UVUNAJI ASALI MCHANA KWA URAHISI / UFUGAJI WA NYUKI KISASA/JIFUNZE NA STAFFORD E. NKUBHAGANA/MIZINGA

  Рет қаралды 8,583

Ntwiro Media

Ntwiro Media

Күн бұрын

#asali #honey #honestreview #ufugaji #beekeepers
Uvunaji asali mchana kisasa bila kuwauwa nyuki (kulina asali kisasa bila kuwauwa nyuki)
Hii itakusaidia kijifunza namna ya kuvuna asali bila kuwauwa nyuki maana uvunaji wa zamani nyuki walikua wakiuawa sana, walikuwa wakichomwa moto ili wapate asali bila kung'atwa na nyuki, ila hapa tunavuna kisasa na kuwaacha nyuki kuendelea kuzalisha asali tena katika mzinga ule ule uliopakua asali, hii husaidia ili uwe unavuna asali mara kwa mara.
Tunatoa darasa la kutengeneza mizinga ya kisasa na kuuza mavazi ya kuvunia asali na kukagua mizinga +255 766 635 126
Ufugaji nyuki kisasa
Fuga nyuki kisasa
Kulina asali
Ukaguzi wa mizinga

Пікірлер: 9
@asamwaipyana5905
@asamwaipyana5905 3 ай бұрын
Asante Kwa mafunzo
@KambangaFidelis
@KambangaFidelis Жыл бұрын
Napataje smoker ya kuvunia awali?
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Ahsante, nimejifunza
@bonifacemorro6153
@bonifacemorro6153 6 ай бұрын
Malkin wa nyuki wakati huo anakuwa wapi? Mwalimu Staford uko wapi simu yako plse
@ntwiromedia
@ntwiromedia 6 ай бұрын
+255 766 635 126
@danielmwakyoma4290
@danielmwakyoma4290 Жыл бұрын
Samahani kwann mnatumia tumbaku wakati tumbaku sionzuri kiafya
@gilidasmafipa7771
@gilidasmafipa7771 Жыл бұрын
Asante kwa elim munayoítoa
@nkubhagana-nafco5477
@nkubhagana-nafco5477 Жыл бұрын
ile tumbaku sio ya lazima sana ila pia Haina madhara kutokana na anayepuliziwa moshi ni nyuki na sio asali. so asali inakuwa salama na pia huwa ipo sealed pia.
@saimonwantango9569
@saimonwantango9569 8 ай бұрын
Niko bwani kibiti nina pori je kunafaa kwa ufugaji?
Making an Easy and Quick BEE HIVE.
10:59
Farm Up
Рет қаралды 112 М.
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 109 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН
Ufugaji wa nguruwe kisasa.
34:35
ITV Tanzania
Рет қаралды 59 М.
Mizinga ya Kisasa Kutoka Kijiji Cha Nyuki
6:41
DM TV Channel
Рет қаралды 174
UFUGAJI WA NYUKI;zijue mashine za kuvuna na kuchakata asali
8:41
Shamba Darasa TV
Рет қаралды 5 М.
Simple Wooden Beehive
10:32
DIY & Crafts
Рет қаралды 817 М.
Mkulima I Ujenzi wa Mizinga ya Nyuki ya Kisasa
14:58
KBC Channel 1 TV Shows
Рет қаралды 1,2 М.
UVUNAJI WA SUMU YA NYUKI
24:50
Mfuko wa Misitu
Рет қаралды 2,6 М.
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 109 МЛН