Gundua kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kununua bidhaa kutoka China na kusafirisha kuja Tanzania. PDF yetu imeorodhesha makampuni, address zao, namba za simu, bei za usafiri na mengine mengi. Jipatie nakala yako hapa: tanzanitedigital.com/product/china-tanzania-complete-pdf/
@musictz1805 Жыл бұрын
Aiii nimependa kaka maelezo yako Kila sku nilikuwa najiuliza nitawezje ila umenisanuwa chukuwa maua yako kiroh safi 🌹🌹🌹🌹
@salehekisebengo85548 ай бұрын
Nmeshiba maelezo yako kiongozi,but nikipata shida nitakutafta,samahani naomba mawasiliano ya direct ,i means no za cm
@francelwehela405911 ай бұрын
Ubarikiwe kaka
@UGE.9i Жыл бұрын
To be honest nimekuelewa vzr sana Boss, 💯
@runiglobe_explores11 ай бұрын
Ahsante kwa video zenu kiukweli zinasaidia wengi nikiwa mmoja naomba niulize kama mtu anaweza kutumia wakala kwenye malipo
@MwanaidiSephu9 күн бұрын
Teyari😊😊
@deograsiaskiowiАй бұрын
Asante umeeleweka
@laurenttibursius26618 ай бұрын
Boss 💯 nmekuelewa
@AdamAyoub-wq7ku11 ай бұрын
Kaka uko vizuri sana maelezo yame nyooka Umetuzindua maan watu tuna pigwa bei balaa kumbe kuagiza ni bei chee2 sante sana mung aku bariki kaka❣️💯✔️
@tanzanitedigital11 ай бұрын
shukrani chief 💯
@veronicakawimbe381711 ай бұрын
Nimependa mafundisho yako unaeleweka❤
@KessanjaliMbij10 ай бұрын
Mungu akubariki na akuzidishie ulipotoa
@tanzanitedigital10 ай бұрын
Shukran 🙏🏾
@ArysonAugustine9 ай бұрын
Big up sana Bro ❤..
@LukakuJonhson8 ай бұрын
Makini sana, hongeren san
@boniphacejeremiah568211 ай бұрын
Asante Bro But nilizani naweza tumia hata simu card kufanya malipo mfano Mpesa and so on. But thanks for time and appreciate👏
@CarolinaRobert-mx6nw Жыл бұрын
I really appreciate it ❤❤
@tanzanitedigital Жыл бұрын
Karibu ♥️
@veronicavenance5842 Жыл бұрын
youre the best
@tanzanitedigital Жыл бұрын
Asante 💯
@ChristianMwita-x7k Жыл бұрын
Samahan tuelekeze jinsi ya kupata makampuni ya usafirishaj hasa ya ndege apo ndo pagumu sana msaada
@MFUNGOMENGI10 ай бұрын
Kwasisi wa mikoani vp mzigo unafika Hadi nilipo au ndo nitafuata katika office zao
@njalamayala2211 Жыл бұрын
Asante Kwa SoMo zuri
@tanzanitedigital Жыл бұрын
karibu
@NicksonKihombo8 ай бұрын
naomba namba yk
@aggiebarton8315 Жыл бұрын
Katika tutorial zote nilizo angalia. Aloo hii nimeelewa vizuri sana. ✡️✡️✡️✡️✡️ Nimekupa
@irenejerome11111 ай бұрын
Ahsante Kwa SoMo zuri.. naomba kujua kunawwza kuwa na account fake yaan matapeli Alibaba?... Maana Kuna account za supplier nyingne zimeandikwa verified na zingne hazijaandikwa verified.. naomba maelezo kidogo
@tanzanitedigital11 ай бұрын
swali zuri, nakuandalia video wiki hii kwa uelewa zaidi boss
@gsmtz580810 ай бұрын
Kaka habar vipi utaweza kupata agent. address
@andrewmbwana6336 Жыл бұрын
Namba yako Kaka
@christasyliviajosephat200311 ай бұрын
Naomba process za malipo au unatakiwa kuwa na visa au uwe na nn haswa ili kukamilisha malipo
@JohnKuyumbe2 ай бұрын
Hiii kali
@angelmangi61387 ай бұрын
Chukua maua yako🤝
@NzengoPeter10 ай бұрын
Bdo ujafafanua vzr anza step by step
@tanzanitedigital10 ай бұрын
Hauko serious my friend
@MtumwaHassan-tb7wr6 ай бұрын
Asnt san nimepend ulivyoelekeza but mm nipo n shida moj.all processure nafanikiwa lkn shida inakuj kunako payment malipo hayakamilik afu ela ipo y kutosh kwrny account.hii inakuaje
@tanzanitedigital6 ай бұрын
confirm na bank yako, kama kadi/account yako ina uwezo wa kulipia online.
