Masha Allah masha Allah wallah najickia kulia Allah akuzidishie sheikh wetu umenifanya nimkumbuke marehem mama yangu allahumma ghfirlaha warhamaha waskana fil janna Allah ampe qaul thabit mama angu
@nushabdile3610 Жыл бұрын
Mashaalah sheik osman Allah akujalie Janato kwa elmi yako tamu my dia bro alaah akulinde sana shke osman wabilahi taufig.
@missmoona44973 жыл бұрын
Alhamdulillah niko napambana kumalizia malizia nyumba ya mama yangu 🙏🙏🤲🤲🤲yarabbi nijaalie niimalizie ikamilike kama ninavyotaman iwe🤲🤲🤲😭😭😭😭😭😭😭
@khadigahkk981511 ай бұрын
🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤝
@RahmaTwa-fr5xo10 ай бұрын
🤲🤲🤲🤲
@nuriaahmed99864 жыл бұрын
Umeongea maneno.mazuri na nasahakwa vijana wanaowatelekeza ama zao Allwah atawapa imani kupitia mawaidha yako.Allwahu Barik sheikh mungu atakupa afya na furaha na mafanikio.mema hapa duniani na kesho akhera
@nuruali96083 жыл бұрын
Mungu akutimizie kheri zote unazozifikiria, nami niombee mungu anijaalie kama unavoyataka ww ndio nnayo yataka mimi, WALLAHI.WALLAHI .WALLAHI THUMMA WALLAHI...HAYO UTAFKIRI MIMI NDIE NILIEKWAMBIA UYAFANYE NA KUYASEMA YOOOOOOOOTEEEEEEEE HAYO...WALLAHI NASKIA KULIA TENA WW NIMPENZI WA MUNGU NA MTUME ...MUHAMMAD REHMA NA MANI IWE JUU YAKE...AHSANTE SANA SHEKH WANGU MWANANGU...MIMI MAMANGU ASHATUNGULIA MBELE YA HAQI...NAMUOMBEA MUNGU AMPE MAMANGU QAULI THABIT..AMSWAMEH MADHAMBI YAKE PAMOJA NA BABANGU..NA WAISLAMU WOOOOOOTEEE WALOTANGULIA...ALLAHUMMA AMIIN AMIIIN YAARABBIL ALAMIIIN...JAZAKA ALLAHU KHERI SHEIKH UTHAMAN MICHEAL
Nimekuelewa vizuri sana Sheikhe, Allah Akubariki na Akutimizie malengo yako,..Namuomba Allah Anijaalie kauwezo nimjengee Mama yangu mzazi pia mimi nimjengee Mama yangu mzazi nyumba Mwaka huuhuu 2021, by December iwe iko tayari In Shaa Allah kama nilivyokuwa nimeyapanga na vilevile Allah Amurehemu marehemu baba yangu na Amuepushe na adhabu katika kaburi lake.
@ummya39964 жыл бұрын
In shaa ALLAH. ALLAH S.W.T akujalie afya njema na yenye swiha na akurahisishie utimize lengo lako.Amiin🤲
@rashidkalimbo24514 жыл бұрын
@@ummya3996 Amin
@zulfahussein67844 жыл бұрын
Allahummaa Aaaamiiin Yaa Raab Allaah akutangulie kwa Neema zake In sha Allaah
@shamzone3884 жыл бұрын
@@rashidkalimbo2451 allahuma amin yarab
@bnussrahlimsantah37303 жыл бұрын
Amiin Allah akujalie ukamilishe malengo yako jamani
@mbwanamohamed19273 жыл бұрын
Ahsanthum sheikh wangu. Nimestafiidh Sana katika darsa zako na ninazikubali.kila ninachokiskiliza lazima kiniwachie athari.
@minnie_rock2473 жыл бұрын
Yaani Sheh Othuman nimeshiba maneno na matendo na maoni yako ee mwenyez Mungu asante nakuomba umfanyie anavyokuomba na sisi utufanyie na kutufikisha mwisho mwema wa baraka na Amani Amen🙏🙏
@BaaOmar-j4hАй бұрын
Jazaka LLAHU kheir, wa nahnu kadhalika bi barkati rasul wa ummahaatina,AMIN!
