zipo site kadhaa maalufu unaweza download games bure kabisa 1. www.ea.com/games/library/pc-download 2. www.ea.com/games/library/pc-download 3. en.uptodown.com/windows/games 4. en.softonic.com/downloads/pc-games 5. store.steampowered.com/ 6. megagames.com/ hizo ni baadhi ya site unaweza pitia na kudownload games kwa pc, japo nitahitaji kufanya review nzuri kwa videos kwaajili ya kujifunza pia watu wengine. karibu sana boss
@azizimlange Жыл бұрын
Shukrani kwa somo zuri kama hili ubarikiwe nina swali na naitaj uwe mwalimu wangu naitaj kuingiza meta ads manager kwenye laptop nafanyaje
@pizzatech691610 ай бұрын
ok kaka aah kudownload meta ads manager kwa computer hamna App ila ipo extension yake tu ambayo unaweza kuisave google crome na ukawa unaitumia kwa uzuri zaidi, ila kwa simu ndo ipo google playstore
@samwellucas29997 күн бұрын
Kaka mi nashkuru sana kwa elim japo nimechelewa sana kwenye somo hili,ila mm computer yangu kwa hiyo njia yakwanza inaenda mpaka pale kwenye startup type iko manual,nikiweka disabled af niki click apply inaniandikia Access is denided,inagoma ku disabled,naomba msaada zaid
@zawadiemmanuel41206 ай бұрын
boss sorry m yakwangu kwenye iyo njia yapil kweny folder la system iyo servic hamna boss amn neno tofaut wanlotumia tofaut na servic
@ezbon-10 ай бұрын
Inapaswa ufanye njia zote? Au moja Tu inatosha
@lingsonmasoud29467 ай бұрын
ili ufanikiwe kwa 100% ni vizuri ufanye zote, lkn unaweza fanya ata mojawapo