No video

JIFANYIE TATHMIN- KWANINI HUFANIKIWI? PR. DAVID MMBAGA

  Рет қаралды 32,677

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

9 ай бұрын

JIUNGE NA CHENEL YETU YA DHARURA KWA KUBONYEZA youtube.com/@HopeforAfricaTv?...

Пікірлер: 93
@theresiagideon2178
@theresiagideon2178 9 ай бұрын
Mchungaji ubarikiwe sana na haya mafundisho, Mungu amenitendea muujiza mkubwa sana, nilikuwa na tatizo lililonisumbua kwa muda wa miaka mitano na kidogo nimetumia dawa za kila aina na hospital nilikuwa naambiwa ni kawaida tuu. Mwezi ulioisha nilikusikiliza ukiwa makambi ya Kwaraa ulitoa kisa cha mama wa Dodoma aliyeuguliwa na mtoto wake. Nami nikaingia kuomba kama ulivyoelekeza nikamwambia Mungu wewe sio mgonjwa wala mwenye dhambi ndio maana ulishuka kwa sisi wagonjwa na wenye dhambi basi naomba uzima wako ndani yangu. Hiyo hali imetoweka mpaka leo sijaiona tena. Mungu azidi kukutumia kwaajili ya utukufu wake Ameen🙏
@waltergekone3879
@waltergekone3879 9 ай бұрын
Amen
@margaretwanjiru9096
@margaretwanjiru9096 9 ай бұрын
Amin Amin
@aishaally1859
@aishaally1859 9 ай бұрын
Hakika Mungu wetu ni mwaminifu tukiomba kwa imani
@theresiagideon2178
@theresiagideon2178 9 ай бұрын
@@aishaally1859 Amen amen
@petiewilliam9776
@petiewilliam9776 9 ай бұрын
Amen 🙏....Praise the LORD
@AgostinoSampala-dr5ml
@AgostinoSampala-dr5ml 9 ай бұрын
pastor Mungu akubariki Mimi nipo Israel saizi na vita inaendelea pia ninamatumaini ya kuzidi kuwa salama mpaka nitakapo rudi Tanzania. Wahimize vijana wenzangu kupambana kwa kumtegemea Mungu maana ndie kimbilio letu na ngao Yetu.
@rehemanashon3739
@rehemanashon3739 9 ай бұрын
Nina USHUHUDA Mimi mwenyewe nyumba yangu Iko kwenye lenta miaka kumi Sasa ,batinzipo ila mbao za only 3.6M zimetushinda.Zikipatikana tu tatizo lingine linaibuka Pesa zinaenda kwenye tatizo.Hili SoMo ni Kwa ajili yangu na Nina Imani Sasa hii nyumba inaenda kuisha Kwa Jina la Yesu Kristo. Maombi Yako Pastor 🙏🙏
@zaitunimkanyagasi6501
@zaitunimkanyagasi6501 7 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu,nafurahi Sana kusikiliza nafundisho yako
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 9 ай бұрын
Amina .Nashukuru sana kwa Mafundisho yanayonifungua akili zangu .Ubarikiwe pastor Mbaga napata ujasiri mkubwa kupitia mafundisho yako🙏🙏🙏
@calebmakori
@calebmakori 9 ай бұрын
Amen Mungu kwanza. God help me to have teachable spirit and obedient to your word . Pray for me
@Patience763
@Patience763 8 ай бұрын
Waaaaaaaa mafundisho yameniponda ila nimefundishika mungu niongozeee
@purity134
@purity134 9 ай бұрын
Amina,hii somo lilikua langu ,help me God to become successful for whatever i put my hand on in Jesus name
@user-ue3ou3xe5r
@user-ue3ou3xe5r 8 ай бұрын
Barikiwe sana pastor kwa somo zuri
@francinahmwinga684
@francinahmwinga684 25 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@stevenmaganga8107
@stevenmaganga8107 8 ай бұрын
Sijawah toka kapa ktk mafundisho yako,mungu akutunze
@Geoffrey_sabato
@Geoffrey_sabato 9 ай бұрын
Hatimaye muda umetimia, nilisubiri kwa shauku
@mollely001
@mollely001 8 ай бұрын
Ubarikiwe san mchungaji maan nimepat kitu kabisa
@linethowire7031
@linethowire7031 Ай бұрын
Somo hili litafanya kitu kwangu mwaka huu...Mungu WA MBINGUNI ukatende kadri uwezavyo kwetu sote....