@MtumwaHassan-tb7wr6 ай бұрын
Naomb usaidiz zaid tafadhali coz mm kil kit kinakua saw ila kitend cha kulip tuuu ndio haifanikiwi.really sielee shiada .naomb unisaidie
@MtumwaHassan-tb7wr6 ай бұрын
Ingekua kun uwez wa kutum pich ningekutumia uwo wap nakwama.if utojal naomb no yak y whatpp nikutumie
@tanzanitedigital6 ай бұрын
Wasiliana na bank yako tafadhari. Eidha wamekublock kununua Alibaba. Watakusaidia. Ni changamoto ya kawaida. Itakaa sawa.
@gasanatv40779 ай бұрын
Mimi bado wananitatiza unakuta amount iliyoamdikwa chini ya bidhaa inakuwa tofauti when you start to make ordw inaweza hata kuwa mara mbili ya Ile ya mwanzo harafu wanakupgia total with shipping cost inakuwa kuubwa shida ni nini hapo au nakosea wapi
@salimmaulid51118 ай бұрын
Mimi pia nimeshtuka
@Mgutehekima. Жыл бұрын
Vipi quality ya computer ukiagiza china?
@tanzanitedigital Жыл бұрын
Bei Za Kusafirisha Bidhaa Kutoka China Hadi Tanzania 👉🏼👉🏼kzbin.info/www/bejne/jF6ccpV7ireDkKM Siku Ngapi Mzigo Unakufikia Kutoka Alibaba (China) 👉🏼👉🏼 kzbin.info/www/bejne/eqO8h5t-mdanpMU
@samsonkisanga8587 Жыл бұрын
🎉🎉
@ELIZABETHAUGUSTAWE11 ай бұрын
Vipi kuhusu ukitaka kuchagua company ya kitu unacho kitaka sana san mwenye spare
😢Ahsante Kaka nimepata mwanga,ila naomba nisaidie namba za cim
@tanzanitedigital4 ай бұрын
karibu! 💯 0747 177 677
@majidsalum11416 ай бұрын
Kaka naomb namba yako ya whsp
@aloisngulo4366 ай бұрын
Naomba namba mkuu
@dezzypaul12275 ай бұрын
Naomba kuuliza, kuna kumtumia bidhaa afu ana kwambia Purchase on platform ndo nn
@ausioausio2 ай бұрын
je kam hela ipo kweny lain auna kadi je naezaje kulipia
@tanzanitedigital2 ай бұрын
tumia voda au tigo mastercard/visa
@swahilitherapytv38465 ай бұрын
Kwani sisi watanzania hatuwezi kuuza bidhaa , alibaba.....???
@tanzanitedigital5 ай бұрын
inawezekana
@Sam_kaka6 ай бұрын
Mkuu me nahitaj msaada zaidi jinsi ya kupokea mzigo ukifika dar kwa wale tulioko mikoan
@JohnKuyumbe2 ай бұрын
Naitaji maelekezo Whatsapp
@JimyDaud4 ай бұрын
Sikuwa naamin kuagiza bidhaa via hio application ss naweza pia
@NeemaElinihak12 күн бұрын
Naomba no zako
@tanzanitedigital12 күн бұрын
0747 177 677
@hunchotv201110 ай бұрын
naweza pata namba yako bro
@irenejerome11111 ай бұрын
Hello my frnd.. nafanyaje kuweka card yangu kuweza kupay paypal
@aloisngulo4366 ай бұрын
Naomba namba
@tanzanitedigital5 ай бұрын
0655 355 670
@berthagama37875 ай бұрын
Bank gani kwa Tanzania zinakubali?
@tanzanitedigital5 ай бұрын
Zote
@MonalisaRutta11 ай бұрын
Kaka naomba namba yako
@agnessmadale64985 ай бұрын
Naomba namba yako kaka
@tanzanitedigital5 ай бұрын
For business only: 0747 177 677
@leonardkishe86133 ай бұрын
bro naezaje kumpata uyo agent wakoo wa usafirishaji!..ili na mim niagize mzigo..
@tanzanitedigital3 ай бұрын
Tuwasiliane 0747 177 677
@hawabuhashim11 ай бұрын
swal lang n ,agent akshafika inchin mzgo anakufkishia mahal unapokua(mf.mkoa nje ya dar)!?au mteja ndo inabd afate kwa ofs zao may be!. maelekezo tafadhar
@AhmedKhalid-vr2bh8 ай бұрын
brother umeagiza pikipiki kupitia njia ya meli umetumia ajent kuna ushuru labda utatoa mzigo ukifika
@Jayshakii6 ай бұрын
Kupitia ndege huwez ukaagiza pik pik😂😂
@SamwelMisungwi5 ай бұрын
Nahitaji unisaidie jinsi ya kuagizia vitu Amazon kk
@TinaHilary7 күн бұрын
Habari kaka mm nashidwa kupata address ya alibaba
@tanzanitedigital6 күн бұрын
HUJAELEWA, RUDIA KUANGALIA TENA NDUGU YANGU
@jovingeniuss171111 ай бұрын
🧠🙏🏼
@ndamo26535 ай бұрын
Braza tuachie namba yako ya simu
@tanzanitedigital5 ай бұрын
Serious enquiries only: 0747 177 677
@AsiaAbdi-b4u2 ай бұрын
Kwani haifai kulipia kwa kutumia lain ya sim
@tanzanitedigital2 ай бұрын
tumia voda au tigo mastercard/visa
@suleimansherou73154 ай бұрын
kaka mbona cost ya kusafirisha ni kubwa sana hapa au nivile mi sijaelewa? naona me nimehitaji kusafirisha naona shipping cost ni 257k
@tanzanitedigital4 ай бұрын
Angalia video yetu ya mwisho, inaeleza chief!
@ElikaeliasKapaya5 ай бұрын
Mbona kuna baadhi ya bidhaa ukibonyeza unakuta nauli kwa chin imeshaandikwa na unakuta ni kubwa saaana.naomba unisaidie inakuwaje hapo
@pappilonfar3 ай бұрын
M mwnyw apo nmeshndwa elewa kbs
@mazikumathew88738 ай бұрын
Huo mzigo ulishaulipia unauchukulia daressalam au hata mikoano unafikishwa maana Mimi Niko mkoani shinyanga nisaidie
@LindaSalumu-yw9hq8 ай бұрын
Ukiagia unalipia cargo yako uliotumia then utatumiwa mkoani then unalipia kwa gar ulotumia kusafirisha
@rosemkude48045 ай бұрын
Naomba nipatie utofauti wa "suppliers" Na "manufacturers".... Yupi ni bora kati ya hawa wawili?
@tanzanitedigital5 ай бұрын
natumia neno supplier kama muuzaj yoyote Alibaba, na manufacturer ni muuzaji ambaye anatengeneza hiyo bidhaa mwenyewe. (sio kila supplier ni manufacturer)
@StephanoShambogo7 ай бұрын
Vp natak nifany manunuz na sina agent ntapataj agent