JINSI YA KUANDAA MADHABAHU YA MAOMBI || DAY 4|| PASTOR GEORGE MUKABWA || 11/01/2024

  Рет қаралды 26,629

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

Күн бұрын

Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
Unaweza Tuma Sadaka yako MPESA number +255 753 333 008
#jrcchurch #pastorgeorgemukabwa #tanzania #jrctz
Gospel Teachings for soul winning Purpose.

Пікірлер: 106
@user-sd2cb3wr8x
@user-sd2cb3wr8x 8 ай бұрын
Asante sana kwa huu mfungo inanipeleka mahali barikiwa sana mtumishi uinuliwe sana Tena zaidi na Mungu azidi kukuifadhi pamoja n familia Yako 🙏🙏🙏
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 7 ай бұрын
Baba Asante sana niwe mkweli baba nakuelewa Sana unapolifafanua neno Hadi unanielewesha Cha kufanya haya ni mafundisho adumu makanisa ni mengi wahubili ni wengi lakini si wote wanaofundisha kama darasa ilu wafundishwao waelewe
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 3 ай бұрын
Nimbeee Yesu nifukulie jia zangu mwaka huu Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu unaweza yote mwokonzi Yesu nisaindie Yesu nisaindie Bwana Yesu nisaindie Yesu Kristo
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 3 ай бұрын
Kwa tamu Yesu ninaharibu Kila inayotumwa kinyume changu haitafauru kwa jina la Yesu Kristo hallelujah hallelujah ❤❤❤❤❤❤❤
@lucymurugi4743
@lucymurugi4743 8 ай бұрын
Pst.umekua wa baraka isiyo na kifani maishani mwangu,mafundisho yako ya baraka sana,naomba mrekebishe sauti ina tatizo tunakosa kuskia mahali pa maana,barikiwa sana
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 7 ай бұрын
Ameen and Ameen Our God is powerful
@DorisKimario-sp3gm
@DorisKimario-sp3gm Ай бұрын
Mtumishi Mungu akupe maisha marefu
@WiniSanga
@WiniSanga 2 ай бұрын
Kweri kabisa mtumichi unaomba maombi hayaereweki barikiwa sanaa baba 🙏🙏🙏🙏🙏
@mtumishidalmas4402
@mtumishidalmas4402 8 ай бұрын
Amen Man of God 🙏 from Kenya Nairobi ni Mtumishi Dalmas mwimbaji wa nyimbo za injli
@user-pg5kf2ec2i
@user-pg5kf2ec2i 2 ай бұрын
Yanajengwaje pasta madhabahu
@mercymsanzu6944
@mercymsanzu6944 8 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪 watching from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🙌🙌
@rosemarymoshi7619
@rosemarymoshi7619 2 ай бұрын
Ahsante mtumishi wa Mungu
@rumariletimba7585
@rumariletimba7585 2 ай бұрын
Amen
@MAG-yb5ez
@MAG-yb5ez 8 ай бұрын
Mungu akutunze sana mtumishi nafatilia sana mafundisho Yako na yananibariki sana
@user-vt4wj1fr2c
@user-vt4wj1fr2c 3 ай бұрын
Amen Pastot unanifanya nione fahari kusoma neno la Mungu.
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 3 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 3 ай бұрын
Asande Baba Asante baba
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 3 ай бұрын
Alelluyah alelluyah blessed
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 3 ай бұрын
Yesu Kristo Yesu nisaindie Yesu nisaindie Bwana Yesu Kristo nisaindie Yesu nisaindie Bwana Yesu Kristo niitaji kununu shamba nijinge nyumba yaku Bwana Yesu Kristo nisaindie Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu
@user-ld7tp4uc3l
@user-ld7tp4uc3l 6 ай бұрын
Asante sana, nashuru Mungu Kwa ajili Yako Pastor, nimepata mafundisho ambayo sikutegemea 🙏🙏🙏
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 7 ай бұрын
Ameen
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 3 ай бұрын
Aminaaaaa aminaaaaa
@nyanjwabresh8307
@nyanjwabresh8307 7 ай бұрын
Kwaanzia leo hii, Baba nakukabidhi maisha yangu, nifungulie baraka tele kwenye biashara yangu,, Bila ww Bwana sitaweza,, leta watu sahihi kwenye maisha yangu ktk jina la Yesu.
@zabibunyuki7104
@zabibunyuki7104 7 ай бұрын
Nimebarikiwa mno🙏🏼🙏🏼
@faithkendi7124
@faithkendi7124 5 ай бұрын
Be blessed man of God you are blessing to my prayer life.
@annalicealchard1827
@annalicealchard1827 7 ай бұрын
Amina ,naamini mungu anaenda kunitendea kupitia mafundisho na maombi haya . Amen
@felistafabian3441
@felistafabian3441 7 ай бұрын
