Jinsi ya Kupata FULL SCHOLARSHIPS kusoma Ulaya, USA, Canada. (Hatua kwa hatua kupata udhamini)

  Рет қаралды 7,529

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@vigriliasiara736
@vigriliasiara736 3 жыл бұрын
Asante sana kaka EBM. Kwa kweli somo limeeleweka vizuri jinsi ya kuandika c.v , statement of purpose huku ndio kunakuaga shida sasa nimejifunza vyema.
@johncornel9436
@johncornel9436 2 жыл бұрын
asante sana brother unanielemisha sana, dunia haihitaji huruma bali it is all about competition.
@frankdavid6031
@frankdavid6031 Жыл бұрын
Ahsante sana Mr Ernest , The session was good I appreciate it
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Sema ukweli wengi wapone.,kuna wazazi wengi sana wanakurupuka.,mtoto amesoma akirudia rudia maana anafeili mitihali, kisha anamaliza form four unataka akasome ulaya au marekani, lazima ataangukia pua tu.
@sarahchelimo835
@sarahchelimo835 3 жыл бұрын
Ahsante sana EBM.
@patricklaiton8939
@patricklaiton8939 6 күн бұрын
Tatizo una makelele mengi
@Mwika12
@Mwika12 2 жыл бұрын
Very helpful
@Denis-Geodesist
@Denis-Geodesist 2 жыл бұрын
This is helpful
@kalongatv3421
@kalongatv3421 3 жыл бұрын
Mfano nimefanya mtihani IELTS - general test is it applied for scholarship I mean academically
@aas_football6335
@aas_football6335 2 жыл бұрын
Asante kwa kusema haya ila naomba kuuliza ya kwamba nikiwa nina cheti cha diploma siwezi kupata scholarship marekani
@evalinemaziku3885
@evalinemaziku3885 Жыл бұрын
Hello there, Natafuta scholarship ya PhD ya Public Health, nina Masters of Science in Pediatric
@BeautifullyGirl-b5m
@BeautifullyGirl-b5m 3 ай бұрын
Njoo kwetu kujiunga bule na unalipwa Ada's lakin lazima uwe missionary kwanza au mwana chama wao
@jovinmashauriTv
@jovinmashauriTv 6 ай бұрын
bro naomba unisaidie nipate hicho kitabu chako
@joshuadaudi8496
@joshuadaudi8496 2 жыл бұрын
Sasa mkuu sisi wa Diploma unatushauri vipi??
@saidmtiro6321
@saidmtiro6321 2 жыл бұрын
Habri naitwa said natokea Zanzibar naomba instructions ya scholarship ship
@kevinmollel6428
@kevinmollel6428 2 жыл бұрын
Samahan kwa kuuliza ivi naweza omba scholarship kwa iki kipindi kam siko mistaken
@realxxxtentacion1935
@realxxxtentacion1935 2 жыл бұрын
Samahan mm nataka scholarship ila natamani kuanzia certificate huko je naweza
@monicachove9148
@monicachove9148 11 ай бұрын
Thanks bro so how we can get those links
@mucci_AI
@mucci_AI 3 жыл бұрын
Mtihan wa English una expire so ukiexpire unafanya tena au una renew
@japhethromanus-zz9ht
@japhethromanus-zz9ht Жыл бұрын
Natamani nifike Norway mm bado ni mwanafunzi wa kidato cha tatu nifanyeje na kozi gani na je naweza kupata after form six
@japhethromanus-zz9ht
@japhethromanus-zz9ht Жыл бұрын
Naomba iwe kama mada tafadhari mjomba
@kkkkkkk2714
@kkkkkkk2714 2 жыл бұрын
hhahaha hapo kwene kuzima moto😂
@johncornel9436
@johncornel9436 2 жыл бұрын
hahaha eti nakuona unaweza kuwa mwizi, ni kweli ni upuuzi kujisifia umaskini.
@alatukengelamsemwa3904
@alatukengelamsemwa3904 2 жыл бұрын
Naweza kupata link kaka
@lightnesszechariah4977
@lightnesszechariah4977 2 жыл бұрын
Samahn kak vp kwa wale walio maliza form four hawawez kupat scholarship??
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Angalau uwe na chuo Diploma au form 6
@ismailcynthia6852
@ismailcynthia6852 3 жыл бұрын
Unielekeze gisi Niweze kupata viza ya Canada please help me, baba yangu yuko Canada anaumwa Sasa nifanye nini ili nifaulu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Aombe Barua kwa Daktari uje
@alatukengelamsemwa3904
@alatukengelamsemwa3904 2 жыл бұрын
Duu Kuna kitu nime gain
@OmariEtetembaWilondja
@OmariEtetembaWilondja 3 жыл бұрын
Links zipo nyingi tu 😂
@happinesscharles3457
@happinesscharles3457 2 жыл бұрын
😂🤣 unaongea ukweli kabisa.
@ismailcynthia6852
@ismailcynthia6852 3 жыл бұрын
Mambo vip, Nina itaji musahada w' ushauri please
@TzCanada
@TzCanada 2 жыл бұрын
Msaada gan unataka
@oddynathan6899
@oddynathan6899 2 жыл бұрын
EBM punguza kufokea watu😀😀😀
@mr.somebody_99
@mr.somebody_99 6 ай бұрын
Alf alsomesha Kiswahili😂😂😂 haw wazungu walikoma
Fursa ya kupata Summer Camp Jobs - Marekani
21:44
EBM SWAHILI
Рет қаралды 7 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
UNAWEZA KUPA KAZI MAREKANI, CANADA AU ULAYA WAKATI UPO AFRIKA?
18:37
HOUSE GIRL EP 24 | S4 | LOVE STORY 💞💕
21:14
BUSATI TV
Рет қаралды 3,8 М.
DV2022 JINSI YA KUJAZA FORM YA GREEN CARD LOTTERY NA KUSHINDA
48:34
NJIA NNE BORA ZA KUJIANDAA NA MTIHANI WA MWISHO (UE)
6:06
Juch online TV
Рет қаралды 138
MBINU ZA KUTAFUTA SCHOLARSHIPS ZA MASOMO (SUMMARY)
30:36
EduTalk-Tz
Рет қаралды 7 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН