Mushi mdogo wangu pambana tuu Rua nakusedie tubu saa mungu
@Wabanhur Жыл бұрын
Hongera sana
@SarahThomas-cf5wl8 ай бұрын
Thanks i get something
@edwardkasubi51352 жыл бұрын
Very Powerful Testimony pia nakuona katika Utumishi wa neno la Mungu , Baba yetu wa Mbinguni aendelee kukutunza pia akumwagie zaidi zaidi Baraka zake
@beatricemunisi37962 жыл бұрын
Hongera sana bro , we thank our God for everything, keep it up
@forlinguists2 жыл бұрын
Asee we ni noma sana Dr. Onesmo, nitakutafuta asee!
@godblessmassawe74593 жыл бұрын
Onesmo naomba unisaidie mawasiliano yako natamani kusoma nje kwa muda mrefu sanaa
@edwardkasubi51352 жыл бұрын
Uuuuuhhhhh Dr. Onesmo mpakaaaaa umenitoa machozi eeeehhhhhh nimelia peke yangu hapa pia asante kwa bonge la Testimony
@Lionsimba-kng Жыл бұрын
So powerful 🎉
@Basuku_media Жыл бұрын
Great! I remember everything as if it was yesterday
@jumamussa68122 жыл бұрын
Safi sana bro,uko muwazi Mambo Yako na unasaidia
@danielpius8843 жыл бұрын
Asante kaka umenitia moyo sana kupitia historia yako hii, Mimi niko mwaka wa kwanza nasoma project planning and management naweza kupata scholarship .
@DotoEdward-s5t Жыл бұрын
Nimekupata sanaa kaka ang
@johnsontarimo83833 жыл бұрын
Yes yes bro we learn...to be motivated all the times and try try
@kelvinkimario46139 ай бұрын
big up brother tushike mkono pia wengine
@dorcasalute33613 жыл бұрын
Waohhhhhh unanipa madini ila Dah umebahatika natamani sana ila sijui
@CiscaRecaps2015 Жыл бұрын
I claim my blessings through you
@BarakaWainger-h7q6 күн бұрын
hiv ni kwa namn gan nawez kuomb scholarship maan ntumiw xan notification lakn kuapply nd naxhndwa unawez kunielekez labd
@SundiAhmed9 ай бұрын
Brother umeniispire sana kama mwalimu mwenzangu, nitapambana mpk kieleweke
@MakameKhamis-v1k3 ай бұрын
Unaweza kunisaidia na mimi
@ARIFALI-we9zn Жыл бұрын
Dr Onesmo mm nakuuliz ivi baad ya kupt Scholarship ambayo ita cover tuition na accommodation kwa maisha ya kitanzania unamshaur mtu awe na budget ya kiasi gan kwa hudum zak binafc kwa mwak ili kuishi china
@hammymushj3713 жыл бұрын
Mchaga mwenzangu mwenyew natamani yn
@josephinematiro7042 жыл бұрын
Naomba kuwasiliana nawe kuhusu nami kupata scholarshio
@edwardkasubi51352 жыл бұрын
Wakati unaelezea kwamba ukabaki na buku pia ukatembea kwa miguu uuuuhhhh ni kauli zilizoniliza kisawa sawa
@justinemwita88283 жыл бұрын
Boss nitumie namba yako unayotumia Whatsapp kuna Jambo nataka tuongee kidogo
@foreveranthony6834 Жыл бұрын
Naitwa Anthony Lameck shoo , Kaka Nina Swali Kwako nasoma Sheria Diploma Ya pili Je natakiwa nifike level gani Ili Niweze kupata schoolaship
@InformationMarketer0075 ай бұрын
Level ya Bachelor au degree Je utahitaji uweze kufika marekani na hata ukaamua huko ukiendelea ?
@samwelsengati13693 жыл бұрын
Kumbe ww ni mwenzake na Mutu.
@kelvinnaftali4331 Жыл бұрын
Wasomi wakiafrika tuna maarifa lakini akili hatuna hivi inakuaje kusoma Marekani , China iwe sifa kama siyo hutumwa hivi Wamarekani na wachina wao walijenga nchi yao baada ya kusoma wapi? Waafrika sijui nani alituroga.
@emmanuelbaraka221711 ай бұрын
Lazima tuwatumie wamarekani, china ili na sisi tuendelee na lazima wawepo watu ambao hawaamini kama wewe ili Tz iendelee