USHUHUDA NA MAPITO YA MCH.KIJANA MWENYE KANISA LA WAUMINI WATATU TU "Mwanzoni nilikuwa mwenyewe tu"

  Рет қаралды 35,847

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 177
@bukuruphilibert2968
@bukuruphilibert2968 Жыл бұрын
Mungu anaweza kufunga milango ya pesa hata misaada lengo aone iman yako na akuinue mwenyeee umuelewe zaidi
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz 11 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi mungu atakuinua mpk utamshangaa songa mbele na usimame na mungu tyu
@mwavithaniyburana932
@mwavithaniyburana932 5 ай бұрын
Kazi ya Mungu ni nzito kweri Mungu akutiye nguvu ila Pana siku itakuinua
@mmasaalonda499
@mmasaalonda499 2 ай бұрын
Jipe moyo Mungu Ata kubariki Nakufungua milango
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 3 жыл бұрын
Amen, vumilia mpaka mwisho baba. Mungu wa mbinguni hawezi hakakuacha yuko nawe. Na atakuletea washirika maana ni mwaminifu.
@mariamfaith9914
@mariamfaith9914 3 жыл бұрын
Mahali Kuna watatu roho wa Mungu yupo pale. Ana Imani Sana huyu pastor
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 3 жыл бұрын
Kweli
@liesharehema5193
@liesharehema5193 3 жыл бұрын
Sasa mtumishi wamungu amejieleza vizuri sana umepitia mambo mengi sana naroho wamungu yuko ndani yako nakizuri zaidi unaamini zaidi katika mungu sasa asitokee hata mtu mmoja akasema twende huku utapata waumini wengi usikubali acha mungu asimame mwenyewe na mungu atie nguvu amina
@christopherbomola4151
@christopherbomola4151 3 жыл бұрын
Maranatha!,Mungu ni mwema usikate tamaa tutakuweka kwenye maombi
@pastoreliya663
@pastoreliya663 7 ай бұрын
Usiogope Mwana Wa Mungu ,Najua hatakuinulia watu,
@chumbachaneemaccnonlinetv6271
@chumbachaneemaccnonlinetv6271 3 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe ,nafuatiliaga shuhuda za promover Tv ,lakini huu ushuhuda umenigusa Sana ,na Mungu ambariki Mch Paulo ,naona Mungu anaenda kumutoa kwenye hali hii,na kufanya mambo makubwa kwake ,{SONGA MBELE USIKATE TAMAA}
@kingmhondela
@kingmhondela 3 жыл бұрын
Mungu wa Mbinguni akuinue zaidi Katika huduma yako Mtumishi wa Mungu.
@virginieimata4489
@virginieimata4489 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@kisembomaliyamungu572
@kisembomaliyamungu572 3 жыл бұрын
Shukurani ninafurai sana na ushuhuda wako niko mutume kutoka Congo DRC mimi pia nilianza kanisa namna hio alakini leo kazi inaendelea usiogope yesu atakuinua simama tu
@apostleeliyaj.milanzi5339
@apostleeliyaj.milanzi5339 3 жыл бұрын
Mungu akuinue na kukupeleka viwango vingine akuinulie watu watakaokushika kwenye Uduma
@maxjofrey70
@maxjofrey70 3 жыл бұрын
Mungu wetu ashindwi akikupa changamoto lazima akupe na solution amini mungu atatenda makuu katika huduma
@janengaga2928
@janengaga2928 9 ай бұрын
Mshukuru sana MUNGU wengine wanapenda huduma wameitwa hawana hata pa kuabudia.Mungu akutie nguvu akupe mahitaji yote.
@lucywilson5875
@lucywilson5875 3 жыл бұрын
Bless you Brother, Mungu yu Pamoja nawe
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba yangu Mungu ni mwaminifu atafunguwa milango jipe moyo Mungu yupamoja nawe.
