Kazi nzuri dada napenda Moyo wako wakuongoza walio wengi lazma nikutafute dear
@amourjuma72848 ай бұрын
Mama Kilalaheri nakuombeaa
@haikadismas8 ай бұрын
Amen 🙏
@abdumziray94296 ай бұрын
Mimi ni mfanya biashara mdogo wa spare za pikipiki...nahitaji Kuja china maana huku bongo wanatopiga sana...nNpe Bajeti ya kukaa china kwa wiki mbili kuanzia ticket pamoja na hoteli...
@haikadismas5 ай бұрын
Tupigie 0675121121
@chalofurniture98608 ай бұрын
Madam nauli na Hotel and food vipi unawza kunipa muogozo
@haikadismas8 ай бұрын
Karibu ujiunge na program ili upate utaratibu wetu 0753209244
@shantisam-wo8wj8 ай бұрын
Hello dada mimi nataka Kuja China kununua handbags.. Niuze jumla na rejareja vipi nafikaje huko?
@haikadismas5 ай бұрын
Tupigie 0675121121
@user-jo2uk6kv2b8 ай бұрын
Naitaji kuanza kufanya biashara naitaji msahada wako dada