@dicksonmakungu7184
@dicksonmakungu7184 9 ай бұрын
Nabarikiwa sana mafundisho haya nahitaji maombi pst
@danykiza1996
@danykiza1996 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@RubaR-nr5wz
@RubaR-nr5wz 9 ай бұрын
Asante sana nimepata mengi ya kujifunza na kunikuza imani yangu mungu azidi kukupa hekima zake na kuendelea kuzidi kudumu katika utukufu wake yesu kristo amen ubarikiwe pia
@aleroalero277
@aleroalero277 8 ай бұрын
Hata mimk niliwahi sahau mzigo kariakoo siku mbili sikumbuki niliuach wapi, nikafunga jamani .. nikasikia sauti inaniambia ni rudi kuangalia, nikakumbuka sehemu ni liyosahau nikajipa moyo mkuu mana kuna sauti ilikua inanirudisha nyuma kwamba napoteza tu muda... nikaenda nikakuta mizigo kwenye duka wamenihifadhi, Mungu ni mwema sana
@evasesoa8437
@evasesoa8437 8 ай бұрын
Thanks man of God unanibariki na mahubiri yako napata ufahamu zaidi ni omba halafu bisha ndio kanuni
@evasesoa8437
@evasesoa8437 8 ай бұрын
Nafurahi kujifunza ufalme wa mbinguni
@olphanyamweya3154
@olphanyamweya3154 9 ай бұрын
Amen 🙏🙏 MUCHUNGANJI,Leo tu nimetoka kunena kwamba nimechoka na hii life Asante YESU ,naomba msahee
@rodahadhiambo3637
@rodahadhiambo3637 8 ай бұрын
Mungu atukuzwe ,hili Somo mungu alitaka niskilize ,ubarikiwe sana pastor ,Mungu azidi kukutumia kuongea na watu wake ,
@user-qg3tn7sx8g
@user-qg3tn7sx8g 8 ай бұрын
Bwana akutie nguvu pr
@serafineslaa1082
@serafineslaa1082 9 ай бұрын
Mungu akubariki na injili isonge mbele
@EstherMwenze-dx6qj
@EstherMwenze-dx6qj Ай бұрын
Pastor pray for me I want to be preacher and am working on it,I can recall I prayed God to bless me with job then I shall further my studies to preach his gospel
@vickytorry100
@vickytorry100 9 ай бұрын
Barikiwa sana PST MMBAGA hakika ni mengi nimejifunza kwako. Bwana Yesu asifiwe🙏🏾
@gracemoraa3963
@gracemoraa3963 8 ай бұрын
Also this message is for me paster .nisajua shida yangu iko wait.Mungu akupaliki kwa hi some.
@naturelle1097
@naturelle1097 9 ай бұрын
Mchungaji huyu namkubali kwa mafundisho yake!❤
@Coachsamwel
@Coachsamwel 9 ай бұрын
Be blessed pastor... napenda sana kujifunza habar ya Ufalme wa Mungu
@user-qz6ir2oy1d
@user-qz6ir2oy1d 9 ай бұрын
Nikweli Mimi niliskiliza haya masomo nilikuwa nimeajiliwa kwa duka la mtu nilianza kuona duka langu kiroho nikamwambia mungu mwaka huu mwezi wa sta niwe na duka langu kwa Imani tarehe 20/06/2023 nilimiki duka langu namshukuru sana huyu mungu kwa Imani anajibu sana mungu analipa sana watu wa mungu.
@aishaally1859
@aishaally1859 9 ай бұрын
Amen amen nami napokea kwa jina la Bwana wetu YESU kristo
@jenestermabati4409
@jenestermabati4409 9 ай бұрын
Ubarikiwe Pr.Nabarikiwa kwa mafundisho yako
@wilfridamanono2667
@wilfridamanono2667 9 ай бұрын
Watching from Kenya, nice teaching be blessed
@johnnyangaresi2387
@johnnyangaresi2387 9 ай бұрын
Thank you pastor i have learned something thank you for encouraging me
@deusntobi6682
@deusntobi6682 11 күн бұрын
Amina
@shaniachanceline2751
@shaniachanceline2751 9 ай бұрын
Amen! Nabarikiwa sana na somo hili ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SaitotiHinyura
@SaitotiHinyura 9 ай бұрын
Asante sana Mungu kwa ujumbe huu wenye kunifumbua akili zangu za kimwili na kiroho.Amina.
@kenansyprian6954
@kenansyprian6954 9 ай бұрын
Pastor asantee kwa mahubiri yako. Naomba tusaidie uchambuzi wa Kina wa Historia ya Israel na Palestina.