@biblianenolaukweli5616
@biblianenolaukweli5616 3 жыл бұрын
Ubarikiwe kweli mungu akuwezeshe kwauduma yako
@sarahawori6430
@sarahawori6430 3 жыл бұрын
Mungu akusaidie Kama alikuita hawez kukuacha keep 👆 👆 up and you will be blessed
@anissawinasi2579
@anissawinasi2579 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kabisa ushuuda huu unasisimua kazi ya Mungu si rahisi. Kutokana na changamoto za kazi ya Mungu ndo mana wengi wanashindwa kuwa wavunilivu wanakimbilia kuhanza kumtumikia Mungu na miungu. Ila jipe moyo hata mitume na manabii walipambana kwa ajili ya kumtumikia Mungu
@liesharehema5193
@liesharehema5193 3 жыл бұрын
Mungu wambinguni akuinue sana mutumishi ubarikiwe sana
@chumbachaneemaccnonlinetv6271
@chumbachaneemaccnonlinetv6271 3 жыл бұрын
Watu wote muliyoguswa na huduma ya Mch Paulo nawaomba tuungane tufanye kitu kwake ,tunaweza kumuchangia pesa akapata kununua vyombo ...hata ukitoa elfu 10 ,tukakusanya pamoja ,atapata kitu .Kama unaona hii umeielewa basi nijurishe tuone namna ya kuweka kikundi cha kumusaidia.Asanteni
@kabulagodfrey5343
@kabulagodfrey5343 3 жыл бұрын
Am in
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen hili ni wazo zuri sana
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Sawa
@marymwikali1456
@marymwikali1456 3 жыл бұрын
Amen
@franckwahekimapasteurpaste5451
@franckwahekimapasteurpaste5451 3 жыл бұрын
Mungu wangu akubariki dada yangu
@bahatimellita6619
@bahatimellita6619 3 жыл бұрын
Mungu akutieee nguvu mtumishiii
@biblianenolaukweli5616
@biblianenolaukweli5616 3 жыл бұрын
Ungeanzia atanyumbani kwako baba mchungaji kwasababu iyo itakugarimu sana promover TV umwambieko angeanzia kwanza nyumbani kisha anatoka kanisani pole sana kaka yangu mungu awezi kukuacha
@magrethmanintveld5477
@magrethmanintveld5477 3 жыл бұрын
Ni kweli jamani angeazia nyumbani, Mungu akubariki mtumishi🙏
@PROMOVERTVLive
@PROMOVERTVLive 3 жыл бұрын
Ushauri mzuri
@JoyceHaule-o8c
@JoyceHaule-o8c 7 ай бұрын
Kweli
@Lucy-nr2sm
@Lucy-nr2sm 3 жыл бұрын
Mungu Baba awepamoja nawe uuwone ushindi wamwenyezi Mungu
@rosemarychristopher3827
@rosemarychristopher3827 3 жыл бұрын
Mungu akutete mtumishi wa MUNGU! Usikate tamaa endelea kumuamini Yesu atatenda. Kikubwa tu usijeukaingia tamaa ya kupata waumini wengi kwa haraka na sadaka nyingi kwa njia za giza.
@polynechamshama9457
@polynechamshama9457 3 жыл бұрын
Amina Mungu wa mbinguni akutie nguvu🙏
@alphonsinesingirankabo6274
@alphonsinesingirankabo6274 3 жыл бұрын
Mungu akutiye yulu sana kwa kumutumikiya endelea kazi chema
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 7 ай бұрын
Mungu haangalii mazingira walipo wawili watatu yupo katikati yenu
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 3 жыл бұрын
Kama ni MUNGU ameanza usihofu mtumishi MUNGU ndiye atakayeikuza huduma yako na kukuletea watu ni uvumilivu na imani na kumtumikia Mungu kwa Roho na kweli na kumsikiliza yeye kwa bidii tu ubarikiwe sana Mtumishi na Mungu atakupeleka viwango vya juu zaidi namshukuru Mungu kwa ajili yako Mtumishi
@ridgetomas7804
@ridgetomas7804 3 жыл бұрын
a trick: you can watch movies on Kaldrostream. I've been using it for watching lots of of movies recently.
@jaxtonjerry6685
@jaxtonjerry6685 3 жыл бұрын
@Ridge Tomas yup, been watching on Kaldrostream for since december myself :)
@JjophreyUtenga-o7j
@JjophreyUtenga-o7j 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana Naomba namba za huyu mtumishi jamani nine barikiwa sana
@liesharehema5193
@liesharehema5193 3 жыл бұрын
Pole kaka yangu mungu anaona uliyopitia
@elizabethmasibo8628
@elizabethmasibo8628 3 жыл бұрын
Don't give up God is with u
@marymmasawe9812
@marymmasawe9812 11 ай бұрын
Mungu akupeleke viwango vingine mtumishi
@gracedavid2463
@gracedavid2463 3 жыл бұрын
Mungu akuinue!
@laurianogerold5129
@laurianogerold5129 3 жыл бұрын
Kwa mtazamo wangu japo sijui agano lake na Mungu, ilitakiwa amtumikie Mungu chini ya yule mchungaji aliye mpokea huku akiwa na nia ileile ya kuanzisha huduma yake. Angekaa hapo had aone ana misingi imara ya kifedha ndipo angeenda kuanzisha huduma au hata walivyo shaur wengine kuwa angeanzia nyumbani aliko panga huku akifanya juhudi katika kufanya kazi ili misingi ya kifedha ikiwepo ndo angeenda kuanzisha huduma.
@stevenrichard189
@stevenrichard189 3 жыл бұрын
Amen
@dutarametv9793
@dutarametv9793 3 жыл бұрын
Imana igushigikire
@theopisterjovent3483
@theopisterjovent3483 Жыл бұрын
Amina
@PeterKwilasa-g2f
@PeterKwilasa-g2f 5 күн бұрын
Mtumishi songa mbele
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu na kukuongoza usikate tamaa
@sallymumia8425
@sallymumia8425 3 жыл бұрын
Be encouraged dear brother,that's our way,of our spiritual and physical growth
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 3 жыл бұрын
Dont worry God is with you🙏🙏🙏🙏🙏💖💖💖💖
@sallymumia8425
@sallymumia8425 3 жыл бұрын
Exactly, challenges are our daily bread 🥪.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 жыл бұрын
Usikate tamaa.Mungu yuko nawe.Utafanikiwa
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 3 жыл бұрын
Mungu aliyeanzisha kusudi ndani yako naamini atakupelekea msaada na Injili itasonga mbele.
@salomessmart9814
@salomessmart9814 3 жыл бұрын
Nimepnda sana kw kwel YESU ni bwana,yeye ni kila kitu kwetu naomba Mungu akuinulie watu
@pastoresthermwamba4010
@pastoresthermwamba4010 3 жыл бұрын
Jitie moyo mungu nimwaminifu atakupangusa machozi kwajina layesu
@joanedmundR
@joanedmundR 3 жыл бұрын
Mungu akutetee
@alexnyigo8864
@alexnyigo8864 Жыл бұрын
Uskate tamaa
@gestinabunganiekuya6300
@gestinabunganiekuya6300 3 жыл бұрын
Biblia inasema kwamba wakusanyikapo wawili au watatu kwa ajili ya jina langu nami nitakuwa katikati yao asema Bwana wa majeshi, usikate tamaa mtumishi Mungu unayemtumikia akutie nguvu ya kusonga mbele kujaa kwa kanisa ni kazi ya Mungu mwenyewe
@alphonsinesingirankabo6274
@alphonsinesingirankabo6274 3 жыл бұрын
Mungu aendeleye kuku Linda kaka unhindered na adui Mungu njo wakwanza
@maryinyas9320
@maryinyas9320 Жыл бұрын
Kawaida Mungu huwapitisha watu wake aliowita katika shule ngumu, utafaulu tu. Kumbuka neno la Bwn linasema maneno yake yasitoke kinywani mwako, atalithibitisha.
@richardsaimon6325
@richardsaimon6325 3 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@josephmukhwana4795
@josephmukhwana4795 3 жыл бұрын
Mungu yupo atakuinua kaka mtumishi
@zenahassani2092
@zenahassani2092 3 жыл бұрын
Mungu akubariki lkn kanisa nipopote hata ubuyu umeaza km mchicha yupo mungu halie hai kutakuwA mtumishi mkubwa ktkjina la yesu
@vicktorialessostuder7318
@vicktorialessostuder7318 3 жыл бұрын
Mungu awe nawe
@0ttiliwiliam317
@0ttiliwiliam317 3 жыл бұрын
eee Mungu saidia watoto wetu
@ndabaniweperusi9546
@ndabaniweperusi9546 Жыл бұрын
Nirikuwa simusomi rakini mungukanitendeya kanipereka amerika sasanawachungaji wengi watumika katiyamakanisa yariyojegwa nami nafurahisana
@renildevenerand9473
@renildevenerand9473 3 жыл бұрын
Kweli imenigusa .na nimeshangaa nakujifunza kweli tuiheshimu kazi yoyote ungejua kama muuza maji anaweza kufikisha milioni moja.
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Жыл бұрын
Hili ndio kanisa la kweli.haya yanayoenda maelfu ya watu ni uongo tu
@jessicamorrison289
@jessicamorrison289 3 жыл бұрын
Ungeanza nyumba hadi nyumba, halafu unaita watu nyumbani kwako kila wiki siku za kawaida. Unachagua siku mbili au moja kwa wiki. Basi Mungu atakuletea tu watu. Nitakuombea ndugu yangu ndani ya miezi sita kanisa lako litakua kubwa.
@lucywilson5875
@lucywilson5875 3 жыл бұрын
Amen
@fatumawasesa1049
@fatumawasesa1049 3 жыл бұрын
Amen
@sarahawori6430
@sarahawori6430 3 жыл бұрын
Oo my God help her iknow that ur aliving God u are the God who answers prayer🐶🐶🐶🐶🐶
@ErickJames-f3f
@ErickJames-f3f 19 күн бұрын
Naomba namba
@nkoyiisack6808
@nkoyiisack6808 7 ай бұрын
KAZI ya Bwana ataiinua mwenyewe
@ndabaniweperusi9546
@ndabaniweperusi9546 Жыл бұрын
Nikohapa amerika iwa
@sarahawori6430
@sarahawori6430 3 жыл бұрын
Hawa wachawi hawana mmlaka in Jesus name
@NeemaAlphred-yw5dx
@NeemaAlphred-yw5dx Жыл бұрын
Jipe moyo mtumishi wa MUNGU
@ashleymechack5037
@ashleymechack5037 3 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu.
@loycekagia2110
@loycekagia2110 3 жыл бұрын
Hakika zidi kugonja Mungu
@EuniceM-wt5br
@EuniceM-wt5br Жыл бұрын
MUNGU atakupoganiha bro
@aminaally4163
@aminaally4163 3 жыл бұрын
Nikweli inatupasa kumwamini YESU KRISTO kwaroho na kweli.
@djmtengwatz1099
@djmtengwatz1099 3 жыл бұрын
Kusema kwwli pole sanaa kusema kweli
@ibrahimlameckministry1867
@ibrahimlameckministry1867 3 жыл бұрын
Nimezaliwa hapo kahama
@sikujuasteven4323
@sikujuasteven4323 3 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu
@hassanjoel6291
@hassanjoel6291 10 ай бұрын
MUNGU akuinulie watu ili kanisa lake liinuke, simama na MUNGU usikate tamaa
@liliancrochet3129
@liliancrochet3129 3 жыл бұрын
Daaa maskini
@sarahkinigo8460
@sarahkinigo8460 3 жыл бұрын
Pole, for all you went through. Which country are you coming from...
@PROMOVERTVLive
@PROMOVERTVLive 3 жыл бұрын
Tanzania
@levismike16
@levismike16 3 жыл бұрын
ASANTE YESU KRISTO KWA KUINUA KINA HUYU.KWA KILE ANACHOKILETA KWA KUKUTUMIKIA MSAIDIE SANA.APATE KUJENGA NA APATE WAUMINI.BWANA YESU UNAWEZA YOTE.AMINA
@nkugi
@nkugi 3 жыл бұрын
Amina
@wiliezecharia9575
@wiliezecharia9575 3 жыл бұрын
Amina
@verynicemonyo8671
@verynicemonyo8671 3 жыл бұрын
Mungu atakuinua mtumikie kwa moyo wako wote hatakuacha
@esaumahundi5076
@esaumahundi5076 3 жыл бұрын
Makanisa ya kweli hupitia Hari Kama hiyo huzaa 30 60kisha Mia songa mbele usiogope yupo mwanzilishi ambaye ni yesu
@mangapineema7652
@mangapineema7652 3 жыл бұрын
Usihofu mchungaji mngu wa mbinguni akuinue naatimize hitaji la moyo wako
@ndabaniweperusi9546
@ndabaniweperusi9546 Жыл бұрын
Poresana mwanangu nyasikia nimagum mbona iyokazi yamungu ningumusana urikuwawakusaidiwa rakini vumiriya ndivyo uzima bikiwezekana tutahusapoti
@prophet.gregorykileotv
@prophet.gregorykileotv 2 жыл бұрын
MUNGU AKUTIE NGUVU
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Huu ni wito wa Mungu.
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 3 жыл бұрын
Mungu apewe sifa, shuhuda zote huu umenitoa machozi sana. Na bado sijatazama video yote.
