop Gwajima ,Wabunge wanatakiwa kuwa na upeo Mkubwa , Hiyo Chanjo tusikimbilie
@khamisibinamu53233 жыл бұрын
Gwajima wewe sio mbunge wewe unafaa kuwa waziri au rais kabisa
@kingfisher1013 жыл бұрын
Absolutely
@saidimkoloka67093 жыл бұрын
@@antoniakatongo4024 to the office today on a few m
@nathanliberty19463 жыл бұрын
Gwajima Mungu amekupeleka bungeni kwa makusudi maalum. Mungu akurinde baba
@isangasamatini2173 жыл бұрын
Mungu aendelee kkupa wepesi kwa kila Jambo ili wale ambao hawakuelewi wakuelewe mapema .God bless you Gwajima
@dexstarbullet50243 жыл бұрын
Oyaaa weeeee GWAJI BOY NOMA SANA HII WASIPOELEWA WATAKUWA HAWAPO SAWA KIAKILI
@euverusjohn5393 жыл бұрын
Kweli
@babyscosh54593 жыл бұрын
Umeonae yupo sahihi kabisa nakupenda gwajima wengine wote ☹️xxxxx
@mndigaboy8253 жыл бұрын
Daah Asante san gwaj boy hakika nimetoshek🙏🙏🙏🙏
@barikikimaro91653 жыл бұрын
Dah aisee nimeelewa vyakutosha walah mimi sintokubali kuchanjwa hata tone kamweee asante sana gwajima kwa kutufumbua macho.
@nteganapaul30153 жыл бұрын
Huyu ndiye m'mbunge mwenye wana inci wana itaji wakati kamahuu mungu akubariki na akuongezeye hekima namaisha marefu ili uendeleye kutetea wana ici mungu akubariki nakupenda sana
@abdulkilulu59863 жыл бұрын
Utalipwa na mungu kwa ujitoleaj wako ktk kucmamia Hali na afya za watanzania
@matildalukomo32063 жыл бұрын
Gwajima Mungu aendekee kukupa ujasili ndiyo maana Magu alikuona safi Sana..
@djgthehotstepper3 жыл бұрын
This guy is very smart and brave. Bigup gwajima.
@deborahmwanda84793 жыл бұрын
Waaaoh🤷👍well done jembe letu nimekupenda Sana na mawazo yako
Mungu akubariki na aendelee kukutetea maana umetufungua macho watanzania, hatutakiwi kuishi kizembe kizembe pasipokuwa na ufahamu.
@frankjamhurimwashiuya54993 жыл бұрын
Hongera sana gwajima kwa kutufungua macho watanzania. Wewe ni jembe la watanzania.
@elikanajackson89583 жыл бұрын
Namuona JPM ndani ya Gwajima .......Je nibora viongozi wapewe vibari vya kwenda ulaya halafu watanzania walio wengi waangamie?
@barakahlukasally15693 жыл бұрын
Kabisa
@juliussanare67793 жыл бұрын
Hakika unafaa sana kuibeba hili taifa hakika mungu akuweke duniani🇹🇿🙏
@baridijohni52653 жыл бұрын
Uko sawa kbs pmj San gwajim
@loner_wolf3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni profesor au ? I cyan see JPM devine in him. Blessed Gwaj bwoy😂😂😂
@am2323Diaspora3 жыл бұрын
Sumu hii. Hamna kitu
@jumannechapembe82803 жыл бұрын
Huyo Jamaaa Ana pHD
@am2323Diaspora3 жыл бұрын
@@jumannechapembe8280 but it's rubbish in rhetoric tone
@abelsiyame78633 жыл бұрын
Hahhaha noma prfs
@panoramaniTV3 жыл бұрын
Ana phd uyo
@timothyfedrick58773 жыл бұрын
Nilikuwa nakuchukulia poa sana, kumbe uko vzr sana mchungaji
@tedyelasiny89563 жыл бұрын
Mungu akulinde baba uzidi kututetea
@cosmaskyando11743 жыл бұрын
thankyou bishop
@yusuphsanga44293 жыл бұрын
safi sanaa kwajimaa ujumbe uwapate ao wenye digrii 0watumishi wawazunguu
@khadejarajab80073 жыл бұрын
Safi Sana kuwa na wabunge wasomi kama hawa huyu ni tunu ❤️❤️❤️