@leylahbillah48763 жыл бұрын
Maashallah story yako imenikumbusha mbali sana sheikh 😭😭😭🇴🇲🇴🇲Yaarabby mjaalie afya njema mama angu 😥
@mwanaashajuma Жыл бұрын
Ma shaa Allah. Allah kujaze kheri Daima. Allah amjalie kheri mzee wako. Na sisi Allah atuongoze tuwatendee wema Wazazi wetu. Kwa pamoja Allah turuzuku PEPO YA DARAJA LA JUU. FIRDAUSI. AMIIN AMIIN AMIIN
@naimamuktar90283 жыл бұрын
MashaAllah sheikh kwa hiki umekifanya mungu akuzidishie...kwa kweli imenigusa tuombee pia ss mungu atajalie tuwajengee wazazi wetu..."Mama ni mama hata kama hana maaana"
@HaxnatiXhekhan8 ай бұрын
Mashaaallah 🙏 Allah akuongoz shekh Osman insha'Allah 🙏 Allah akup maish maref
@shameemrashid52194 жыл бұрын
Dahhh yarabiii wajaaliye wazazi wetu maisha marefu wanapitia changamoto nyingi sana
@maryamanita59993 жыл бұрын
Amiin
@madinaomar6793 жыл бұрын
Nikweli
@safiyatheonlything78483 жыл бұрын
Mashallha allha akuzidishie shekhe lnshallha mpaka nimelia nimemkumbuka mama yangu sana maisha tuliyo pitia alipambana sana kwa ajili yetu alhamdullha nashukuru niliweza kumuuguza ndani ya miaka minne akiwa awezi kutembea mpaka allha alivyo mchukua allha ampunguzie azabu ya kabli lnshallha pia kwa ss najitaidi ninacho kipata kidogo na mtumia na baba angu angarau siyo mara kwa mara alhamdullha nashukuru na dua namuombea mama yangu Amen🤲
@naimaally70723 жыл бұрын
Subhanallah 😭😭 Allah awahifadhi mama zetu wallahi sheikh wangu umeniliza hayo maisha ndo aliyo pitia mama yangu Allah ampe afya njema na awajaalie mama zetu mwisho mwema Allahumma amiin
@tumaally94823 жыл бұрын
Subhan Allah hakika ya hii dawa imeniliza sna
@zitoniebrahem31743 жыл бұрын
mashallh nimefurahi sana kwa unavyomuongoza mama yako ndomana hata mimi nampenda sana mama yangu napambana sana kwajii ya wazizi wangu mungu wape wazazi wangu umri mrefu innshallh
@husseinmahmoud70002 жыл бұрын
Allahumah Amiin
@masoudidadi73693 жыл бұрын
Sheikh nikiskiliza mawaidha yako Najifunza vitu vingi sana Shukran Allah akukinge na kila baya
@mkmwayama4534 Жыл бұрын
MashAllah...Allah akupe umri mrefu sheik.. mafunzo yako yamenijenga sana ki iman..I am a changed woman
@fatmam19974 жыл бұрын
Mashaallah shekhe Allah akuzidishie mapenzi jui ya mamaetu . Nawale wazaza wetu wengine Allah aliowahitaji ishaallah awaweke kwe pepo ya firdaus kwa rehma zake ?Ammiin🤲
Ma shaa Allah jambo la kheir Allah Azidi kukuhifadhi sheikh Othman
@kionemwengele Жыл бұрын
Ukweli namkubari shehe Othuman michael.Mungu amzidishie umri mrefu tuzidi Kupata elimu yikes.
@ShakilaZubeda10 ай бұрын
Wallahi sheikh akuna sheikh ninayempenda Kama wewe mwenyezimungu akulipe n akuhifadhi natamani ata siku moja nikakuona live lakini haiwezekani namuomba Allah anikutanishe nawe peponi in Shaa Allah
@HabibaHared Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mola akuzidishiwe iman akupe maisha marefu na akuhifathi
@sadaralmas41853 жыл бұрын
ALLAH karim.atujalie sote.akuzidishie afya naumr uzid kutupa ilm inshaallaah.