Ubarikiwe Saana mtumishi wa mungu mafundisho Yak yamebadilisha Saana maisha yangu
@hosearobaro6593
@hosearobaro6593 7 ай бұрын
Amen man of God am from kenya may almighty God bless you pastor
@rosejustine
@rosejustine 2 ай бұрын
Aaameeeen
@stacylinckonstacy4776
@stacylinckonstacy4776 6 ай бұрын
Be blessed man of God....this was an eye opener. am really blessed.
@AnnaNzowa
@AnnaNzowa 7 ай бұрын
Asante mtumishi mafundisho yako yananibaliki sana Amen
@veroshighadi2937
@veroshighadi2937 6 ай бұрын
Your teachings are are blessings to many
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 7 ай бұрын
Ameen be blessed more pastor i have learnt something here
@WiniSanga
@WiniSanga 2 ай бұрын
Tumenyimwa sauti hamna
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 7 ай бұрын
Ameen and Ameen Our God is powerful ❤❤
@user-jb7vj4kp5g
@user-jb7vj4kp5g 7 ай бұрын
Amen may the will of God be done
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 7 ай бұрын
Nimtumikie Bwana yesu katika maisha yote
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 7 ай бұрын
Asante Yesu christo hakuna wakuabudiwa kama wewe
@HappyAlpineSkiing-mt4il
@HappyAlpineSkiing-mt4il 7 ай бұрын
Ubarikiwe San mtumichi wa Mungu amen 🙏
@rosemarymapango3747
@rosemarymapango3747 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU Robert Mkabwa
@TeeDesantos
@TeeDesantos 8 ай бұрын
Pastor sina chakusema ila umebadirisha maisha yangu kwa mafundisho yako mungu akubariki🙏🙏
@hadijambwambo6833
@hadijambwambo6833 7 ай бұрын
Mchungaji Mchungaji umenibariki sana 🎉
@monicapagula8563
@monicapagula8563 7 ай бұрын
Ahsante sana pastor kwa mafundisho yako mazuri
@saumusulaiman4742
@saumusulaiman4742 8 ай бұрын
Barikiwa sana pastor 🙏 ❤
@jacobmagawa5395
@jacobmagawa5395 7 ай бұрын
God bless you man of God
@sherryfuraha3076
@sherryfuraha3076 7 ай бұрын
Amen be blessed pastor 🙏🙏🙏
@shukurusyriack3504
@shukurusyriack3504 7 ай бұрын
Najua nimeona maombi haya kwa kuchelewa lakn ninaimani Mungu atanikumbuka pia maana nimeshiriki maombi haya.
@peninahAlphonce17
@peninahAlphonce17 8 ай бұрын
Alafu fundi mitambo acheni kutukosesha vipande. Almost 3mins or more ilikuwa muted. Barikiweni. Thank you pastor
@mariekaluya6496
@mariekaluya6496 7 ай бұрын
Amen sana mtumishi wamungu nikweli kabisa mungu atusaidiye baba
@user-td7uz5gv3i
@user-td7uz5gv3i 8 ай бұрын
🙏🙏🙏nabarikiwa Sana na mafundisho past
@thomasmiyanga6059
@thomasmiyanga6059 7 ай бұрын
Amen pastor from zambia
@maryfrancis990
@maryfrancis990 7 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu
@AdiliNyagawa
@AdiliNyagawa 8 ай бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako pasta
@user-wt1dw6nc2b
@user-wt1dw6nc2b 8 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
@user-wt1dw6nc2b
@user-wt1dw6nc2b 8 ай бұрын
Sauti inapotea hatukupati vizuri
@EsthermlongoEsther
@EsthermlongoEsther 8 ай бұрын
Amen amen 🙏
@floramahenge6224
@floramahenge6224 7 ай бұрын
Asante kwa mafundisho
@happinesstesha7061
@happinesstesha7061 Ай бұрын
Sauti dah
@MercylineAoko
@MercylineAoko 3 ай бұрын
Yaani mafunzo yako yamenibadilisha sana
@WiniSanga
@WiniSanga 2 ай бұрын
Barikiwa sanaa 🙏
@anthonybenedict5444
@anthonybenedict5444 8 ай бұрын
Sauti ni tatizo, rekebisheni, ina sikika kwa shida
@user-dg8pz2sc9h
@user-dg8pz2sc9h 8 ай бұрын
Amen pastor kipande kirudiwe ili tusikie
@user-qi2gz9mb8b
@user-qi2gz9mb8b 8 ай бұрын
Umekuwabaraka kwangu kupitiyanenohili
@manfordmkinga4080
@manfordmkinga4080 6 ай бұрын
Huyu mwl ambaye yuko gifted
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 7 ай бұрын
Good job
@janetjj2211
@janetjj2211 4 ай бұрын
Kuna kipande kirefu hakikusikika sauti ila kwa yaliyosikika ni mafundisho mazuri
@christinaemanuelyusta4228
@christinaemanuelyusta4228 6 ай бұрын
Watu wamemtambo kuwe makini wengine tunasikiliza kupitia mtandaoni
@user98771
@user98771 8 ай бұрын
Sautiiii Yesu
@chiakomba
@chiakomba 7 ай бұрын
Kipande hiki kirudiwe kwani ni baraka sana ila sauti imekatika
@lucychami9013
@lucychami9013 8 ай бұрын
Sauti tafadhali.
@davidshindo1810
@davidshindo1810 8 ай бұрын
Neno tamu lakini mitambo haipeperushi sawa. Kwa ufupi hatuskii from point no. 3
@euniceshayo5873
@euniceshayo5873 8 ай бұрын
Sauti jaman
@MAG-yb5ez
@MAG-yb5ez 8 ай бұрын
Najiungamisha leo Maombi yangu yapate kibali mbele ya MUNGU
@hellenpeter1560
@hellenpeter1560 8 ай бұрын
Najiunganisha ktk maombi haya
@judithmiruka8954
@judithmiruka8954 8 ай бұрын
Tengeneza sauti technician
@pastorgeorgemukabwajrc
@pastorgeorgemukabwajrc 8 ай бұрын
Kuna kipindi umeme ulikata, jana na Junapili ili tumelishughulikia.
@nickolassimion
@nickolassimion 8 ай бұрын
Mbna vitabu hatupati?
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤😂❤❤❤❤❤
@herbertmutunga4281
@herbertmutunga4281 8 ай бұрын
Polite request,pls sound quality to be considered
@user98771
@user98771 8 ай бұрын
Sauti wapendwa cha 4 hakisikiki
@evak8122
@evak8122 8 ай бұрын
Sauti please inapotea
@FAUSTERMATHIAS
@FAUSTERMATHIAS 8 ай бұрын
Sauti imekata 😢
@gracereginald9279
@gracereginald9279 8 ай бұрын
Ubarikiwe Pastor Lakini naomba mfungue tuweze download hii video
@pastorgeorgemukabwajrc
@pastorgeorgemukabwajrc 8 ай бұрын
After masaa 24 ya ujumbe unaweza download.
@celinamushi7700
@celinamushi7700 8 ай бұрын
Sauti imekata hatusikii
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 7 ай бұрын
Right person to marry me
@ruthabed
@ruthabed 7 ай бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako na Imani nitafunguliwa
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 7 ай бұрын
Ameen
@NellyKadenyi-qc3em
@NellyKadenyi-qc3em 4 ай бұрын
Amen Amen
@NellyKadenyi-qc3em
@NellyKadenyi-qc3em 4 ай бұрын
Maombi inanifugua
@WiniSanga
@WiniSanga 2 ай бұрын
Aminaaa 🙏
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 7 ай бұрын
Ameen and Ameen Our God is powerful
@user-jb7vj4kp5g
@user-jb7vj4kp5g 7 ай бұрын
Amen may the will of God be done
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 7 ай бұрын
Aminah
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 7 ай бұрын
Ameen
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 7 ай бұрын
Ameen and Ameen Our God is powerful
@GeorginaNsumilinda
@GeorginaNsumilinda 8 ай бұрын
Amen
@Mwx-zd4ov
@Mwx-zd4ov 8 ай бұрын
Amen
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 7 ай бұрын
Ameen
@MAISHANENOTV
@MAISHANENOTV 7 ай бұрын
Ameen
@priscajohn5817
@priscajohn5817 8 ай бұрын
Amen
@gilbertwanje
@gilbertwanje 8 ай бұрын
Amina 🇰🇪🇰🇪
KUPAMBANA NA ROHO YA AIBU NA FEDHEHA ||  PASTOR GEORGE MUKABWA || 15/01/2024
1:22:16
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 20 М.
JINSI YA KUFUNGA MILANGO YA NGUVU ZA GIZA  || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 21/07/2022
1:17:29
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 28 М.
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Dr Ipyana
Рет қаралды 729 М.
ISHARA SABA (7) ZA KUKUONYESHA MUNGU AMEJIBU MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA  || 15/02/2024
1:33:38
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 31 М.
JINSI YA KUTUNZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU
16:04
Mwalimu Peter Njau
Рет қаралды 1,9 М.
JINSI YA KUSIMAMA NA DAMU YA YESU KWA LOLOTE  || PASTOR GEORGE MUKABWA  - JRC || 06/11/2022
1:43:40
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 209 М.
ዘመንን የሰራ ጌታ :- ዘማሪት ምርትነሽ ጥላሁን (Lyrics)
20:21
ዘማሪት ምርትነሽ ጥላሁን Mirtnesh Tilahun Official Page
Рет қаралды 44 М.
TAMBUA NEEMA ULIYONAYO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
25:33
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 18 М.
NYIMBO ZA WOKOVU 2nd ALBUM - Papi Clever & Dorcas ft Merci Pianist (2023 Swahili collection)
1:24:48
NJIA ANAZO ZITUMIA SHETANI KUTEKA NAFSI YA MTU |NABII ESTHER MASANJA
46:03
BADO KUNA USHINDI TV
Рет қаралды 10 М.
KUMFAHAMU ROHO MTAKATIFU KATIKA MAISHA YAKO || PASTOR GEORGE MUKABWA
2:00:37
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 49 М.