Jinsi ya ku Connect Wi-Fi katika Computer | Connect Wi Fi Katika PC

  Рет қаралды 5,031

Mohamed Hafidh Tz

Mohamed Hafidh Tz

Күн бұрын

Пікірлер
@peterrayunga
@peterrayunga 6 ай бұрын
Asante sana kaka nimepata jambo
@mohamedhafidh255
@mohamedhafidh255 6 ай бұрын
Karibu sana 🙂 Vizuri kusikia hivyo.
@imaxshine2210
@imaxshine2210 2 ай бұрын
Ninaswali ila tofauti kidogo na kilichofundishwa hapa. Naomba kuuliza ni nini haswa kinasababisha program fulan ku stop ghafla. Mfano nimewasha chrome, xampp au vs-Code then ghafla kwa juu inaandika Not respond na kisha program inaganda tu. Swali langu ni huwa sababu ni nini na inasababishwa na nini?
@mohamedhafidh255
@mohamedhafidh255 2 ай бұрын
Kwa kifupi: Tatizo la programu kuandika "Not Responding" mara nyingi husababishwa na: 👉Uhaba wa rasilimali (RAM, CPU, au Disk) - Programu inakosa nguvu za kutosha kufanya kazi ipasavyo. 👉Program conflicts - Migongano na programu nyingine inayofanya kazi wakati huo. 👉Bugs au hitilafu za programu - Inaweza kuwa kuna kosa limejitokeza kwenye programu yenyewe. 👉Cache imejaa - Programu kama browsers huathiriwa na cache iliyoharibika au imejaa. Suluhisho: 👉Funga programu nyingine zisizo muhimu. 👉Clear cache au temporary files. 👉Restart programu au kompyuta. 👉Hakikisha programu na operating system zipo updated. Natumai haya machache yatakuwa yamekupa mwanga juu ya jambo hilo unalokutana nalo.
@imaxshine2210
@imaxshine2210 2 ай бұрын
@@mohamedhafidh255 Asante sana mwalim nimekuelewa sana
@imaxshine2210
@imaxshine2210 2 ай бұрын
@@mohamedhafidh255 Thanks sana
@IsmailiAmiri-t3f
@IsmailiAmiri-t3f 9 ай бұрын
habari
@mohamedhafidh255
@mohamedhafidh255 9 ай бұрын
Nzuri
@jamillahassan3405
@jamillahassan3405 Жыл бұрын
Nimefata magizo vile umesema . . But wifi ambayo nimepewa na boss wangu ni kama haifanyi kazi l mean alibadilisha ndomana sijafanikiwa
@mohamedhafidh255
@mohamedhafidh255 Жыл бұрын
Ungejaribu kuwasiliana na Boss wako akaweza kukupa muongozo ama ungejaribu kwa njia nyengine.
@OmarioHunter
@OmarioHunter Жыл бұрын
nimefata hatuwa kama ulivosema lkn wifi yangu haiwaki ipo off t on haibonyezeki
@mohamedhafidh255
@mohamedhafidh255 Жыл бұрын
Okay... Jaribu kwa njia nyengine kuwasha. Kama itatokea zote hazitokubali basi inawezekana kuna kitu kinasababisha hivyo Pengine ni driver zako ama issue nyengine
@TaayaElimu
@TaayaElimu Жыл бұрын
Pia windows nyingine unakuta hakuna drives za Wi-Fi.
@mohamedhafidh255
@mohamedhafidh255 Жыл бұрын
Drivers nikitu kisichokosekana katika window yako na ikitokea kuna driver ime miss basi kutakuwa na tatizo itakubidi uweze ku Install hio driver. Naweza kukufahamisha vizuri kama utakuwa umekwama sehemu kwa kutumia njia hii, Ningeomba unijuulishe kama utaona kuna umuhimu wa kufanya hivo. Ahsante!!
@asmaaabubakar79
@asmaaabubakar79 Жыл бұрын
Hii ni window seven
@asmaaabubakar79
@asmaaabubakar79 Жыл бұрын
Mwanzo tulikuwa tunatumia WiFi lkn ghafla ndy ikawa ata kuwaka haitaki
@mohamedhafidh255
@mohamedhafidh255 Жыл бұрын
@@asmaaabubakar79 Hapana hio ilikuwa ni window 10
@TaayaElimu
@TaayaElimu Жыл бұрын
Umesema katika kompyuta zote mbon Katika windows nyingine hakuna mfumo huo
@mohamedhafidh255
@mohamedhafidh255 Жыл бұрын
Ni kweli inawezekana kwa njia niliyofahamishia hapa usiweze kuipata katika PC yako kulingana na window unayotumia ila zipo njia nyengine za kufanya hivyo. Ningeomba kujua window gani unayotumia?
@asmaaabubakar79
@asmaaabubakar79 Жыл бұрын
Sawa
@asmaaabubakar79
@asmaaabubakar79 Жыл бұрын
Mm WiFi yangu kweny computer haiwak kabisa
@mohamedhafidh255
@mohamedhafidh255 Жыл бұрын
pole sana! Ila nikutowe wasi wasi hilo ni tatizo dogo tu. Inawezekana computer yako imekosekana driver ya wi-fi ama kuna setting ndogo zinatakiwa kufanyika kuwezesha wifi yako kufanya kazi. Chamwanzo cha kukushauri hakikisha window OS unayotumia ipo up to date. 👉🏽Jaribu Kui update kama haipo up to date. Pia computer yako ina driver zote muhimu. Unaweza kuona driver zilizo miss katika device yako kwa kwenda kuangalia katika device manager 👉🏽search 'device manager' katika search bar yako katika Taskbar na Ufungue 👉🏽Utakuta device zako zote hapo na kama kuna driver zilizo miss utaona alama ya warning ikionesha kukosekana kwa driver hiyo. Na hapo unauwezo wa ku right click katika hiyo sehemu yenye warning na uka update driver yake. Kama utashindwa kufanikisha hilo ningeomba tuwasiliane ili niweze kukusaidia. Ahsante!
@asmaaabubakar79
@asmaaabubakar79 Жыл бұрын
Sawa natak nianze kunitafta hap
@asmaaabubakar79
@asmaaabubakar79 Жыл бұрын
Bado haijakubal labda tuwasilian Kwa njia ya wasap ili nipt kukutumia picha jinsi gan inavyokuja
@mohamedhafidh255
@mohamedhafidh255 Жыл бұрын
@@asmaaabubakar79 sawa 👉🏽 0657796611
Jinsi ya kujua kama wifi yako imehakiwa na kumtoa mtu yeyote
14:13
NK- Computer Training
Рет қаралды 6 М.
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
Jinsi ya Kufungua Google Account Kwenye Computer 2023  || Gmail Account
10:51
Fix WiFi Not Showing in Settings On Windows 10 | Fix Missing WiFi
7:49
Sandeep Singh
Рет қаралды 13 МЛН
JINSI YA KUZUIA MATUMIZI MAKUBWA YA BUNDLE KWENYE COMPUTER YAKO
5:18