@halmahalish10404 жыл бұрын
MashaAllah.... Allah amzidishie umri yenye kheri na baraka inshaAllah 🤲🤲🤲🤲😭😭😭
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Ameen yaraab alamiin
@maisarasid86703 жыл бұрын
Nakushukuru sana sheikh kwa kutufunza mwenyeazimungu akujalie umri uweze kutufunza nazaidi
@AgnethaKapinga Жыл бұрын
Mama yeyote anatamani mtoto mwema basi nakuomba Allah unifanye mja mwema ktk dunia nawatoto wengine kwa uwezo wako
@sabontumohamed91926 ай бұрын
Masha Allah mungu akuongezee lnsha Allah ❤️❤️
@zwinaalhabsi6644 жыл бұрын
Mashaallah shekhe allah akufungulie kila la kheir wewe na familia yako hakuna kitu kikubwa kama wazazi
@lillymwali68673 жыл бұрын
Baarkhallah fiq Allah hakujazekillalakheir
@khadeejahrashid31773 жыл бұрын
Masha Allah, na kwa dua yako ya kufia madina sisi ndugu zako ktk iman twaitikia Aamiin iwe Qun faya Kun. Twajifunza mengi kupitia Channel hii ya othman Michael. Allah akupe mema hapa duniani na kesho Akhera, Allah akulipe Firdaus ya juu. Nakuhusudu kwa Kheir sheikh Othmaan
@mariamunika62392 жыл бұрын
Allahu Akubar nampenda sana mama yangu na mm inshallah nitamjengea mama yangu nyumba inzuri
@abdulhakimhussein60399 ай бұрын
Ila mama yangu hajawa Muislam, lkn ameniahidi kuwa muislam hapa karibuni! WALLAHI Allah Atufunguliye mulango ya barka zake
@saidahmed9688 Жыл бұрын
jazakallhu lkheir sheikh othman
@latifamkulazi83784 жыл бұрын
Maskin 😭😭wazazi wanapadatabu juuyetu. Allah awalipe wema in sha allah 🙏 Sheikh MUNGU akuongoze uzidi kumkirim mama
@aishaaisha14954 жыл бұрын
Amiin
@fozicakes4 жыл бұрын
Amiin ya rabi 🤲🤲
@zulfahussein67844 жыл бұрын
Allahummaa Aaaamiiin Yaa Raab
@arafahassan52573 жыл бұрын
Ammin
@dottocharles16363 жыл бұрын
Jaman nimelia sana .tarehe moja mwezi wakwanza .nilimfanyia .kitu mama yangu .cha kumshutukiza kidogo tu lakin alifurahi sana mpka Leo tabasamu lake huwa naliona ingawa nipo mbali nae .Mimi nipo dar yeye yupo kahama shinyanga .niliangalia changamoto kubwa hapo home .nilinunua vitanda viwili na magodoro nikapeleka . home .namuomba mungu siku zote awatunze
@ahmadsaid58453 жыл бұрын
Vtanda vwili unatangaza
@jafarfarhan77492 жыл бұрын
Khaaa
@Ruqayyah-ft1gu8 ай бұрын
Kutangaza kheri huenda ikawashawishi wengine kufanya,naye akapata thawabu
@Ruqayyah-ft1gu8 ай бұрын
Inayokatazwa ni riyaa
@saidahmed9688 Жыл бұрын
Asante sheikh othman
@KassimShora10 ай бұрын
Jazakallah sheikh
@aminathabagome4827 Жыл бұрын
Manshaallah Allah atujalie nasi kuyatenda yenye kheri kwa wazazi wetu yarrabbiii
@tatualmazrui59453 жыл бұрын
Yaa Raby wasemehe madhambi yao wazee wangu,😭😭nasie tupe mwisho mwema
@abdulhakimhussein60399 ай бұрын
Wallah hii historia imeniliza sana! 70% inakwenda kukutana na hali nayo ishi na mama yangu sasa!
