Asante sana EBM. unatoa elimu kubwa na muhimu sana kwa 0 fee
@akamaelohim780 Жыл бұрын
Hakuna Cha kushinda Mungu alelouahhh praised God ❤❤❤ aksante saana my brother Mungu akubariki tena
@dennismaina7784 Жыл бұрын
Watching from Kenya. you are a great man EBM. May God expand your boundaries
@charlesmkinda6946 Жыл бұрын
Ebm kazi nzuri sana,mm nilikuwa washindi wanakuwa vijana tu,kumbe hata mtu mzima wanashinda safi sana,tupo nyuma yako,Juma na ww saidia ndugu zako wakuje huko aisee usije ukawa kama wabongo wengi,kamati ya roho mbaya
@mawaramadan3802 Жыл бұрын
All the best brother tupo nyuma yko❤❤❤
@shabanimwinyikhery1174 Жыл бұрын
Hongera sana na sisi wenye ndoto Inshallah tutafika
@peterochi1112 Жыл бұрын
Congratulations kaka so wewe ndio utani hosting
@MkaliwaoEntertainment Жыл бұрын
Congratulations bro, Juma ni mwanangu sana. Kilalakheri bro. Timiza ndoto zako.
@enemtatuka5863 Жыл бұрын
Nakubari sana wajina wangu
@gwalughanomerryrose4913 Жыл бұрын
Barikiwa sana EBM, hongera sana kamanda
@tusekelegemwasumbi7506 Жыл бұрын
Hongera sanaa kwake kwa ushindi wa mara ya kwanza... jamaa kauliza maswali mazuri mnoo ambayo yalikua yana nisumbua, ubarikiwe Ebm...
@ibrahmabdallah5148 Жыл бұрын
Mimi natokea zanzibar naomba maelekezo jinsi ya kufanya!
@zakenbrothers Жыл бұрын
Mpaka mwakani October
@aggreyluganolugano649 Жыл бұрын
Congratulations my brother from Tanzania, well done
@margaretmwihaki499 Жыл бұрын
Thanks alot EBM for your kind heart GOD bless you.Nxt year I blv I'll win too
@DenisDeodatus4 ай бұрын
Habari mr Ebm. Shukrani sana kwa video zako zinazotuhamasisha na mimi pia ni mfatiliaji wako maana nina wish kuja kufika marekani lakini ninachangamoto ya visa bado sijajua visa gani itayonifikisha mimi ni mwanafunzi mbeya university of science and technology mwaka wa 4 nipe ushauri tafadhali
@davidmwasonya2718Ай бұрын
Hongera kwa kushinda,nasisi tuko nyuma tunakuja huko kaka jiandae kutupokea wenzio ili tuwe wengi
@nassercurtis957910 ай бұрын
Kwa hapa mnatukosea jamani mbona zipo sehemu Amrica watu wanafanya mambo ya hovyo kukojoa na kutupa vitu taķa hovyo zipo bhana sema si mahala pote ni kama home zipo sehemu huwe, tupa taka hovyo
@FaustineTz Жыл бұрын
Nafurai Sana kaka Ebm unapambana Sana kuona nasisi wa Tz kufika uko
@RamadhanMahunja-cr7dg Жыл бұрын
Mambo vp brother. Ninampa hongera kijana alieshinda Green card lottery.
@fortunathabarabara8471 Жыл бұрын
Kaka Juma una moyo mzuri ubarikiwe sana
@barutiboniphace4335 Жыл бұрын
Safi sana. Na mimi mwaka huu lazima nicheze green card lottery
@mudybeka6698 Жыл бұрын
Nakubali kk mungu akusimamie...mara ya mwisho nilikuacha deport ya east almarai
@pvxmovies9611 Жыл бұрын
mtag kijana mkongwe, kafurahia mno. twashukuru mungu kwa niaba yake
@godlinesstv67111 ай бұрын
Can we have this interview in English translation as well.. Sounds interesting tho can't hear
@bonifacewanyonyi3555 Жыл бұрын
Hongera sana sana mungu wa ajapu kweli mungu atukumpuge pia sisi Sikh inakuja tutafika uko marakani kwa uwezo wa mungu amen❤❤
@MAISHAYAMAREKANI Жыл бұрын
Shukran sana mkuu 🙏🙏
@HopeNkya-y6e Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kaka ❤❤
@jaspertheonest Жыл бұрын
nimefurahi bure .jogoo wa shamba hongera sana kwake
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Hongera sana kijana. Hongera EBM kwakusaidia wanaoshinda lottery kwenye kusafiri, unawafanyia wepesi sana.
@NanaNana-xo2og Жыл бұрын
Bro naomba unisaidie jinsi ya kupata ile link ya green card
@tresorKalindula8 ай бұрын
Ongera sana brother djuma
@deborahmassawe4367 Жыл бұрын
Hongera Kaka, Mungu akuongoze
@busanyachilangwa22 күн бұрын
habari, naomba kujua tofauti ya Bongo Dsm na NEW YORK
@allyfatma7359 Жыл бұрын
Thanks
@mosesmochama9548 Жыл бұрын
Great bro
@alijumamohamed Жыл бұрын
Nikitaka kwenda US as a home care nifanye nini au nianzie wapi?
@getrudatarimo5241 Жыл бұрын
All the best dear❤
@mchunguliechibwa198 Жыл бұрын
Safi sana kaka..October tena mwaka huu,,mwanza
@flomenakamugisha5 ай бұрын
Kaka ubarikiwe kwa kututakia mema
@abdulsinga2464 Жыл бұрын
Bg up mwamba.
@neemtumain Жыл бұрын
Asante kaaka
@elizabethmwalo8424 Жыл бұрын
Us also we applied for 2023 24 season. We pray God to sail us thro
@johnmfuko4426 Жыл бұрын
Aisee nimefurahia sana na nitapambania kupata na mimk
@King_Of_Everything Жыл бұрын
✌️👍👊.
@josephmbona225511 ай бұрын
EBM Kuna ukomo wa umri umri kuomba green card Rotary
@damarisngatotin94562 ай бұрын
I have come to released green card is by Gods grace
@Saidmarez Жыл бұрын
Marai bye bye 🖐 all the best brother
@INSSUMA Жыл бұрын
Comment ni Île Île ipo dk ntakua MBURUNDI🇧🇮 wa 1 kufanya interview na ww tukiwa hapo makao makuu Missouri inshaa Allah ubarikiwe saana kaka EBM
@nzigiyimpainnocent8738 Жыл бұрын
Hope so na mimi kiongoz wangu
@petermarwa3871 Жыл бұрын
Mi naomba namba ya simu ya huyo jamaa
@omaryissah3133 Жыл бұрын
Inshallah mwenyezi mungu akufanyie wepesi
@ndagaddy221 Жыл бұрын
Mimi ni mBurundi nimshindi ila nataka usayidizi wako
@rahmahqueen275 Жыл бұрын
Ebu tuelekezeni na sisi gisi ya ku apply sote wa rundi bn
@adetaurus Жыл бұрын
Congratulations to him, he looks so happy
@josephmbona225511 ай бұрын
EBM naomba mawasiliano yako
@MamanuruMchagga8 ай бұрын
Dah good job br
@foodbankafricakenyatheegg3417 Жыл бұрын
Hongera sana
@luckiestmeckson2222 Жыл бұрын
bro EBM kazi nzuri nimependa wewe umenyooka kama lura sikupingi kaka Eleazar from Iringa Tz 🇹🇿 bro samahani naomba contact zako please huku mambo magum kiuchumi natamani angahizo kufika san
@majaliwabendera8458 Жыл бұрын
Pamoja sana EBM mwambie jamaa karibu sana USA
@FrolenceRogath-fv6ku Жыл бұрын
Habar ya uko naomba ya EBM
@FrolenceRogath-fv6ku Жыл бұрын
Namba
@DennisNyangau-cd4vk Жыл бұрын
Welcome to usa my dreamland iko maana fiche😊😊😊😊
@ZuenaSharifuАй бұрын
Jamani nifahamishe kucheza dv lottery kaka ebm
@moudy4realibrahim601 Жыл бұрын
Thanks very much brother EBM
@MKobe_254 Жыл бұрын
Karibu Kwa janga la jiwe... Hapa mambo sio rahisi, kuja ni kitu kimoja na kufanikiwa ni jambo tofauti..
@nathanielkheri1880 Жыл бұрын
Just inspire him don't demoralize....
@bballdunks869 Жыл бұрын
@@nathanielkheri1880 ndio maana ya kuwa Mtanzania😂😂😂😂
@vailethtitus6462 Жыл бұрын
@@nathanielkheri1880 😂😂😂 kwakweli. Yaan sijui watu wakoje
@misanamohamedi8438 Жыл бұрын
Fanya kazi tu pesa usa ipo ni wewe tu
@hellenmuhoi6335 Жыл бұрын
Wacha zako as long as wewe uko na bidii pesa zipo😂😂
@rukiyashali Жыл бұрын
Naomba link ya kujaza green card
@cleophasmogaka8602 Жыл бұрын
Kabisaa all the best
@godlistenestomih5466 Жыл бұрын
Kwaiyo elimu zetu ndizo zimetukosesha nafasi si ndioo?