@charlesryoba74023 жыл бұрын
Mungu akubariki kumbe wewe ni mwana siasa Bora na makini sana
@viviansangabo13013 жыл бұрын
Big up Mheshimiwa nakuelewa sana .unauwezo mkubwa wa kulielezea jambo.unaonyesha ni kwa jinsi gani unafuatilia mambo
@majaliwawilson93723 жыл бұрын
Hivi najiuliza wabunge wengine wanakubaliana nahii chanjo au mbona kama anapamabana huyu pekeyake nakama wanaikubali waseme tuu kuwa wanaikubali hiyo chanjo kunasababu gani yakuto kujulikana wewe niwaupande gani nahili ndio tatizo kubwa lakufeli mti anaingia vitani wanajeshi wengine wasalit tutashindajee
@amimuyusuph17853 жыл бұрын
Kwahili serikali iongezi magereza hatuchanjwi
@makongoronyerere25953 жыл бұрын
@@majaliwawilson9372 hata mm nashangaa
@michaelmanyema20953 жыл бұрын
Thank you very much Mr Gwajima, wenye masikio tumesikia
@assanmashaka60523 жыл бұрын
Nimeelewa Sana dkt gwajima, serikali iwe making mno kwa watu wengi, ili tuwe vizuri kwa generation ijayo,
@haseanatnsanya20793 жыл бұрын
Asante sana mungu awazidishie
@atukuzwegedion56613 жыл бұрын
Nakukubali Sana Sana gwajima kutembelea nyayo za baba etu magu mung akupiganie na ufunuo huo maana yote yanayotokea ni kwa sababu ya mpinga kristo kutaka tumsujudu someni Sana kitabu chote cha ufunuo chanjo utaikbia mwenye utashi
@princeamore56943 жыл бұрын
Asanteeeeeeee. Nimekuelewa adi nimekuelewa tena kudadadadeki.
@angelajohn89283 жыл бұрын
Acha nikusikilize huku nasoma commey hongera sana kiongozi
@sostenesmidelo47943 жыл бұрын
God bless you gwajima..
@mirajisaidi27963 жыл бұрын
Gwajima Una akl sana sema tu unakuaga mjinga anapo jifanya kufufua hapo akl zako zote zinarudigi tumboni badlisha hyo neno ya kufufua mi nakukubal Sana sema tu Una ujinga mmoja Kwa watu wenye akl timamu wanakuchukulia poa🙏🙏 hoja zako babkubwa huwa zina eleweka
@queenlaty67883 жыл бұрын
Sijawahi kufikiria kama gwajima anaakili kuliko mbowe na tundulisu;hakika nimekupenda bure gwajimaboy
@judiecalvin75013 жыл бұрын
Safiii nimekupenda kuanziaa Leo adi mileleee
@arafajuma93833 жыл бұрын
Safi sana ongeya tu watu waelewe
@santinabugenyi86403 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa mawazo yako Mtumishi
@neemaadam92563 жыл бұрын
Ushauri wako ni mzuri sana Mheshimiwa Gwajima, nakumbuka maneno aliyotuhusia Hayati Rais Magufuli kwamba: msikimbilie chanjo, msifikiri munapendwa sana, Mimi ni Kiongozi wenu najua mengi.
@bellimarwa54543 жыл бұрын
Kwa jina la yesu Kamata mlima wautawala 2025 iongoze tanzania naiwe hivyo kwa jina la yesu
@CasianRKomu3 жыл бұрын
nakukubali sana katika hili mhshimwa, tuko pamoja
@victoriaamsi67393 жыл бұрын
Sikujua km gwaji ana uwezo mkubwa wa akili kiasi hiki,ameongea kwa kutulia na kwa uyakinifu sana,hata mtu mwenye IQ ndogo anaweza kuelewa
@nguvumalimoshi73303 жыл бұрын
Yupo kiroho zaidi ndugu
@hasanijumanne77603 жыл бұрын
Tena ameongea lugha nyepesi kila mmoja anaelewa
@annamjarifu65063 жыл бұрын
Nakubali Sana maneno yako mh , huyu mama anatupeleka pabaya Sana mpaka uwa namkumbuka magufuli naanza kulia tena