@zubedatatu78523 жыл бұрын
Masha Allah.... Allah bless you more Amiin yrby Amiin 🙏🙏🙏
@anisasalim79052 жыл бұрын
ALHAMDULILAH kwa radhi za wazee ALLAH akutimizie nia yako vile unavyopenda AMIN
@sabraabdilnasir88264 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah allah azidi kukuongoza katika kheri nausivunjike moyo kwa maneno yawatu tufurahia tunapata mengi mazuri
@SaidMgeni9 ай бұрын
MashaAllah TabarakahAllah
@aliidrisahmadhuvavaruu49183 жыл бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh masha Allah shekh Othman Michael
@saifasaleh69843 жыл бұрын
In Sha Allah yarrab Allah atakulipa makubwa zaid ya uliyo mfanyia mama yetu sote. Dua yako Allah aipoke yarrab 👏🏻
@ayishaayisha80534 жыл бұрын
Nimesikia raha sana mimi pia nakuombea dua kila ulicho nuiya ukipate ishallah😘
@rayasaid37344 жыл бұрын
MashaAllah, mtoto mwema
@sharifaabdullah68254 жыл бұрын
W/ msalam shkhe mungu awafanyie wepesi mama zetu waliotutangulia mbele za haki Amiin
@aminasaid76574 жыл бұрын
Ameen
@khadijaangore44084 жыл бұрын
ameen
@safiyatheonlything78483 жыл бұрын
Amen
@rashidwakukalinga-xv9fi Жыл бұрын
Mashallah..Allah akuongoze ww na familia yako kwa ujumla
@zipporahmoranga13392 жыл бұрын
Be blessed elder my brother
@piliramadan875 Жыл бұрын
Maashaallah mwenyezi mungu amekulipa kheri
@hamidahamis45374 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah. Sheikh Othman
@fatumaaly74444 жыл бұрын
Nimependa kisa chako saan mungu akuzidishie n akupe kila ulichotia Nia inshasllah
@manatengulangwa57014 жыл бұрын
Mungu akuzidishie kwa kumsamini mama yako amina
@piliramadan875 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu atakusaidia utawajengea wote
@samirasaid92043 жыл бұрын
Masha Allah mwnyenzi mungu akupe moy huohuo
@maidamoyo62823 жыл бұрын
Allahu Akbar , hakika nilikuwa na mengi ya kusema lkn mpk ilivyoishia hii video nmekosa cha kusema ila mm nakuomba dua tu shekh uwe na mwisho mwema ukafie Makkah au Madinah lkn Mungu akupe maisha marefu kw7bu bado tunakuhitaji utukumbushe kuhusu masuala ya dini , tukomboke kupitia ww.
@aliidrisahmadhuvavaruu49183 жыл бұрын
Salama 32806902 jina kama kawa
@mwanaidimwachitumbo91114 жыл бұрын
Waalkum salaam waarahmatullah wabarakaatuh, maashaallah tabarakallah kw nasaha nzur nami pia namuomba Allah aniajalie nami nmkirimu mmayng zayd na zayd Aamiin thuma aamiin yarabby, shukran sheikh Othman...
@fatmaameer53333 жыл бұрын
Mashallah ALLAHakujaliekheri tunajifunza mengi na tunapata sanamoja
@kizamaulidi60044 жыл бұрын
Mashaallah twakupenda sana shekh wetu na mama pia allah awahifadhi daima
@Ashu-ed2tb4 жыл бұрын
Allah atujaze mapenzi mema kwa wazee wetu
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Ameen
@latahilehsein37493 жыл бұрын
Mashallah wallahi nimetokwa na machozi Sana nimewamumbuka wazazi wangu wote 2 wamesha tangulia mbele ya haki, kweli kabisa ukisha kuondokewa na wazazi ni Sawa sawa na taa imezima hakuna mwangaza kwa upande wetu Allah atustiri kama tulivyo wastiri wazazi wetu ameen yaraby
@hshsbsbs601 Жыл бұрын
Mashallaah nimependa sana shekhe🤲🤲🤲
@faizanassor63364 жыл бұрын
Mashallah allah azidi kutuzidishie mapezi juu ya wazazi wetu kwa jumla pepo ya dunia ni wazazi wetu
@aishaaisha14954 жыл бұрын
Amiin
@sakinat25274 жыл бұрын
Amiin
@swabahasaidi85902 жыл бұрын
😂😂Alhamdulah Alhamdulah Jazaka Allah kher
@aliidrisahmadhuvavaruu49183 жыл бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi shekh Othman Michael masha Allah
@aliidrisahmad57973 жыл бұрын
Assalamaleyhi Warahmatullahi
@joharijames11473 жыл бұрын
Mashalla shehe umenifundisha meng sana yaani hata kwetu wapo jamani acha tuu she he
@aminathabagome4827 Жыл бұрын
Allah akujaliye inshaallah kila la kheri
@lkshmykomar54723 жыл бұрын
Mashallahu mungu atakulipa Kwa uliyo mtendeya mama na Mungu akuwezeshe kutmiza malengo yako na ishalla Mungu akufshe Maka au MADINA ishalla
@jafarfarhan77492 жыл бұрын
Maaashallah
@bnussrahlimsantah37303 жыл бұрын
Wallah nmejifunza sana na nmejituta nazidi kuwapenda wazazi wangu shukuran sana
Allahuma Amin Yarab Allah akubarik na akukubalie duwa zako pamoja na mzee wako Amin 🤲🤲🤲
@AmenaMm-r5t11 ай бұрын
MashallH sheh aallah azid kukuongoz ila jitaid na ss uzid kutuombea tufik ulip fik ww kimaisha tupat rizk zet zahalal tusaidie wazee wet na watt wet na kil narizki yak tumsaidie
@furahamossi31993 жыл бұрын
Mansha Allah sheikh Allah awazidishie upendo nyie ote katika familia yenu😙😗
@piliramadan875 Жыл бұрын
Mawaidha tumepata mwenyezi mungu akujalie in shaallah
@swabahasaidi85902 жыл бұрын
Ameen Ameen 🤲 🤲
@samsungj7pro64gb54 жыл бұрын
MashaAllah love u mmy❤❤
@fettyharoun13334 жыл бұрын
I love you my love Mom more Life my Allah bless you ❤️❤️❤️ 🤲💖💖💖💖
@swaumupaji36234 жыл бұрын
Maa shaa Allaah TabarakaAllaah
@prisikachande Жыл бұрын
kaka nilivoanza kuangalia video zako week ilopita adi leo nazisachi atakama sijaziona na nakupenda kwajili ya allah pia najifunza mengi mno kutoka kwako allah akufanyie wepes insha alla
@arally23 Жыл бұрын
Allah akuifadhi uzidi kuelimisha ummah
@sitiabubakar28924 жыл бұрын
Mashallah natamani nivae ivyo habaya na nikab bt nashindwa am asmatic tena za joto hua najaribu nikab lakini sometimes Pia nainua bt i really wish people nt 2 see my face Kabisa, mashallah nimependa hii family
@mamussi68723 жыл бұрын
Jitahidi kuivaa mwanzo ni mgumu ila mwisho utaizowea
@sitiabubakar28923 жыл бұрын
@@mamussi6872 sawa sawa sitachoka
@khadijaabbas15813 жыл бұрын
Mumy joto LA jahanam ni zaid ya hapa jitahid
@sitiabubakar28923 жыл бұрын
@@khadijaabbas1581 subhanallah ntajaribu
@sapeelthabt36572 жыл бұрын
Maashaallh
@mabyserolouchcraig24313 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭Allahmdhulilah
@ashooraashoora11803 жыл бұрын
Amiin yarabily liallamina Dua ya mama yetu ❤️
@fadhilaassey23403 жыл бұрын
mashaa Allah mashaa Allah
@salsashmomy4 жыл бұрын
masha Allah allah atuongoze kwenye njia ilionyooka na tuwatendee wema wazazi wetu
@mwajabuidi69242 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuzidishie
@ashakassm87692 жыл бұрын
Masha llah allah atupe mapenzi na wazaziwetu
@swabahasaidi85902 жыл бұрын
Ameen Ameen 🤲
@ahmedaljabri12064 жыл бұрын
Aslam alkm masha Allah mwenyezimngu tabalaka Allah mama nimama mwenyezimngu akupenafasi yakumuifazi mzazi shehe hosumani mwenyezimngu akupe maisha mema uwalinde wazazi wako vizuli insha allha
@aliidrisahmadhuvavaruu49183 жыл бұрын
Assalamaleyhi warahmatullahi
@maamuu79773 жыл бұрын
Maasha'Allah Tabarak'Allah sheikh Othman Allah akujalie kila lenye kheri Dua ya mama itimie ufie makkah na Madna Amiin ya Rabb 🤲🤲
@aishamaimuna13664 жыл бұрын
Mashaallah ,allah akuepushe na shari na akujaalie unalomuomba amiin