@flomenakamugisha5 ай бұрын
Habari kaka naomba no yako
@JacklineKimaro-o6y10 ай бұрын
Hongera sana kaka nami pia nitabahatika mwaka huu
@pembemussa2804 Жыл бұрын
Jembe la Marai hilo hapo kazi lazima ifanyike kila la kheri mwamba
@kingfarm88 Жыл бұрын
Kwa uwezo wa Mungu nasi tutafika.
@devidjav3583 Жыл бұрын
Dereva tosha
@agnesmaizah3834 Жыл бұрын
Congratulations bro🎉🎉🎉
@ZaiduHashim-ry1zr Жыл бұрын
HIVi ebm ku apply hii Green card lottery mpaka uwe umesooma au VIPe ebm plz nijibu boss wangu asante sana
@blockchain1203 Жыл бұрын
Hajibugi Tu sms ndio shidaaa ya EBM
@johnwanyonyi1010 Жыл бұрын
Elimu ni ya form 4
@mossyfimbo3577 Жыл бұрын
Naomba kuuliza nasikia kupata green card mpaka uwe msomi je huyu Kaka elimu yake iko kiwango cha high school au college au university
@watergateplum8 ай бұрын
Good news
@danstanmgaya1251 Жыл бұрын
Daah kwenye Elimu hapo watu nili waambia Elimu ya Bongo ni miyeyusho ghalama kubwa halafu haina maana yoyote
@mteulemnyama7858Ай бұрын
Jamani kwani marekani ni kitu gani??????????mbona kawaida sana dah
@moseskulola6913 Жыл бұрын
Mimi ndashida mwakani
@khamismwamguza5232 Жыл бұрын
Mwamba unatamba sai unapiga shavu umetuachia kubus tu huku ebwanae Mola akutangulie kwa safari Yako kuwa na mafanikio bro
@MamanuruMchagga8 ай бұрын
I wish day 1 niwe viwanja
@mwantondo Жыл бұрын
Ila huku ni marekani ya kijijini mwamba tafuta jiji ambalo liko busy upige kazi unless huku kama kuna kazi za kuelewekaaa
@benjaminiisaya3428 Жыл бұрын
Stop akili ya kwenye Move kaka, hapo ni makaz ya watu so huwezi kukuta kuna kiwanda au ofisini za watu. And it’s the choice to live either mjin or kijijini kunawatu hawapend kelele ndio mana wanakaa nje ya mjin.😂
Hello EBM embu nijibu hili swali kwahesima t yako what if nime win DV lottery en my wife hana cheti kcse anaweza akanimes
@Geeze905 Жыл бұрын
If you are the Main Applicant n ur wife is ur Dependent and she doesn't have a Kcse certificate, it won't affect your Win.
@nyangejr3817 Жыл бұрын
Kaka tutafutie kazi za kawaida sio lazima iwe marekani ata nchi nyengine
@ramamrutu4914 Жыл бұрын
Samahani kaka hapo cjaelewa kaka kuhusu elimu ambayo ukiwa nayo wewe na mkeo mkibahatika kushinda DV lottery kwa mfano , wewe na mkeo mkabahatika kushinda dv lottery ila wote mnaelimu ya form alf wote mmejiajili kwa mfano kwenye kilimo haujaajiliwa sehem yoyote kuhusu experiences ya kazi fulan je unaweza kupata visa wakati ukiwa mnafanyiwa interview na elim zenu zote ni form four
@raffeiystar2870 Жыл бұрын
Ni Lazima aliyeshinda awe na elimu ya kidato cha sita, NI LAZIMAAAAA. usipokuwa na elimu ya kidato cha sita basi uwe na uzoefu katika kazi ambazo wao wenyewe wameziainisha kwenye website ya wizara ya mambo ya kazi ya america, so hakikisha atakayeshinda uwe ww au mkeo ana elimu hyo na kama hana bas awe na uzoefu katika kaz wanazozitaka wao uzoefu wa miaka 2 na kuendelea, Wasomeshe watoto wako wasije sumbuka
@ramamrutu4914 Жыл бұрын
@@raffeiystar2870 Sawaa kaka nimekuelewa sasa mfano umepata alf una elimu ya kidato cha nne then unafanya kazi mashambani yan unauzoefu kwenye kilimo ila haujaajiliwa labda na taasisi yoyote hapo unawezaje kuonyesha kuaminisha unauzoefu kwenye kilimo msaada
@muttaperfect Жыл бұрын
Elimu kuanzia kidato cha nne sio cha sita
@ramamrutu4914 Жыл бұрын
@@muttaperfect kweli kaka hata kidato cha nne unaruhusiwa kuapply
@historiazoteduniani5595 Жыл бұрын
hata cheti Cha ufundi kinachotambulika na serikari kina faa pia mfano Cha veta vc1
@ZuenaSharifuАй бұрын
Kaka naomba unielekeze kucheza dv lottery
@mmasipeter4157 Жыл бұрын
Vzr sana
@ktdonat.onpassiveАй бұрын
Mkuu mimi nimeshaza mdandaoni je! Niki win naweza kupata support kwako kwanzia muda wakuomba visa na mpaka kufikia kwenda USA?
@kibandanimall_tanzania Жыл бұрын
sorry bro kwa watu walio ishia form four na hawakuendeleea n chochote hawaruhusiwi ku apply
@EBMSWAHILI Жыл бұрын
Wanaruhusiwa
@mauwafrancine9956 Жыл бұрын
@@EBMSWAHILI naomba namba yako kaka nataka tuongeye unambiye kiasi gani cha feza ili kuijaza fomu naomba unisaidiye mimi nimechaguliwa ila nakosa maelekezo natokeya burundi nataka mawasiliano na wewe unipe maelekezo tangu mwezi wa tano mpaka sasa sijapata maelekezo
@ibrahmabdallah5148 Жыл бұрын
@EBMSWAHILI naomba unisaidie jinsi ya kupata hiyo green card au maelekezo jinsi ya kufanya natokea zanzibar
@abdulmajidmohammed2059 Жыл бұрын
Is Paul Abraham Canadian consulting real please tell me
@emanuelcholela86793 ай бұрын
Hakika ninatamani kupata fursa
@SandraJordanop3 ай бұрын
Wilson Patricia Lewis Lisa Rodriguez Patricia
@mpencel7980 Жыл бұрын
Habari kk EBM, Naomba kujua kuaply Green card unaitajika kuwa na elimu fulani hivi ya kuanzia form 4 au hata kama ya darasa la 7 inawezekana..
@johnwanyonyi1010 Жыл бұрын
Form 4
@madetetv6576 Жыл бұрын
@@johnwanyonyi1010form 6
@cyrusmwangi7748 Жыл бұрын
Yaani saa tatu usiku kwa kaa mchana.😅 Salimia Juma alikuwa RYDE akipita,ni mwenzangu.
@khamisjuma8501 Жыл бұрын
My brother Salam zangu kutoka neworleans Louisiana usije kuji sahau kama mimi
@shadiidinyo1657 Жыл бұрын
🤣🤣
@khamisjuma8501 Жыл бұрын
@@shadiidinyo1657 tuna ishi kwa barabara
@WadiHaji-d6w Жыл бұрын
Nataka Namba ya huyo mwandishi Wa habari
@LissuMwama Жыл бұрын
Mm ninataka kuomba nifanyeje ss kk nisaidie
@Ibnseifjr Жыл бұрын
Olaa rudi Almarai🤣🤣🤣 Hongera Mr.J
@hellenmuhoi6335 Жыл бұрын
Alikuwa job huko Saudi yaani?
@mohammedshaaban9509 Жыл бұрын
Homgera Juma wa ubenazomozi
@gsedpemba8556 Жыл бұрын
EBM naomba nichati nawewe private kuna kitu unisaidie
@jackjohnas3251 Жыл бұрын
Ni vigezo gan mtu anatakiwa kuwa navyo ili aweze kuomba DV lottery ni waliosoma tu peke ake au na ambao hawana elimu
@RahimNassoro2 ай бұрын
Na vipi kuhusu nauli na Malazi huko, unafikia kwa nan, utakua unakula nini siku ya kwanza umefika na kuendelea?
@Sira_vibes Жыл бұрын
Dar so, sisi ambao hatujasoma hatuna namna ya kufika Marekani mkuu
@FadhiliMgalla-ds9fx Жыл бұрын
Hili nalo neni Mana tupo wengi
@AL-WAARITHUUNTZtv Жыл бұрын
Nahisi kiwango cha elimu ndioshida maana tumejaza
@saadysaidzahaze5980 Жыл бұрын
EBM darasa la saba nina working experience naweza pata