Jinsi Bakhresa, GSM na Hassan Joho walivyosherehekea Eid! Noma, pesa inaongea!

  Рет қаралды 22,069

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

3 ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 36
@aminaali792
@aminaali792 3 ай бұрын
Maa sha Allah the best of all ni Bakhresah huyu mzee he’s so humbled May Allah grant him More Barakah and good Health always 🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤍Eid Mubarak from Uk 🙌🏾🩵
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 3 ай бұрын
Saaa kunakufuru gani hapo
@Zuu673
@Zuu673 3 ай бұрын
Sema sina pesa sio hatuna pesa😂😂😂😂
@allahisone6386
@allahisone6386 3 ай бұрын
😅😅
@Alkaburu
@Alkaburu 3 ай бұрын
Kila ujinga unafundisho ndani yake. Omeona jinsi Bakharesa alivyo simple na kutoa alicho barikiwa kwa watu wasio jiweza.
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 3 ай бұрын
Hata hao wengine pia wametoa joho ametoa sana hata siku ya eid hupeana kila anaemia kwake 1k na vyakula wakapike...Ramadhani nzima anazunguka mombasa akipeana chakula
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana 3 ай бұрын
Nic time
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 3 ай бұрын
Waomani wanacheza ivyo😊
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
Hawa wayemen
@allahisone6386
@allahisone6386 3 ай бұрын
​ AKINA BAKHRESA.?
@gamarmahsan8254
@gamarmahsan8254 3 ай бұрын
Lahawlaaaa
@bintabou828
@bintabou828 3 ай бұрын
Ila cheza yao kidgo haiko poa 😂😂
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 3 ай бұрын
Ni tamaduni za warabu. Mkijichanganya ndani mtaambulia umasikini wakati wao wananufaika
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 3 ай бұрын
Mashaallah
@marthamatiku5729
@marthamatiku5729 3 ай бұрын
Embu sns siku moja tuonyeshe na hamorapa,mkojaniii na amberruty walivyosherekea eid
@PeninsulaHouses
@PeninsulaHouses 3 ай бұрын
Matajiri wanasheherekea idd ila wengine sisi tunakula idd😂
@MohamedAhmed-ns5mi
@MohamedAhmed-ns5mi 3 ай бұрын
#001
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 3 ай бұрын
Hapo wame kosa vile visu vya kuzungusha zungusha 😅
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 3 ай бұрын
GSM sio wa Oman ni watanzania wenye asili ya Yemen
@oman1oman179
@oman1oman179 3 ай бұрын
Oman ndo wanacheza hivo
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 3 ай бұрын
No ,wa yemen sana wanacheza hivo hata hio nyimbo ni ya kiyemen.
@missp1814
@missp1814 3 ай бұрын
yaan namajirani zangu hapa ni waislamu yaan wamejikausha utasema sio Eid utasema nisiku ya kawaida jamani,usiku jana wamekuja kuniuliza kuku wao kama nimemwona ikabidi niwaulize nyie Eid yenu ni lini kwani😂😂 wananiambia kuku alikimbia ndo alitakiwa kuchinjwa😂😂
@EliasJohn-lc8nu
@EliasJohn-lc8nu 3 ай бұрын
Anae jua kula pesa maskin sema hajapata
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 3 ай бұрын
Kufuru siyo mchezo
@MakoyeBq
@MakoyeBq 3 ай бұрын
First one
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 3 ай бұрын
Hakuna tajiri mtanzania ?
@mudrick4553
@mudrick4553 3 ай бұрын
sikukuu sio pesa sikukuu ni afya na kujiuliza je funga yako imefika
@nadiahassan7993
@nadiahassan7993 3 ай бұрын
Mbona Wana dance kimasaai? Hadhramy dance 🕺 watu hawaruki hivyo
@user-nn7uf1mr7x
@user-nn7uf1mr7x 3 ай бұрын
❤❤❤
@saeedmagoda9651
@saeedmagoda9651 3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 3 ай бұрын
warabu koko😂😂
@mohamedkhamis8359
@mohamedkhamis8359 3 ай бұрын
Wabongo ni washamba kweli kila kitu ni ajabu asa kulikua Kuna haja gani yakutuletea taarifa hizi
@mohamedkhamis8359
@mohamedkhamis8359 3 ай бұрын
Wenzetu nje wanatuma Habari za umuhimu ifike wakati tujitambue mnafeli wapi sns
@missp1814
@missp1814 3 ай бұрын
Ebu acha jazba,Sns wana vipindi vingi humu unavyotaka wewe pia vipo,inaonekana hufatilii wala uangalii pia ila upo kupinga tu,na sky alishaelezea vipindi vya burudani ndo watu wanafatilia sana so ndo maana kuna taarifa nyingi za burudani,ili waweze pata maokoto kidogo....na pia kuleta hii taarifa watu tumeona wengine ,matajiri wameserebreti😂 vipi sikukuu ujue Instagram inavitu vingi si rahisi kujua ila SnS ipo kwaajili yakutujuza yanayoendelea huko sio mbaya
@sponsor7882
@sponsor7882 3 ай бұрын
Machoko hawa
@user-nz3wp8ro1r
@user-nz3wp8ro1r 3 ай бұрын
#001
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
MAMBO YA KUZINGATIA  NDANI YA CHUMBA CHA USAILI WA KAZI/JOB INTERVIEW
12:52
Kutana na Mapacha wanaochangia kila kitu ikiwemo Boyfriend!
5:08
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 18 М.
DIVA MWAGA MACHOZI MBELE YA MUME WAKE, MSIBANI KWA GADNA
8:21
Mbengo Tv
Рет қаралды 3,4 М.
HAWA NDIO WATOTO  WA MANGE KIMAMBI NA BABA ZAO /JE ALIWAI KUOLEWA ?
11:19
KARMA AT SCHOOL 🏫 Stop time
0:32
dednahype
Рет қаралды 5 МЛН
Пранк над Махачевым🥶
0:19
FERMACHI
Рет қаралды 10 МЛН
我说我不是故意的,你们信吗
0:25
侠客红尘
Рет қаралды 26 МЛН