@laridistrict4710
@laridistrict4710 9 ай бұрын
nashukuru mtumishi wa mungu.Kweli kabisa umetaja kinacho subua maisha yangu ya kwanba kila nilicho nacho ni silaha ya mungu.nimeamuaa kwa jna la yesu ushindi niwa yesu ndani yangu na milele zote yesu ni rafiki mpendwa....neema ili nisimame mpaka mwisho
@abilityemmanuel3000
@abilityemmanuel3000 9 ай бұрын
pastor ubarikiwe unanitia nguvu katika neno la mungu mmebaki wachache saana
@EmmanuelyJoseph-cu8xv
@EmmanuelyJoseph-cu8xv 9 ай бұрын
Nashukuru sana Mungu mwema Kwa kunipa kazi na kunipa mke mwema hakika Mungu ni mwaminifu sana. Ila nina jaribu napitia kwenye familia yangu plz nahitaji msaada wa maombi
@eustina0
@eustina0 9 ай бұрын
Aminaa Mungu nmwema atakuepushia jaribu lako
@EmmanuelyJoseph-cu8xv
@EmmanuelyJoseph-cu8xv 9 ай бұрын
@@eustina0 Amina nashukul sana 🙏🙏
@eustina0
@eustina0 9 ай бұрын
@@EmmanuelyJoseph-cu8xv karibu sana
@scolaebenezer4538
@scolaebenezer4538 8 ай бұрын
Thanks man of God,be blessed
@kabalizasekanabomarko6063
@kabalizasekanabomarko6063 9 ай бұрын
Amen Amen. Ni kweli izo ni chawa kichwani. Mungu akubariki sana.
@bigirimanairad2883
@bigirimanairad2883 9 ай бұрын
Amen Mbarikiwe.
@AndreaSangopirlo-vc9zu
@AndreaSangopirlo-vc9zu 9 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji alie kwenye group la mchungaji
@AndreaSangopirlo-vc9zu
@AndreaSangopirlo-vc9zu 9 ай бұрын
Aniweke
@serafineslaa1082
@serafineslaa1082 9 ай бұрын
Hakika mchungaji,Mbaga mafundisho yako mambo mengi nimeyafanya kwa vitendo na kwa imani kwa vitendo na nimefanikiwa vitu vingi.Shamba nimelima,kabla sijanununua nilimshirikisha Mungu na hata sijaona shamba niliomba magunia 20 na zaidi.Ikawa hivi nilipolima nikapata magunia 22.Unafundisha imani halisi
@lynnijayiongadi8134
@lynnijayiongadi8134 9 ай бұрын
Amen
@perisbosibori2249
@perisbosibori2249 9 ай бұрын
Sure, GOD is everything in everything in our lives. Thank you Pastor for this lesson and wonderful message. May our LORD protect you as you continue serving Him in His vineyard.
@graceoyoo3418
@graceoyoo3418 9 ай бұрын
Amina pastor
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 9 ай бұрын
Ameen ameen barikiwa Sana Mutumishi wa Mungu
@rhinakiza
@rhinakiza 9 ай бұрын
Amen 🙏🏼 🙏🏼
@nabibyaamos363
@nabibyaamos363 9 ай бұрын
Hili somo limenihusu kwa kiasi cha haja,asante mchungaji.
@user-ff6jb5mf5z
@user-ff6jb5mf5z 9 ай бұрын
Ninabarikiwa Pastor
@user-os3vo4sm2n
@user-os3vo4sm2n 9 ай бұрын
AMEN 🙏🙏🙏🙏
@jofryoba7762
@jofryoba7762 9 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mch.wangu
@MairaFuraha
@MairaFuraha 9 ай бұрын
Mubarikiwe sana
@jamesmwakitalima
@jamesmwakitalima 9 ай бұрын
Leo nimepona kwenye matumizi ya sabuni,nimeacha
@waltergekone3879
@waltergekone3879 9 ай бұрын
Amen
@BarnabasJonas-nv4ig
@BarnabasJonas-nv4ig 9 ай бұрын
AMINA
@user-ue7wo8th7d
@user-ue7wo8th7d 9 ай бұрын
Amen 🇰🇪
@kabalizasekanabomarko6063
@kabalizasekanabomarko6063 9 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na mahubiri yako.
@josianeniyonkuru5796
@josianeniyonkuru5796 9 ай бұрын
Amina🙏✍🙏✍
@jimin77310
@jimin77310 9 ай бұрын
Na iwe ivyo🙏🏿🙏🏿
@seiframadhan3387
@seiframadhan3387 9 ай бұрын
Huyu Mungu acheni tu aitwe Mungu huwa ananifanyia vitu mpaka nashangaa nitamuabudu nakumuamini kwa kila kitu nitaendelea kushukulu kwa mapenzi yake
@LeneyaAline-pp2mi
@LeneyaAline-pp2mi 9 ай бұрын
🎉❤❤🙏🙏
@kabalizasekanabomarko6063
@kabalizasekanabomarko6063 9 ай бұрын
Naitaji pia bwana anisaidiye. Nimerudi nyuma sana kwa kutowa ao kusaidiya maskini na mayatima.
@user-eg1sy1cs2n
@user-eg1sy1cs2n 9 ай бұрын
Msomaji ana vituo vingi mno
@ThomasErro-tx9td
@ThomasErro-tx9td 9 ай бұрын
Mch nikweli unajitahidi sana kufundisha, na unafundisha neno la Mungu kwa ufasaha sana, lakini hao watu wako wa dini ya sabato wako zaidi kushika dini, na siku ya saba na roho mtakatifu haikubali hata moja, naww unamkubali roho mtakatifu, je hukutani na wachungaji wenzako kwenye kongamano yenu, je hapo wanachukuliaje, ukizingatia wanamkashifu roho mtakatifu
@theresiamwanamkejasiri6510
@theresiamwanamkejasiri6510 9 ай бұрын
Wasabato wasio amini Roho mtakatifu hao sio wasabato achana nao,tena ni wachungaji,Hapana kwa kweli,
@annmjemah5655
@annmjemah5655 9 ай бұрын
Ni kweli mchungaji hata mimi niliacha laptop airport ya dsm kwenye vitotoli . security guard akaitunza nikarudi kutika kongowe hadi kiwanjani namuuliza receptionist anasema sijui ngoja nimuulize mlinzi mkuu . Kumbe aliichukua
@laridistrict4710
@laridistrict4710 9 ай бұрын
Ombea ndoa yangu
@MSM374
@MSM374 9 ай бұрын
Inawasha
@margaretwanjiru9096
@margaretwanjiru9096 9 ай бұрын
Kila saa nashukuru Mungu kwa kufanya nipate kukujua Pastor Mbaga.... maana umenifundisha mengi na kupata kumjua Mungu zaidi na zaidi na kukua kiimani kila saa... Barikiwa sana sana MCHUNGAJI WA MUNGU🙏🏻🙏🏻
@eustina0
@eustina0 9 ай бұрын
Mungu nmwema
@user-he7cf3wp2p
@user-he7cf3wp2p 9 ай бұрын
Paster nashukuru MUNGU sana kwa ajili yako hakika kupitia mafundisho yako nimeona mwanga mkubwa ktk safari yangu ya kwenda mbinguni mungu amefungua fahamu zangu
@annmjemah5655
@annmjemah5655 9 ай бұрын
So mlinzi aliichukua akqitunza
@LevinaRutashongerwa
@LevinaRutashongerwa Күн бұрын
Wee umefanikiwa mangapi nunua ndege basi tujue umefanikiwa hata wewe hujafanikiwa
@giftgiven5272
@giftgiven5272 7 ай бұрын
Amina
🔴#LIVE: 29/12/2022 - OMBA NGUVU HII IWE JUU YAKO: PR. DAVID MMBAGA
1:02:20
KICHOCHEO CHA MAJIBU YA MAOMBI-Pr.David Mmbaga
50:52
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 31 М.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 61 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 43 МЛН
LIVE: JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA VITA NYAKATI ZA USIKU
43:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 45 М.
MIFUKO YA KUTUNZA BARAKA IKO WAPI? PR. DAVID MMBAGA
1:01:21
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 44 М.
#LIVE; Pr David Mbaga. Ndoa yenye Furaha.
17:39
Sanga Richa
Рет қаралды 3,2 М.
MCH..MBAGA SABATO SIO SIKU TU USICHANGANYE  OFFICIAL
29:16
TAFAKARI TV
Рет қаралды 8 М.
PR.Geoffrey Mbwana-Nina Kiu 05 (Mwisho)|666|ufunuo|Mwisho wa dunia
19:35
PR.DAVID MBAGA || ONYO KWA VIJANA
15:41
ALLYBLESS TV
Рет қаралды 3,4 М.
UFALME WA MUNGU NDANI YAKO
1:04:01
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 59 М.
#SIRI HII INALETA TABASAMU KWA MUNGU| PR.DAVID MMBAGA|
1:47:38
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 21 М.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 61 МЛН