@BlessKanyamale-up5pu
@BlessKanyamale-up5pu Жыл бұрын
MUNGU akutie nguvu Mtumishi wa MUNGU
@obedlange5375
@obedlange5375 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki kwa ushuhuda pia roho mtakatifu azid kukufundisha na kukuelimisha na kipawa akupatie kwa ajili ya kulitangaza jina lake!?
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 3 ай бұрын
Wengine wanapataje waumuni jamani
@zedianagasper9475
@zedianagasper9475 3 жыл бұрын
MUNGU akutie nguvu
@joabyared2436
@joabyared2436 3 жыл бұрын
Utainuliwa
@ndabaniweperusi9546
@ndabaniweperusi9546 Жыл бұрын
Hatanam niriteseka ukotanzaniy nikiwamukimbizi rakisasa namakanisa sita ukoburundi nanunuwa nikajenga nikahwe kamabati nanini munguni mwema
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 жыл бұрын
MAONI YANGU KANISA WAEZA FANYA HATA NNJE MUNGU ANASIKIA MAONI MAALI POPOTE NDIO UKIPATA PESA UJENGE YA NINI UJIPE STRESS ZA KULIPA MAALI NA HUNA PESA HUNA WAAMINI KUNA SHULE WATOTO WABASOMA CHINI ZA MITI MAKANISANI CHICHINI ZA MITI MIMI NAAMINI MUNGU ANASIKIA POPOTE PALE ANYWAY ALL THE BEST
@RastaSuma
@RastaSuma 5 ай бұрын
Kila mtu akiwa hana pesa anafungua kanisa baada muda ana nyumba na gari zuri na waumini hawana hata kibanda huu ni utapeli tanzania mmezidi kudanganya watu,kila mtu nabii kila mtu mchungaji.
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 жыл бұрын
YAANI KANDA YA ZIWA KUNA MAMBO.YESU AWATEMBELEE
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Mungu akusaidie mtumishi WA mungu kaza Nuri injilisha atafungua njia zako
@sarahawori6430
@sarahawori6430 3 жыл бұрын
Umenishangaza eti mpaka ue na bibi mungu anakutumikia then ndo Kupe
@sallymumia8425
@sallymumia8425 3 жыл бұрын
Don't worry about this big churches,God is no longer in them
@Gloriawilliam-mr8kb
@Gloriawilliam-mr8kb 9 ай бұрын
Naomba namba ya mtumishi wa MUNGu
@Veni584
@Veni584 6 ай бұрын
Hao watoto watalijaza kanisa baadae
@consumingfire2772
@consumingfire2772 3 жыл бұрын
Jacktan tunaomba namba za huyu Mchungaji
@PROMOVERTVLive
@PROMOVERTVLive 3 жыл бұрын
Ukiangali mpaka mwisho utaziona amezitaja 0764487028‎‎
@ndabaniweperusi9546
@ndabaniweperusi9546 Жыл бұрын
Kamauna namba yahfone uyitume kwasababu kaziya mungutuna yipendasana hatana majina yako uandike tuyao ne
@pakapakatuondoke6785
@pakapakatuondoke6785 3 жыл бұрын
Pokea sawasawa na kuamini kwako
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
Kwani mi nauliza ni lazma kila mtu awe na kanisa lake, mtaaa mmoja makanisa kumi
KANUNI 3 ZA KUSHINDA UTUMWA WA KIROHO | Mch.Amiel Katekela
1:32:54
PROMOVER TV
Рет қаралды 1,6 М.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
C Programming Tutorial for Beginners
3:46:13
freeCodeCamp.org
Рет қаралды 17 МЛН
SHUHUDA: MAMBO YA KUTISHA ALIYO PITIA EMMANUEL KUTOKA MOROGORO
1:54:31
Reality of Christ Church
Рет қаралды 425 М.
CompTIA A+ Certification Video Course
3:50:46
PowerCert Animated Videos
Рет қаралды 7 МЛН
MASAA 8 MBINGUNI |Ushuhuda wa kweli wa Ricardo Cid
42:44
PROMOVER TV
Рет қаралды 93 М.
Day2_"Nguvu ya sadaka" SEMINA ITILIMA SIMIYU NA MCH.AMIEL KATEKELA
1:49:54
Algebra 2 Introduction, Basic Review, Factoring, Slope, Absolute Value, Linear, Quadratic Equations
3:59:44
Songo,aliyezaliwa akiwa mganga mchawi•Ushuhuda wote(Part1-5)
3:30:34
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН