Рет қаралды 2,269
Sessan Beekeepers ni Wataalamu wa Nyuki wanaotoa mafunzo mbalimbali ya ufugaji nyuki nchini Tanzania. Sessan Beekeeper pia wanahusika na uuzaji na usambazaji wa mashine na vifaa mbalimbali vya ufugaji nyuki kibiashara.
Wasiliana nao kwa Namba 0742431654.