Jamani unanikumbusha wimbo wetu wa shule tuliokuwa tukiimba. "Ewe Mungu wetu utubarikie tuweze endeleza hii shule yetu, shule yetu nzuri hii Kifungilo, inayojulikana kwa wema"
@ahmadimbazi584311 ай бұрын
Precious blood au kifungilo maan n shul mbili tofaut